ERICK MAZENGO CHITOJO

180 posts

ERICK MAZENGO CHITOJO banner
ERICK MAZENGO CHITOJO

ERICK MAZENGO CHITOJO

@ECITOJO

-Mechanical technician! -Mechanical Engineer -photographer

Dodoma, Tanzania Katılım Aralık 2012
160 Takip Edilen60 Takipçiler
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Wataalamu wa location ukiona jengo hili utatambua kuwa upo Mkoa gani na eneo gani?
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
129
31
913
89.3K
Victor Forgeoux
Victor Forgeoux@Ireneigora·
Huyu mbaba mpya sioni nikifika nae popote ana mambo ya kisenge Yale ya zamani ya umelala? Umelala na nani? Njoo tulale mara fungua mlango nishafika hapo tunachati anatuma meseji ya geukia huku unikumbatie wakati Mtu Yuko Makambako mi Niko Karagwe mxiew 🚮😂😂💔
Indonesia
163
44
916
68.7K
ERICK MAZENGO CHITOJO
ERICK MAZENGO CHITOJO@ECITOJO·
@Labella_Mafia95 Huyu jamaa nadhan alitumia nafasi hii na kuingia cost hizo ili apate kujitangaza kiwepesi na kutaka watu tumjue haswa afrika mashariki, na kwa kiasi kikubwa amefanikiwa sana katika hilo.
Suomi
0
0
0
214
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚
Dadekiii......Hivi karibuni imefanyika moja ya sherehe kubwa mno barani Afrika—na cha kushangaza, ilikuwa ni birthday! Birthday hii ilikuwa ya bilionea wa Ghana, Richard Nii-Armah Quaye. Thread:⤵️
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 tweet media
Filipino
25
63
1.2K
178.6K
Victor Forgeoux
Victor Forgeoux@Ireneigora·
Kitu ambacho huwa kinakata stimu Congo ni pale mmekaa mgodini hamuelewi mtatoka lini ile sehemu Una kaa ukiamka Watu wale wale Una athirika kisaikolojia unakuwa hukumbuki siku wala tarehe kila ukiamka vitu vile vile mapori na umbwa wakali waliohasiwa ghafla mnaona ambulance mwenzenu kazidiwa imekuja kumchukua au mnaamka kuna dereva mwenzenu Kalala hajaamka wanavunja Vioo kutoa mwili hujakaa Sawa unaambiwa gari ya mwenzenu alotoka hapo Jana katekwa au kapata ajali kafa unachanganyikiwa unapauka kwanza huku ukikonda ndo maana madereva wakifika Tunduma wanakula bata Sana kule huwa ni mateso Sana ukikuta dereva anafanya starehe muache kule kunatisha 😹💯💯
Indonesia
35
47
828
93.4K
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚
Kwa sasa, no Grant, na tutoke huko kabisa. Let us negotiate vizuri kwenye resources zetu, tuanzishe viwanda ili wakose raw materials kwenye viwanda vyao na watakuja wenyewe! Ila tukikaa as a lose ball, watatupiga kama ngoma na watatugawana kama nyama za ofa. This is the high time kwetu kukaa kama taifa to revise our foreign affairs policies and our sustainability as the country bila wafadhili. Thank you! — End.
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 tweet media
Filipino
46
6
84
19.9K
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚
Nnafahamu vema kwamba kwa wakati huu ambao USAID imeondoka, China na Russia watajaribu ku-capitalize hii window na kujaribu ku-act as an idea option. Kama mtaalam wa uchumi, ninayaonya mataifa ya Afrika kutowaamini hawa jamaa wawili—ni kama kuuza r0h0 zetu kwao. Thread: ⬇️
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 tweet media
Indonesia
70
78
968
167.6K
ERICK MAZENGO CHITOJO
ERICK MAZENGO CHITOJO@ECITOJO·
@Sativa255 Huwa nasikia hawa waasi hawawagusi wageni haswa hawa wanaopeleka huduma, sijui kama kuna ukweli.
Filipino
0
0
0
86
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
TUWAOMBEE Sana madereva wa TANZANIA waliokwama CONGO. Kila Vita ya CONGO lazima tupate changamoto ya MADEREVA kukwama kwenye uwanja wa VITA. Na hata sasa kuna madereva wapo njiani wanaenda CONGO. Inabidi tukae chini na hawa MADEREVA watuambie kwanini licha ya hatari zote hizi wao bado wanaenda tuu CONGO? TUWASIKILIZE MADEREVA.
