Geoffrey Victor Kavishe, PhD🖊

874 posts

Geoffrey Victor Kavishe, PhD🖊 banner
Geoffrey Victor Kavishe, PhD🖊

Geoffrey Victor Kavishe, PhD🖊

@Geofreik

UDSM Alumnus

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ocak 2015
37 Takip Edilen70 Takipçiler
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Ni raisi gani wa Tanzania ambae ukisikia watu wanamuongelea vibaya huwa unachukia na hata unajaribu kumtetea 1. Nyerere 2. Mwinyi 3. Mkapa 4. Kikwete 5. Magufuli 6. Samia
Filipino
166
33
298
22.3K
Geoffrey Victor Kavishe, PhD🖊
@Therealngassa Biashara inasomwa... mtu mwenye usomi wa biashara pamoja na experience uwezi mfananisha na mtu mwenye experience pekeake... ata wafanyabiashara wakubwa wanaajiri wasomi wa biashara pia!
Indonesia
3
0
1
42
NGASSA+255
NGASSA+255@Therealngassa·
Biashara haisomewi inafanywa
Indonesia
7
16
79
1.1K
P'site Shio
P'site Shio@Psiteshio1·
Watu wamepiga 151B yaani hata kama wapo wengi kiasi gani kuna mmoja hapo kalamba 50B. Sasa nikuulize wewe kijana wa Dar u Es Salaam, NI lini utashika million 1 ya kwako mwenyewe kwa kuuza uduvi ambao faida yake NI 300?
Indonesia
16
15
287
10.9K
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
Quotation 137bil Contract 338 bil Ufisadi 151 BIL Kwahiyo kwenye Uwanja tu wakali wamepiga 151 bil?? Daah sio mchezo watu wanakula kwa Urefu kamba 🙌
Indonesia
27
42
327
15.2K
MAUGO JR
MAUGO JR@Ugo0011·
@Geofreik @Aruatani Kipindi cha John Pombe Magufuli kilionyesha wazi jinsi taasisi zinazostahiki huru, kama Tume ya Taifa ya Uchaguzi , zinapoweza kuingiliwa kisiasa. Uchaguzi wa 2020 ulionyesha wazi kupoteza kabisa uaminifu na neutraliti ya NEC. Hapo demokrasia si ya kudumu, bali ni cheo tu.
Indonesia
1
0
0
17
MAUGO JR
MAUGO JR@Ugo0011·
@Geofreik @Aruatani Kipindi cha John Pombe Magufuli kilionesha kupungua kwa nguvu za taasisi nyingine kuisimamia serikali. Mfumo wa siasa unahitaji mihimili ijitegemee, lakini hapo kulikuwa na mwelekeo wa maamuzi kujikita zaidi upande mmoja
Indonesia
1
0
0
11
Geoffrey Victor Kavishe, PhD🖊
@MariaSTsehai Vijana wengi wanao lishwa propaganda za uyu mdada wanakuwa ni kama hawana akili, ukiwapelekea hoja wanaishia kuwa wakali, wanaishia kutukana... brainless braincells
Indonesia
3
0
2
378
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Wanafiki wako Chato ila ukiwauliza Polepole yuko wapi wanakwambia “alizidi” au “alijitakia” - walishindwa nini kumjibu kwa hoja hadi wamteke na wampoteze hivi!? Washenzi tu hawa wote! Uzuri mi siwezi kuwa mnafiki na Polepole tulikubaliana kuwa kuna mengi tulitofautiana enzi za Magufuli ila kwenye misingi tutasimama pamoja! #FreePolepole #SamiaMustGo
Indonesia
10
159
658
26.4K
Billy
Billy@BillyTronix1·
