silva de boateng 17

140 posts

silva de boateng 17

silva de boateng 17

@FestoKyando94

Engineering works &Tour guide

Dodoma, Tanzania Katılım Kasım 2025
118 Takip Edilen10 Takipçiler
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
Hizi zote ni za Usiku wa kuamkia leo.,Acha tuendelee kuamini Busses kusafiri usiku hakuna tatizo tutafika tu tunapotaka kwenda 🤝
Eng.Mapunda Jr tweet mediaEng.Mapunda Jr tweet media
Indonesia
68
24
309
34.3K
Tanzania Bound Buses
Tanzania Bound Buses@TBoundBuses·
Ila kuna watu wanapata fursa wanazichezea aisee, pisi kama hi inakuja kukaa karibu yako halafu unakuwa bize na simu kweli!! 😂 #Mallessa's Makongolosi || Dar-es-Salaam Kila siku 🔥 @mallessa_luxury naomba namba ya hostess nimsalimu
Tanzania Bound Buses tweet mediaTanzania Bound Buses tweet media
Filipino
8
1
72
3K
Dullah_theKing🎧
Dullah_theKing🎧@DullahTheking2·
You’re still listening to this Classic album, right❔❓
Dullah_theKing🎧 tweet media
English
25
45
307
8.4K
UMOJA WA HAKI ZA MADEREVA@🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇷🇼🇷🇼🥰🙏
Ndege ndogo ya abiria imedondoka Kusini - Magharibi mwa mji wa Juba nchini Sudani Kusini na kuua watu 15 waliokuwa ndani yake. Kwa mujibu wa mamlaka ya usafiri wa anga ya nchi hiyo (SSCAA) ndege hiyo imeanguka umbali wa kilometa 20 kutoka Juba Jumatatu asubuhi.
UMOJA WA HAKI ZA MADEREVA@🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇷🇼🇷🇼🥰🙏 tweet media
Indonesia
1
0
19
756
silva de boateng 17
silva de boateng 17@FestoKyando94·
@bajabiri Sa itakuwaje kwa wale watu wanaotumia maji ya huo mto kwa shughuli za kawaida
Filipino
0
0
1
220
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
@nooyary @FestoKyando94 Mimi hoja yangu ni kuwa tulijiandaa na huu utaratibu..,Mamlaka husika zinafanya homework zao ipasvyo.. Kumbuka usiku hakuna Speed Camera.,kwahiyo dereva tu maamuzi yake. Uendeshaji wa Usiku na Daylight una utofauti mkubwa sana
Indonesia
2
0
3
118
silva de boateng 17
silva de boateng 17@FestoKyando94·
@barackmtulo @EngMapundajr Kwani mchan hakuna ajal ulishawah endesha Gari usiku alaf barabarab iwe mbovu na ulishawah endesha Gari mchan alaf ukute barabar mbovu ukishajib ndio toa maelezo ya utofauti wa hii hali
Indonesia
1
0
0
10
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺
Mwaka 2017 aliyekuwa mfanyabiahsra maarufu wa Tanzania na kiongozi wa ‘Freemason’ Afrika Mashariki, Jayantilal Keshavji “Andy” Chande amefariki dunia huko Nairobi nchini Kenya. Jayantilal Keshavji “Andy” Chande alizaliwa May 7, 1928 Mombasa Kenya, na wakati wa utoto wake aliishi Bukene mkoani Tabora ambako ndiko alikopata elimu yake ya msingi. Elimu yake ya sekondari aliipata katika Shule ya St. Peter’s School iliyoko Panchgani, walaya ya Satara, Jimbo la Maharashtra nchini India. Baada ya kufanya vizuri katika mitihani yake ndipo alipopata jina jipya la ‘Andy’ ambalo ndilo alikuwa akilitumia mpaka mauti yalipomkuta. Baada ya kumaliza masomo yake, alirudi nchini Tanzania na kuendelea kumsaidia baba yake katika shughuli za kibiashara. Mnamo mwaka 1967 wakati azimio la Arusha lilipopitisha sera ya utaifishaji, mali nyingi zilitaifishwa na kuwa za serikali. Ujuzi aliokuwa nao Andy ulimfanya Mwl. Nyerere amteue kuwa Meneja Mkuu wa Shirika la Taifa la kuhifadhi nafaka (National Milling Corporation) Mpaka kufikia mwaka 2015 alikwa na utajiri wa dola za kimarekani milioni 892 sawa na TZS trilioni 1.9. Wakati wa uhai wake amewahi kupokea tuzo mbalimbali ikiwemo ya (Knight Commander of the Most Excellent Order of the British Empire) KBE mwaka 2003 ambayo ilikuwa ni kwa mara ya kwanza kupewa raia wa Tanzania. FOLLOW ME @SwahiliRealTalk kwa historia nyingi zaidi
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺 tweet media
Indonesia
15
26
138
27.1K
chalkboard teacher
chalkboard teacher@justyfromNorth·
@GilbertPaul095 @Adventure_36 Mpenja hastaili hata kufunga gidamu za viatu vya nazareti upete basi tu dogo Bado hajakuwa ana vinyege kiherehere anagombana kwenye bao la asubuhi
Indonesia
2
0
3
186
MTANZANIA 🇹🇿
MTANZANIA 🇹🇿@GilbertPaul095·
Itoshe kusema BARAKA MPENJA ndiye Mtangazaji bora wa kandanda wa muda wooote, AFRICA MASHARIKI NA KATI🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🙌🏻
MTANZANIA 🇹🇿 tweet media
Indonesia
27
17
270
5.5K
Hormuz™️
Hormuz™️@bajabiri·
Beka na Chama wangekutana mapema, Simba ingechukua Ubingwa wa Afrika. ⚽️ and KMC Kit by #JustFit
Hormuz™️ tweet media
Indonesia
2
3
76
1.5K
killo_Killotz
killo_Killotz@killo_killo11·
Ni ndoto ya kila mwanaume kupata mwanamke anae jistiri like this.😍
killo_Killotz tweet media
Indonesia
9
10
82
2.1K
mTusi original 👦
mTusi original 👦@mTusiOriginal·
Kwanini huyu dogo amejikuta akichukiwa na wapenda mziki na burudani mfano watoto wa singeli ndio hawampendi kabisa, kupenda sifa na kujiona kamaliza ajila yenyewe nasikia aliomba kwa kulia lia pale aache sifa rich msafi😂👇
mTusi original 👦 tweet mediamTusi original 👦 tweet media
Indonesia
33
16
256
33.6K
Dunia🌍
Dunia🌍@DuniaSlaveDunia·
Mto Ruaha Morogoro hili ndio Daraja niliskia limegarimu Tsh.36.5 Bilion
Dunia🌍 tweet media
Indonesia
17
8
151
14K