Filipino
61
99
1.1K
107.3K
KIDUKU
KIDUKU@TanzaniaOneJezi·
@HKigwangalla Anayeweza Kumshinda TUNDU LISSU Kwenye Sanduku La KURA Ni Tundu Lissu Mwnyewe. 2020 Tundu Lissu Alishinda Uchaguzi CCM Mkapora Kama Kawaida Yenu. Uchaguzi Mkuu Wa Mwaka Huu Tunamsimamisha Lissu Apambane Na SAMIA Uchaguzi Mkuu Ukiwa Huru Na Haki Kama Huu Wa CDM Lissu Anashinda
Indonesia
10
17
285
11.6K
Dr. Hamisi Kigwangalla
Dr. Hamisi Kigwangalla@HKigwangalla·
Mjadala wa uchaguzi wa CHADEMA ni tukio lililotikisa uwanda wa siasa kwa namna yake, haswa kwa sababu ya uwepo wa mafahari wawili kwenye race ya uenyekiti wa chama chao. Mimi huwa sikimbii mijadala. Naona Vijana mnahaha kunizodoa. Haya sasa nimekuja. Usilolijua kuhusu mimi pengine ni ukweli kwamba mimi ni mwanasiasa ninaye-enjoy politics for what it really is - a conversation about maisha ya kila siku ya watu na utofauti juu ya namna ya kufikia ustawi wa maisha yao kwa njia na nadharia tofauti tofauti. Uchambuzi wangu, ambayo ni madini ya bure kabisa kutoka kwenye kichwa chenye doctorates mbili ni kama ifuatavyo: Moja: ilikuwa kazi sana kwa Mhe. Mbowe kushinda uchaguzi huu. I saw it from the beginning. Lakini niliamini kwa uzoefu wake angeiona threat ya kuanguka na angechukua tahadhari kubwa zaidi. Sababu za kuanguka ni hizi: mosi, wakati Mbowe ana taswira ya uhafidhina mwenzake alikuwa na taswira ya “MABADILIKO”. Mhe. Lissu alianza kuyahubiri way before uchaguzi! Hivyo, kwa wana CHADEMA ambao inherently it is assumed watu wengi wanaoingia siasa za upinzani wanakuwa wanapenda mabadiliko, ilikuwa rahisi sana kwa ajenda hii kuingia moyoni. Lissu amepata uungwaji mkono mkubwa kutokana na msimamo wake mkali dhidi ya serikali na historia yake ya kupigania haki za binadamu, jambo lililowavutia wanachama wengi wa CHADEMA. Mind you kizazi cha wapiga kura wengi ni Gen Zee, wanachukia status quo na wako excited na mabadiliko. Mbili, kwa tunaomjua Mhe. Lissu, huwa ana tabia ya kusema mambo yasiyo na uhakika/ukweli, na kwa ushawishi wake huaminika - maana wasikilizaji huwa hawana muda wa kutafuta ukweli. Mhe. Mbowe na cronies wake walichelewa kuweka sawa taarifa zao. They ended up playing catch up, siasa hupaswi kumuacha mpinzani akutangulie mbali hivyo! Tatu; wafuasi wa Mhe. Mbowe walikuwa viongozi na marafiki zake zaidi, lakini wajumbe wa kawaida na wanachama hawakuwa wanaamini tena kwenye uhafidhina. Walikumbwa na kimbunga cha mabadiliko! Cronies wa Mbowe walikuwa wamejificha sababu hawakuamini kama atashinda - walipaswa kutoka hadharani kuongea ili kuwatia moyo wajumbe, yule dada wa BAWACHA na wenyeviti wamekuja kuibuka mwishoni kabisa, it was reactive and way too late. Nne; team Mbowe poorly used social networks, while wenzao social networks was a mainstay channel ya kampeni. Tano, game was hard kwa Mbowe. Lissu survived risasi 16, anakuja na gari yenye matundu ya risasi, ana limping gait, amevaa bullet proof, anatuhumu serikali/dola muda wote, anahubiri mabadiliko kwenye mitandao na mikutano ya hadhara muda wote, unamshindaje? Mbowe amekuwa na shutuma za kuwa