Sabitlenmiş Tweet
Lovely Husband
818 posts


@Innocen89950594 @Maestrowafact aliyekuomba ushauri ni nani....
हिन्दी

@DEADLIEST_BMA @Maestrowafact Wewe Umewahi Kuongea Nini?
Indonesia

@Innocen89950594 @Maestrowafact sio lazima uongee kausha... acha watu wa heal kwa namna wanavyojua wenyewe...
Indonesia

@Maestrowafact Hao Watu Nao Ni WASENGE Hawana Akili Yaani Unamtukana Mzito Wa Tume Halafu Upo Nchini Ilihali Wanaopost Namba Za Wazito Hawapo Nchini Kwanini Usijiongeze? Mtu Hayupo Nchini Anatengeneza Picha Yakumdhallisha Mzito Nawewe Unakoment Ukifurahia Wengine Mnaishea Kunyea Ndoo Sio Mchezo
Filipino

@DEADLIEST_BMA @amrisaly Shida ni unauwezo mdogo wa kufikiri na kuelewa mambo
Indonesia

kwanini umemute asimtaje broker TAPELI @amrisaly The guy alikua willing kabisa kutaja....
Indonesia

@ElevenIsNumber @amrisaly hujui kujenga hoja... umekaa kichawa chawa tu
Suomi

Tuambie kwenye comment swali gani umetamani lingeulizwa kwenye episode ya kwanza ya let’s impact millions podcast lakini halijaulizwa,
Ps: Tunashukuru sana, tumepokea pongezi na feedback kubwa sana,
Hiyo ina maana isiyo ya kawaida kwetu, hatuichukulii kirahisi rahisi, ni kitu kikubwa sana
We highligh appreciate for your trust and support kwenye hii safari ya ku-impact millions kupitia maarifa ya biashara, sensitive information na experience,
Tunaku-promise ku-rise standards and bars high and high kila siku ili kukupa experience iliyo bora zaidi na values beyond your imagination,
Na katika process hii ya kuandika-rise bars and standards tunaomba tuchane ukweli
- vitu gani tumevifany vizuri,
- vitu gani tumevifanya vibaya,
- vitu gani we tunatakiwa ku-improve,
Feedback yako ina nafasi kubwa sana kwenye safari hii ya kuendelea kujenga podcast ambayo ni masterclass for generations and generations,
Our mission is to impact millions

Filipino

@Falcon_astra @amrisaly kumchafua ni pale ambapo kasingiziwa ila apo kalamba 25k ni sawa na 65mil sio hela ndogo hakuna kesi apo labda kama ile podcast katumia kujisafisha na wizi aliofanya kipindi hicho
Filipino

@DEADLIEST_BMA @amrisaly Ni bonge moja ya kesi umchafulie mtu biashara yake
Indonesia

@ElevenIsNumber @amrisaly tunazungumzia kusaidia vijana na scaming broker sio wananchi na serikali
Suomi

@DEADLIEST_BMA @amrisaly Huju ubadhirifu uliopo kwenye report ya CAG? mbona huchukui hatua unaogopa nini?
Indonesia

@ElevenIsNumber @amrisaly aliyepokea pesa kakiri ni kweli pesa alichukua $25k unamuogopaje aliyezitumia?? au hii ni project yakujisafisha??
Indonesia

@DEADLIEST_BMA @amrisaly Mwenye ushaidi ni nani anayehojiwa au anayehoji? Watu hawataki kuingia kwenye kesi ambayo haiwahusu
Alafu sio lazima kila vita upigane hatakama unaushaidi --- >FANYA JAMBO SAHIHI KWA WAKATI SAHIHI
Indonesia

@ElevenIsNumber @amrisaly what if uyo broker na wewe unamtumia then akaja kukufelisha uko mbelee..... "letsimpactmillions" unajua maana yake??
Indonesia

@ElevenIsNumber @amrisaly ushaidi si upo mkali $ 25K sio hela ndogo
Filipino

@DEADLIEST_BMA @amrisaly Hapo walichokwepa ni usumbufu wa kwenda mahakamani maana broker anaweza shitaki kachafuliwa (huo usumbufu wa mpaka kesi ije kuisha washinde au washindwe ndio wameukwepa)
Indonesia

Podcast ilikuwa nzuri Magnetics aliweka wazi,kwanini mlimute brokerage isitajwe??Itakuwaje kama kuna traders wana account kwenye hiyo brokerage saizi vipi kama ikajirudia wakapoteza pesa zao??
AMRI IFX@amrisaly
“An underrated sign of intelligence is your ability to learn from people you may dislike or disagree with, and to hold two truths in your head at the same time: that someone can be flawed and still have done something worth studying”
Filipino