Hii ni sababu mojawapo CCM itatuongoza milele ..wakimsimamisha jamaa 2030 watu watasahau kila kitu watawapa tena CCM nafasi.
Indonesia
50
14
283
33.1K
Tanganyika
Tanganyika@keneth_tan11760·
@__Masstown HUYU NDIYE ALIYE ANZISHA UTEKAJI,PAMOJA NA MAUAJI YA WATANGANYIKA.KWANINI NASEMA HIVI?KATIKA UTAWALA WAKE NDIPO MIILI YA WATU ILIKUWA INAOKOTWA FUKWENI MWA MITO BAHARINI NK PIA NDIPO LISU ALIMIMINIWA MALISASI KIBAO NA HAKUSEMA WALA KUSHINIKIZA UCHUNGUZI ALIFUNIKA ROMA KUTEKWA NK
Indonesia
1
0
1
71
Geoffrey Victor Kavishe, PhD🖊
@paulbaita Hili likenge ni either linalipwa au ni likenge la upinzani, au ni likenge lichawa au nilikenge ambalo kwa namna fulan liliguswa na Magu, yan rais anapendwa na wananchi wengi we unakuja kuandika ukenge wako apa mtoto wa kiume kenge kabisa wew, umenikwaza sana sema kwaresma hii
Indonesia
0
0
0
15
Sir Baita
Sir Baita@paulbaita·
Huwezi Kutenganisha utawala wa hayati Magufuli na Jaribio la mauaji ya Tundu Lissu 2017. Hoja ya kwamba hakuna binadamu mkamilifu haitoshelezi kufuta yale maovu aliyoyaasisi hayati JPM. Uvunjwaji wa Katiba na ukandamizaji wa wapinzani, wakosoaji na wanaharakati ulishamiri kipindi cha utawala wake. Huyu ndiye mwasisi wa kuwaengua wapinzani katika mchakato wa chaguzi mbalimbali, in short huyu aliwachorea dira waliopo namna ya kutawala kwa mtutu wa bunduki. Mwasisi kamili wa udikteta na utawala wa mabavu. Walijifunza kwake lakini wakapindukia wao wakaenda mbali zaidi ambapo baada yake tumeshuhudia wimbo kubwa zaidi la utekaji na ukandamizaji wa kihistoria na mateso makali kwa wapinzani na wakosoaji. Waliochukua kijiti chake wameenda mbali zaidi na kupora rasilimali na kuziuza kwa wachina na waarabu, wakapindukia zaidi katika michakato ya uchaguzi iliyosheheni udanganyifu na kugushi matokeo ambayo hapakuwepo na upinzani. Haikitosha waliomrithi wakafanya mauaji ya halaiki ya October 29 ili kupindua mamlaka ya raia na kuitwaa dola kwa kumwaga damu. UKIONA GIZA LIMEENDELEA SANA UJUE PANAKARIBIA KUPAMBAZUKA.
Sir Baita tweet media
Indonesia
8
15
67
1.7K
Mesut Arteta
Mesut Arteta@moussamosses·
@bonifacejoseph_ Acha usenge dogo. Wewe unakuaje kama kuma? Ben saanane au lisu wangekua baba zako ungeongea huu ukkuma? Huyu msssenge ndo sababu tupo hapa tulipo leo pale tu aliposema hakuahidi katiba. Watanzania acheni usssenge tumieni akili kumanina zenu
Indonesia
4
0
1
470
Bony 📚
Bony 📚@bonifacejoseph_·
Wapo walioumizwa naye na mostly wakiwa ni wanasiasa wa vyama vya upinzani, lakini kwenye mizania huyu alikuwa atufikishe kwenye Nchi ya ahadi, probably the best president ever after Mwalimu. Mimi binafsi nilikuwa napenda falsafa yake ya uwajibikaji, na baadhi ya mambo wasaidizi wake walikuwa wanamuangusha.!!
ProsperNow.@prossoff

