First Born
6K posts


@Sativa255 Maumivu aliyo pitia uyu mwenzetu kwa kukatwa walitumia kisu au chainsaw duuh 🤧
Indonesia

@BillyTronix1 Alafu pakishalowa unaambiwa wewe ndo ulale ule upande oyaaa ni dabwa dabwa
Filipino

@AnnaTibaijuka @HecheJohn Huyu mama atakua nyuma ya Yale yaliyotokea 29 maana huwezi kukaza kwa kuendelea kutengeneza mgawanyiko kipindi wewe unatuaibia Yale mabilion yetu ya escrow ulimuona bongo zozo kaongea sasa inabidi hiki kizazi tukikumbushe wizi wako wa escrow
Indonesia

@taifa_mbunge Kwani mbona unatuchosha na maswali yako ,,anaetakiwa kupewa pole ni Amiri jeshi mkuu wa nchi hii,Ambae ni Dr Samia Suluhu Hassani 🇹🇿🇹🇿🇹🇿au ulitaka upewe wewe pole?
Indonesia


@Baraza_Kuu We msenge uyo unaempost anatembelea gar la 500million+ wee apo ukitoka sana kimaisha ni umerithishwa fisi uwe mchawi na upambane na wenzako kuwafelisha maisha 🖕
Filipino

@Baraza_Kuu Mmngehamasisha viongozi wenu kuwapa wananchi maisha bora kwanza mana wangefanya hayo chadema wangekosa la kusema ila wapumbavu ndo nyie msojielewa mnabak kupiga kelel akat tatzo mnalijua lilipo ni sirikali enu ya kisenge ndo chanzo cha matatizo
Indonesia

Tumeona tangazo lenu CHADEMA kuwa kesho Mei 2,2026 mtakuwa na mkutano na Waandishi wa Habari. Ni jambo jema kwani tuna imani mtatuletea mambo mema mliyojadili kwenye kikao chenu ya kuendelea kujenga amani ndani ya Taifa letu Tanzania na si vinginevyo.
Tunasema ni jambo jema kuwasikia tena baada ya kujifungua kwenye kifungo chenu mlichojifunga wenyewe kwa kushitakiana wenyewe kwa wenyewe na mkawa mnatudanganya eti oh tunaonewa tumefungiwa.
Mlionewaje wakati nyinyi wenyewe ndiyo mlishtakiana na mkawekeana mapingamizi?Tunawauliza mtujibu kuna mtu au mwanachama nje ya Chama chenu aliyewafungulia kesi mliyokuwa mnaendelea nayo mahakamani?Halafu kibaya sana baada ya kujifungia wenyewe kufanya shughuli zenu za chama anayejiita wakili msomi wa chama chenu, wakati mkiwa kwenye hicho kifungo mlichokitengeneza wenyewe siku moja akaibuka akawaambia watanzania na dunia nzima eti zuio mlilokuwa nalo la kutofafanya shughuli za kisiasa kisheria lilimalizika baada ya miezi sita kupita.
Halafu asivyo kuwa na kumbukumbu baada ya mahakama kuwaruhusu kuendelea na shughuli za siasa akaibuka mbele ya vyombo vya habari na kusema leo CHADEMA imefunguliwa rasmi kufanya shughuli za siasa.Waliomsikiliza mwanzoni aliposema zuio mlilokuwa nalo liliisha baada ya miezi na alichosema Aprili 15,2026 wanajiuliza huyu wakili msomi vipi au ndiyo maana ndani ya chama chao wakiongea lazima wafoke na mishipa ya uso iwatoke?
Hata Makamu Mwenyekiti wenu Bara alitamka tumetoka kifungoni akaishia hapo badala ya kutueleza tumetoka kwenye kifungo tulichojifunga wenyewe.
Sasa tunaomba tuwaambie,kesho hatutaki tena mtuongeleshe kwa sauti ya ukali,kutufokea na kutuletea ngonjera kwamba Chadema tutafanya maandamano nchi nzima.Fujo hatutaki tena tumeshaona hasara za hamasa kama hizo kuwa matokeo yake ni mwanzo wa vurugu na wananchi kuumia ili ionekane serikali imeshinndwa kulinda wananchi wake.
Hatutaki mtuletee mambo eti hatuitambui ripoti ya Tume ya Uchunguzi.Kwanza mtaitambuaje wakati miaka yote mlikuwa mnatujengea chuki, uchonganishi kwa hotuba zenu za chuki na mikutano ya siri ya kupanga kuvuruga amani nchini.Mtaitambuaje wakati mnajifahamu ni wapangaji,waratibu,wafadhili na watekelezaji wa vurugu hapa nchini.
Tunataka kesho mtuambie katika kikao chenu mmeamua kuwasimamisha na kuwakemea vijana wenu mliyowaandaa, mnaoendelea kuwapanga na kuwafadhili ili kutukana watu na viongozi ambao hawaungi mkono mambo yenu ya hovyo ya kuchochea na kuzusha fujo nchini.
Tunataka pia kesho mtuambie fedha mnazo changiwa kwanini akaunti ipo nje ya nchi,kwa ajili gani au ni kwa ajili ya maslahi yenu binafsi kama ilivyokuwa kwa michango mingine mingi ya nyuma mliyochangiwa.Kama hamna kumbukumbu niwakumbushe moja ya michango ni kama ile ya mfanyabiashara wa Dar es Salaam aliyo wachangia kwa ajili ya kuchimbia wananchi visima vya maji làkini mkazila.Tutawasikiliza kesho kama mtakuja na mambo ya hovyo kama kawaida yenu yakutuweka roho juu Watanzania tutaanika michango mingine ambayo ilichangwa ikapotea kijumla mikononi mwenu na zile zilizotumika nusu lakini zingine hazina maelezo hadi leo.
Tunawaambia tena, kesho hatutaki mtuletee mambo ya kutuweka roho juu na kuishi kwa wasiwasi kwa sababu tumeshaonja hasara ya kupoteza roho za ndugu zetu,kutusababishia majeraha na kupoteza mali na kwa hayo yote mnao mchango mkubwa sana na lawama hizo hamuwezi kuzikwepa na mnazifahamu vizuri sana ila mnajitoa ufahamu na kupambana kwa njia zote kutupia wengine lawama.Hata hicho kikao chenu kwa kiwango kikubwa majadiliano yalikuwa ni namna ya kuwatupia wengine lawama ndiyo maana wakati mwingine mlikuwa mnatoka kwenye kikao wachache na kwenda kunong'onezana na kurudi kwenye kikao kupanga mbinu hizo chafu.

