Sama Gallya

530 posts

Sama Gallya banner
Sama Gallya

Sama Gallya

@MissoSalum

Katılım Ağustos 2025
150 Takip Edilen45 Takipçiler
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Taja chakula ambacho kikipikwa halafu kikalala kesho yake kinakuwa kitamu mara mbili ya jana yake..😊
Filipino
84
39
150
6K
DA VINKI
DA VINKI@VorosTwins·
78 views in 15 years 😭😭
DA VINKI tweet media
English
1.8K
4.8K
146.8K
5.5M
noel96🌵
noel96🌵@noel9620·
@mentor209 Nasimamia ofisi fulani uku Zenji na 3 of my stuffs ni wazanzibar itoshe kusema ni wazito jamaaaaanii kumamae sijapata kuona
Suomi
6
1
38
2.5K
GIPSON BNN
GIPSON BNN@mentor209·
Wazanzibar kazi ngumu hawataki mfano kazi za ujenzi sahivi vijana wanatoka bara ulisema uwape vijana wa Zanzibar hio kazi hawataki. Wanataka kuwa na engineer na wameishia la nne.
14
35
440
22.5K
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Sehemu za kazi kuwa makini na watu ambao wanajifanyaga hawana shida na hiyo kazi… “mimi siogopi kufukuzwa nitawachana kama kunifukuza wanifukuze tu sina shida na hii kazi” Kuwa nao makini sana wengi wao ni masnichi ndio wanapeleka maneno kwa Boss..
Indonesia
13
40
239
5.4K
sultan
sultan@chapanombombwi·
@BinKombo3 Kaka niache kuvua Mangapwani nikauze mkaa😁😁😁
Suomi
2
0
3
348
sultan
sultan@chapanombombwi·
Ukiingia kusini ndani ndani kabisa huko, gunia la mkaa ni shilingi 8,000 (elfu nane), gunia hilo hilo Dar es Salaam ni shilingi 100,000 (laki moja). Ukichukua shilingi 3,000,000 (milioni tatu) kama mtaji ukaingia Rukwa, unarudi Dar es Salaam ukiwa na gunia 125 za mkaa, ambazo ukiziuza unapata 12,500,000 (milioni kumi na mbili na laki tano) Gharama za uendeshaji; Ununuzi wa mkaa, shilingi 1,000,000 (milioni moja) sawa na gunia 125. Usafiri: gunia moja ni shilingi 10,000 (elfu kumi), kwahiyo gunia 125 ni sawa na 1,250,000 (milioni moja laki mbili na elfu hamsini). Maliasili: kila gunia utahonga shilingi 5,000 (elfu tano), ambayo kwa yote ni 625,000 (laki sita na ishirini na tano elfu). Kupakia na kushusha: shilingi 1,000 (elfu moja) kwa kila gunia, jumla ni 125,000 (laki moja na ishirini na tano elfu). Kwa mtaji wa shilingi 3,000,000 (milioni tatu), unatengeneza faida ya takribani 9,500,000 (milioni tisa na laki tano). Kusini fursa zipo wazee!
sultan tweet media
Indonesia
40
4
126
12.8K
mTusi original 👦
mTusi original 👦@mTusiOriginal·
Ila latto yani FBI Anatafta engagement kwako nimecheka latto kinouma huyo anakupa mpaka matokea yako ya lasaba mpaka location unapoishi
mTusi original 👦 tweet mediamTusi original 👦 tweet media
Filipino
32
28
302
19.9K
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
Wee MKUNDU Wa Nungunungu Nini? Unasema Ngoma Mbaya Halafu Haina Dislike Hata Moja Ni Like Tu Na View Wakutosha. Hakuna Comment Hata Moja Yakuponda👇
KIDUKU OFSA NGIRI tweet media
Indonesia
11
20
262
15K
Sama Gallya
Sama Gallya@MissoSalum·
@Mwinshehe07 Wewe nae kuma tu,. Mambo ya kuchagua upande na kushindwa kusema ukweli. Acheni usenge na urafiki wenu wa kisenge.
Indonesia
0
0
0
18
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Taivina hajawahi kujitangaza kama mwanaharakati hata chama chake cha siasa. tunachojua sisi jamaa amekuwa akisimama na watu kutetea haki na kusaidia wahitaji Unachofanya nikama kumuangushia jumba bovu ila watu wanamjua humu taivina ni mtu wa namna ni ngumu kumuangusha
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿@EsirEid

