Frank Edson Cavan
17.7K posts


Leo Kamati Tendaji ya BAWACHA Taifa imeketi mjini Dodoma ambapo, pamoja na mambo mengine, imepokea mafunzo ya uongozi yaliyolenga kuimarisha uwezo wa viongozi katika kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi zaidi.
Aidha, kikao kimejadili na kupanga mikakati mbalimbali ya namna bora ya kuendeleza agenda ya kudai Katiba Mpya pamoja na kampeni ya Free Tundu Lissu, ikiwa ni sehemu ya kuendelea kusimamia haki, demokrasia na utawala bora nchini.




Indonesia
Frank Edson Cavan retweetledi

MAHAKAMA YA RUFAA KUSIKIKIZA KESI DHIDI YA Mhe LISSU, June 11,2026:
Mahakama ya Rufaa itasikiliza maombi ya Mkurugenzi wa mashitaka nchini dhidi ya Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe Tundu Antipas Lissu Alhamisi ya tarehe 11 June, 2026.
Haya ni yale maombi ya Jamhuri ambayo waliyapeleka baada ya Mahakama kuu kukubali pingamizi la Mhe Lissu dhidi ya maombi ya Serikali kuraka kuongeza maelezo ya nyongeza ya shahidi.
Jopo la Majaji 3 wa Mahakama ya Rufaa wamepangwa ambao ni, Mhe Mwalija, Mhe Jaji Muruke na Mhe Jaji Khamisi.
Hakikisha ujumbe huu umewafikia kwa wingi marafiki wa Demokrasia na Haki.

Indonesia

@FrankMtey @nuru_yumyum Yaani matatizo Yao ya akili wanahusisha wanaume
Filipino
Frank Edson Cavan retweetledi
Frank Edson Cavan retweetledi

TANZANIA LOVES YOU BABA!!!!!!!!!
After pressure from the US Senate, today Samia Suluhu ‘s murderous regime has dropped the case against the main opposition party, CHADEMA. We are now hopeful she will release Tundu Lissu.
@realDonaldTrump @potus Once we have our country back from the killers, your statue will proudly stand at Posta round- about as the man who liberated Tanzania from black colonialism. You are single handedly bringing FREEDOM to Tanzania!!!
@tedcruz @SenatorShaheen @SFRCdems @SenateForeign @SecRubio Tanzania willl forever thankful. THANK YOU!!!! PLEASE KEEP APPLYING PRESSURE!!!
GOD BLESS TANZANIA, GOD BLESS AMERICA, FOREVER ALLIES!!!!!!!!

English

#BreakingNews
Kesi ya Mgawanyo wa mali za CHADEMA imefutwa leo naona Said Issa na waliomtuma wameweka mpira kwapani.
Na bado hata kesi ya Mhe. Lissu watafuta tu
Filipino

@HildaNewton21 Maaamae 🤣🤣 Kesho kutwa Lissu ataachiwa, kutakua Kwa moto sana 🔥🔥
Filipino

Yani Trump kawagusa kidogo tu wauaji wa Oktoba 29, leo wamefuta kesi ya Mgawanyo wa mali za Chadema na sitashangaa mwezi ujao wakifuta kesi ya Uhaini dhidi ya Mhe. Lissu maana sasa hivi wamebanwa kwenye kona hawana pa kutokea.
Wanahaha kujinasua ila uzuri tuliwaonya tangu siku ya kwanza lakini walishupaza shingo sasa kinawaramba.😂😂😂😂
Indonesia
Frank Edson Cavan retweetledi

MUNGU NI MWEMA, MAHAKA KUU IMEKUBALI PINGAMIZI LA MAWAKILI WA CHADEMA- KESI YA MGAWSNYO WA MALINZA CHAMA IMEFUTWA RASMI LEO
Mahakama kuu ya Tanzania, Masijala ya Dar es salaam leo imetoa uamuzi kufuatia pingamizi la mawakili wa Chama waliloweka wakidai hati ya madai haikuonrsha lini mgogoro ulianza jambo ambo ni kinyume cha Sheria.
Awali pingamizi hili lilipowekwa Jaji Mwanga aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo alidai kwamba, wakati kesi ikiendelea itajulikana mbele ya safari ni lini hasa madai yalianza.
Ikumbukwe kwamba, Mahakama ya Rufaa baada ya kusikiliza hoja za majereo ilielekeza mahakama kuu ikaamue hoja hiyo mbele ya jaji mwingine ambapo kesi hiyo ilipangwa mbele ya Mhe Jaji D. Ngunyale.
Leo, Mahakama imetoa uamuzi na kukubaliana na hoja zetu kwamba kitendo cha waleta madai kushindwa kuonesha lini hasa madai yao yalianza kinainyima mahakama nafasi ya kujiridhisha kama kweli inayo mamlaka ya kusikiliza madai husika.
Kufuatia hali hiyo, kesi hiyo namba 8323/2025 imefutwa rasmi leo.
Nawashukuru marafiki wote ambao mumelia nasi kama chama kwa namna moja ama nyingine, hakika leo tumshukuru Mungu kwa pamoja.
Indonesia


@FrankMtey Niemekulupuka nikajua ni vile anajiita mtikilaa 😂😂🙏🙏
Suomi
Frank Edson Cavan retweetledi
Frank Edson Cavan retweetledi
Frank Edson Cavan retweetledi

“Nyama zao hazimfikii Mwenyezi Mungu wala damu zao, lakini unamfikia ucha-Mungu utokao kwenu...” (Al-Hajj: 37).
Ibada hii ni ukumbusho wa utii wa Nabii Ibrahim (Alayhi Salaam - A.S) na mwanawe Ismail. Mtume anatufundisha kuwa kila tunachotoa kiwe kwa ajili ya kutafuta radhi za Allah pekee.
Nabii Ibrahim (A.S), ndiye chimbuko la sikukuu ya Eid al-Adha na ibada tukufu ya Hajj. Maisha yake yamejaa mafundisho makubwa ya subira, utii, na upendo wa dhati kwa Muumba wake.
Eid Mubarak, kwako na kwa familia yako! #EidAlAdha 🌙🕌

Indonesia
Frank Edson Cavan retweetledi

Wabunge haram wanataka Serikali ya Marekani iwape nafasi wajitete lakini wao waliuwa kwa risasi Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi hawakuwapa hata nafasi ya kujitetea wala kusali sala ya mwisho.
Kila nikikumbuka huu ukatili huwa nahisi kama moyo wangu unataka kupasuka, nasikia huzuni ambayo haielezeki.😭😭
Namuomba Mungu aendelee kuwapa pumziko la milele wapendwa wetu.🙏😭

Indonesia










