FezL
1.2K posts


@MariaSTsehai Wanaopaswa kutumiwa kulizogeza taifa mbele wanasota rumande.. sad!
Indonesia

#FreeTunduLissu
Tundu Lissu hastahili kuwa ndani hata kwa dakika moja!
Kwa sasa focus ni Tundu Lissu aachiwe mengine yatafuata!
Kiongozi wa wananchi, rais wa kweli wa watanzania tunamhitaji mara moja aje kuongoza mapambano!
Let there be only one cry from East to West, from North to South 👉🏽 #FreeTunduLissu
Focus!

Indonesia

@Baradhuli2 @tanpol Mnataka habari za ukipigwa kofi la kushoto ugeuziwe na la kulia... kwenye maisha halisi hayo mambo hakuna, Newton 1st law of motion
Filipino

Muda unaopoteza kuhangaika na @zittokabwe na @ACTwazalendo ungeuelekeza dhidi ya CCM ningekuona wa maana. Zitto wala ACT haijawahi kuua mtu. Wauaji ni CCM. Zitto na ACT are the wrong targets. Unless kama una project ya CCM ya 'Wagawe wanaokandamizwa Uwatawale' vizuri.
Indonesia

@assengajrr Mbogamboga kila siku mnahubiri matundu ya vyoo vya wanafunzi toka Uhuru 🚮
Indonesia

Maria Sarungi ni mnafiki na ndumilakuwili. Kawatumia watu wengi sana kwa jina la "harakati" ili kufanikisha ajenda zake, kubwa kuliko likiwa la kujipatia fedha kwa wafadhili.
Muda ni Mwalimu mzuri ila ipo siku umma utaonyesha msululu wa watu waliotumika na Maria huko yeye akiendelea kula maisha Nairobi Kisha kwa sasa Canada.
Maria anakutumia kisha inapomfaa yeye anakuchoma yeye anaendelea na maisha. Hata hawa vijana wake Mshabaha, Hilda na Sativa nawaonea huruma sana ila ipo siku watakua mashuhuda.
Kwa kifupi Lissu yuko jela kwa sababu ya Maria. Ni Maria ndie aliekuja kwa Lissu na mpango wa kuzuia Uchaguzi akimuaminisha kuwa nyuma yao kutakua na baadhi ya wanasiasa/balozi za Ulaya, wafadhili, viongozi wa kisiasa na kidini, pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama.
Lissu aliaminishwa kuwa Oktoba 29 yatafanyika Mapinduzi na ni yeye atakaepachikwa kama Rais 😂.
Ndio maana mara ya mwisho Lissu anaonekana hadharani kabla ya Uchaguzi akasema kwa kujiamini "Sasa ni rasmi niko ndani kwa ajili ya Uchaguzi. Siku tatu baada ya Uchaguzi nitatoka".
Ndio maana sasa hivi Lissu yuko desperate. Katika wote waliosuka ghasia za Oktoba 29 ni yeye tu ndio yuko jela na hana dalili za kutoka.
Anyway sisi yetu 👀. Tunaendelea kuwa ndugu watazamaji mpaka pale yote yatakapo jidhihirisha.


Indonesia

@zittokabwe Umeongea vema, kama hawatak wavute upinzan kiwe chama kimoja.. tusiharibu nchi kwasababu ya madaraka 🚮
Indonesia