#TajiriLaKihaya WANAHARAKATI UCHWARA…. Walituaminisha kwamba Tuachane na Wana CCM na Products zao… Hadi kutulazimisha Tuwa BLOCK Wana ccm mtandaoni… kuachana na Ushabiki wa mpira wa SIMBA/YANGA…. Ila Kuanzia leo kuendelea hao hao ndio Watakuwa wanaPromote VUNJABEI BETTING! Ikumbukwe VunjaBei ni CCM lia lia… amechanga hela kibao tu kwenye kampeni na hata juzi tu alikua anawania UBUNGE kabla ya kukatwa 😅 NJAA na MSIMAMO havikai meza moja 😂🙌🏽

Indonesia
61
67
373
22.8K
Sama Gallya
Sama Gallya@MissoSalum·
@Sativa255 Shida sio hiyo shida ni kwanini wengine wakifanya inakua tatizo?
Indonesia
0
0
0
42
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Watu wanamaindi TAIVINA kualiwa kwenye event ya VUNJA BEI maana yake hairuhusiwi kabisa kuhusika na VUNJA BEI. Vunja bei kila siku anashusha mizigo na anafungua maduka kila mkoa mpaka mnamuita mkinga mchawi—ni SISIEMU tuu ndio wanamuungisha kwenye hiyo biashara? Kipindi TAIVINA anasema kesho tukutane kanisani kwa GWAJIMA mlikuwa hamsemi kwamba anahamasisha muende kwa MASISIEMU. Kipindi TAIVINA anamtafuta POLEPOLE au anasapoti live za Polepole mlikuwa hamsemi anasapoti SISIEMU. Kuhusu tukio la JANA hamueleweki kwamba jamaa mnakataa jamaa kualikwa au jamaa amelipwa afanye kazi? Na kama amelipwa wapi amesema yeye ni BALOZI, na kama ni BALOZI hayo mabango ana post wapi? Naona anaendelea na makampuni yale yale ya siku zote. PUMBU LA WAKAMARIA LIPO YOUTUBE MUDA HUU WAHI TUWAHI.🔥🔥
Indonesia
38
33
395
26.8K
Sama Gallya
Sama Gallya@MissoSalum·
@Sativa255 Leo nimeamini kua wewe bro kuma,. Nyie mnajifanya miungu wangu watu kumama yao mnajali masilahi yenu tu mwingine akifanya nogwa kuma wewe
Indonesia
0
0
1
33
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Mnaokanyagia mwanangu VINA kuibuka kwenye Event ya kamali jana kwamba alienda tukio la MTU WA SISIEMU mnamaanisha hata LEO kwenye Event ya MH SUGU kumpa heshima PROFESA J kupiga show ya kibabe watu wa SISIEMU hawatakiwi kuenda? Ebu tutoleeni UKUMANINA wenu hapa. Mnafikiri mkiongea huo usenge ndio tutaacha kuwakumbusha ukweli kama NYIE MASISIEMU NI MAUWAJI mliuwa ndugu zetu?
Indonesia
83
53
512
49.6K
MRENO.55
MRENO.55@mreno255·
Kwenye mshahara wako tukitoa laki 8 unabakiwa na shilingi ngapi?
Filipino
162
64
436
33.4K
Sama Gallya
Sama Gallya@MissoSalum·
@Conspiracist_1 Ulikua unataka waseme ukienda mbinguni utakutana na shetani akufire,. Watu wanaamini kwa ajili ya mambo mazuri mbeleni walioahidiwa si vinginevyo.
Indonesia
1
0
1
143
Mtoto wa Mungu🤲🏽
Mtoto wa Mungu🤲🏽@Conspiracist_1·