Mwenyekiti wa maisha, za kuongoza chama cha ‘kichagga’, cha ‘kifamilia’ na ametulia hana vurugu na kwa busara za kuepuka mpasuko alikuwa hamjibu Lissu asiye na huruma, breki wala staha. Sita, kwa kuchelewa kushughulika na yote hayo juu, ukiachilia mbali minong’ono ya uwepo wa uasi na harakati za kutaka kupinduliwa, ni dhahiri shemeji yangu Mbowe ameishiwa ‘makali’, alihitaji kusaidiwa na wadogo zake. Sina hakika kama nao walikuwa naye ama la! My take: 1.) Mpasuko uliotokea ni mkali sana, sababu kubwa ni uchu wa madaraka na maslahi binafsi, na wala siyo kiu ya mabadiliko. 2.) Lissu na wenzake hawatofanya chochote cha ajabu. 3.) Angeshinda Mbowe angeweza ku-accommodate hao wadogo zake, simuoni Lissu kufanya unification ya chama sababu busara hizo hanaga. Mpasuko utazidi, atawalipizia kisasi waliompinga na chama kitakufa. Aidha, tunamsubiri amsafishe Mbowe, Wenje na chama kwa ujumla! Halafu, tunamsubiri yeye mwenyewe ajisafishe na tunakisubiri chama kimsafishe kuwa ‘siyo mropokaji’. Kwamba, katoka mla rushwa aliyedumu kwa miaka zaidi ya 20, kaingia mropokaji; na je chama cha hivi kiaminiwe? Tunasubiri paleeee! 4.) Sisi kutoa comments zetu mlidhani tunatia mkono wa chama/serikali, ndiyo maana tuliacha wamalizane. Kiko wapi sasa? CCM/serikali haijaingilia wala nini na tutawashinda vibaya mno 2025! Mnabisha? #HK #Fighter #NjeYaBox #SiasaNiVitendo
Indonesia
794
75
880
150.4K
Alpha Index
Alpha Index@AlphaIndexPro·
Ameuliza swali la experience "Umewahi kupanda gari ya magazeti? Ilikuwaje safari yako?" na hizi ndio replies zenye vihoja kama ulikuwa hujui.. Check the thread 💔👇🏾
Alpha Index tweet media
Indonesia
104
85
1.6K
297.4K
SIR JEFF⚡🇹🇿
SIR JEFF⚡🇹🇿@Sirjeff_D·
Kwa ukubwa wa IQ yangu... nikiona mtu anajisaidia choo cha kuchuchumaa, anajitawadha na kopo, namuona kama hayuko sawa.
SIR JEFF⚡🇹🇿 tweet media
Filipino
165
7
464
33.3K
fatma karume aka Shangazi
fatma karume aka Shangazi@fatma_karume·
🇹🇿 kuna watu wana STORIES. Waache siasa waandike VITABU. 😂😂😂😂
Filipino
4
1
52
7.4K
fatma karume aka Shangazi
fatma karume aka Shangazi@fatma_karume·
Mapinduzi yanatokea kwenye Nchi pale Serikali inavyoondoshwa kwa NGUVU ya W’nchi au Jeshi kiharamu (kinyume na Katiba) Swali: Unampindua vipi mwenyekiti wa Chama cha Siasa cha UPINZANI kiharamu bila ya msaada wa Serikali? Mahakama hakuna? Msajili wa vyama yuko wapi? 😂😂😂😂
Indonesia
36
49
536
28.5K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Nimesikiliza Press ya Wenje leo, Hizi nondo na misumari aliyopiga itawatesa sana Timu Lissu, Hongera sana Wenje, umejibu hoja vizuri sana na jambo zuri zaidi hujamaliza yote umeacha silaha muhimu za vita wakijibu tu waue zaidi wasiinuke tena!
Indonesia
340
22
368
69.1K
Jebra Kambole
Jebra Kambole@Advocate_Jebra·
@FKihamu Alinshindwa kWa Ndugulile, anaweza kushindwa popote! Huyo kazi za ofisini kama kureveiw madocuments, kaundika hawezi ndo maana huwa anakimbilia petty issues,
Filipino
31
26
429
17.2K
Farhan Kihamu Jr
Farhan Kihamu Jr@FKihamu·
Paul Makonda anaweza kugombea Arusha Mjini na anaweza akatoboa as it stands?
