Sabitlenmiş Tweet
Gisiggo
10.8K posts

Gisiggo
@Gisiggo
Health data analyst|| Sharing insights on hospital analytics & service improvement|| NCDs & health insurance|| Prompt engineer|| #Excel #SQL #Tableau #Power BI
🇹🇿x🇰🇪 Katılım Şubat 2020
1.9K Takip Edilen928 Takipçiler

@Oziko_Jo @anthypocrisy19 @Isayadicksonjr Usipo kwama ada wala kuingia tamaa ya ajira after co, unamake it
Indonesia

@anthypocrisy19 @Isayadicksonjr @Gisiggo CO-MD-MMED-MSc
Nilifyekwa Tu Pale Adv. nikaona Elimu Mbaya Af Bado nikahenyeke Miaka Takribani 13+
Indonesia

Nawajua wengi sana town apa wanakunja ndefu sana..
Optimizer@anthypocrisy19
@kalegamyeh @Gisiggo Kua MMED analipwa mawe kwenye hii nchi?
Indonesia

@Isayadicksonjr Kachukue maarifa ya kujiajiri kwa Dr. Mwandolela kulw hemeda.
Indonesia

@Gisiggo Hapana, apo lazima uniongeze daktari uwe Poly-Vijiwe …
Na issue ya kujiajiri kwenye uga wetu huwa ni ngumu sana …
Indonesia

@anthypocrisy19 @Isayadicksonjr Yeah sure, watu wanaolipwa pesa mingi naoweza thibitisha ni wale wako bima za private, wanao practice wanaeza piga ndefu ila uwe mtu kazi kwelikweli.
Filipino
Gisiggo retweetledi

@Gisiggo @Isayadicksonjr Kijana unachekesha,kama ilivo tu biashara watu wanakunja zaidi ya 100M per month,huku mi na wewe tukiwa mawinga,hata kwenye professional game lipo hivo hivo,acha kuwasikiliza watu walioshindwa kufikia malengo wamebaki kua hater mtandaoni
Indonesia
Gisiggo retweetledi

Hawa vascular surgeons wa dialysis access placements apa DSM wako wachache, nenda shule niwe nakutumia wagonjwa Chief ..
Gisiggo@Gisiggo
@anthypocrisy19 @Isayadicksonjr Kwa/per procedures ila sio kama monthly salary si ndio?
Filipino
Gisiggo retweetledi

@Isayadicksonjr @Gisiggo Even in Business wakina Vunja bei,walianza kua watumishi wa Umma,Nguo, pharmacy Sasa real estate etc,sio dhambi kwa kijana Kuanzia,CO,MD,MMED,MSc,fellowship etc,......hakuna kitu rahisi hata lake oil walikua hawauzi gesi miaka 15 iliopita,pia hatukua na azam TV 2008
Indonesia

@Gisiggo @Isayadicksonjr Wapo wanaopata mara 3 ya hio tena serikalini tu,....unajua ukiwa na maarifa duni ama ukiwa masikini kuna ile hali ya kudhani Kila mtu yupo/ana struggle kama wewe,ongezea maarifa,ongeza knowledge ,ongeza skills kijana hadi leo national hospital hamna rheumatologist
Indonesia
Gisiggo retweetledi

@anthypocrisy19 @Gisiggo Increase your value
So different things don’t be confined in the circle..
English

@anthypocrisy19 @Isayadicksonjr Kwa/per procedures ila sio kama monthly salary si ndio?
Filipino
Gisiggo retweetledi

💨 SAMSUNG USED 🔥
(Hizi ni za uhakika 100% hazitokusumbua kabisa✅)
▪️S20 FE (6+128) - 350K
▪️S21 FE (6+128) - 370K
▪️S21 (8+128) - 470K
▪️S21+ (8+128) - 500K
▪️S22 (8+256) - 550K
▪️S22+ (8+128) - 600K
▪️S23 (8+256) - 780K
📍Dar: KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757


Kama umetoka familia ya kimaskini. Ushapiga MD yako na MMED. Sasa hivi unatafuta gape ukapige fellowship kabisa ili uwe mbobevu ukidhani kwamba ndio utatoboa, Nina habari mbaya sana kwako.
Hiyo miaka yote unayoitumia kusoma, ipo siku utaikumbuka na utalia kilio cha kusaga meno.
By the time unakimbia kimbia na hiyo paediatric car yako ufungue kijiwe chako cha ujarisiriamali, miaka 60 hii hapa.😂
Filipino

@Gisiggo @SharonMontana20 Hapana Europe wako busy than Africans but not busy like Americans and Asians.
English

Huenda wanaingiza zaidi ya 120m per day. Kuna time nilikua naenda kununua dawa pale kariakoo za hospitali ya mzee mmoja anaishi mkoani. Naenda na 50M then naondoka na box chache tu za mzigo kwenye Kirikuu. Hapo naacha watu kwenye foleni wananunua mzigo kama wangu au zaidi. Wale Watakua wanapiga pesa sana.
Doctor Mishy🇷🇺@SharonMontana20
Si Tanzania kuna watu wanaingiza 120M Kwa mwezi eeh 🤔 au nimechoma huku😂😂
Filipino

@kalegamyeh @SharonMontana20 Hapa kidogo umenichanganya, so tunavyo ambiwa wa europe wako busy now and then si kweli?
Filipino

@SharonMontana20 😂😂 Europe wengi wao ni watu wa kuridhika. Hawahangaiki sana.
Indonesia

@Isayadicksonjr Elimu ya afya na imani na ujuaji (kwenye imani hapa kunae prof namjua amewahi enda uganga kisa arthritis)
Indonesia

@Mwinshehe07 @Gaspinho15 Nimeshangaa sana, mimi huwa naamini tofauti zetu kama tumeshondwa zisolve ziendelee ila mtu akipatwa na tatizo asisite kututafuta maana hata mimi nitamtafuta nikiwa na issue na hakuna wakuisolve zaidi yake.
Filipino

@Isayadicksonjr 2020
TOF=tetralogy of fallot (cardic) vs tip of finger (labour) ilileta kizaazaa.
All in all watu waache kugoogle, nenda hosii ukiona huelewi na waulize pale wanapokuwa hawaelewi.
Indonesia

Huwa hawachelewi kumpa dawa za google , anakuja EMD mtu kashazidiwa 😁
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o@gabyconscious
Kama kuna kitu nakuaga mkali pamoja na mapenzi yangu na Technology ni baby mamas wangu niwakute wanaGoogle google au wanaChatgpt vitu vya afya ya mtoto. Huwa namind sana yaani.😡 Piga simu kwa daktari mpe hata Liten kama huezi enda hospital kwa wakati huo.
Indonesia

@here_isjackson @prossoff We jamaa wewe, me wangu hawezi kuvaa nguo nyingine zaidi ya suruali na hayo ni maamuzi yangu na aliyaheshimu.
Indonesia

Ladies Ten common Redflag
i. Kuomba pesa hovyo.
ii. Kuwa busy na simu unapokuwa nae.
iii. Uvivu, urafi, uzembe na uchafu.
iv. Outings, Clubing na Fashions.
v. Kuwa desperate na mitandao.
vi. Ujuaji mwingi.
vii. Kukosa aibu.
viii. Kuvaa na kuacha maungo wazi.
ix. Tatoo na kujitoboa mapua, kitovu na sikio zaidi ya mara moja.
x. Kumtaja sana Mama katika kila kitu.

@ChachaWegelo Udaktari wa kizamani huo, wa kisasa unasikiliza na kumwelewesha pt wako sio kumuona mjuaji kaka.
Filipino


