Mang'hunda.
764 posts

Mang'hunda.
@Chingole1Ching
Football
Dodoma, Tanzania Katılım Haziran 2022
134 Takip Edilen32 Takipçiler

Takwimu zinaonesha kwamba wanaume wengi waliopata mafanikio ya kweli walivunja minyororo ya umasikini kwa kujikana na kujitoa kweli kweli.
Waliamua kuvumilia, kutokulala, na kusacrifice comfort kwa ajili ya future yao.
Kama una mwanamke anayekuletea distractions — fukuza hiyo kunguni.
Yes, I said it. Kunguni.
Mwanamke anatakiwa alete furaha, utulivu, na amani nyumbani — siyo kelele na presha zisizo na tija.
Siyo kila siku ugomvi, siyo kila siku kulalamika. Hii dunia tayari ina stress zake — nyumbani pawe pahala pa recharge, siyo pa kuvunjwa moyo.
Wewe peke yako unajua umetoka wapi.
You alone know the scars of poverty.
Unajua nini maana ya kulala njaa. Unajua nini maana ya kwenda shule bila daftari.
Unakumbuka vizuri ulivyokuwa unaenda shamba na mama yako — hujava viatu, jua kali linakuunguza, na bado mama anakuambia:
> "Mwanangu, nakuombea sana siku moja ufanikiwe, unisaidie."
Na wewe hata hujaenda shule siku hiyo — unajiuliza: "Nitafanikaje kama hata shule siko top 10 na huwa sihudhurii vipindi?"
Lakini bado unaendelea kulima kibarua na mama — mpate hela ya unga.
Sasa leo umekuwa mtu mzima — halafu unakutana na mtu mmoja mjinga asiyejua ahadi uliyompa mama yako shambani:
> "Mama nitapambana, iwe mvua au jua — lakini kuna siku utajivunia mimi kuwa mwanao.
Na kama mama itashindikana, basi nitakufa kwenye mchakato huu.
Lakini ukiona nimekufa — usinione mvivu, I gave my all — hata uhai wangu kama itakuwa ndio gharama ya kufanikiwa."**
Let’s be honest — purpose ya kwanza ya mwanaume ni kumfanya mama yake awe proud.
That was, and still is, your primary goal.
Sihitaji kukukumbusha ndoto zako za utotoni.
Ulikuwa huna dem, huna stress, huna pressure —
ndoto zako zilikuwa safi. Genuine.
Ulikuwa unasema: "Mimi nitapambana, nimsaidie mama yangu."
Do you remember that? Try.
Usikubali mtu yeyote aichezee ndoto yako.
Ilinde ndoto hii kwa wivu — yeyote atakayejaribu kuichezea, huyo anataka kukurudisha kwenye lindi la umasikini.
Maana ukishapoteza trust ya mama yako — you’ve lost it all.
More:👇

Filipino

@TheRealEkiswaga @AmbajoMathew Simpigi Mkwaraa nilifika mpaka Dukani kwake na nimekaa zaid ya 20 nachagua chagua accessories zake anazouza na alikuwa na mtoto....na picha zake ninazo nangojaa anitukane tenaa."
Hapa bado hujamsamehe.
Indonesia

@AmbajoMathew Nimesamehe sababu anastahili kusamehewa... Ila akitukanaa tenaa nitampost kwamba asijione mjanja
Indonesia

@shaffihdauda1 "amefanikiwa kuirejesha ligi kuu ya Ubelgiji klabu ya Zulte Waregem".
Amefanikiwa kuirejesha klabu ya Zulte Weregem katika ligi kuu ya Ubelgiji.

Kocha wa zamani wa Simba SC Sven Van de broeck maarufu kwa jina la “Kishingo” amefanikiwa kuirejesha ligi kuu ya Ubelgiji klabu ya Zulte Waregem ambayo ilipambana kwa misimu miwili kabla ya kurudi wakati huu.
Sven amebeba taji la ligi daraja la pili (Challenger Pro League) baada ya kukusanya alama 59 Sawa na klabu ya RAA La Louvierre ila tofauti ikiwa ya mabao ya kufunga na kufungwa ndiyo iliyompa Taji na kuipandisha timu daraja.
Hii Klabu ya Zurte ndiyo klabu aliyowahi kuichezea Novatus Miroshi

Indonesia

@Neypaul01 Hakuna watu wenye akili nyingi bali Kuna watu wenye uwezo mkubwa wa kufiri.
Indonesia

@Sukayotz Ila kweli Yanga alikuwa na quality. Mjinga sana wewe.
Filipino

@fadhilikangusi Shida ni ulevi wa madaraka na wivu wa kisiasa.
Indonesia

Baada ya kuona ushawishi wake unaongezeka, Bibi Titi Mohammed alipewa kesi ya uhaini na kuhukumiwa kifungo cha maisha. #FreeTunduLissu