Do you miss him!?

Indonesia
39
23
169
12.8K
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Nyama ya mtu ina tabia moja hivi, ukishaanza kuila kamwe hauwezi kuiacha. Mwalimu Nyerere ndio alisema haya, si ndio?🤔
(---) Onesmo Mushi tweet media
Indonesia
9
32
291
10.2K
Geoffrey Victor Kavishe, PhD🖊
@EduTalkTz CHADEMA walimgusa Magufuli na Magufuli aliwagusa CHADEMA pia, Magufuli aliwagusa mafisadi majangili na wauza madawa kulevya, matapeli Tz nzima vita ilikua kali mno vijana wapo kumpondea tu ila hawajui kitu
Indonesia
0
0
0
38
Geoffrey Victor Kavishe, PhD🖊
@godbless_lema CHADEMA walimgusa Magufuli na Magufuli aliwagusa CHADEMA pia, Magufuli aliwagusa mafisadi majangili na wauza madawa kulevya, matapeli Tz nzima vita ilikua kali mno vijana wapo kumpondea tu ila hawajui kitu
Indonesia
0
0
4
37
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Leo tunakumbuka miaka mitano tangu kuondoka kwa John Magufuli. Lakini kumbukumbu ya kweli haiwezi kufutwa wala kupambwa lazima iseme ukweli. Kipindi chake cha uongozi kiliacha alama nzito , hofu ya kisiasa, kubanwa kwa uhuru wa kujieleza, na maswali makubwa juu ya haki katika chaguzi na ukatili mwingi. Haya si maneno ya chuki, ni kumbukumbu ya waliopitia mazingira hayo na waliolazimika kunyamaza. Tuseme wazi bila kupepesa macho, mifumo ya ukandamizaji na hofu iliyojengwa kipindi hicho bado inaathiri namna siasa na uchaguzi vinavyoendeshwa hata leo. Hii si historia iliyopita tu ni sehemu ya changamoto tunazokabiliana nazo sasa. Kumkumbuka leo si kuhalalisha yaliyopita, bali ni kusisitiza wajibu wetu wa kuyakataa. Hatutaki taifa linaloongozwa kwa hofu, tunataka taifa linalojengwa juu ya haki, uhuru, na uwajibikaji. Kumbukumbu hii iwe wito. Tusinyamaze. Tusisahau. Tusirudie na kuendelea na makosa yale yale.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
137
148
976
45.7K
Geoffrey Victor Kavishe, PhD🖊
@Aruatani CHADEMA walimgusa Magufuli na Magufuli aliwagusa CHADEMA pia, Magufuli aliwagusa mafisadi majangili na wauza madawa kulevya, matapeli Tz nzima vita ilikua kali mno vijana wapo kumpondea tu ila hawajui kitu
Indonesia
0
0
1
9
MAUGO JR
MAUGO JR@Ugo0011·
@Aruatani Huyo ndo karibu mfumo wote wa siasa nchini
Indonesia
1
0
1
60
Geoffrey Victor Kavishe, PhD🖊
@Thommunkondya CHADEMA walimgusa Magufuli na Magufuli aliwagusa CHADEMA pia, Magufuli aliwagusa mafisadi majangili na wauza madawa kulevya, matapeli Tz nzima vita ilikua kali mno vijana wapo kumpondea tu ila hawajui kitu
Indonesia
0
0
0
8
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Rais Magufuli, mbali na kuwa kiongozi wetu na Rais wetu, alikuwa idol wangu wa kisiasa. Jambo kubwa nililojifunza kutoka kwake ni kwamba mabadiliko ya kweli huanza na shauku pamoja na dhamira ya dhati ya kiongozi mkuu. Pia nimejifunza kuwa kama kiongozi unaweza kuwa na maono makubwa na ukayatekeleza, hata kama wengi hawatakuunga mkono mwanzoni lakini ukifanikiwa, wote watashangilia matokeo. Uthubutu wa kweli na uzalendo wa dhati kwa taifa niliuona wazi kupitia Rais Magufuli. Kila ninapomkumbuka, najikaza sana na kujizuia, kwani kifo chake ni miongoni mwa matukio yaliyonitoa machozi. Endelea kupumzika kwa amani, role model wangu 🙏🏿🙏🏿.
Thom Mnkondya tweet media
Indonesia
12
7
53
2.5K