Saidi Hemedi

1.1K posts

Saidi Hemedi

Saidi Hemedi

@Flyboytz26

Katılım Mayıs 2024
87 Takip Edilen75 Takipçiler
ENGINEER
ENGINEER@EngineerMbwa·
@Mr_pikipiki Boda 70 anazisimamiaje na yeye yupo busy muda wote !!!
Indonesia
3
0
2
832
🇹🇿🇱🇷 BALOZI WA HAKI.
@zoetjesheeftX Iran Ina mdomo mpaana Sana wa kufanya Propaganda Ila kiukweli Irani ilivyo Sasa Ni Kama kuku aliye hai amenyonyolewa manyoya YOOTE na kuachiwa mtaani. Balaa tupu. Kuna mitz mienzetu siielewi I don't know sbb wa kidini Sana au kiroho kimewazidi. WANASHABIKIA UPUPU WA IRAN.
Indonesia
14
2
13
4.3K
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Kitendo Cha IRAN kudungua Ndege ya marekani kilifurahisha watu wengi Leo, wengi tulikuwa tume subiri kusikia hao marubani wame kamatwa wako kwenye mikono ya jeshi la IRAN. Kitu Cha kushangaza Ndege imedunguliwa ndani ya IRAN, halafu marekani akatuma Ndege Zake tatu kwenda ndani ya anga hilo hilo la IRAN tena zinapita kimo Cha chini huku wananchi ndo Wana zirekodi Kwa simu zao na wana fanikiwa kuokoa rubani wao mmoja, na mpaka muda huu Wana endelea na kumtafuta mwingine. Hiki kitu kitu wataalamu njooni mtueleze ina maana gani?
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Indonesia
42
8
194
39.6K
mimilicious🌹🍒
mimilicious🌹🍒@amina_hafidh·
Ngoja nihakikishe sehemu zangu za siri kama zipo kisha nilale Maana hali so nzuri🤣🤣🤣
mimilicious🌹🍒 tweet media
Slovenščina
11
6
40
3.9K
Vunga
Vunga@VungaEl74·
Pilot wananchi wa irani walimhifadhi🙌🏽🙌🏽
Vunga tweet media
Filipino
24
13
207
10.2K
ochola..🦅⚠️
ochola..🦅⚠️@therealrigoh·
Niwe tu mkwel huyu qm mim hajani motivate kwa lolote 🚮🚮
ochola..🦅⚠️ tweet media
Indonesia
149
12
308
30.3K
PABLO
PABLO@PabloYende·
Katika Utafutaji wa Hela za Mitandaoni Betting ndio sehem pekee hakuna Utapeli 📌
Indonesia
28
64
603
27.3K
Saidi Hemedi
Saidi Hemedi@Flyboytz26·
@Thereal_taivina Kaka ishi maisha yako usiwape time wachawi, nani asiejua kwamba vijana wengi siku hizi ndo wachawi Husda, chuki, roho za kutopenda wengine wapige hatua zimewajaa. Tujiweke mbali sana na vijana wachawi
Indonesia
0
0
0
27
Saidi Hemedi
Saidi Hemedi@Flyboytz26·
@Elsukay0 Punguza chuki hao wote unaowaona hapo wana akili timamu na wanajua walichofata hapo. Punguzeni uchawi 🖕
Indonesia
0
0
1
192
EL SUKAYO🇹🇿
EL SUKAYO🇹🇿@Elsukay0·
Kikao cha wanaume cha IPM bhana unachangishwa 50k kama Kiingilo ukiingia ndani unaambiwa ukatafute tena hela 😂😂 mara mpe mkeo hela 😂😂 mi niliwaambia mnapigwa haya mmeona sasa? Wakati huyo yeye kakusanya 50k zenu
EL SUKAYO🇹🇿 tweet media
Filipino
84
39
492
33K
Saidi Hemedi
Saidi Hemedi@Flyboytz26·
@ezra_mollel @Thereal_taivina Kama ilivyo Wanamziki, wanasoka, hivyo hivyo Betting Changamoto wengi wanalazimisha Betting iwe ya wote matokeo yake ndo haya yanayoendelea
Indonesia
0
0
0
11
Ezra Mollel
Ezra Mollel@ezra_mollel·
@Thereal_taivina Watu wakubali kamari sio ya kila mtu, wengine imetushinda na imetufedheesha ila wapo ambao ni profesional yao kama nyie na wengine wengi Duniani. Sio sawaa kushambulia riziki ya mtu kama haingiliani na yako na haikudhuru.
Indonesia
1
0
0
704
Taivina James
Taivina James@Thereal_taivina·
Mtu atakayecheza live games kwenye App ya Kubetia na Atakayecheza kwenye hii Set Up wote wafanane kisa ni kubahatisha? Sisi tumeweka Nguvu, Hela, Akili na Consistency kwenye kamari kama hamkubali basi heshimuni tulieni. Bidii zote zile leo mnaipakulia minyama bahati??
Daudi Emmanuel@daudi10emmanuel

@BillyTronix1 Ila sio ajira Betting ni mchezo wa kubahatisha. Hamna MASTER wa mchezo huu. Kujivika taji ndipo watu wanapokosea

Indonesia
22
27
205
22.8K
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o
Ko Bonge ndo amefungia account ya SATIVA?😂😂 Mna Mavi Kichwani nini? Battle ilikua ya social ilikua yee na Taivina afu account ya Sativa inafungwa anasogeza mimba mbele kujitia Umwamba We all know accounts za Harakati zinafungwa na Meta na si mara ya KWANZA. Usijipe UMUHIMU.
Filipino
3
24
249
14.4K
Saidi Hemedi
Saidi Hemedi@Flyboytz26·
@ZenjiboyZnz Wewe sema tu ni shoga unatafuta njia ya kuhalalisha usenge. Haya endelea kubinua kijambio
Indonesia
0
0
1
52
Mr IBU 🇪🇦
Mr IBU 🇪🇦@ZenjiboyZnz·
"Nitageuka shoga kwanza kabla ya kukubali kuwa sativa sio tapeli . I just can't" mliganya 2026
Mr IBU 🇪🇦 tweet media
Indonesia
70
38
224
43.2K
mimilicious🌹🍒
mimilicious🌹🍒@amina_hafidh·
Twitter imenifundisha kuwa wanaweza kukusaidia halafu wakakuonea wivu kwenye msaada walokupa💔 Kuwa makini🤝
mimilicious🌹🍒 tweet media
Indonesia
45
36
144
5.3K
Saidi Hemedi
Saidi Hemedi@Flyboytz26·
@EsirEid Tajiri lakini huyo jamaa unayesupport yeye ni mhubiri mkubwa wa forex je ni sawa?
Indonesia
0
0
0
17
mimilicious🌹🍒
mimilicious🌹🍒@amina_hafidh·
Kwahio Sativa kwa sasa ana vita mbili ya Mafwele na Mafole🤣🤣🤣 Wote maf maf kazi anayo🤣🤣😂
mimilicious🌹🍒 tweet media
Filipino
14
19
56
5.7K