Chiggs

61.8K posts

Chiggs banner
Chiggs

Chiggs

@Chiggscom

Chief Of Staff

Tz 444 Katılım Temmuz 2019
539 Takip Edilen12.1K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Chiggs
Chiggs@Chiggscom·
This is our roots...! Tuambie unasomeka namba ngapi.
Chiggs tweet mediaChiggs tweet mediaChiggs tweet mediaChiggs tweet media
Eesti
5
5
17
0
Chiggs
Chiggs@Chiggscom·
@ntvkenya hebu malizeni tofauti zenu na Kiswahili kwanza
Chiggs tweet mediaChiggs tweet media
0
0
0
53
FezL
FezL@FezNelsons·
@NNgabu_ Yan lissu aaminishwe na maria 😂😂 🚮
Eesti
1
0
0
91
Nyani Ngabu
Nyani Ngabu@NNgabu_·
Maria Sarungi ni mnafiki na ndumilakuwili. Kawatumia watu wengi sana kwa jina la "harakati" ili kufanikisha ajenda zake, kubwa kuliko likiwa la kujipatia fedha kwa wafadhili. Muda ni Mwalimu mzuri ila ipo siku umma utaonyesha msululu wa watu waliotumika na Maria huko yeye akiendelea kula maisha Nairobi Kisha kwa sasa Canada. Maria anakutumia kisha inapomfaa yeye anakuchoma yeye anaendelea na maisha. Hata hawa vijana wake Mshabaha, Hilda na Sativa nawaonea huruma sana ila ipo siku watakua mashuhuda. Kwa kifupi Lissu yuko jela kwa sababu ya Maria. Ni Maria ndie aliekuja kwa Lissu na mpango wa kuzuia Uchaguzi akimuaminisha kuwa nyuma yao kutakua na baadhi ya wanasiasa/balozi za Ulaya, wafadhili, viongozi wa kisiasa na kidini, pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama. Lissu aliaminishwa kuwa Oktoba 29 yatafanyika Mapinduzi na ni yeye atakaepachikwa kama Rais 😂. Ndio maana mara ya mwisho Lissu anaonekana hadharani kabla ya Uchaguzi akasema kwa kujiamini "Sasa ni rasmi niko ndani kwa ajili ya Uchaguzi. Siku tatu baada ya Uchaguzi nitatoka". Ndio maana sasa hivi Lissu yuko desperate. Katika wote waliosuka ghasia za Oktoba 29 ni yeye tu ndio yuko jela na hana dalili za kutoka. Anyway sisi yetu 👀. Tunaendelea kuwa ndugu watazamaji mpaka pale yote yatakapo jidhihirisha.
Nyani Ngabu tweet mediaNyani Ngabu tweet media
Indonesia
8
13
22
4.2K
Chiggs
Chiggs@Chiggscom·
@chademapwani Nyinyi kama waajiri wa Lissu ka nafasi yenu mpeni maagizo atoke
Indonesia
0
0
0
21
Chadema Kanda ya Pwani
Chadema Kanda ya Pwani@chademapwani·
Kwa mujibu wa sheria, anaeisimamia kesi ni mkurugenzi wa makosa ya jinai yaani DPP, na DPP ni mkurugenzi wa mashtaka ya umma. DPP ni mkurugenzi wetu sisi, kwa lugha nyengine sisi ndo waajiri wa DPP. Na sisi umma wa Watanzania tunamtaka DPP amuachie Lissu huru. Mh Boniface Jacob
Indonesia
5
98
375
5.6K
Chiggs
Chiggs@Chiggscom·
Bahati nzuri records zipo.
Filipino
0
0
0
9
Chiggs
Chiggs@Chiggscom·
@zittokabwe Ndugu Zitto, kwenye masuala ha nchi na kutofautiana ingelikuwa kuona aibu, bila shaka ulipaswa kuwa wewe maana sidhani kama kuna mwanasiasa anashambuliwa zaidi yako
Filipino
0
0
0
183
Chiggs
Chiggs@Chiggscom·
@ayubu_madenge Hiki ndio kinakwenda kuitokea Arsenal ya EPL tarehe 24/05/2026😂
Filipino
0
0
1
373
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Timu ya Heart of Midlothian inayocheza ligi kuu ya Scotland imeongoza ligi hiyo kwa siku 226 yaani tangu mwezi October 2025, leo siku ya mwisho ya ligi wamefungwa na Celtic na wakapokonywa ubingwa wao na timu hiyo ya Celtic. Mpira wakati mwingine una matokeo ya kikatili sana.
Ayubu Madenge tweet media
Filipino
18
48
935
19.1K
Chiggs
Chiggs@Chiggscom·
@zittokabwe Hili ni Taifa linalojisimamia Zitto. Taarifa ya kwanza ilikuwa uwekezaji wa mradi na ilionekana tu kwenye media bila serikali ama viongozi wake kushirikishwa. Ulipendelea waseme tu Yes Sir? Yaani Kenya na Uganda washikane tu huko na Dangote juu ya economic deals then TZ tupokee?
Indonesia
1
0
0
570
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Hamwombi hata radhi. Nyie mlokuwa mnamchamba Dangote ndio mnajiweka kimbelembele baada ya tulichoshauri kufanywa kutekelezwa! Hamwoni aibu? Mlileta drama za nini sasa? You guys need to learn to THINK proper!
cousin 420@420Cousin

