Sabitlenmiş Tweet
Eleven
6.2K posts


#TajiriLakihaya
Jana tulikua tunakumbushana tu ili tuwe Sawa!
Sasa VIJANA Naomba tujadili issue kamili- najua wengi mnaogopa kujadili hii mada Kwa kuogopa matusi na hata usipate support yoyote… Ila lazima tulijadili hili Kwa maslahi mapana ya Sisi vijana na kizazi chetu cha kesho…
Kuzidi kufunguliwa kwa Betting Companies kila uchao na hata hii ya juzi ilioleta kelele humu si hatua ya maendeleo,
ni kengele ya hatari kwa kizazi chetu vijana.
Kamari haitujengei vijana uwezo, haitupi ujuzi, wala haitengenezi thamani kwenye uchumi.
Inauza ndoto ya ushindi wa haraka, lakini ukweli wake ni mzunguko wa hasara, madeni, utegemezi na kuvunjika kwa maisha.
Tunaambiwa ni ‘AJIRA’, lakini ni ajira ya aina gani inayotegemea watu wengi kupoteza pesa zao ili wachache wanufaike?
Huu si uchumi jumuishi,ni mfumo unaonufaisha kampuni huku ukiwaacha vijana wakizama kwenye hasara.
Na ndio maana kampuni za kamari kila siku zinaongezeka lakini vijana BADO tupo kwenye umasikini ule ule Miaka nenda Miaka Rudi💔
Athari zake zipo wazi; Madeni yanayokua kimya kimya,Msongo wa mawazo na hata uraibu wa kamari, Kupotea kwa muda na nguvu ambazo zingetumika kujenga maisha,Kupungua kwa tija kwa vijana waliopaswa kuwa nguvu kazi ya taifa nk.
Serikali haiwezi kusema inajali vijana huku ikiendeleza mazingira yanayowasukuma kwenye utegemezi wa BAHATI badala ya juhudi na ubunifu.
Hii si sera ya maendeleo, ni kuruhusu kizazi kipotee polepole.
Vijana tuamke. Hakuna ‘shortcut’ ya mafanikio kwenye kamari.
Waliopo juu ni wachache wanaotumika kama matangazo,lakini maelfu wako chini wakipoteza.
KAMARI sio ajira, ni mtego unaowalenga vijana moja kwa moja.
Tunauziwa ndoto za ushindi wa haraka, lakini uhalisia ni madeni, utegemezi, msongo wa mawazo na kupoteza kabisa mwelekeo wa maisha.
Serikali haiwezi kwa mkono mmoja kuzungumzia kuwawezesha vijana, halafu kwa mkono mwingine kufungua milango ya kamari inayowapumbaza na kuwavuta kwenye utegemezi wa bahati.
Hii si sera ya maendeleo,ni kulea utegemezi.
Vijana tuamke. Hakuna utajiri wa mkato kwenye kamari!
waliowanufaika ni wachache sana, na wengi wanabaki na hasara, maumivu na muda uliopotea.
Taifa haliwezi kujengwa kwa tiketi za bahati nasibu. Tunahitaji ajira halisi, elimu bora na fursa za uzalishaji,sio kamari.
Tunahitaji uwekezaji kwenye elimu ya vitendo, ujasiriamali, viwanda na teknolojia,not betting.
Taifa haliwezi kujengwa kwa kubeti,linajengwa kwa kuzalisha💯💯
Serikali ifikirie upya,hatuwezi kujenga taifa kwa kuwapa vijana ndoto za mkato zisizo na kesho💯💯
Serikali haipaswi kulea kizazi kwa bahati nasibu badala ya fursa halisi. Vijana tuamke,hii si njia ya mafanikio💯💯
Indonesia

@Sativa255 Watu wanamlaumu taivina kushirikiana na Mwanachama wa CCM ila wao kupanda Abood, Shabiby, kusupport biashara za Wawekezaji wengi wa Yanga na Simba ambao ni Wanachama wa CCM wanaona sawa😂
Indonesia

Nimesema TAIVINA ana njaa kweli ila sio njaa ya Hela naona mnapiga kelele.
Kijana wangu KESI ya milioni 100 humfungi naona mnapiga kelele.
Sasa Hiyo Binance USDT 10K ni pesa za kula tuu na kusumbulia mjini-kesi ya MILIONI 100 Unamfunga?
Kuhusu huo ujenzi ni sehemu ndogo ya MENGI makubwa.
Tuoneni tuna njaa ila sio ya pesa.




