Friends
3.5K posts

Friends
@Gestonmarc
Don’t ask me about nobody. 👑💥🐯 Hit hint wink wink🐶 nvm. More than our bios 😑








Rais Samia Suluhu Hassan ametunukiwa tuzo maalum ya Ubinadamu ya Upasuaji wa Ubongo kutoka Shirikisho la Jumuiya ya Madaktari wa Upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu Tanzania. Rais Samia amekabidhiwa tuzo hiyo kutokana na mchango wake mkubwa katika kuimarisha sekta ya afya nchini.







Toka 29 tuko kwenye vita kali sana ya kisiasa iliyojaa hisia nyingi na uchungu(hadi kukoseana heshima). Tunapoibadili vita hii na kuwa vita ya uchumi binafsi baina yetu vijana tunapoteza direction zaidi na wanufaika ni wachache na wanafurahia(huyu atabet,huyu atafanya hiki but lengo ni hela hakuna ajira tuheshimiane but tuwe kwenye mstari mmoja-kuikomboa nchi),sio kila ukweli lazima usemwe mwingine unauacha watu waje washuhudie wenyewe(binafsi nimejifunza hilo), tupishane mawazo but tusipoteze direction... Kijiti kwenu Gen Z💪


Lol, Infact watu wengi wamemfuatilia kwa kumhurumia na madhila yaliyomsibu + baadhi wanamuogopa kwa ubingwa wake wa lugha za matusi. Nje ya hapo hamna chochote.

Sativa , Taivina, Prolific ni wanangu ila hiyo INFLUENCE yao inatisha MZEE Huwa wananicheki for CONSULTATION Hapa na PALE lakini mzee GARI lao lishawaka hata me siezi wafikia Ukiwa BWEGE na wivu wa KINOKO utawaona ni THREAT, ila kuna vingi unaeza jifunza kwao. Usimshauri USIEMLISHA, Respect THE HUSTLE.





