Indonesia
165
30
1.1K
160.4K
ERICK MAZENGO CHITOJO
ERICK MAZENGO CHITOJO@ECITOJO·
@Labella_Mafia95 Usemayo ni ngumu kueleweka kma unamtizamo hasi juu ya PM. ukita kujufunza yaliyo mazuri kwa PM mtizame katika jicho chanya. Binadamu hawezi kosa mapungufu ila jamaa anatabia ya kufanya chochote kwa hali ya juu sana na matoke yake ni kumpenda sana au kumchukia sana. #anakabiajuu
Indonesia
0
0
0
95
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚
Kama tunajifunza chochote kutoka kwake, ni kwamba lazima tujifunze kusoma vision ya kiongozi wetu na kufanya kazi kwa bidii ili kufanikisha malengo ya pamoja. Hii ni opinion yangu — unaweza kutokubaliana, lakini ukweli unabaki pale pale: Makonda ni kiongozi anayejua maana ya kwenda extra mile. Please follow account yangu mpya @SB_Ladder uweze kujifunza mambo mbalimbali kuhusu biashara. — #Ende
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 tweet media
Indonesia
29
5
70
17.7K
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚
THREAD: Mtazamo wangu kuhusu Makonda kama kiongozi. Nimewahi kusema na nitarudia tena—Makonda ni visionary. Kile anachokifanya Arusha kwa kushirikiana na washirika wake, ni kitu kikubwa. Huwezi kuchukia ukitazama kwa jicho la haki..⬇️
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 tweet media
Indonesia
176
89
1.3K
209.3K
KONCEPT TV
KONCEPT TV@koncept_tv·
Muigizaji maarufu wa Marekani Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote za jamaa ikiwemo jumba lake na binti yao kisha mwanamke huyo kurudiana na ex wake wa zamani. Unaambiwa Tyrese amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nyumba hiyo mpaka aalikwe tu na amepewa ruhusa ya kumuona mwanae mara 3 tu kwa mwezi Mke wa Tyrese amesema alikubali kuolewa na Tyrese sababu ya umaarufu tu ila hakuwa na hisia nae kimapenzi hata kidogo na wakati wote akiwa na Tyrese alikuwa akifanya mawasiliano na huyo ex wake Anasema ex wake ndio mwanaume waliyependana kwa dhati japo hakuwa na pesa wala umaarufu ila hisia zake zote daima zilikuwa kwa njemba huyo.
KONCEPT TV tweet media
Indonesia
73
16
152
24K
Ze Planmaster
Ze Planmaster@ZPlanmaster·
How do you these shoes in your language?😀
Ze Planmaster tweet media
English
76
8
82
4.1K
GURU
GURU@SharoGangstar·
Curry ni mchezaji mzuri akicheza na Wachezaji wakali. 😂 Ingekuwa kina Green , tungemuonea Huruma 😂😂😂
Suomi
2
0
11
371
ERICK MAZENGO CHITOJO
ERICK MAZENGO CHITOJO@ECITOJO·
@RehemaNM2 @ChademaTz @TunduALissu Hii ndo sababu sina imani na upinzani tena,sishangai sababu 2010 nikiwa kijana mdogo kipindi siasa za upinzani zina nguvu kwa vijana kwa kiasi kikumbwa nilishuhudia uvunjwaji wa democracy na rushwa kwa kiasi cha kuumiza,na hapo ndo nikasema wengi wako kimaslai na manipulation tu.
Filipino
0
0
1
21
Rehema Mugogo
Rehema Mugogo@RehemaNM2·
NIMESIKILIZA hii AUDIO yaani Viongozi wa UPINZANI TULIOWAAMINI wanapokea PESA za Abdul na Mama yake ili KUISAIDIA ccm IENDELEE kuwepo MADARAKANI hii INAUMIZA sana. INAUMA mno Kiongozi wa @ChademaTz kampeleka Abdul nyumbani kwa @TunduALissu kumpa RUSHWA😢
Indonesia
78
103
353
46.5K
ERICK MAZENGO CHITOJO
ERICK MAZENGO CHITOJO@ECITOJO·
@datius_tz Baba baridi hiyo mtoto asipigwe na baridi haswa maeneo ya miguuni mvalishe mguo inayofunika na nzito. Sijui uko mkoa gan? Hii kitu nikiwa mdogo haswa primary ilinitesa sana nanilikuwa sipendi sana. Na si kila mtu hii hali inampata…#byuzowefu wangu
Filipino
0
0
0
5
ERICK MAZENGO CHITOJO
ERICK MAZENGO CHITOJO@ECITOJO·
@raphyrodrick Mzeee hakuna kinacho shindikana alie panga ubaya anambinu, NOTE ni ushauri mzuri wakukubaliwa na wengi wetu piaa..
Filipino
0
0
0
4