Indonesia

MAMA YENU MZIMA KWELI HUYO?!
Unakuja kutuambia unaunda Tume kuchunguza, alafu mnakuja kwetu tena kukabidhiana matokeo, huku mkijipigia makofi, alafu Unatukoromea “HII NI RIPOTI YANGU”… ?!
Sasa kama ni ripoti yako, sisi mnatuhusisha nayo ya nini? Kwanini mfanye broadcast kwenye public media? Si mngepeana kimya kimya? Kwanini Tume inakuja kujieleza kwenye press conference? Kwanini mnalazimisha tukubaliane nayo?
I tell you what, YOU ARE RIGHT… RIPOTI NI YAKO!! Sio Ripoti ya WANANCHI, Sio Ripoti ya UKWELI, Sio Ripoti ya UWAZI, Sio Ripoti ya UHALISIA, Sio Ripoti HURU na Sio Ripoti ya HAKI.
Kulikuwa hamna haja ya kutukumbusha kuwa Ripoti ni yako, maana tulifahamu toka mwanzo na hakuna mtu alikuwa na shida na Ripoti Uchwara!! Ila Ukitumia Fedha za wananchi (walipa kodi) lazima rekodi ziwe public ili tuhoji matumizi ya rasilimali zetu.
NDIO, Ripoti ni yako sababu; Umeiunda Tume wewe, kuweka wajumbe wewe (hadi ambao wana “conflict of interest”), kuipa hadidu za rejea zako (sio za Wananchi wala za kujua Ukweli na Uhalisia), kwa malengo ya kujisafisha na kujiengua kwenye Tuhuma (ingawa iko wazi ni muhusika mkuu), na pia kwa lengo la kutaka kuwaangushia jumba bovu wasio na hatia.
THERE IS NO REPORT THAT CAN CLEANSE & SANITIZE THE ATROCITIES YOU HAVE COMMITTED, CAUSE THERE IS NO SANE, RATIONAL & LOGICAL HUMAN BEING THAT CAN BUY THE BULLSHIT YOU ARE TRYING TO SELL.
Kaa na Ripoti Yako, Sisi tunataka A FREE, TRANSPARENT, UNBIASED INTERNATIONAL COMMISSION OF INQUIRY… Until then, MTAJUTA KUTUSOMESHA.
The Leader

Indonesia

@belindaPINDA01 @NdaluJames01 Langu ni number million times 100 wafanye calculation wao
Français

