🚨 BREAKING: Kylian Mbappé is very angry with the situation at Real Madrid:
He has had private discussions with several players regarding this same issue, as he believes some players in the squad have ruined the season.
Jude Bellingham is ine of the players he has had issues with, because Jude is one of the few who has dared to question some of Mbappé's bad performances.
— @lejournaldureal
Iko hivi…….
Umri unaenda pengine hata uzee unakaribia…..but kuna ndoto na goals haujazi-accomplish.
Wakati umri unavyozidi kukua ndivyo maradhi nayo yanazidi kukunyemelea, changamoto zinazidi kuwa nyingi na kubwa!!
Majukumu yanazidi, family issues, kids, ndoa/mahusiano, na unakuwa financially unstable.
The course ambayo ume-stick nayo kwa muda mrefu haijakupa matokeo yoyote, sana sana imekuletea changamoto zaidi na kukukosesha opportunities!!
HAPA SASA NDIO MTU ANAFIKIA MAAMUZI YA KUUZA SOUL!!
LIWALO NA LIWE POTELEA PWETE!
Very few of us….ndio tunaweza kushikilia bomba mpaka mwisho!!
No matter how tough the situation is!
Sio rahisi sana, wengi wanashindwa njiani katikati ya safari!
So far tumeshawapoteza wengi katikati ya hii safari….tuwaombee wanaoendelea kushikilia bomba Mungu awape imani na ustahimilivu!
Mtakufa na roho zenu mbaya 😁
Nyie hata matajiri wanachangia kwa kulazimisha tena siku hizi hawataki hata watangazwe!
Sasa we pesa zetu tunachangia tunakotaka kinakuuma?! Utakuwa mchawi si bure 🤣
Kenani mwenezi mbovu sana! Sasa kama kiongozi familia yake iko Ulaya inakuuma nini? Mbona familia za viongozi wenu kama familia ya mama yenu wanaishi Dubai na Oman?
ENIWEI Watu hawachangii mtu wanachangia CHAMA!
Lakini hata Lissu alichangiwa tukiamua
CCM hamna uwekezaji ni uporaji tu! Siku mkitoka madarakani chama kinakufa
Ndo maana umePANIC 🚮
Nasema #TutaelewanaTu
Hawa ndo mawakili rasmi wa Tundu Lissu katika kesi yake feki ya uhaini na cybercrimes ambayo imewashinda maCCM 👇🏾
1. Senior Advocate Mpale Kaba Mpoki
2. Senior Advocate Dr. Rugemeleza Albert Kamuhabwa Nshala, PhD
3. Advocate Peter Kibatala
4. Advocate Jeremia Mtobesya
5. Advocate Jebra Kambole
6. Advocate Gaston Garubindi
7. Advocate Ikoti Lissu
Kama mshauri - Counsel Advisor Senior Counsel Alute Mughwai Lissu
Wamesajiliwa rasmi mahakamani na ndo wanatambuliwa na jamii na serikali
Na zaidi ya hapo, mawakili wengine hawapewi access hata wawe nani na wanafamilia pia wamepigwa pini! Heche kaenda mara kadhaa wamemkatalia
Leo Kisabo anaibuka na kutoa taarifa mitandaoni
Mpo?
Eniwei tushaelewa kinachoendelea sasa FOCUS! Next time tutambue spinning mapema!
Vodacom mnaniibia! Mara kadhaa nanunua airtime kipitia 149*01#, mnakiri mmepokea pesa, lakini nikitaka kupiga simu, mnasema nichukue mkopo sababu salio langu halitoshi kupiga simu! Huu ni wizi, Vodacom, huu ni wizi wa mchana! Si mara moja, si mara mbili. Mwisho, kwa haraka ya kupata mawasiliano nalazimika kuchukua mkopo wenu wa kitapeli. Komeni, Vodacom, komeni!
Basi hapa ndo kuna watu roho zinawaumaaaa 😁 Yaani ni kwamba Tundu Lissu hakwepeki🔥
Sasa ndo mtajua hamjui! Mlimsingizia uhaini ila mjumbe maalum wa Jumuiya ya Madola kamtembelea jela na kumsikiliza! Mwachieni Lissu msimpotezee muda
Eniwei mmeshaambiwa na @UmojaWaMataifa mlipe na fidia sasa hii fidia iwe per day - kila siku mnayoendelea kumshikilia fidia inaongezeka
Mpo? 💪🏽
#FreeTunduLissuthecommonwealth.org/news/commonwea…
Kwa NINI Tume ya Jaji Chande haikuona umuhimu wa kukutana na Mh Lissu kama alivyofanya Mzee huyu Chakwera?