हिन्दी

@TweveDevota @ManenoIzaak @MustaphaBurhani @yose_hoza Kwani mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji ya mjini na kijijini ni sawa? Je, jamii ya mjini ni sawa na jamii ya mjini?
Kiufupi walimu wa kijijini hutumia nguvu kubwa sana kutimiza wajibu wao kuliko wale wa mjini kutokana mazingira ya ufundishaji na jamii inayoizunguka.
Indonesia

Adhabu kwa wanafunzi zimekuwa zikipigiwa kelele lakini bado zinatolewa, ukienda vijijini watoto wanashinda mtoni kuchota maji sehemu hatari na ni mbali, wengine kuokota kuni kuna mmoja hadi aling’atwa na nyoka, muda mwingine taarifa hizi haziripotiwi kwenye media. #NasomaKwanza

Indonesia

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2023/24 imebaini kuwa jumla ya Shilingi trilioni 1.14 zilizokusanywa kupitia tozo mbalimbali na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hazikuwasilishwa kwenye taasisi husika kama ilivyopaswa.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo, TRA ilikusanya jumla ya Shilingi trilioni 2.59 kwa niaba ya Bodi ya Mfuko wa Barabara (RFB), Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mfuko wa Taifa wa Maji (NWF), na Mfuko wa Reli, kisha kuhamishia Wizara ya Fedha. Hata hivyo, Wizara ya Fedha ilihamisha kiasi cha Shilingi trilioni 1.44 pekee kwenda mifuko hiyo, na hivyo kubaki salio la Shilingi trilioni 1.14 sawa na asilimia 44 ya fedha zote zilizokusanywa.
CAG ameonya kuwa kitendo hicho kinakiuka Ibara ya 135(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inayotaka fedha zilizotengwa kwa matumizi maalumu zipelekwe moja kwa moja kwenye matumizi hayo na si vinginevyo.
Ripoti inabainisha kuwa kuchelewesha au kutopeleka fedha hizo kumeathiri kwa kiasi kikubwa miradi ya maji, barabara, reli na umeme vijijini, huku mifuko husika ikikosa uwezo wa kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi.
CAG ametoa wito kwa Wizara ya Fedha kuhakikisha fedha hizo zinarejeshwa katika mifuko iliyokusudiwa mara moja, ili kuondoa athari za moja kwa moja kwa wananchi na kasi ya maendeleo ya miundombinu nchini.

Indonesia

@azamtvtz Kwahiyo nini kifanyike ili walipa kodi waongezeke?
Indonesia

Idadi ya walipa kodi nchini imeshuka kutoka watu 3,336,777 kwa mwaka 2021/2022 hadi watu 2,282,048.
Hayo yamesemwa na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango leo jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa kongamano la kodi na uwekezaji.
Je, unadhani nini kimechangia hali hii?
Je, wewe binafsi unalipa kodi yako na kuhimiza wengine kulipa kwa ajili ya kuongeza kasi ya ukuaji wa maendeleo nchini?
Tuambie maoni yako nasi tutayasoma kwenye #AzamNews ifikapo saa 2:00 #UTV

Indonesia
Mang'hunda. retweetledi

@Chingole1Ching @celestine_mat @eastafricatv Wanavizia wapandishe nauli tushindwe ili biashara yao ya mabasi ishamiri upya.
हिन्दी

#UPDATES "Wakati tumepanga nauli tulilalamikiwa kuwa tumepanga nauli ndogo sana mpaka tukaitwa na Mhe. Rais tulikutana naye tukamueleza lengo letu ni kutoa huduma mpaka kwa mwananchi wa kawaida aweze kupata huduma ya usafiri huu."
"Kumekuwa na safari nzuri mfano ile ya kwenda moja kwa moja haina vituo vingi kama Daladala nauli ni 50,000 lakini ile inayosimama kila kituo kama ikifika Pugu inasimama na sehemu zingine nauli yake ni 31,000 mpaka Dodoma". - CPA Habibu J. Suluo, Mkurugenzi Mkuu wa LATRA. #EastAfricaTV

Filipino

@celestine_mat @eastafricatv Wengine wanapangwa, wengine wanashauku na kuropoka masuala makubwa pasipo kuyapima wengi ni middle class hawa wanafikiri wote nchini ni wao, Lakini la msingi kabisa ni makusudi maalum ya kuhujumu dhamira halisi ya Usafiri ya Umma.
Indonesia

@celestine_mat Isingekuwa uchu madaraka tungekuwa na vyama viwili tu ili tuwe na strong competition.
Indonesia

UKWELI MZITO KUHUSU KIFO CHA KIGOGO TANESCO, KUGONGANA USO KWA USO | INASIKITISHA SANA :- youtu.be/6ySaWPacEkc

YouTube

Filipino