Indonesia

@DEADLIEST_BMA @amrisaly Shida ni unauwezo mdogo wa kufikiri na kuelewa mambo
Indonesia

@ElevenIsNumber @amrisaly hujui kujenga hoja... umekaa kichawa chawa tu
Suomi

kwanini umemute asimtaje broker TAPELI @amrisaly The guy alikua willing kabisa kutaja....
Indonesia

@ElevenIsNumber @amrisaly tunazungumzia kusaidia vijana na scaming broker sio wananchi na serikali
Suomi

@DEADLIEST_BMA @amrisaly Huju ubadhirifu uliopo kwenye report ya CAG? mbona huchukui hatua unaogopa nini?
Indonesia

@ElevenIsNumber @amrisaly aliyepokea pesa kakiri ni kweli pesa alichukua $25k unamuogopaje aliyezitumia?? au hii ni project yakujisafisha??
Indonesia

@DEADLIEST_BMA @amrisaly Chukua report ya CAG taasisi zote zilizopewa hati chafu kazifungulie kesi Maakamani ili wasiendelee kufanya ubadhirifu
Ukishindwa hili ndio utajua unaweza fanya jambo sahihi ila kwa wakati ambao sio sahihi ukaishia kuumia bila kuwa na mafanikio
DO RIGHT THINK AT A RIGHT TIME✅
Filipino

@ElevenIsNumber @amrisaly what if uyo broker na wewe unamtumia then akaja kukufelisha uko mbelee..... "letsimpactmillions" unajua maana yake??
Indonesia

@DEADLIEST_BMA @amrisaly Mwenye ushaidi ni nani anayehojiwa au anayehoji? Watu hawataki kuingia kwenye kesi ambayo haiwahusu
Alafu sio lazima kila vita upigane hatakama unaushaidi --- >FANYA JAMBO SAHIHI KWA WAKATI SAHIHI
Indonesia

@ElevenIsNumber @amrisaly ushaidi si upo mkali $ 25K sio hela ndogo
Filipino
Eleven retweetledi

Sijui kuhusu ishu za forex lakini nimesikiliza jamaa nikajifunza yafuatayo kutoka kwake;
1. Amekuwa honest na vulnerable ku-share story yake, kitu ambacho ni ngumu sana kwa watu wengi.
2. Amekuwa muwazi kuwa, "Strategy" ni mchakato ambao ukirudia utapata MATOKEO yale yale au yanayokaribiana. Vinginevyo itakuwa ni gambling, au kubahatisha.
→ Amekiri wazi kuwa Video yake aliyoweka YouTube ya kutengeneza dola 4,000 ndani ya wiki 2 kwa kutumia 200 ilikuwa ni misconception na kubahatisha. Kwa sababu probability ya kufanikiwa kwa kufanya hivyo ni 1% out 100%.
3. Kukubali pale unapofeli au unaposhindwa. Ni ngumu lakini, that is the only way.
4. Kuishi flashy life ili kuaminisha watu kuwa umetoboa. MG anasema hicho ni kitu ambacho kimemgarimu sana. Epuka, na kuwa honest.
5. Kutengeneza pesa ni kitu kimoja na kuwa na hekima ya kumanage hela ni kitu kingine.
6. Jifunze ku-balance risk to reward ratio. Siyo katika trading tu. Hata katika biashara au uwekezaji wa kawaida. Kwa ni KUTOBOA ipo katika ya hofu (fear) na tamaa (greed).
7. Kuitwa mtaalam na tapeli ni kama pande mbili za shilingi hasa kwenye ishu ya hela.
8. Siku zote kuna yule rafiki mmoja ambaye atakuelewa na kuwa a shoulder to cry ukipatwa na majanga.
9. Ili kuwa mbele, unahitaji uwe kwanza kupiga hatua ambayo wengi huogopa. Ukiteleza utachekwa, ukitoboa utafuatwa.
10. Zaidi ya yote, nimejifunza mengi hasa kuhusu udhubutu na risk taking kwa jamaa. Na amekuwa honest kuwa, kwa vijana wanaojitafuta usiache shule, chonga nji ukiwa chuoni bado, uku unapambana pia.
11. Mwisho, maisha ni safari. Kusimama na kuanguka. Kushinda na kufeli. Tunaishi au kufanya jambo siyo kuepuka makosa au kufeli, bali kupunguza risk na rate ya kurudia makosa yale yale tena.
Nimejifunza hayo machache kati ya mengi.
Indonesia
Eleven retweetledi