The biggest lesson here is simple A country with LNG potential, EACOP leverage, strategic ports and regional logistics access should negotiate from confidence not desperation. That does not mean rejecting investors. It means understanding your geopolitical value before signing longterm agreements.

Indonesia
25
20
141
25.5K
Chiggs
Chiggs@Chiggscom·
@Abraha1Brighton Spana gani mpya na huwa zinasaidia nini kwa CCM? Jipambanieni
Indonesia
0
0
0
11
NKENJA_7
NKENJA_7@Abraha1Brighton·
CCM Mwaka huu wanapigwa Spana sana CHADEMA hawana Kazi ndogo huu Mwaka
NKENJA_7 tweet media
Indonesia
1
5
50
1.2K
Chiggs
Chiggs@Chiggscom·
@Advocate_Jebra You're toothless na ushahidi ni lawlessness ndani ya jamii
Filipino
0
0
0
86
Jebra Kambole
Jebra Kambole@Advocate_Jebra·
Bado Tupo sana! Mtaangamiza taaluma zingine lakini hamuwezi kuua TLS . Miaka ya 1591 wakina William Shakespeare walishasema jambo la kwanza ili kutawala kirahisi ni kuua wanasheria kwanza. Sisi hatutakubali, tutalinda taaluma yetu na watanzania. Scene 2 of Act IV (4.2.76–77)
Jebra Kambole tweet media
Indonesia
17
151
716
11.2K
Chiggs
Chiggs@Chiggscom·
@InnocentJLS Hata Heche ni rafiki yake wa karibu na senior leader mmoja kutoka CCM
Indonesia
0
0
0
29
ENGLAND 🇬🇧🔥
ENGLAND 🇬🇧🔥@InnocentJLS·
Nape anasema rafiki yake kutoka Upinzani ni Zitto Kabwe. Anasema ni rafiki yake sana.
5
0
13
747
Chiggs
Chiggs@Chiggscom·
@NNgabu_ Ataendesha siasa ngumu sana. Alitamani kuwa huku na kule
Filipino
0
0
0
8
Nyani Ngabu
Nyani Ngabu@NNgabu_·
Nkuna miezi michache iliyopita ulisema utafanya press conference kuelezea kilichokutoa CHAUMMA ila mpaka leo uko kimya umebaki kujiongelesha ya CHADEMA wakati wao hawana time na wewe. Pole sana. Ni hivi, CHADEMA hawawezi kukuamini tena. In fact hakuna chama cha siasa nchini wala duniani kinaweza kukuamini. Ushaonekana cheap na kwa bahati mbaya ni cheap usioleta thamani kwa taasisi yoyote ile utakayo jiunga nayo. Siku ukinywa zako pombe na kulewa kama kawaida hebu uje muelezeeni haswa kilicho kutoa CHAUMMA. Elezea jinsi haukua sehemu ya G55 ila ulijipendekeza tu kuhama na kujipeleka CHAUMMA bila kuitwa 😂. Elezea jinsi baada ya CHAUMMA kukuteua kugombea ubunge ulisusa na kurudi CHADEMA baada ya kunyimwa "fungu" la kufanya kampeni kwa sababu haukua kwenye mipango yao. Hukurudi CHADEMA kwa sababu ghafla ulipata "UFUNUO". Ulirudi CHADEMA kwa sababu wewe ukipewa tu lifti kwenye harakati za CHAUMMA ukarudi fasta "nyumbani" ulitegemea watakupokea 😂. Sasa na hao CHADEMA hauko kwenye mipango yao na hauna thamani yoyote kwenye siasa za Iringa. Na ulivyo mlevi na haugandishi hata wakina @Twaha_Mwaipaya hawajataka kukuchukua kwenye harakati zao za kitapeli😂. Wewe kunywa mataptap Yako endelea kuenjoy maisha. Haya mengine yalishakushinda 🤡.
Nyani Ngabu tweet media
Vitus Nkuna@VitusNkuna

