@Emeka3345 Only those with pathophysiological knowledge of diseases can prescribe. The one that knows exactly what is happening inside the patient with the said diagnosis
Li mtu halina bikira.
Unalipa heshima kwa ujinga wako kama mwanaume.
Unalioa vizuri pamoja na kwamba.
Limeshaliwa na mbong’o zinazojaa ndoo kubwa na sado.
Sasa.
In case of small arguments linaanza kukimbilia kwenda kwao.
Linasubiri utoke linakusanya vyake linaenda.
Njaa ikilipiga huko linaanza kuomba msamaha.
Au wewe kwa kuhurumia watoto unalibembeleza tena.
Linarudi na ma wivu.
Kila unachofanya linahisi una cheat maana ndio lenyewe linafanya ivo.
Basi haliendi kwao.
Mkikwazana na lenyewe linamiss ex wake linaliza kwa kuliwa uki kazini.
Au linatafuta jamaa anaelipa hela analikula wewe hamkunali ndani vizuri.
Heshima inapotea kabisa.
Haya manamake mengine sio ya kuvumilia.
@prossoff Mwanamke elimu yake kama mama mwisho form four zaidi ya hapo unajitafutia shida tu kama mwanaume. Shida ya mwanamke mwenye kipato anaamka asubuh anenda kazini anarudi amechoka na mwisho wa mwezi huoni mchango sasa si bora ijulikane moja kwamba you are the one and only breadwiner
Mwanangu mmoja civil servant kaoa manzi wa degree.
Mchumba hanyooshi nguo.
Msela anasema nguo zake anapenda anyooshe mwenyewe which is fine.
Mchumba hafui nguo, kuna mfuaji.
Kuna mtu wa usafi.
Manzi ana degree hana ajira.
Manzi mboga saba.
Sina akili wala mimi sio wa mjini.
Dar nilienda kwa msaada wa TCU ila.
Hapo raha ya hiyo ndoa siioni.
Ratiba ya K lazima itoke pia.
@Sirajitz1 Msiogope kununua magari vijana. Gari yoyote lazima iende gereji ndiyo maana ya liability.Gari ni kama pikipiki tu mtu atakuambia usinunue kinglion,usinunue honlg,usinunue boxer, usinunue sanlg nk lakin watu wanazo na wanatumia.Mazda, nissan,alphard nk zipo sana na wana wanause
Wakuu Kama umeshindwa kupungua kwa mazoezi nunua hizi gari.
1. Mazda CX5
2.Rumion
3. juke
4.Mercedes - Benz C class
5. Volkswagen Tiguan
6. Hyundai Tucson
7. Nissan Xtrail
8. Alphard model zote
Izo Gari Ukiwa Nazo Tembea Na Mwamvuli kwenye Buti , Mda Wowote unarudi gheto na Miguu 😂
Kuoa manzi ambae yupo 26+ na umemfahamu miezi 2-6 ni ujinga na ni wazi kwamba umeingia kwenye retirement plans zake.
Mimi ni bora nisioe kabisa kuliko kufanya ujinga kama huo.
Kama umeanza nae 3~4 years back basi hapo inaelezeka means kalikua 23 hatakama walipiga sana inakua afadhali.
Kwanza at 26 mikoani mademu wana watoto hata wawili na bado wapo kwao.
Be care bro.
@njiwapori_ Power-All power is based on deception.( Nguvu na mamlaka. Ukweli siku zote hauvutii. Uongo ni mtamu.Ili uwatawale watu ni lazima uwadanganye.)
Seduction-Kushawishi watu ni lazima uwadanganye
War-All WAR is fought based on DECEPTION.Uongo uongo uongo kila mahali ni uongo. UONGOzi.
Hivi mfano labda tufanye kwamba hao wataalamu wa anga waliopo marekani kama ni kweli wanatudanganya, wanatudanganya kwa manufaa gani yaani ili wapate nini??
Kwa mara nyingine tena Dunia inauthibitishia ulimwengu na vijana kuwa NGONO INAHITAJI PESA ila Mapenzi si pesa, ni labda uwe mchawi au Mbulula ndo uamini mapenzi ni pesa,✍️
Nimeona ubishani kuhusu mzee wa coding @anon_codex kutoka Dar to Moshi katoka Dar saa 7 usiku na kufika moshi' kilimanjaro saa 11 alfajiri...kwa kutumia Toyota crown 👑 mwenyewe anaiita ndege ardhini Je inawezekana kweli kutumia 4hrs to moshi eti?
@Elorm_Hood If you believe in the God of the heavens then know that he is a God of covenants. He has been so and so he will continue to be. Marriage is a blood covenant and that is why women have to shed blood.
@rayasel94 Kuna maneno ambayo yesu alitamka kabla na baada ya kufa mfano, Shetani ni Mungu wa dunia hii, hajui lini atakuja nk na kuna yale ambayo alitamka baada ya kufa na kuwa amefufuka kama haya” mamlaka yote juu mbinguni na chini duniani nimepewa mm. So soma katika muktadha huo.