Hii podcast regardless wewe ni nani na unafanya nini,
ukiiangalia utajifunza vitu vikubwa sana, vitu ambavyo huwezi kujifunza sehemu nyingine yoyote
👇👇
youtu.be/mfS89sh1EZA?si…

YouTube
Eesti
Eleven retweetledi

Kupoteza B1.7 na kuanza sifuri sio mchezo unaeza ata ukajinyonga usipokuwa makinii ....!!
hiii episod imenifunza you can go from 100-0 in seconds
👇👇👇👇🙏👇👇
youtu.be/mfS89sh1EZA?si…

YouTube
Filipino
Eleven retweetledi

Sema wabongo tunakuwaga wajuaji sana. Mtu hujaenda kusikiliza podcast UNAKUWAJE NA MAONI NEGATIVE YA KUTOA??
Maana leo humu kumejaa Kejeli na Ujuaji, ila ukisoma coments unagundua kuwa hawajaenda kusikiliza. Utaona tu wanaandika "Hapo wanatafutwa watu wapigwe hela", "Matapeli hawa", "Hiyo hela ningetengeneza nisingekaa Bongo".
Ndio maana Sirjeff alikuwa anatweet kuanzia morning mpaka night kuwa watu wana IQ za Mende...
Shule aliyotoa mwana kwenye zile 2Hrs podcast huwezi ipata Chuo kikuu, ila watu wameigeuza kuwa Mradi wa Lawama kwa kusikiliza clips. MIYEYUSHO!
Indonesia
Eleven retweetledi

@cr_xniper "100k to 1M ni nearly to impossible" somo muhimu sana kwa traders wote kuhusu risk Management & trading psychology 📌
English

🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄
Ushawahi kujiuliza ni kwanini hakuna kiongozi wa Iran 🇮🇷 anayevaa tai ?
Na kamwe hutomuona kiongozi yeyote wa Iran 🇮🇷 akivaa tai hata kama amevaa suti !!!
Unajua ni kwanini? 👇👇
Katika utamaduni wa Iran, tai huonekana kama ishara ya ushawishi wa kimagharibi na ukosefu wa uaminifu.
Hata siku moja, hutomuona kamwe kiongozi wa Iran anavaa suti huku amefunga tai.
Hivyo kwa kiongozi wa Iran kuonekana bila ya kuvaa tai ni ishara ya heshima kwa watu wa Iran.
#MeaMswahiliUPDATES

हिन्दी

@CodeMetalai @meamswahili Issue ni kwamba tumeaminishwa kwamba vya kwetu havitufai so tumeamua kufata tamaduni za kimagharibi
Indonesia

@croto_ @Conspiracist_1 Chaajabu mnasoma vitu ambavyo vipo tayari
Na formation za kila kitu mnachosoma zinatokana na vitu ambayo tayari vipo
Sasa Creation of God haianzi kwenye anykind of raw material yenyewe inaanza from nothing to something
Indonesia

@Conspiracist_1 Hiyo concept inasaidia kuelewa element zote za periodic table na formation za minerals kwenye hii universe
Română

@dumelambegu_OG @Conspiracist_1 Unaziona with naked eyes? formation ya dunia ilitokeaje tokeaje? usisahau kutoa maelezo ya Jua maana bila jua duniani hakuna kiumbe kinasurvive
Indonesia

@Conspiracist_1 Big bang is a fact .. hiyo ya uumbaji ni hadithi za kijinga... we can actually observe formation of stars and planets in stellar nursery sasa huyo mungu mbona hatumuoni akiumba hizo nyota
Filipino

@dreamer130401 @Conspiracist_1 Naomba hayo maelfu ya ushahidi wa BIG BANG THEORY
Filipino

@Conspiracist_1 Hapo may be creation ndo inahtaji imani yako kwa sababu haina ushahidi wowote ila big bang theory wala haihitaji imani yako ni maelfu ua evidence hata usipoamini haisaidii ni sawa na useme huamini kama malaria kweli ipo haibadilishi chochote kwa sababu malaria haina haja na imani
Filipino





