Filbert Msongela

143 posts

Filbert Msongela

Filbert Msongela

@FilbertMso50298

Katılım Aralık 2023
127 Takip Edilen17 Takipçiler
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
SAD STORY — Hii picha ni mtu, ni mshikaji, ni rafiki, ni kaka, ni shujaa; ni mwana ambaye ndoto zake zilizimwa kwa risasi. Ni Daniel aka Lissu wa Kitaa. Alipigwa risasi akafa akiwa Ubungo. Hii tunaijua sote – au, kama hujui, fahamu huyu ni Daniel aka Lissu wa Kitaa. 🧵🧵
Tito Magoti tweet media
Indonesia
46
365
1.6K
33.4K
Mkongwe
Mkongwe@Ulaya122·
@HildaNewton21 Huyo.Daniel Maftah aliwahi kugombea ubunge jimbo la karambo / Rukwa mwaka 2015 akashinda lakini akahongwa pesa akakubali kuwa ameshindwa raia wanam'mind kinoma
Filipino
1
1
6
2.2K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
‼️TAHADHARI‼️ Wapendwa WANACHADEMA pamoja na Wapenda Mabadiliko wote popote pale mlipo. Nawaomba sana kuweni makini na hawa Vijana mnaowaona kwenye hizi picha. Huyu upande wa kulia anaitwa Daniel Naftal na huyu wa kushoto anaitwa Bruce Cuthbert, hawa watu wanajitambulisha kwamba wao ni Wanachama wa CHADEMA lakini kazi ambayo wanafanya ni ya kuhujumu CHADEMA. Hawa watu kwa kushirikiana na watu wa TISS kupitia ofisa wa TISS ambae anaitwa Frank Malaki mwenye namba za simu +255 742 007 799 wapewa fungu la pesa ili wapite huko Mikoani washawishi Viongozi wa CHADEMA kwenye majimbo, Wilaya, Mikoa na Kanda ili watangaze kujiuzulu nyadhifa zao kisha badae watangaze kujiunga na CCM au CHAUMWA. Wanaambia VIONGOZI wa CHADEMA kwamba CHADEMA inaenda kufutwa so bora wahame waende CCM au CHAUMA. Walianza kuwashiwishi Viongozi wa CHADEMA Kanda ya Nyasa lakin hawakupata mtu, halafu kila wanapoenda kukutana na Viongozi wa CHADEMA wanaenda kama Makamanda kumbe wamebeba ujumbe wa MACCM. Walienda Kanda ya Kusini wakatoka kapa, Wameenda Kanda ya Kati wamepata Kiongozi mmoja ambae anatarajia kutangaza kuhama hivi karibuni maana kadanganywa, kaambiwa alete CV atatafutiwa kazi Serikali.😂 Sasa hivi wapo Kanda ya Kaskazini, wameweka kambi yao Arusha mjini na mpaka sasa tayari kuna Viongozi wa Kilimanjaro, Arusha, Manyara na Tanga wameshafikiwa lakin bahati nzuri Viongozi wetu wengi wamekataa na wamewambia hawa madalali kwamba katu hawawezi kusaliti Mapambano. Nawapongeza Viongozi wa maeneo yote ambao mmekataa pesa na ahadi za kutafutiwa kazi Serikalini kutoka kwa hawa Madalali wa Siasa. Viongozi wa CHADEMA ambao bado hawajafika kwenye maeneo yenu kaeni RADA mkiona tu sura zao kwenye maeneo wakija na story za kuwashawishi/kuwapa pesa ili mtangaze kujiuzulu wapeni HAKI YAO YA KIKATIBA ILI IWE FUNZO KWA MADALALI WOTE WA SIASA.
Hilda Newton tweet mediaHilda Newton tweet media
Filipino
62
222
932
74.7K
Filbert Msongela
Filbert Msongela@FilbertMso50298·
@Baradhuli2 Najua hamjataka kukaa kinyonge, ukwli unajulikana kua lisu ndo nguli wa Sheria nchi hii ila kwakua mwamba ngoma huvutia kwake hatakama haitoi mlio mzuri Kila la kheri tunawatakia na katuga wenu.
Indonesia
0
0
0
581
BARADHULI
BARADHULI@Baradhuli2·
Tuliaminishwa Lissu Ndo Nguli Wa Sheria Yani Uje Na Kesi Umeua Akiwa Wakili Wako Unatoboa. Swali Ni Kwamba Hapa Kwa NASSORO KATUGA Mbona Kashindwa Kifurukuta 😁😁
BARADHULI tweet media
Indonesia
118
27
157
36.9K
Filbert Msongela
Filbert Msongela@FilbertMso50298·
My champion leader,tukopamoja sans
Filbert Msongela tweet media
Polski
0
0
0
3
millardayo
millardayo@millardayo·
#VIDEO Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani kwa hasira na huzuni kubwa kitendo cha kinyama na kisicho cha kibinadamu kilichotekelezwa na Askari wa magereza, ambaye amemshambulia kwa kumsukuma kwa nguvu na kumuangusha Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa Tundu Lissu, wakati akitoka katika viunga vya Mahakama ya Kisutu. Taarifa iliyotolewa leo July 31,2025 na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi CHADEMA, Brenda Rupia, imesema “Tukio hili limetokea baada ya kuahirishwa kwa kesi ya uhaini kwa mara nyingine tena, ambayo sasa imepangwa kutajwa tena August 13, 2025, hili sio tukio la kawaida, ni tukio la kikatili, la kushtua, na linalodhalilisha utu wa binadamu” “Ni hatari zaidi kwa kuwa limefanywa na Mtu ambaye, kisheria, anapaswa kuwa Mlinzi wa sheria, haki, ulinzi, na usalama wa raia wakiwemo wale wanaokabiliwa na kesi Mahakamani ambao bado wanastahili kuonekana kuwa hawana hatia hadi itakapothibitishwa vinginevyo na vyombo vya sheria, ni muhimu kuwakumbusha Watanzania wote kwamba Mwenyekiti, Mh. Tundu Lissu, bado anaendelea kuishi na ulemavu wa kudumu uliotokana na kupigwa risasi 16 katika jaribio la mauaji la September 7, 2017” “Kwa msingi huo, aina yoyote ya ukatili dhidi yake si tu kwamba ni kinyume cha sheria, bali pia ni tishio la moja kwa moja kwa maisha yake, CHADEMA inatoa wito mzito kwa Mahakama ya Tanzania, kama mhimili huru wa utoaji wa haki, kuhakikisha kuwa tukio hili linachunguzwa kwa kina, na hatua za haraka na wazi zinachukuliwa dhidi ya waliohusika, bila kujali wadhifa wao. Tukio la ukatili ndani ya maeneo ya Mahakama linaathiri taswira ya Mahakama kama kimbilio la haki, na linatishia uaminifu wa wananchi kwa mfumo wa utoaji haki nchini” #MillardAyoUPDATES
Indonesia
14
23
203
14.5K
Filbert Msongela
Filbert Msongela@FilbertMso50298·
@Kimbesa11 @mhabukat We jamaaa,nakuhurumia sana,hii Dunia n kigeugeu sana, yatunze unayo yaandika Tena uyatinze vizuri pale funzo la kukutambulisha jinsi ulimwengu ulivo utakua inapitishwa kwene maandiko Yako haya unayooyaandika,
Indonesia
2
0
0
17
Thadei Mhabuka
Thadei Mhabuka@mhabukat·
Wajinga sana hawa wala kodi zetu.
millardayo@millardayo

