clinton Stephen

2.9K posts

clinton Stephen banner
clinton Stephen

clinton Stephen

@Clinton75728311

Tanzania Red Cross Society, Project officer

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Eylül 2017
966 Takip Edilen346 Takipçiler
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
🚨Kwa mujibu wa Taarifa mpaka sasa ni 90% za maboresho zimiefikiwa kuelekea ufunguzi wake ili uwanja wa Uhuru utumike kwenye michuano ya AFCON 2027 Kwa kiasi kikubwa miundombinu yote imekamilika imebaki kumalizia maeneo machache madogo ambayo mpaka mwezi wa 8 mwaka huu Kila kitu kitakuwa tayari Huu ni uwanja pendwa kutokana na ukaribu kutoka maeneo mengi ya mji pia eneo zuri la kuchezea na unabeba mashabiki wengi waliokaa Kwa vigezo vya CAF utatumika kwa ajili ya mazoezi ila baada ya AFCON utakuwa na uwezo wa kuhost mpaka michuano mikubwa ya vilabu Yani CAFCL na CAFCC
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
2
2
112
7.6K
George Ambangile
George Ambangile@George_Ambangil·
Kwani huyu hafai ? Hiki mbona kitasa kabisa cha boli au mnasemaje wanangu .! Ila ninavyojua siku hizi Don Perez anavyopenda slope , ganda la ndizi kwa watu Free kama hawa anaruka nao haraka sana . Konate akatae kucheza Real Madrid kweli ? 😀😀😀 Sasa Liverpool hivi inakuwaje wachezaji wanaondoka FREE kiasi hiki ? Hivi unajua 1: Trent Alexander Arnold 2: Ibou Konate Hao wawili sokoni jumla unapata hela nyingi sana halafu wanaondoka Free ? 🤔🤔
Fabrizio Romano@FabrizioRomano

🚨 BREAKING: Ibrahima Konaté leaves Liverpool as free agent, decision made. After advanced talks to stay with fresh deal and confirmation from the player in April, Konaté leaves as no final agreement has been found. Negotiations over, as @TalkSport reports.

