Sabitlenmiş Tweet
Montezuma
15.7K posts

Montezuma
@ChiefMontezuma
If a law is unjust a man is not only right to disobey it he is obliged to do so.
songea Katılım Temmuz 2019
1.5K Takip Edilen1.3K Takipçiler
Montezuma retweetledi

@joeselasini @kijitu20 Nyerere alitusaidia sana aseee. Je tungekuwa tunazungumza kingereza???
Indonesia

@joeselasini Astaghafirullah. Mwenyezi mungu atuepushe na kadhia hii.
HT

@vicensiashule These are untrainables. Ni mabumunda haya hayafundishiki. Shule yameshindwa yenyewe siyo kwa kukosa nafasi.
Filipino

Sikuwahi kuamini naweza kwenda kuuza mafuta Marekani. Kidumu cha lita 5 napata milyoni 100. Utajiri umenifikia jamani Elimu... Elimu ... Elimu
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz
N/Waziri wa Elimu ni taswira ya elimu ya nchi husika.
Indonesia

@Happinesmlay Haiwezijani kwa sababu mawaziri wanateuliwa kutoka bungeni, na sifa ya wabunge ni kujua kusoma na kuandika kiswahili. Huwezi kupata wasomi humo.
Indonesia

@AlexSamoja Huyu m'bunge anayecheka chini kwa chini achukuliwe hatua.
Indonesia

@Advocate_Jebra Sikuwahi kudhani kwamba huyu mzee ni muigizaji mahiri.
Indonesia

@MzeeFumbuaMacho Na ule mstari unaosema "wabariki viongozi wetu" katika wimbo wa taifa uondolewe mara moja. Mimi sipo tayari kuimbishwa wimbo huu!
Indonesia

The funny thing is toka Jana kila mtu anajaribu kuonesha uelewa wake. Mimi Kama mtaalamu wa mambo ya shipping/logistics na marine engineering Ngoja ni wafafanulie vipimo vinavyotumika na main reason ya kutumika kwake naona mnachanganya watu kati ya 'Shipping' na
'Market Pricing'
Digital Nomad (Your Fav Dijito Bro)@mafolebaraka
The funny thing mafuta huwa yanapimwa kwa tani.
Filipino

@Sativa2555 Waziri wa elimu ya Tanganyika. Nyerere apigwe viboko huko aliko.
Filipino

@HildaNewton21 @MariaSTsehai Upo sahihi sehemu kubwa ya urithi wa akili hutoka kwa mama.
Filipino

Huyu ni mtoto wa Idd Amin Mama,
Yani hata kusoma tu kilichoandikwa kwenye karatasi aliyoshika anashindwa.😂😂😂😂
Wataalam wanasema asilimia kubwa Watoto hurithi akili kutoka kwa Mama zao ila mama akiwa kilaza, Watoto ndo inakua balaa na nusu
Sasa mwangalie huyu, angalia akili za Abdul na maujinga anayofanya then linganisha na za Idd Amin Mama utagundua ni mule mule.
Filipino

@Happinesmlay Itakuwa ndiyo sisi wenyewe kabisa. Siyo kwa laana hii. Mtu kaandikiwa hotuba na wakurugenzi wa wizara - hata kuisoma hawezi, daaaaaah!
Indonesia

Mama @SuluhuSamia nadhani uwe unafanya mazoezi ndani kabla hujaja nje mie naona aibu au basi unaweza KUENDELEA how are you!!
Indonesia