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Dar es salaam Albert Msando, amesema Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM) ambalo kwa wiki tatu limekuwa likitumiwa na Waumini wa KKAM na Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima kufanya Ibada, halijavunjwa kutokana na Waumini wa Gwajima kusali Kanisani hapo bali chanzo cha kuvunjwa kwake ni kutokana Kanisa hilo kujengwa ndani ya hifadhi ya barabara na tayari Uongozi wa Kanisa hilo ulishapewa notisi ya kuondoka eneo hilo. Akiongea na Mwandishi wa @AyoTV_, Bakari Chijumba wakiwa eneo lilipokuwa Kanisa hilo Ubungo Kibo Jijini Dar es salaam, DC Msando amesema Viongozi wa Kanisa hilo walishapewa notisi na TANROADS zaidi ya miezi miwili ya kutakiwa kuondoka eneo hilo na kusisitiza kuwa walipewa notisi hata kabla ya Waumini wa Gwajima kuanza kusali Kanisani hapo. Msando amesema Serikali haijawazuia Waumini wa Kanisa hilo kuendelea na Ibada na haiwezi kubomoa Kanisa kwasababu yao huku akisema hata leo Waumini hao wamefanya Ibada kwenye ukumbi wa Tanzanite Kimara Korogwe bila kuzuiwa na Polisi na amesema Jumapili ijayo yeye Msando atajumuika na Waumini wa Gwajima na watasali pamoja. Mwandishi alipotaka kujua kama DC Msando amewahi kuongea na Gwajima tangu kufungiwa kwa Makanisa yake na kama ikitokea akahudhuria Ibada Jumapili ijayo hatokamatwa, Msando amesema “Gwajima sijaongea nae hajawahi kunitafuta, akifika Kanisani kama atajielekeza kwenye yale ambayo yapo kwenye barua yake hatokamatwa na wala sio kwamba kutoonekana kwake ni kwasababu anakimbia Polisi kumkamata maana Polisi ikikuhitaji lazima itakupata” Video ya mahojiano Exclusive kati ya @AyoTV_ na DC Msando itapatikana katika chapisho linalofuata. #MillardAyoUPDATES

