𝗠𝗲𝘀𝗵𝗮𝗰𝗸 𝗗𝗮𝗻𝗱𝗮

39.9K posts

𝗠𝗲𝘀𝗵𝗮𝗰𝗸 𝗗𝗮𝗻𝗱𝗮 banner
𝗠𝗲𝘀𝗵𝗮𝗰𝗸 𝗗𝗮𝗻𝗱𝗮

𝗠𝗲𝘀𝗵𝗮𝗰𝗸 𝗗𝗮𝗻𝗱𝗮

@Danda1410

| Project Management | Auctioneer | PR & Marketing | Communication | Entrepreneur #VERSATILE

Katılım Mayıs 2013
5.3K Takip Edilen3.5K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
𝗠𝗲𝘀𝗵𝗮𝗰𝗸 𝗗𝗮𝗻𝗱𝗮
Vitu vingi tunavyovifanya, tunavifanya kwa sababu tuko very limited katika options zetu Tunafanya vile vitu vilivyo ndani ya bajeti zetu lakini siyo kwamba tunavipenda Siku tukiwa na pesa, tutagundua kuna vitu vingi vizuri zaidi tunavyohitaji, na tutaanza kuvifanya / kuvinunua
Indonesia
3
5
23
0
𝗠𝗲𝘀𝗵𝗮𝗰𝗸 𝗗𝗮𝗻𝗱𝗮 retweetledi
KINCAID💰
KINCAID💰@AmourGingi·
Haya maisha hayahitaji mtu mnyonge,kwa chochote unachopitia usikae kizembe kaza mpaka kieleweke 💪😎
Indonesia
2
16
46
532
𝗠𝗲𝘀𝗵𝗮𝗰𝗸 𝗗𝗮𝗻𝗱𝗮 retweetledi
Man Like Sule™
Man Like Sule™@Maichagange·
Mkumbushe mwanao kuwa Furaha ya kweli katika maisha ni pale tu anapokuwa na Amani ya Moyo bila kujali hali ya maisha aliyonayo...🦍
Filipino
1
21
46
504
𝗠𝗲𝘀𝗵𝗮𝗰𝗸 𝗗𝗮𝗻𝗱𝗮 retweetledi
Christian Bwaya
Christian Bwaya@bwaya·
Uwezo wa kumfanya binadamu mwenzio akajisikia kuheshimika, kuonekana, kusikika na kueleweka unaweza kukufungulia milango mingi usiyoitegemea.
Indonesia
1
47
134
1.7K
𝗠𝗲𝘀𝗵𝗮𝗰𝗸 𝗗𝗮𝗻𝗱𝗮 retweetledi
Man Like Sule™
Man Like Sule™@Maichagange·
Mkumbushe mwanao kuwa kuna maamuzi ili yamletee Faida lazima yamuumize kwanza...🦍
Indonesia
1
11
29
374
𝗠𝗲𝘀𝗵𝗮𝗰𝗸 𝗗𝗮𝗻𝗱𝗮 retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Ukiendekeza stress unaweza ukajikuta na 5 unproductive days ina a week,
Indonesia
12
53
484
12.3K
𝗠𝗲𝘀𝗵𝗮𝗰𝗸 𝗗𝗮𝗻𝗱𝗮 retweetledi
JIGA📌📌
JIGA📌📌@EddyAman5·
Bora upoteze mtu kuliko kupoteza heshima Utu na Utulivu wako wa Moyo📌
0
13
50
527
𝗠𝗲𝘀𝗵𝗮𝗰𝗸 𝗗𝗮𝗻𝗱𝗮 retweetledi
Placide Trevor🇧🇮
Placide Trevor🇧🇮@PlacideTrevor·
Kila mtu anaweza kuanza safari ya mafanikio lakini si kila mtu anaweza kudumu nayo📌📌
Indonesia
12
37
75
946
𝗠𝗲𝘀𝗵𝗮𝗰𝗸 𝗗𝗮𝗻𝗱𝗮 retweetledi
~BINGWA⚡
~BINGWA⚡@BingwaIK·
Akionyesha upendo kwako usidhani kakosa pakwenda ukaanza kiburi
Indonesia
1
16
47
802
𝗠𝗲𝘀𝗵𝗮𝗰𝗸 𝗗𝗮𝗻𝗱𝗮 retweetledi
NYANI MZEE
NYANI MZEE@jwise017·