Natumaini Tume 'haitamhukumu' Lissu bila ya kumsikiliza kwanza.
NB: Msiniambie habari ya CHADEMA kutoitambua Tume hii ya mchongo.
Wataalamu wa uchumi na kodi naombeni mtumie lugha nyepesi kunielewesha nielewe,
kwanini Tanzania kodi ya gari ukinunua jipya ni kubwa kuliko bei uliyonunulia gari hilo ..??
NB: Nina anger issue kwahiyo msinifokee nitalia.
@EsirEid Sisi bwana CCM watoke kwanza madarakani alaf kila tunaloliwaza linawezekana, wanatuaminisha vitu haviwezekani ili pesa wanazokusanya ziwanufaishe wao na vizazi vyao,.
#TajiriLaKihaya
Kama ningekuwa WAZIRI WA NISHATI Tanzania, jambo la kwanza ningepunguza ni msongamano wa magari ya mafuta hasa Dar es Salaam.
Suluhisho la msingi ni kuwa na depot za mafuta angalau moja katika kila mkoa, na pia kuimarisha usambazaji wa mafuta kupitia pipeline (mabomba ya mafuta) badala ya kutegemea sana malori.
Mfano mzuri nimeuona Kenya. Mafuta husafirishwa kwa bomba kupitia Kenya Pipeline Company kutoka Mombasa hadi maeneo ya ndani ya nchi.
Kuna depots muhimu kama:
Kisumu (inayohudumia Nyanza na magharibi mwa Kenya),Eldoret (kitovu kikubwa cha mafuta kwa Afrika Mashariki),Nakuru na Nairobi
Mfumo huu unapunguza sana idadi ya malori barabarani na gharama za usafirishaji.
Pia nchi nyingine Afrika zinafanya hivi:
Afrika Kusini ina mtandao mkubwa wa pipelines kusambaza mafuta ndani ya nchi na Nigeria pia hutumia pipelines kusambaza mafuta kutoka maeneo ya uzalishaji hadi miji mikubwa
Mapendekezo kwa Tanzania:
1.Kujenga depots za mafuta kimkakati katika mikoa yote,Hii itapunguza utegemezi wa Dar es Salaam kama kituo kikuu pekee
2.Kupeleka mafuta kwa pipeline hadi mikoa ya ndani,Mfano: kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma, Mwanza, na Mbeya
3.Kuanzisha depots katika mikoa ya mipakani ili kupunguza safari ndefu za malori mathalan; Zambia na CONGO iwe Mbeya….Rwanda & Burundi: Kahama au Bukoba… Malawi: Mbeya au Ruvuma (Songea)…Kenya & Uganda: Mwanza
4.Kuruhusu mafuta ya transit kuhifadhiwa karibu na mipaka,Badala ya malori kutoka Dar kusafiri hadi mipakani moja kwa moja
Faida zake ni kubwa:
-Kupunguza foleni kubwa ya malori ya mafuta Dar es Salaam
-Kupunguza ajali za barabarani zinazohusisha malori ya mafuta
-Kupunguza gharama za usafirishaji wa mafuta
-Kushusha bei ya mafuta kwa mlaji wa mwisho
-Kuongeza ufanisi na usalama wa usambazaji wa nishati
-Kuifanya Tanzania kuwa kitovu kikuu cha usambazaji wa mafuta kwa nchi jirani
Kwa kifupi, huu ni uwekezaji wa kimkakati ambao unaweza kubadilisha kabisa sekta ya nishati na uchumi kwa ujumla.
@godbless_lema@EduTalkTz Pia tujaribu kupush ile data ya wanachama milioni 8 ambayo hua mnatuambia maana yake watu buku kwenye 8M niwachache sana kwahiyo hili lengo linapaswa fikiwa hata less than a week,. Kingine kama kuimatisha uchumi wa chama tufanye hivyo mengine yote mnaweza yaacha kwasasa
@CinemaZoneX Black Hawk Down, Midway(2019) and Lone Survivor made that flick very forgettable. For Context, Saving Private Ryan was incredible but from a different part of history. But 13 Hours was good.