Indonesia
1
1
5
346
Filbert Msongela
Filbert Msongela@FilbertMso50298·
@Kimbesa11 @HussenAmid49492 @Jambotv_ @ChademaTZ2 Iwe ni ccm au cyo wewe hauna ulazina wa kujua anamwambia Nan kuwa hawatuwez,shida unajishtukia sana kama mwiz au aliefumaniwa,nenda kafanye tohara uchafu ukuondoke ndo utaona Raha ya uhuru katika tendo la ndoa.haki Yako huwez kuogopa kuidai Kwan moyo wako utakua huru na WA aman.
Indonesia
1
0
0
20
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo @ChademaTZ2 Tundu Anthiphas Lissu akiondolewa katika viunga vya Mahakama kuu baada ya kusikilizwa kwa shauri lake. Akishuka kizimbani Lissu alisikika akisema "hawatuwezi" baada ya kufika nje ya mahakama zimesikika sauti za "no reform no election"
Indonesia
9
173
829
17.4K
Filbert Msongela
Filbert Msongela@FilbertMso50298·
@Kimbesa11 @HecheJohn @judiciarytz Hata waliotenda mabaya waliishi mda mrefu tuu iliwaje kushudia utukufu wa mwenyez mumgu,mda mwingine basi myaone mema hata kama hamwapendi,koo mmeamua kuwashindilia kwa nyundo kabisa ili muwaondoe katika nyanja za kisiasa sis niwamoja tunaijenga nchi Moja kwann nikikukosea uniue?
Indonesia
0
0
0
18
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Jaji Masaju na mahakama yako @judiciarytz Leo wakati wa maandamano Kenya. Serikali imeagiza kuzima matangazo ya moja kwa moja ya TV zote, “live”kwa kigezo kwamba yanachochea zaidi maandamano Baadhi ya tv walikataa kwamba ni kinyume cha sheria na wao wana haki ya kuhabarisha umma na serikali haiwezi kujigeuza kuwa mhariri mkuu wa vyombo vya habari.. Serikali ikazima hizo tv na mitambo. Jioni hii wamiliki wakaenda mahakamani under certificate of urgency mahakama ya Kenya @Kenyajudiciary imeamuru tv zote ziwashwe wananchi wapate taarifa. Sisi tuna kesi ya kuonewa na jaji tumefungua under certificate of urgency na ni kesi yenye maslahi makubwa ya kiinchi tunaambiwa jaji atakuja tarehe 10 mwezi ujao!!!! Nyie mnajisikiaje? Hii Nchi ikiharibika mahakama ya Tanzania itakua imechangia pakubwa sana kwasababu ya kunyima watu haki zao. Tukomeshe impunity ili Nchi ipone. #NoReformsNoElection
John Heche tweet media
Indonesia
75
241
1K
38.4K
Filbert Msongela
Filbert Msongela@FilbertMso50298·
@Kimbesa11 @HecheJohn @judiciarytz Ndomana unatukanwa,nakamabhuja be matured enough utatukanwa sana wewe,yaani kizaz Cha watu kama ninyi ilitakiwa ikimpendeza mungu awapende zaidi ili msije mkazaa viumbe vya ajabu vikaendelea kuleta ujinga nchini
Indonesia
1
0
0
48
kimbesa.
kimbesa.@Kimbesa11·
@HecheJohn @judiciarytz Tanzania siyo Kenya na Kenya siyo Tanzania Tofauti zetu ni zakihistoria hatujawahi kuwa sawa. As long as mtu ana uhuru wa kuishi nchi yyte kwahyo ndugu @HecheJohn Kama unafurahia yanayoendelea Kenya una Uhuru wa kuhamia Kenya. Lakini mambo ya Kenya usiyalete Tz narudia...asante
Indonesia
10
1
4
1.8K
Filbert Msongela
Filbert Msongela@FilbertMso50298·