CHADEMA hatutapangiwa na Serikali ni kipi cha kuisema Serikali ya CCM. CHADEMA sio vyama vya Project au vile vyama 12. CHADEMA nyeupe itasemwa nyeupe na nyeusi ni nyeusi. CHADEMA hatuta inama kulamba viyatu vya CCM kufunika maovu yao. CHADEMA ni sauti ya Watanzania✌️

Indonesia
2
3
9
1.2K
Chiggs
Chiggs@Chiggscom·
@IamLyenda Hii inaongeza nini toka 1992 mnaifanya...vipi NRNE ilifuzu?
Indonesia
1
0
0
64
LYENDA
LYENDA@IamLyenda·
Wananchi wa Kahama wanaendelea na maandalizi ya kuunadi mkutano wa Opereshini KATIBA MPYA, FREE LISSU utakaofanyika Mei 19. Wahudhuriaji watakuja wenyewe bila kuletwa na malori wala punda. Msajili wa vyama vya siasa tuachieni CCM tuwatoe jasho. Achaneni na huo mpango wenu.
Indonesia
6
79
449
9.1K
Adui Wa Yanga
Adui Wa Yanga@Aduiwayanga·
@ACTwazalendo Mlisema nini kuhusu serikali ya umoja wa kitaifa kwenye hayo maazimio?
Indonesia
1
0
0
65
ACTWazalendo
ACTWazalendo@ACTwazalendo·
Leo Mei 14, 2026 Wenyeviti wa @ACTwazalendo wa Mikoa 11 ya Kichama Zanzibar wamejitokeza mbele ya vyombo vya habari na kutangaza kuyaunga mkono maazimio ya kikao cha Kamati Kuu kilichoketi Mei 3, 2026. Maazimio ya Kamati Kuu tajwa yalikuwa ni pamoja na kuendelea kuikataa Tume ya Jaji Chande na ripoti yake, kutaka wahusika wa mauaji ya Oktoba 29 na siku zilizofuata wachukuliwe hatua za kisheria, kushughulikia chanzo cha maandamano ambacho ni madai ya Katiba mpya na Tume Huru ya uchaguzi, nk. #ZanzibarMpya #ZanzibaraMoja #MamlakaKamili
ACTWazalendo tweet mediaACTWazalendo tweet mediaACTWazalendo tweet mediaACTWazalendo tweet media
Indonesia
2
6
18
1.5K
Chiggs
Chiggs@Chiggscom·
@VitusNkuna Vipi, Mlizuia uchaguzi au mnasubiri 2030?
Română
0
0
0
5
Vitus Nkuna
Vitus Nkuna@VitusNkuna·
CHADEMA hatutapangiwa na Serikali ni kipi cha kuisema Serikali ya CCM. CHADEMA sio vyama vya Project au vile vyama 12. CHADEMA nyeupe itasemwa nyeupe na nyeusi ni nyeusi. CHADEMA hatuta inama kulamba viyatu vya CCM kufunika maovu yao. CHADEMA ni sauti ya Watanzania✌️
Vitus Nkuna tweet media
Indonesia
9
55
221
3.7K
Chiggs
Chiggs@Chiggscom·
@MK47TA Zitto anatafuta uungwaji mkono kutoka Chadema baada ya kumtukana kwa muda mrefu. Zitto na ACT yake anatangaza uasi na vita dhidi ya Taasisi za kidemokrasia
Indonesia
0
0
0
37
MK47TA
MK47TA@MK47TA·
Ni jambo la kusikitisha kuona Zitto Kabwe unajitokeza kwa lugha ya vitisho kulinda mienendo ya CHADEMA huku ukijaribu kuishambulia Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama. Zitto unadai kuwa "shambulio kwa mmoja ni shambulio kwa wote," lakini unashindwa kukemea na kueleza namna ambavyo upinzani unaoongozwa na CHADEMA unageuka kuwa kitovu cha kuchochea fujo na vurugu badala ya kufanya siasa za kistaarabu kwa ajili ya kumkomboa Mtanzania. Ukweli uliowazi ni kwamba hata CHADEMA wanapopewa nafasi na uhuru wa kufanya siasa hawaitumii nafasi hiyo kwa ajili ya kujenga nchi. Badala yake wanaitumia nafasi hiyo kuchochea fujo na vurugu kupitia mikutano inayohamasisha uvunjifu wa amani jambo ambalo Zitto unajaribu kulihalalisha kama "siasa za ushindani". Hii inaonyesha wazi kuwa nia yako na wao si maendeleo bali ni kueneza upotoshaji na kutengeneza chuki kati ya wananchi na uongozi uliopo ili kupata umaarufu wa kiharakati. Zitto unadai kuwa Ofisi ya Msajili inarudia makosa yaliyopelekea mauaji ya Oktoba 29 lakini ukweli ni kwamba upinzani ndio unaotumia matukio hayo kama mtaji wa kisiasa wa kuchochea hasira za wananchi. Huwezi kudai unalinda demokrasia wakati unashiriki kuitikisa misingi ya amani na utulivu wa nchi kwa makusudi. Siasa za namna hii hazilengi ujenzi wa miundombinu au huduma za kijamii bali zinalenga kuleta taharuki ili kuonekana ni "waathirika" mbele ya jumuia za kimataifa.
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe@zittokabwe