Mwislamu mtakatifu akifa anaenda mbinguni, kule anafika anapewa mabikra 72 wa kudinya . Hizi dini hizi😂😁🤝
Indonesia
26
11
164
11.9K
Muuh Venus
Muuh Venus@Cheupe12tz·
@Sylvest85787141 @Tinolove15 Tatizo sio kupokea Dini tatizo ni kupokea hadi Culture zao.....Waislam wanaishi kama waarab na wa kristo wanajiona wazungu
2
0
0
49
Kante
Kante@MkulimaKante·
Usifungue bar kwanza uendeshaji wake ni mkubwa na utakugharimu Kama una plan ya kuwa na bar anza na kiliquor store ingia singida tafuta pisi moja kali iliyosimama ipangishie chumba na msosi uwe juu yako ilipe 200k Hiyo isimamie kuendesha liquor store yako funga wifi na nunua zako jbl speaker kubwa wateja wawe wanaconnect bluetooth wenyewe. Unaweza kuongeza na big screen moja na viti kadhaa kuzunguka kaunta yako. Wewe control mauzo huyo dada ndio awe in charge wa kuhudumia wateja wako. Bro miaka mitano mingi utaanza kuitwa tajiri📌
Filipino
25
26
394
26.5K
Johari Mshana
Johari Mshana@joharimshana·
Mke mkubwa wa Maria, Hilda nikupe ujumbe- Wewe pia una mnyororo wa familia Tanzania. Weka namba za Chande alafu uone tutakavyo simama kumlinda. Jaji Chande, ni mtu mwenye credibility kubwa Afrika na dunia, usimfananishe na mume wako Maria! Tuliwaachia mkaingiza vijana wenzetu barabarani, mkatengeneza tabia ya vijana kutuma sms na kupiga simu kwa viongozi kupitia hii tabia, sasa #NEVERHAPPENAGAIN tutamlinda mzee kwa gharama kubwa.
Johari Mshana tweet media
Indonesia
59
17
52
25.1K
Gerson Msigwa
Gerson Msigwa@MsigwaGerson·
YALIPANGWA YALIRATIBIWA YALIFADHILIWA na YALITEKELEZWA. Eee Mwenyezi Mungu tusadie, tufumbue macho na tuongoze kutambua na kuwakataa wenye nia ovu dhidi ya Tanzania. #NeverAgain
Indonesia
899
46
270
117.4K
Sama Gallya
Sama Gallya@MissoSalum·
@twinaomukama @DizoFx Kwahiyo baada ya hapo mkadarasi akishashinda tenda ataenda kufanya mobilization. Akiingia site atapewa mchoro kwamba barabara inatakiwa iwe vipi. Na atajenga kwa kusimiwa na consultant kuhakikisha anafata quality na quantity inayotakiwa according to standard specification.
Filipino
0
0
0
5
Sama Gallya
Sama Gallya@MissoSalum·
@twinaomukama @DizoFx Afu kitu inatakiwa afahamu ni kua barabara haijengwi tu kwa lazima wa design. Yani mpaka mchina anaingia site watu washapita kitambo kwa ajili ya kuangalia Culvert likae wapi? Hapa zikae layer ngapi ni material inatakiwa yatumike. Ndomana kuna special specification ya mradi husik
Indonesia
1
0
0
31
mwalimu wa diploma
mwalimu wa diploma@DizoFx·
Yani mtu aujasoma ata computer science Kisa unauza simu na laptops Unajiita mtu wa tech Ndoo maana mnalala vibarazani dubai
Indonesia
21
19
352
20.3K