“We are done with her that's why when she said to me you can leave now on free bail I looked at her and I said bye bye” EFF President Julius Malema
“Because I've seen her ugly face for too long so I'm going, I will no longer appear before that ugly white face” @Julius_S_Malema
@Ggkinyanjui@amerix Maelekezo yaliyoka Oval office kwa Trump kwanini hawamfungi,. Hii kesi imekua ya miaka nenda rudi wameona watokee humo,. Ila wamegusa pabaya
@amerix This will bring total shutdown in SA...Apa napo wameguza pabaya...Malema is the voice of the people and most of them will not take this ruling easily...Why do Africa countries allow the Europeans and Americans to intefere with our democracy..
Watanzania hii ni propaganda, wanatapatapa kutafuta legitimacy, walikuja hadi huku Marekani kutafuta picha na viongozi wa serikali ya Marekani wakatimuliwa.
UN walipokuwa na tamko juu ya Tanzania baada ya mauwaji waliandika X kama mnavyoona hapo kwenye scheenshot, why this time tamko litolewe na hao wauwaji kwa kutumia media wanazo zi control na sio UN kuweka tamko hilo kwenye official page zao?
Wanatafuta uhalali kinguvu ili waweze kuchukua mamikopo tena ili kina Abdul na kina Mombo wanunue ma Rolls Royce na Ma Bugatti.
Samia na wauwaji wenzio, Watanzania wanataka haki na sio hizi sinema zenu. Toeni haki ili nchi ipate amani.
@SuluhuSamia Hakuna kiwango cha propaganda au kutafuta uhalali utafanya kitakachotuta mauwaji uliyofanya, hakuna kitu kitafuta uchaguzi wa kihuni na kishenzi ulioufanya . Wewe sio Rais wa Tanzania na huna uhalali sababu umejiweka mwenyewe madarakani kwa kuua wananchi.
@AnnaTibaijuka Viongozi wa Tanzania mna unafiki sana hii ndio shida yenu hamnyooshi maneno,. Ona mama hapa kazunguuuuuka na kichaka cha kumtaja marehemu mzee Odinga,. We kama una lakutuambia tuonyeshe upo upande upi inatosha Laila Laila haisaidii kitu.
Tunapoadhimisha miaka 61 ya Uhuru wa Kenya ninatoa pongezi kwa majirani zetu na ninaleta kumbukizi ya wasifu wangu rasmi kwa Hayati RAILA AMOLO ODINGA NA UJASIRI WAKE KUCHAGUA AMANI BADALA YA MADARAKA 2007. Tumuenzi na kujifunza kutoka kwake katika changamoto zinazotukabili leo. Apumzike kwa amani.
Baada ya miaka mingi ya kifungo na mateso, kiongozi wa upinzani wa Kenya Raila Odinga alikabiliwa na wakati ambao vurugu zingempa ushindi. Badala yake, alichagua maridhiano—na kwa kufanya hivyo, akaokoa demokrasia ya taifa lake.
Nilibahatika kufanya kazi kwa karibu na Raila akiwa waziri wa Ardhi na mimi nikiwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Mkurugenzi Mtendaji wa UN-Habitat, na pia Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa Nairobi (UNON). Kwa hiyo ninaandika kwa undani.
"Mazishi ya Raila Amolo Odinga yanafunga sura ndefu ya historia ya kisiasa ya Kenya—na Afrika kwa ujumla. Anaacha nyuma si tu rekodi ya upinzani na mageuzi, bali pia mfano wa jambo adimu zaidi: kiongozi ambaye, baada ya kuonja ukatili wa madaraka, alikataa kuwarudishia wengine ukatili huo.
Maisha ya kisiasa ya Odinga hayawezi kutenganishwa na miaka yake ya kifungo katika miaka ya 1980 na mwanzoni mwa miaka ya 1990. Aliwekwa kuzuizini bila kupelekwa mahakamani kwa takribani miaka minane, akiteswa kwa upweke na udhalilishaji katika seli maarufu za Nyayo House. Miaka hiyo ingeweza kumgeuza mtu yeyote kuwa mwenye kisasi. Badala yake, ilimjenga kuwa na nidhamu. Alitoka gerezani akiwa na imani isiyotetereka kwamba demokrasia, hata ikiwa na mapungufu, ni salama kuliko vurugu.
