Desmond R Kavishe

12K posts

Desmond R Kavishe banner
Desmond R Kavishe

Desmond R Kavishe

@Desikavishe

Trust in the Lord and do good. Then you will live in the land and enjoy its food. - Psalm 37:3

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Kasım 2011
1.7K Takip Edilen655 Takipçiler
Shababi a true leader
Shababi a true leader@blazadadee1·
Wakuu kwahiyo Jeans oG huwa zinapatikana kwa bei gani na wapi??
Filipino
44
36
359
30.2K
Kaka yake na Mchumi Mrembo
@Adventure_36 Hata unywe pombe Bohari zima la serengeti kama Mungu ajataka huwez kupata maradhi yeyote yale Kwani kuumwa ni Ibada na sisi binadamu hatuwezi kukwepa maradhi bila ridhaa yakwake M/Mungu
Indonesia
12
1
24
3K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Ujumbe huu kutoka kwa DJ Choka
Adventure-360 tweet media
Indonesia
27
38
558
28.4K
Big_Nicky01✊️
Big_Nicky01✊️@Nicky__001·
Hivi hizi AC zinakuaga na outside unit kama zile zinazofungwa ukutani juu au hizi zinakua hivi hivi bila outside unit?🤔
Big_Nicky01✊️ tweet media
9
21
92
15.3K
Desmond R Kavishe
Desmond R Kavishe@Desikavishe·
@Nicky__001 @DullahTheking2 1. Inatumia umeme zaidi.. Portable AC nyingi zina ufanisi mdogo wa matumizi ya umeme kuliko AC za ukutani au split AC, hivyo zinaweza kuongeza bili ya umeme. 2. Kelele nyingi. Compressor na feni ziko ndani ya kifaa kimoja, hivyo mara nyingi hutoa kelele ambazo zinaweza
Indonesia
0
0
0
13
Maverick 🇸🇴
Maverick 🇸🇴@Enemy_19·
Kuna maeneo ni ngumu sana mtu kuamini kwamba nako ni dar 😂😂
Maverick 🇸🇴 tweet media
Filipino
35
33
437
22.6K
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
Equatorial Guinea wapo Pungufu na wameifunga Timu ya Aziz K wa Yanga 😂
Indonesia
4
2
71
3.6K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Kitimoto cha kupikwa ukiagiza ONLINE kuna mawili. 1. Utawekewa MIFUPA ya kutosha. 2. Utawekewa VIKANDA (MAFUTA) ya kutosha. Labda uwe unajuana na muuzaji, ila mteja wa online (masista duu na mabraza meni) lazima UTOE NGOLO.
Indonesia
15
21
435
17.1K
Desmond R Kavishe
Desmond R Kavishe@Desikavishe·
@SB_Ladder Zipo za bongo ila vijiti vyake vibaya hata package yake. Havijakatwa kwa uwiano
हिन्दी
0
0
0
70
Small Business Elevator
Small Business Elevator@SB_Ladder·
Hii nayo inatengenezwa china? Ina maana imetushinda kutengeneza locally? 🥹🥹
Small Business Elevator tweet media
Filipino
39
21
225
9.8K
Desmond R Kavishe retweetledi
Sufyan Maan, M.Eng
Sufyan Maan, M.Eng@sufyanmaan·
Gmail has 1.8 billion users. However, 97% don’t use it effectively. Here are 10 Gmail hacks you should know:
Sufyan Maan, M.Eng tweet media
English
106
1K
4.1K
1.2M
SIR JEFF⚡🇹🇿
SIR JEFF⚡🇹🇿@Sirjeff_D·
Imagine, unasoma chekechea miaka miwili, Primary miaka 7, secondary miaka 6; kisha chuo unaenda kusomea ufugaji wa nyuki miaka mitatu... something you can literally learn on YouTube in 1 month. Some of you guys are RETARDED🤡
👽𝕄𝔹𝕎𝔸 𝕄ℤ𝔼𝔼@DenyTheDr

Filipino
55
46
563
32.6K
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
From a friend:👇🏽 “Kuna vibaka walivamia jirani Kinyerezi. Kuna police (mstafuu) akatoa taarifa police. Police wakaja. Vibaka walivyosikia gari wakasepa. Sasa majirani wakatoka wawasimilie police. Police wakaamuru walale chini. Wakawapiga watu wote 8 risasi wakafa.”😭😭😭
Filipino
69
356
1.7K
75.9K
Desmond R Kavishe retweetledi
Mwanaharakati
Mwanaharakati@MfiaNchi255·
GOOD MORNING WAKUU. Unahitaji bando la Mtandao Gani? Links ipo kwa bio apo itakuleta Whatsapp moja kwa moja, njoo uchukue Utaratibu!!🙏
Mwanaharakati tweet mediaMwanaharakati tweet mediaMwanaharakati tweet mediaMwanaharakati tweet media
Indonesia
26
29
39
2.1K
Desmond R Kavishe retweetledi
U D A - Official Fans Page.
U D A - Official Fans Page.@UDAPartyKe·
Let’s make Kenya greener again! This Mazingira Day 2025, we say Turudi Primo, back to the roots of caring for our planet. Join the movement and Donate Fruit Trees to empower communities and restore our environment. Together we plant. Together we grow. #MazingiraDayMission
U D A - Official Fans Page. tweet media
English
52
65
48
7.7K
Desmond R Kavishe
Desmond R Kavishe@Desikavishe·
@Erick_aleshasen @munyamambogo Sawa kuwa mwl piga mtoto wa mtu hivyo na mateke km ndio mwongozo unavyosema. Wengine tumepigwa fimbo nyingi sana ila Mwl lazima awe mlezi wa watoto
Filipino
1
0
1
15
Erik
Erik@Erick_aleshasen·
@Desikavishe @munyamambogo Fimbo 3 mtu anakufa hoja iko apa mbona wengine wamechapwa ikaisha tuache ayo mamb bhna Hatukatai kuna kufa lakin sio kwa fimbo 3
Indonesia
2
0
2
34
Desmond R Kavishe
Desmond R Kavishe@Desikavishe·
@SincerelyRahma_ Konyagi na Kvant ni maarufu sana ndio maana inanywewa sana na wengi wanaamini pombe nyeupe ni nzuri kuliko ya rangi.
Filipino
0
0
1
83