Jay Kipajizle
2.1K posts


Kaka Mkubwa @ezekiel_kamwaga , huyu binti kwenye picha anaasiliwa na nani baada ya MTUKUFU @SuluhuSamia , MAMA MWENYE UPENDO, kumuua mama yake Oct 29?🤔

Filipino

Leo wanawake dunia nzima wanaadhimisha siku yao muhimu.
Siku wanayokutana na kutafakari kwa kina juu ya mafanikio na changamoto zao katika kuiendeleza jamii kiuchumi, kisiasa na kijamii.
Kwa wanawake wa CHADEMA imekuwa ni tofauti kidogo, wao wanatafakari matendo ya Mwanamke mmoja KATILI NA ASIYE MUUNGWANA.
Kuzuia wanawake wenzako wasikusanyike ni udhaifu mkubwa usiopimika kwenye mizani.
Lakini tunakuahidi, hutakaa kwenye hicho kiti ukatulia,hutakuja uishi kwa Amani mpaka siku ya kufa kwako.
Hii vita ndo kwanza imeanza.
Indonesia

@HecheJohn @jkbtetes107 Mjomba mjomba Tz kuna vyama gani zaidi ya CDM hayo matawi ya CCM utaita ni vyama🚮🚮
Indonesia

@HecheJohn Dunia gani Tena wakati dunia IPO vitani kwa Sasa Irani huko? Mnapagawa sasa
Indonesia

@Sativa2555 @Gibson44178359 Ukinenepa wewe kama nguruwe na pesa za wafadhir wako inatosha, mwache mama yetu...
Indonesia

@FarahOm91196252 Alikuwapo magufuli mbona sio wote walimfuata??
Filipino

@rose_mayemba Unajua ameulzia pesa zake mlizokwapua wewe na wenzako aiseee... Wadau wamekosa majibu mnarufisha ama ndo imeisha iyo??
Indonesia

Done for today.
I was happy to see SC Tundu Lissu in court, full of courage and energy.
He will be free at last...yes, we will all be free to exercise our freedom in our birthplace, the land where Mwalimu Nyerere and others fought to dismantle colonial oppression.
#FreeTunduLissu

English

@HecheJohn Zikijngwa mnapika kelele zisipojengwa mnapiga kelele Sasa nyiemnataka Nini??
Indonesia

@bonifacejoseph_ Ni kosa kisheria kutumia VPN nchin Tz, wakikudaka usianze kulia Lia hapa
Suomi

@Sativa255 Part two ya hii filam inatoka lini?? Ama mabos hawajawalipa bado POSho ya part one??
Indonesia

#BBC
"Mara ya kwanza nilipoiona picha ya Mafwele nilitetemeka, ni kama ilinirudisha kwenye siku za mateso". Edson Mwakalebela (SATIVA), Mwanaharakati Tanzania.
"Mafwele alipoanza kunipiga kituoni kwa kushirikiana na askari wengine alisema ananifahamu, Mafwele alisema atanitahiri, nilipomwambia nimetahiriwa aliniambia atanitahiri tena, hata kuiona picha yake kunanitetemesha". Boniface Mwangi, Mwanaharakati wa Kenya.
Wanaharakati wa Kenya na Tanzania wakielezea mateso waliyopitia chini ya amri ya mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai Kanda Maalum ya Dar es Salaam afande FAUSTINE MAFWELE.
::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::
"The first time I saw Mafwele's picture I trembled, it was like it took me back to the days of torture". Edson Mwakalebela (SATIVA), Tanzanian Activist.
"When Mafwele started beating me at the station in collaboration with other soldiers, he said he knew me, Mafwele said he would circumcise me, when I told him I was circumcised he told me he would circumcise me again, even seeing his picture makes me tremble". Boniface Mwangi, Kenyan Activist.
Kenyan and Tanzanian activists describe the torture they went through under the command of the head of the Special Crimes Investigation Unit of the Dar es Salaam Special Zone by FAUSTINE MAFWELE.
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵😎
Indonesia

@bbcswahili Hofu hiyo iwakute hao tu mbona wengi tupo nchininaiseee, amken BBC hao wanataka maisha mazuri ulaya ndo Mana wameyaunda ya kwao wakakimbia nchi Ila mkiwashtukia warudishen
Indonesia


@HecheJohn Mbona pesa walizomchangia huko kwenu hawakumuachia??
Indonesia

@Royal_Tv_Tz Mzee ana afya ya akili so anataka kosa lialalishe kosa
Indonesia

Kupitia mtandao wake wa kijamii, Askofu wa Dayosisi ya Karagwe, Dk Benson Bagonza jana aliweka wazi hisia zake kuhusu hali ya kisiasa, usalama wa wanasiasa na migongano ya kidiplomasia nchini. Ujumbe wake umeibua mijadala miongoni mwa wananchi na wafuasi wake.
Bagonza alielezea umuhimu wa kushughulikia migongano ya awali na ushirikiano wa kidiplomasia, akibainisha kuwa safari za kidiplomasia zinapaswa kuzingatia mashauriano na mawasiliano mazuri.
Akizungumzia usawa wa sheria, Bagonza alibainisha tofauti inayojitokeza katika kesi ya Tundu Lissu, ambapo waliomshambulia hawajakamatwa, huku waliomuibia michango yake wakiwa wanashikiliwa na vyombo vya sheria. Hali hii, alisema, inakidhiwa kwa umakini na wananchi.
Aidha, Bagonza aligusia masuala ya maridhiano ya kisiasa, akisisitiza umuhimu wa ukweli na uwazi kabla ya kufikia makubaliano yoyote, pamoja na changamoto zinazojitokeza ndani ya vyama vya siasa.
Bagonza pia alizungumzia usalama wa taifa, akibainisha umuhimu wa mawasiliano kati ya Wizara ya Mambo ya Nje na Wizara ya Mambo ya Ndani ili kuhakikisha Amani na utulivu vinaimarishwa.
Kwa ujumla, ujumbe wa Askofu Bagonza uliangazia umuhimu wa:
Uwajibikaji wa wanasiasa na vyombo vya dola,Uwiano na uwazi katika migongano ya kidiplomasia,Kutenda haki kwa wote bila upendeleo naKudumisha demokrasia na usalama wa wananchi.
Kauli hizi zimeibua mijadala miongoni mwa wananchi na wafuasi wa kiongozi huyo, huku wengi wakisisitiza haja ya uwajibikaji na uwazi katika kila hatua ya kisiasa.

Tanzania 🇹🇿 Indonesia

@therealsemsii Na wale walioiba pesa za lisu nn kiwe juu Yao??
Polski

@rose_mayemba Wewe si ndo uliyepig pesa za lisu aiseee ebu ona aibu rudisha zile pesa
Indonesia


