Indonesia
20
12
219
14.9K
clinton Stephen
clinton Stephen@Clinton75728311·
@samz__23 @BillyTronix1 CB 2 kivip wakati tayari kuna beki katoka rennes na yule alietoka parma na kule LB analudi yule alieko Roma anaungana na kerkez
Indonesia
0
0
0
28
Samz•
Samz•@samz__23·
@BillyTronix1 Kwahio kwa kifupi wanahitaji ata wachezaji nane, mana Striker pia wanahitaji mwingine sababu Ekitike ACL na Isak ni spana mkononi
Indonesia
1
0
0
46
Ramadhan Ali
Ramadhan Ali@MrFixitHaraka·
@Clinton75728311 @Jaguar_455 Ubalozi, kustaafu kisha akaishia kuwa mwananchi wa kawaida. Huyo kwa mwenendo wake wa mtu mpole sidhani kama hata anataka purukushani Sahivi anakula pensheni yake kimyakimya.
Indonesia
1
0
1
33
JAGUAR.
JAGUAR.@Jaguar_455·
Kwenye kumbukumbu zangu huyu atabaki kuwa IGP bora Tanzania. Nakumbuka alianzisha mifumo ya kistaarabu kama ulinzi shirikishi, polisi jamii nk. Kipindi chake nakumbuka rais aliwahi kuita wapinzani ikulu kujadili mustakabali wa taifa. Mzee alikuwa smart na MWEMA.
JAGUAR. tweet media
Indonesia
31
29
477
39.6K
clinton Stephen
clinton Stephen@Clinton75728311·
@Malengo25 Awa ndio wanafanya kina Allan okello ndugu zake waidharau ligi yetu
Indonesia
0
0
0
85
MALENGOO
MALENGOO@Malengo25·
Suleiman mwalimu kum tetra no ngumu sana Yani yeye ndo Teka pekee aliebaki Simba sports club lakini bado hachezi🤣🤣🤣 kwenye kikosi cha kwanza.
MALENGOO tweet media
Filipino
5
7
80
2.4K
mtusafi
mtusafi@VictorTumain·
@Mkadimbajnr Hii Tim ndo icheze Afcon 2027 wakina mudathir wakae nyumban
Indonesia
2
0
0
553
mkadimba jnr
mkadimba jnr@Mkadimbajnr·
Tuna timu sana Nimependa sana hii timu inavyocheza na nina confidence ya kushinda AFCON Kuna Yule middle jezi namba 8🙌🙌 Yule dogo akipata timu inayojielewa mapema huko nje wallah dogo atafika mbali Pia nimemuona Luqmam,Mbegeledi na Athanas ni wachezaji haswaa kwa umri wao Naipenda hii timu
mkadimba jnr tweet media
Indonesia
8
6
194
6.3K
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Kivukoni-Mwenge mida hii nawai kijiweni kwa nguvu ya @twenderide Madereva wa App ya Twende wana furaha muda wote itakua wanavuta commission kubwa😂
SANUKAnaCHAPO tweet media
Indonesia
6
17
88
6.4K
EBughaliza
EBughaliza@Bughalizah·
@MichaRama @Clinton75728311 @rollymsouth Daah sikuelewi mkuu sijajua hoja yako inasimamia wapi Mi nadhani lingo ni kujenga kwaio wakati tunajenga kumbe kuna watu wanabomoa huku wakijifanya wanajenga nasi sio sawa Na ndio tunatakiwa kuwajua Usipoelewa na hapo basi tukaushe tu
Indonesia
2
0
1
62
Madenge
Madenge@rollymsouth·
Kama kuna mwana harakati yeyote anajihsi ni jeuri kwangu, mwambieni aande space me ntaongea kila kitu hadi makosa yangu...Hii dhambi sitaki kufa nayo, akitokea nambieni.
Indonesia
292
100
959
295.2K
abracadabra
abracadabra@abracadabrd4·
@Mwinshehe07 Kaka siasa za bongo hasa za upinzani nchi hii nyingi ni kiini macho najua hatuwezi kukubaliana leo ila kuna siku tutaelewana unadhani kwanini wakati wa maandamano mpaka @MariaSTsehai alikua anapost mpaka video fake unadhani leng lilikua ni nini ?🤣
Indonesia
2
0
1
369
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Madenge kwanini muda wote ulikuwa haujawahi kuongelea Ford Foundation halafu baada tu ya matukio ya Oct 29 ukaamua kutweet? Yaani kwenye kipindi ambacho taifa lilikuwa kwenye maumivu makubwa ya watu kuwawa, kupotea, kujeruhiwa kwa risasi na familia nyingi kulilia na kutafuta ndugu zao? Ulikuwa unasaidia kutoa taarifa au ulikuwa unatafuta ku-create narrative kwamba kila aliyekuwa analalamikia haki analipwa? Timing ya hiyo tweet yako inaonekana wazi kabisa ulikuwa unatumika kisenge kupotosha mjadala wa maumivu ya Watanzania. Na hiyo itakaa hivyo kwa huo upumbavu ulifanya🚮
Madenge@rollymsouth

Nieleze nimeshiriki vipi?kwa kifupi,maana mimi sio msomaji

Indonesia
28
58
362
29.3K
EBughaliza
EBughaliza@Bughalizah·
@rollymsouth Hapa kiume sana mzee wa ford lazima kuna namna wakikimbia na hii basi na wao wanahusika
Filipino
2
0
8
7.6K
Balyx
Balyx@Balyx_·
@MsinguziEthan @anuskills3 Barcelona ishafikia 1v1 rule master Inaweza msajili yeyote. Barcelona haijawahi kukosa hela. Barcelona alikosea kubalance mahesabu enzi za akina Phillipe
Indonesia
3
0
2
118
Rakeem
Rakeem@Rakeem0101·
@ThomzJoseph Rashid kacheza vizuri sana msimu huu labda ana nuksi tu
Indonesia
1
0
1
236
hussein
hussein@hecenmo·
Emma Mwanengo currently is better option than Dube. Trust the boy @YoungAfricansSC
English
5
0
16
721