Zama za Ofisi ya Msajili wa Vyama kuwa mchezaji namba 12 wa CCM FC zimekwisha.
Dola isome alama za nyakati. The writing is on the walls!
Msajili STOP THIS NONSENSE ya kutaka kufuta CHADEMA. Utafutwa wewe, No doubt about this!
Tume ya Chande iliyoundwa na Rais imetoa Taarifa inayosema wananchi wanailalamikia Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa kutokutenda haki kwenye kusimamia shughuli za vyama vya Siasa. Badala ya Msajili kuchutama, kuwajibika na kubadilika anarudia makosa yaleyale yaliyopelekea mauaji yaliyoanza Oktoba 29.
Msajili anajua, Watanzania wanajua na Dunia inajua kuwa Kuna ushahidi wa kutosha wa CCM kufanya makosa makubwa kuliko hata ambayo msajili ameituhumu Chadema, hatukuwahi kuona hatua zozote zimechukuliwa na Ofisi hii ya Msajili.
Ofisi ya Msajili ijue WATANZANIA SIO MABWEGE. Tunachukulia tishio lolote dhidi ya CHADEMA ni tishio dhidi ya Demokrasia. An attack to one, is an attack to all.
Iacheni CCM ifanye Siasa za Ushindani dhidi yetu. Nasi tufanye siasa za ushindani dhidi yao.
Acheni kuwa mbeleko ya CCM. Mtaanguka nayo. Ujumbe huu sio wa Msajili tu bali pia ni kwa VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA pia. Kaeni pembeni acheni vyama vya Siasa vifanye Siasa.
Mnataka watu wangapi wafe ili mpate somo?
Indonesia

@Mwabuk2Boniface It seems tulikurupuka kuwa nchi ya vyama vingi,, hii ofisi inahitaji reforms kubwa mno inatumika vibaya.. kama upinzan ni changamoto kwa nchi turud kwenye nchi ya chama kimoja.🚮
Filipino

OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA IDHIBITIWE KABLA HAIJASABABISHA MAAFA KWA MARA YA PILI.
Tumeshauri sana na tunaendelea kushauri.Ofisi ya Msajili wa Vyama ndiyo chemichemi ya vurugu za kidemokrasia ndani ya Vyama vya Upinzani na inamchango mkubwa katika vurugu za Oktoba 29.
Kimsingi Tume ya Uchaguzi na Ofisi hii ya Msajili wa vyama kwa matendo au kutowajibika kwao zimesababisha asilimia zaidi ya 60 kupelekea Mauwaji ya Oktoba 29/2025.
Baadhi ya Maofisa wake kwa makusudi,kujipendekeza au kutumika wana mchango mkubwa sana katika kuharibu Haki, Amani ,umoja,utulivu wa kidemokrasia ndani ya vyama vya siasa na ustahimilivu wa Kidemokrasia
Ofisi hii Inafanya na Kutenda kwa kuzingita Uonevu,ubaguzi,hila na Inaongoza kwa matumizi mabaya ya Mamlaka.
Tunaweza tukalaumu vyombo vingine vya kusimamia sheria kama Polisi,Jeshi,Mahakama na vyombo vingine vya Ulinzi ila tusisahu kuwa kinu kinachofua na kuandaa hila, fitina na machafuko ni Ofisi ya Msajili wa vyama vya Siasa ambayo imeacha kazi ya kusajili vyama na imejigeuza Ofisi ya kuvutuga utulivu ndani ya vyama na kuminya uhuru wa kidemokrasia na ushiriki mpana wa vyama vya siasa.
Tusipo ziba Ufa tutajenga Ukuta,Mwanzo wa ngoma ni lele , na Asiye sikia la Mkuu huvunjika guu.Hala hala kidole na Jicho.
BAK Mwabukusi.