Zama za Ofisi ya Msajili wa Vyama kuwa mchezaji namba 12 wa CCM FC zimekwisha. Dola isome alama za nyakati. The writing is on the walls! Msajili STOP THIS NONSENSE ya kutaka kufuta CHADEMA. Utafutwa wewe, No doubt about this! Tume ya Chande iliyoundwa na Rais imetoa Taarifa inayosema wananchi wanailalamikia Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa kutokutenda haki kwenye kusimamia shughuli za vyama vya Siasa. Badala ya Msajili kuchutama, kuwajibika na kubadilika anarudia makosa yaleyale yaliyopelekea mauaji yaliyoanza Oktoba 29. Msajili anajua, Watanzania wanajua na Dunia inajua kuwa Kuna ushahidi wa kutosha wa CCM kufanya makosa makubwa kuliko hata ambayo msajili ameituhumu Chadema, hatukuwahi kuona hatua zozote zimechukuliwa na Ofisi hii ya Msajili. Ofisi ya Msajili ijue WATANZANIA SIO MABWEGE. Tunachukulia tishio lolote dhidi ya CHADEMA ni tishio dhidi ya Demokrasia. An attack to one, is an attack to all. Iacheni CCM ifanye Siasa za Ushindani dhidi yetu. Nasi tufanye siasa za ushindani dhidi yao. Acheni kuwa mbeleko ya CCM. Mtaanguka nayo. Ujumbe huu sio wa Msajili tu bali pia ni kwa VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA pia. Kaeni pembeni acheni vyama vya Siasa vifanye Siasa. Mnataka watu wangapi wafe ili mpate somo?

Indonesia
4
9
11
779
Chiggs
Chiggs@Chiggscom·
Chadema wanaumizwa na barua ya kuwataka wajieleze na Tume ya msajili wa vyama vya siasa. Chadema hii hii imetoka kumfutia uanachama Odero na wale waliosemekana kuwa wafuasi wa Mbowe. Why binadamu tuna umimi kiasi hiki?
Chiggs tweet mediaChiggs tweet mediaChiggs tweet media
Indonesia
0
0
0
49
Chiggs
Chiggs@Chiggscom·
@BabaMwita Anayesajili anakosaje mamlaka ya kuwaangalia aliowasajili? Kwamba mlezi hawezi kuwaita na kuwakanya wanavunja taratibu walizojiwekea? Mfano dhaifu: Yanga imetoka kupigwa faini ya 30m juzi kwa kile kilichotafsiriwa ni kwenda kinyume cha utaratibu waliojiwekea? Ni CAS au TPLB?
Indonesia
1
0
0
129
Baba Mwita
Baba Mwita@BabaMwita·
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa haina MAMLAKA Kikatiba ya KUTAFSIRI sheria za nchi. Mahakama pekee ndio yenye MAMLAKA & JUKUMU hilo. Kazi ya Msajili ni kuwa MLEZI tu na sio kutoa uamuzi wa nani amekosea & kuadhibu kwa mtazamo wa Ofisi yake. Hivyo basi, Msajili au Naibu wake, hawana UWEZO kisheria KUFUTA usajili wa chama chochote cha Siasa nchini kwa maamuzi yanayotokana na MTAZAMO wao binafsi. Utaratibu wa kuadhibu au kufuta usajili wa chama uko kisheria na ni LAZIMA upitie mahakamani kwanza. Huo ndio msimamo wa kikatiba & kisheria. Ushauri tu kwa Ofisi ya Msajili; zile zama zimepita & isijipe mamlaka ambayo haina.
Indonesia
21
133
451
14.8K