Imani hiyo ilijaribiwa mwaka 2007 -2008 wakati wa machafuko ya uchaguzi uliohatarisha na kulisukuma taifa la Kenya hadi ukingoni mwa vita vya wenyewe kwa wenyewe. Kuhesabu kura kulivurugika; jamii pinzani zilihamasishwa kila moja kutetea upande wake; mamia ya watu walipoteza maisha. Ndani ya makao ya Umoja wa Mataifa Nairobi, tulihisi uzito wa historia ukibisha mlangoni. Tukahofu bila kuchukua hatua maalum nchi itasambaratika.
Kama mkuu wa mfumo wa UN nchini Kenya, niliripoti moja kwa moja kwa Katibu Mkuu Ban ki Moon huko New York kuhusu hali halisi na athari zake kwa Kenya na nchi jirani zote ikiwa machafuko hayatadhibiwa. Nilipendekeza kuangalia uwezekano wa mfumo wa kugawana madaraka. Pia nilimshauri aliyekuwa mkuu wangu mstaafu, Kofi Annan, akiwa Ghana wakati huo, naye alikubaliana kuwa upatanishi ulikuwa muhimu na kugawana madaraka kungetuliza mtafaruku. Tulihitaji kwanza kuungwa mkono na mataifa makubwa na Umoja wa Afrika.
Kupitia rafiki yangu Mary Chinery-Hesse, Makamu mtendaji mkuu wa ILO mstaafu, akiwa mshauri wa Rais Kufuor wa Ghana ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, nilifikisha ujumbe huo Accra. Tuliamini Waafrika walipaswa kuhamasisha dunia kuisaidia Kenya kabla ya mgogoro haujateketeza ukanda nzima.
Ndipo wazo la serikali ya mseto likaanza kukubaliwa na kusambaa kati ya UN, Umoja wa Afrika, na washirika wa kimataifa. Nilipotoa taarifa kwa washirika Nairobi, niliwasihi maafisa wa Marekani na viongozi wakuu waliotembelea nchi hiyo kufikiria upya kauli zao za mapema za pongezi kwa Rais Kibaki zilizokuwa zikifunga mlango wa mazungumzo. Nilizungumza si tu kama afisa mwandamizi wa UN, bali pia kama mzaliwa wa eneo la Maziwa Makuu niliyeshuhudia tangu nikiwa mtoto mdogo tatizo la wakimbizi wa kwanza wa Rwanda wakivuka mpaka wa Kagera mwaka 1959, kabla ya Uhuru wa nchi yangu Tanganyika. Baba yangu aliwapokea wakimbizi wengi kama 20 nyumbani na mama akalazimika kuwapikia na mimi nilimenya ndizi mikungu mitatu peke yangu mara niliporudi kutoka shule kwa ajili ya chakula chao. Kumbukumbu hiyo haikuniacha kamwe hadi leo. Amani ikivurugika mateso ni kwa wengi hata wa mbali.
Mantiki tuliyotumia kwa Kenya ilikuwa rahisi lakini ya mapinduzi: pale uchaguzi unapopingwa hadi kumwagika damu, uhalali wake uko mashakani na unaweza kurejeshwa tu kupitia muafaka kwa ushirikishwaji kukiri makosa na kutenda haki. Inahitaji ujasiri kutoka pande zote.
Top Richest Politicians in the World
1. 🇷🇺 Vladimir Putin – $200 Billion
2. 🇧🇾 Alexander Lukashenko – $9 Billion
3. 🇺🇸 Donald Trump – $7.2 Billion
4. 🇰🇵 Kim Jong Un – $5 Billion
5. 🇨🇳 Xi Jinping – $1.5 Billion (estimated)
6. 🇬🇶 Teodoro Obiang Nguema – $600 Million
7. 🇷🇼 Paul Kagame – $500 Million
7. 🇹🇷 Recep Tayyip Erdoğan – $500 Million
7. 🇦🇿 Ilham Aliyev – $500 Million
10. 🇿🇦 Cyril Ramaphosa – $450 Million
11. 🇰🇪 William Ruto – $400 Million
12. 🇫🇷 Emmanuel Macron – $31.5 Million
13. 🇨🇦 Mark Carney – $21.5 Million
14. 🇺🇦 Volodymyr Zelensky – $20 Million
15. 🇸🇬 Lawrence Wong – $5 Million
16. 🇵🇭 Bongbong Marcos – $3.5 Million
17. 🇲🇾 Anwar Ibrahim – $2.4 Million
18. 🇻🇪 Nicolás Maduro – $2 Million
Source: Yahoo Finance