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan amewataka Vijana kujitambua na kurejea katika mshikamano ili kulinda umoja na amani ya Taifa, akisisitiza kuwa nguvu ya Nchi ipo kwenye mshikamano wa Watu wake hasa Vijana ambao ni msingi wa kesho ya Tanzania.
Dkt Samia ametoa wito huo leo Aprili 26, 2026 Visiwani Zanzibar wakati wa Kongamano lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 62 ya Muungano, ambapo ameeleza kuwa kuna dalili za kulegea kwa mshikamano miongoni mwa Vijana hali inayohitaji kurekebishwa kwa haraka
Akizungumza katika kongamano hilo Rais Samia amesema, “mshikamano wa Tanzania unaachia polepole, nadhani Vijana mliopo kwenye mafunzo mmeambiwa haya na nitakapofungua kongamano la Vijana Wakufunzi watalisema hili, twendeni tutafakari sana, mshikamano wa Watanzania unaachia katika ngazi gani? Unachia katika ngazi yenu Vijana, Vijana jitambueni mshikamano wa Tanzania unaachia polepole nawaomba sana"
"Vijana tumemsikia Shekhe hapa anasema hata Vitabu vya Dini vimesema tumewaleta ili mshikamane wala msifarakane, sasa Vijana wa sasa hivi mnakuja na maneno tofauti kuna maneno yanaitwa 'shoti' kuna maneno sijui yanaitwaje, mnakuja na viteminoloji vidogo vidogo vya kufanya mbaguane, mwachane na msishikamane, hili nalikemea sana Vijana wangu niwaombe sana rudini kwenye mshikamano, msiharibu Nchi yenu, kamataneni, shikamaneni mkishikamana adui hana nafasi ya kupita, lakini mkikubali kutenganishwa adui mnampa njia apite, kwahiyo Vijana wangu tushikamane ili Tanzania ibaki kuwa moja tushikamane na tupendane” amesema Rais Samia. #MillardAyoUPDATES

Indonesia

@ChademaTZ2 Picha ukiziangalia utagundua kabisa ni za kutengeneza
Indonesia

@ChademaTZ2 Sipati pic siku Lissu anatoka nadhani mabomu ya machozi yatapigwa labda wafanye kimyakimya
Filipino

@HildaNewton21 kwenye zile picha za MO29 mbona kama hii sura ipo imevaa jezi timu ya mpira amebeba bunduki

BISHOP GWAJIMA ANAWINDWA NA GENGE LA ABDUL MTOTO WA IDD AMIN MAMA.
Pichani ni kijana maarufu kwa jina la SUMAI huyu huwa anakula na Abdul mtoto wa Idd Amin Mama.
Huyu ndo anasimamia genge ambalo Abdul amelipa tenda ya kuteka na kupoteza watu ambao wanakosoa Serikali ya Idd Amin Mama.
Jumamosi ya wiki iliyopita yani April 18, 2025 Sumai na Genge lake walifanya jaribio la kumteka Bishop Gwajima, walivamia kanisa la Ufufuo na Uzima Ubungo Jijini Dar es salaam bahati nzuri Gwajima hakuwepo.
Hizi picha Sumai alipigwa njee ya kanisa la Bishop Gwajima bila yeye kujua.
Sasa baada ya kumkosa Bishop Gwajima kanisani, walienda kuvamia nyumbani kwake wakakagua nyumba nzima lakin Bishop wala Familia yake wote hawakuwepo, kulikuwa na walinzi tu, Sumai na genge lake wamehangaika sana kumuwinda Bishop ila kila wakimkaribia wanakuta manyoya mpaka wasema “Bishop Gwajima atakuwa mchawi” wanasahau kwamba Bishop ni Jasusi la Mbinguni.
Bishop Gwajima anawindwa kwasababu ya mambo kadhaa jambo la kwanza ni kuhusu Ushuhuda wake kuhusu namna ambavyo Mzee Kikwete Kikwete alitaka kumuuwa enzi za Utawala wake, ule ushuhuda ulimkwaza sana Mzee Kikwete so kalalamika kwa Abdul na watu wake ili wamsaidie kushughulika na Bishop Gwajima.
Jambo la pili wanadai kwamba Gwajima anamshambulia sana Nduli Idd Amin Mama kwenye mahubiri yake huku wakirefer yale maombi aliomba Bishop Gwajima wiki kadhaa zilizopita na video ilitrend sana yale ya “Mchawi hata kama ni Samia Fyeka”
Tunaishi kwenye nchi hovyo sana, nchi ambayo inaongozwa na Serikali haram ambayo haithamini wala kujali kuhusu uhai wa watu.
Serikali haram ambayo ina kakundi ka watu wachache ambako ndo kamejipa jukumu la kuamua nan aishi au nan afe, hako kakikundi ndo kanaharibu nchini yetu, kama wananchi tusipo amka na kusema sasa imetosha haka kakikundi katamaliza ndugu zetu.
#PrayForBishopGwajima




Indonesia




























