Dicksone John
806 posts

Dicksone John
@john_dicksone
BUSINESS MAN... NGOSHA ... Hustler, 🇹🇿. Azam FC ,
Katılım Temmuz 2019
3.9K Takip Edilen953 Takipçiler

@Royal_Tv_Tz Jasusi @YerickoNyerereT yeye anasemaje kuhusu huo mfukuto
Eesti

VIDEO:
Imeelezwa kuwa waliokuwa makada wa CHADEMA ambao walikihama chama hicho kwa nyakati tofauti na kutimikia kwenye vyama vingine vya siasa kama vile CCM na CHAUMMA, wengi wao wako mbioni kurejea ndani ya CHADEMA, na kwamba chama hicho 'kikuu' cha upinzani nchini kijiandae kuwapokea
Hayo yamebainishwa na Patrick Assenga, wakati akitangaza kuhama CHAUMMA na kurejea CHADEMA, ambapo amegusia pia hatua iliyotangazwa siku za karibuni na Mchungaji Peter Msigwa ambaye naye amerejea CHADEMA kutoka CCM alikokuwa awali
Amesema anayo taarifa za uhakika 'hasa kutoka ndani ya CHAUMMA' ya kwamba viongozi na makada wake wengi waliokuwa wametimkia kwenye chama hicho kutoka CHADEMA wanataka kurejea 'nyumbani' kutokana na kwamba wanajuta maamuzi waliyokuwa wameyachukua.
Indonesia

@TitoMagoti Hatuwezi pata quality tshirts na hii logo @ze_mandevu
Polski

@IAMartin_ Naona Arusha awajavunja rekodi ya Kahama ,No ?
Indonesia

Viwanja vya RELINI, ARUSHA MJINI. CHADEMA tumekusanya kiasi cha TZS 2,815,000. Hadi sasa ARUSHA imevunja rekodi ya #ToneTone tangu kuanza kwa oparesheni #KatibaMpya #FreeTunduLissu. MSAJILI USITUTISHE. Huwezi kamwe kutupangia namna gani tushughulike na MaCCM. Wananchi ndiyo wataendesha CHADEMA kwa fedha zao. Angusha TONE lako kupitia 0744 44 69 69; Jina - CHADEMA HQ. #PeoplesPower. 👊🏾
Indonesia

@NamdiAzikiwe Kesho sister @NamdiAzikiwe leo ni geita mjini .
Indonesia

@RabinBoniface76 @Elsukay0 Sasa wewe kwa akili yako unaona yanga kuna wanasheria pale ? Kila siku kesi za fifa na caf haziishi na hajawahi kushinda kesi yoyote
Indonesia

@PoliceKE Some times mambo ya ushindani wa kibiashara @kidiaone_expres wanatakiwa kuwa makini sana na managment yao pamoja na aina ya wafanyakazi wao . Ikiwezekana buses zifungwe servillance camera waache mazoea
Filipino

Snake Smuggling Bust at Namanga
A 13-foot python has been intercepted at the Namanga One Stop Border Post, hidden inside a box disguised as spare parts.
The reptile was discovered by hawk eyed officers during a routine search on a Dar es Salaam–Nairobi bus.
The bus crew are currently in custody as investigations continue.
Wildlife crime? Not on our watch.




English

@Adventure_36 Kaka tulia kwanza 70k ? Tumia logic ya kawaida tu , gari za tax mtandao % kubwa ni mbovu na chakavu , wengi wanatembelea spare tairi , kumwaga oil tu ni ugomvi , kila siku wanasumbuana na matajiri kwa kushindwa mikataba ..
Filipino

Kama ambavyo chama kilisema kitajadili taarifa ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa juu ya hatma ya Katibu Mkuu, Manaibu wake na Wajumbe wa Kamati Kuu, hatimaye leo Chama Kikubwa cha Upinzani nchini, Chadema, chini ya Makamu Mwenyekiti @HecheJohn kitatoka na Maamuzi.
Indonesia

@BrendaRupia Nikimuangalia Brenda nasahau machungu yote wanayopitia wapinzani naanza kumtamani yeye.Duh!! N...ge mbaya sana aisee.
Indonesia

I will not be intimidated. I will not be silenced. My voice will be heard, and my vision will be realized.
I was born once, and I will die once. There is no dress rehearsal for life—everything I do, I do with intention. No one is coming to save us. You are the change you seek.
This country is ours. Lets all be ready to be counted among those who stood up, who fought to make our nation great again.
#strongertogether
#NoReformsNoElection
#FreeLissu

English

@Advocate_Jebra Na akihitaji kisima chake kitumie mfumo wa solar atucheki tunazo hadi pampu za solar na control boz zake ... 0719943626
Slovenščina

@HenryKilewo Hamtaki dharau wewe na nani ? Uchawa umekuja kuwa janga kwa taifa
Indonesia

Kwamba ??? Nipo makini ndiyo maana sitaki Dharau na dhiaka, Bro acha ego, relevance yako haiwezi kuwa sehemu ya kuumiza watu, kutunga uongo na hila, Kwamba nimekuambia mambo, yes, Kwanini nisikuambie kwani vinahusiana na nini na Uchaguzi. Umekuwaje bro? Fikiri tena vizuri, huenda ukaona umeteleza then utaachana na hizi dharau zako. HATUTAKI DHARAU, MWACHENI MWAMBA APUMZIKE. TUNAJUANA VIZURI.
Indonesia

@OleMtetezi Leo saa 12 jion hadi saa 3 usiku atakuwa na kikeke stay tuned
Filipino

@thomasjkibwana Kuna watu mnapenda kufukua makaburi sana 😂😂😂
Indonesia

Tuachane na hili kwanza Mangi. Ile milioni 10 uliomuahidi Lema kama Lissu angeshinda ushamlipa? Maana unaongea kwa amani utadhani hauna deni Januari hii😁.
Patrick J Assenga@PatrickJAssenga
CCM tuliwapa likizo ya muda mrefu sana. Sasa Jiandaeni maana kazi ya kujipanga ndani ya chama chetu, tayari imekamilika. Tumeendesha uchaguzi wa viwango na unaokubalika dunia nzima. Hongera sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh @TunduALissu. #StrongerTogether
Indonesia





