Ukiwa MJINGA watu watatumia ujinga wako kujinufaisha. Ukiwa MWEREVU watu watatumia werevu wako kuhakikisha wanakutumia kufanikisha mipango yao. Tofauti ni kwamba ukiwa mwerevu na mupango yako nayo itafanikiwa.
Filipino
0
31
87
3.8K
𝗠𝗲𝘀𝗵𝗮𝗰𝗸 𝗗𝗮𝗻𝗱𝗮 retweetledi
Dr.Shirima (MchaggaElite🩺)
Dr.Shirima (MchaggaElite🩺)@Dr_ShirimaElite·
Siku ukifeli ndio utajua kuna wengi walikua wanakufatilia🥹.
Indonesia
22
57
181
4.4K
𝗠𝗲𝘀𝗵𝗮𝗰𝗸 𝗗𝗮𝗻𝗱𝗮 retweetledi
Dr SALUMU
Dr SALUMU@Dr_salumu·
Maisha ni zaidi ya kutafuta hela ya kula Hii ndio hekima niliyofundishwa na mtaa
Filipino
2
12
39
650
𝗠𝗲𝘀𝗵𝗮𝗰𝗸 𝗗𝗮𝗻𝗱𝗮 retweetledi
NYANI MZEE
NYANI MZEE@jwise017·
Dunia hii mtu pekee ambaye unaweza kumuamini kwa 100% ni WEWE MWENYEWE.
Indonesia
3
34
122
2.6K
𝗠𝗲𝘀𝗵𝗮𝗰𝗸 𝗗𝗮𝗻𝗱𝗮 retweetledi
Dr SALUMU
Dr SALUMU@Dr_salumu·
MWANAUME anaweza kufukuzwa kazi, akaishi na madeni,akapata hasara ya biashara, akakataliwa na awapendao. Na bado atasema kwa kujiamini KILA KITU KITAKUWA SAWA .
Indonesia
3
23
93
1.3K
𝗠𝗲𝘀𝗵𝗮𝗰𝗸 𝗗𝗮𝗻𝗱𝗮 retweetledi
Pablo
Pablo@MoruoKing·
"Kama hauwezi kumuongelea rafiki yako vitu vizuri,usiongee chochote"
Suomi
2
19
43
3K
𝗠𝗲𝘀𝗵𝗮𝗰𝗸 𝗗𝗮𝗻𝗱𝗮 retweetledi
JIGA📌📌
JIGA📌📌@EddyAman5·
Usiyachukulie Maisha Serious sana kufanya kwako hivyo Utapatwa na Msongo wa Mawazo📌
Filipino
0
7
22
343
𝗠𝗲𝘀𝗵𝗮𝗰𝗸 𝗗𝗮𝗻𝗱𝗮 retweetledi
izzo Bizness MINDSET
izzo Bizness MINDSET@Izzo_bizness·
Wakati Mwingine MAISHA Yanakuvunja-Vunja Kwanza Kabla Hayajakujenga Vizuri 💪🏿
Suomi
0
8
25
520
𝗠𝗲𝘀𝗵𝗮𝗰𝗸 𝗗𝗮𝗻𝗱𝗮 retweetledi
Aruatani✨
Aruatani✨@Aruatani·
Hakikisha unampata Mtu mmoja tu atakaye kuvumilia na kutokukata tamaa juu yako. Good Morning 🌅
Suomi
19
44
69
868
𝗠𝗲𝘀𝗵𝗮𝗰𝗸 𝗗𝗮𝗻𝗱𝗮 retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Being too nice haijawahi kulipa mtu
Filipino
49
190
1.1K
30.2K
𝗠𝗲𝘀𝗵𝗮𝗰𝗸 𝗗𝗮𝗻𝗱𝗮 retweetledi
THE MESHA
THE MESHA@The_mesha24·
Usipoielewa psychology ya pesa, huwezi kuitawala pesa. Na hili halihusiani na elimu, ni swala la attitude na behavior zako.
Filipino
2
18
105
2.2K
𝗠𝗲𝘀𝗵𝗮𝗰𝗸 𝗗𝗮𝗻𝗱𝗮 retweetledi
JIGA📌📌
JIGA📌📌@EddyAman5·
Broo Ukiingia kwenye ndoa katika kazi Utakayo feli ni kutaka kumuelewa Mke wako📌
Indonesia
2
7
34
501