Indonesia

“Msajili wa Vyama vya Siasa anawataka CHADEMA muwasilishe maelezo kueleza kwa nini usajili wa chama chenu usisimamishwe au kutozwa faini kwa kukiuka masharti ya Sheria ya Vyama vya Siasa, ikiwemo masharti ya usajili.” — Msajili wa Vyama vya Siasa.
Kwamba CHADEMA itozwe faini/kufutiwa usajili kwa kutoa wito wa kuitisha maandamano ikiwa Tundu Lissu hataachiwa huru? Tangu lini imekuwa kosa la jinai chama cha siasa kuitisha maandamano? Mmerogwa?
Kwamba CHADEMA wafutiwe usajili kwa kuwapongeza wananchi kuandamana October 29, 2025? Chama cha siasa kuwapongeza raia kutimiza wajibu wa kiraia wa kushirikia maandamano ni kosa la jinai? Shensisana.
Kwamba wapigwe faini Au kufutiwa usajili kwa kamati kuu kuazimia kwamba utawala uliopo madarakani ni wa kimabavu na haukuchaguliwa na watu? Kwani ni uongo? Uchaguzi haukufanyika, wamejitangaza washindi tu.
Kuna hatari kubwa ya kuajiri viongozi kwa mikataba baada ya umri wa kustaafu, kwani wanakosa ubunifu na kugeuza ofisi za umma kuwa vyanzo vya mapato. Vitisho vya Msajili dhidi ya CHADEMA havina mashiko.
CHADEMA si taasisi ya kisheria inayoweza kufutwa kwa kalamu, bali ni itikadi na imani ambayo haitishwi na watawala. CHADEMA kwa sasa ni zaidi ya chama cha siasa; ni imani ya watanzania, na imani haifutwi.
CHADEMA tumeshatoka kuwa chombo cha kisiasa chenye ofisi na makaratasi, uelekeo ni kuwa harakati ya kijamii (social movement). Itikadi hupandwa ndani ya watu. Msajili, unaweza kufuta imani ya watu?
CHADEMA imeacha kuwa tu taasisi inayotafuta madaraka; CHADEMA imekuwa alama ya; Upinzani dhidi ya mfumo uliopo. Matumaini ya mabadiliko ya kijamii na kiuchumi. Utambulisho wa kifikra (Identity politics).
Msajili, umezeeka, staafu salama usitafute laana. Unatumika vibaya sana. Mamlaka zinaweza kutumia sheria kudhibiti taasisi (Institutional control), lakini ni vigumu sana kudhibiti kile watu wanachokiamini.
CHADEMA ni imani. Tumejenga ukuta wa kinga ambapo kila shinikizo kutoka kwa Msajili wa Vyama linatafsiriwa kama shambulio dhidi ya imani yetu, jambo ambalo huongeza hamasa (mobilization) badala ya woga.
Acheni UDUANZI. MaCCM yameanza kutoa milio.


Indonesia

@HecheJohn Well said bro, tusilazmishane wote kufikiri kimbogamboga 🚮
Indonesia

Msajili wa vyama, Sisty Nyahoza.
Mpango wowote muovu mnaoletewa na jaribio la kutaka kuzia chadema kufanya kazi zake au kukifuta chama chetu utabackfire vibaya.
Hatutakubali Chama chetu kiwe kibaraka wa ccm..
Tunajua Kesi ya Said Issa na vibaraka wengine ni ya kwako..
mahakama imetuondolea zuio umekuja tena.
Kauli ya Mwenyekiti wa vijana ccm kupoteza watu, na kweli watu wanapotea Popole, Mdude na wengine wamepotezwa.
Kauli za kina Makala za Mpox na Ebora.. kauli za mauaji na kuchinja watu za viongozi wa ccm .. Zipo nyingi
Je umewahi kuwaandikia ccm barua kuhusu hayo?
Acheni tushindane kwa hoja na ccm…
Ndio maana miongoni mwa mabadiliko, ambayo lazima yafanyike ni kufuta hii ofisi ya msajili inayotumiwa na ccm kudidimiza demokrasia.
Indonesia

@ThatTimboy @safonyameherbal It is said that sugar is just sugar no matter the source..
English

@FezNelsons @safonyameherbal I think you should read about the sugar that fruits produce.
English

@nguchiro47 @_zack255 @Baradhuli2 @Britanicca0 @chapanombombwi @EsirEid @Jaguar_455 @joharimshana @Kipanga1986 @MankindUwezo @Pweza254 Bora huyu mwenye mchango mdogo, watu kama ww wako na mchango gan?.. 🚮
Indonesia


