@Aduiwayanga @HecheJohn Acha ujinga wewe utakombolewa lini kifikra,acha kuidauti chadema mjaji aliezungumza je? Kazungumza ukweli au,kosoa alichokizungumza huyu kijqna kama unayo hoja ya msingi nawewe utasikilizwa
Indonesia
0
0
2
92
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Huyu sasa mtu unaweza kusema ni mwanafunzi wa chuo kikuu, huyu unaweza kumuita Msomi wa chuo. Hapa unapata fikra na uelewa sio uchawa na kujipendekeza hongera vijana.
Indonesia
139
696
3K
92.4K
kimbesa.
kimbesa.@Kimbesa11·
@HabarimpyaTv Sasa hapo wanafanya nini🤣🤣🤣 Mbona mm nisingeweza kuwa hapo au wanalipwa? Maana kwa akili ya kawaida tu mtu hawezi akawa anapiga makelele barabarani hivo.
Indonesia
3
0
1
56
HABARIMPYA TV
HABARIMPYA TV@HabarimpyaTv·
Baadhi ya wamumini wa kanisa la Glory of Christ Tanzania Church (Nyumba ya Ufufuo na Uzima) lililopo eneo la Ubungo wameamua kuaanza kufanya maombi mbali na kanisa la lao baada ya kuzuiawa kungia kufanya ibada kwenye kanisa lao.
Indonesia
11
79
541
10.3K
Filbert Msongela
Filbert Msongela@FilbertMso50298·
@Kimbesa11 @HabarimpyaTv We jamaa nataman nikuheshim ila duuu unakela sana,kwann kilakitu kwako kikiwa katika mtazamo unaoonekana niwakushauri makosa yanayofanyika na serikali unakuja juu na mkali sana wakati ni dhahiri kabisa gwajima alichokifanya nihaki yake ya kikatiba Wala hakumtukana mtu,
Indonesia
1
0
1
35
Filbert Msongela
Filbert Msongela@FilbertMso50298·
@Kimbesa11 @IkindaKani11826 Hamjiulizi ni kwanini chadema wanasema no reforms no election nyie mnakimbilia kusema eti n mamluki wanatumiwa na wazungu,,,hilo deni la tirion 107. Hamlizungumzii how can affect Tanzanian development.
Indonesia
0
0
0
6
Filbert Msongela
Filbert Msongela@FilbertMso50298·
@Kimbesa11 @IkindaKani11826 Wazaz wangu hawakunilea hivo mkuu shida ninyi ndo mnatufanya tuzinajisi nafsi zetu, nmefuatilia komenti zako nyingi kaka yaani wewe hujawai kuona jambo jema ndani ya chadema,katiba inatupa uhuru wa watu kutoa maoni Yao bila hata ya kuingiliw na serikali,watu wanatoa maoni hamjaji
Indonesia
0
0
0
14
kimbesa.
kimbesa.@Kimbesa11·
@IkindaKani11826 Umasikini wa kujitakia kila siku mnashinda mitandaoni wakati nchi imejaa idle land kibao, Sisi tukilima viazi tukiuza halafu tuwapendezeshe watoto wetu na uniform za kiwango mnatuona matajari wa nchi🤣
Indonesia
3
0
0
37
kimbesa.
kimbesa.@Kimbesa11·
@HecheJohn Napenda siku moja mfungiwe kwa sababu wafuasi wenu wanamatusi sana, na nyny Kama viongozi wa chadema hamjawahi kuwaonya kuacha matusi. Natamani kizazi kijacho kirithishwe maadili mema na si matusi. Narudia tena hii tabia ya matusi inayofanywa na wafuasi wa @ChademaTZ2 IKOME!
Indonesia
4
1
2
109
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Mbinu zote zinafanywa kujaribu kunyamazisha madai ya Watanzania ya kutaka kujiondoa kwenye makucha ya ccm. Tusiogope, tutashinda vita hii. Tuendelee kufanya kila kinachowezekana kuhakikisha #NoReformsNoElection inafanikiwa.
Indonesia
42
315
1.2K
14.5K