Sabitlenmiş Tweet
Asaph Simeone 𓃵
5.1K posts

Asaph Simeone 𓃵
@Grandma5ta
Son| Brother| Father| Believer| Banker | Entrepreneur| Citizen.
Tanganyika Katılım Kasım 2016
852 Takip Edilen859 Takipçiler

Kuna mda Joji kumtetea inakua ngumu sana… wanangu wa aseno mkimkamata kipara mchapeni tu hakuna namna.
George Ambangile@George_Ambangil
Chelsea hafungwi na Man City .!
Filipino

@TzFootballers 😂😂😂 mwanangu hakuna namna utajitenga na hiyo timu
Indonesia

@TzFootballers Hamna mtu humu… miaka miwili atakua ashapotelea mbali kusikojulikana
Indonesia

@richardfutbal There are really embarrassing moments in life, this is just peak!!
English

@DoneSome18 Kaka misimbo imeisha? Au umetoa code sijaipata leo
Lietuvių

@son_noeli Hao sio wabongo!. Kwanza mstari wa katikati ya lami bongo ni mweupe na sio njano!.
HT

@Samalentips Failed fake punters mnatoka povu la maana, acha aendelee kubahatisha hivyo hivyo we baki na uchambuzi wako tuone nani anaboom
हिन्दी

Leo ndio nimeamini ulishindaje milioni 100 🤣🤣 odds zako za kubahatisha sana yani huna tofauti na wale majamaa wanaobet mia washinde milioni 100 haufanyi uchambuzi unatembelea upepo na bahati alafu ndio ulikuwa unawasema wengine 🤣🤣

Done Somen@DoneSome18
6X9HXB

@DoneSome18 Kaka naomba elimu kidogo kwa PSG, umetumia instict au kuna sababu ya kumuua
Filipino

@DoneSome18 @MathiasMashaur7 @Sativa255 Nimejaribu sana kupata DM yako we jamaa, sema kumbe umeshafatwa na wajuba ukaamua ufunge mzee… ikikupendeza nitumie DM kaka!
Indonesia

Guys let me be honest with U, nilichojifunza humu kuna watu wanajua kukatisha sana tamaa aloo dah.
Wakati flani Nilikutana na Mwanangu sana @MathiasMashaur7 katika pita pita zangu za humu, siku hiyo nilimjibu kimasikhara tu kama nilivyomjibu @Sativa255 ila jamaa haku catch wala nini ndio kwanza akanitambulisha kwa familia na kunipa moyo kuwa naweza. Nilipata kujiamini kupita maelezo kupitia mwanangu Mashauri. Nilikaa nikajiuliza kumbe naweza eeeh!
Basi nikatupia mikeka kadhaa mmoja ukakubali nikasherekea na familia ndogo niliyokuwa nayo, baada ya hapo tukapitia kipindi kigumu cha 1 cut kila mara.
Aise asikwambie mtu people zilikuja inbox kunikatisha tamaa sio poa. Wengine in public wakiniita tapeli na sijawahi chukua senti ya mtu.
Nilijipa majibu ya haraka haraka kuwa inawezekana nimewaingiza hasara watu wengi sana waliokuwa wakifatilia odds ninazoweka. Nilivaa viatu vyao na kugundua kwa mtu asiye na mtaji wa uhakika ina maumivu sana. Nilipunguza sana kuweka odds humu kwa kweli ili nisiendelee kuwapa hasara.
Leo watu wale wale nawajua kwa handle zao naona wananilaumu kwa kushinda bila kuwapa odds
Ni kweli nilianza kushare odds na watu wachache inbox na mara chache nikatupia humu, namshukuru Mungu awamu hii nilitokea kushinda kupita maelezo mpaka nilijishangaa. Ila nilikuwa mnyonge sana vile sikuweza kushinda na watu wengi kama ambavyo ningetamani.
This time narudi kiimani zaidi. Nitashinda na familia na wakati huu utakuwa ni ushindi mzito zaidi. Tusiache kujaribu




Indonesia

@DoneSome18 @Thereal_taivina @Sativa255 Kaka usirudi nyuma, share tushinde wote au tupoteze wote. Wanaoita dhambi waite dhambi, sisi ambao hatuachi kujaribu tuko na wewe
Indonesia

@Grandma5ta @Thereal_taivina @Sativa255 Kaka mnisamehe, nitarudi tena nikipata kibali, haya mambo kuna wakati inalazimu kuyaweka kiimani, kwani ukishinda inakuwa ni baraka kubwa sana kwa wanaokuzunguka. Ila unaposhindwa na kuliwa ndipo inaitwa dhambi
Filipino

@DoneSome18 @Thereal_taivina @Sativa255 Kwani ndugu yetu tumekukosea nini mbona suala la code umetutenga sana
Indonesia

@Thereal_taivina @Sativa255 Kaha ndugu zangu hivi odds 83 ndio kelele zote hizi! Aaaaah hembu acheni hizo wazee kah
Indonesia

I thought it was a neck for at least 10 seconds😭😭
doxie@doxie_gay
i'm lowkey in a financial ruin i may never recover from
English

@_bli4 Ukiuambia mti kuwa unaweza kutoka sehemu ulipo uka occupy another space hautakuamini kwasababu hauna hiyo capacity, same about time… kama huna capacity hautaamini kwamba time travel inawezekana! Kwako itabaki kuwa myth
Filipino
Asaph Simeone 𓃵 retweetledi

@FourthArchetype Pia Uyahudi na Uchina… doesn’t just refer to a country but a whole cultural heritage
English

Kiswahili is actually one of the coolest languages around.
On top of Uhabeshi, there's; Ushelisheli, Ureno, Msumbiji, Urusi, Marekani, Jamhuri ya Cheki, Kupro, Lishenteni, Morisi, Ubelgiji, Ufaranasa, Uyunani, Uholanzi etc.
Notable mentions; 'Jumuiya ya Madola' and 'Ulaya'.
Brook@brook_timbe
Swahili is a little extra sometimes, how does Ethiopia become Uhabeshi
Indonesia
Asaph Simeone 𓃵 retweetledi

Tujitafakari kwa msaada wa SOCRATES wa Tanzania kwa kumsoma na kumsikiliza.
ANAANDIKA ASKOFU BAGONZA
NADHANI TUNAJICHANGANYA?! Au ni Mimi Najichanganya?!
1. SAFARI YA VATICAN
Tungepatana nyumbani kwanza na wawakilishi wa Papa kabla ya kwenda kwa Papa. Tumempiga Padre wake; Tumetengeneza Wakatoliki Vijora; Tunamdhalilisha Kitima, halafu tunaenda kwa Papa. Hatari ipo ya kuambiwa, “Kama hamkumsikiliza Musa na Manabii, hamtaweza kushawishika hata mtu akifufuka”(Luka 16:31). Patana na mshtaki wako kabla ya kwenda kwa Kadhi.
2. MABEBERU:
Tumezoea kuzizodoa nchi za Ulaya kuwa ni mabeberu. Vatican iko Ulaya. Je, Hata Papa ni Beberu? Naye anataka kuchimba Uranium yetu?
3. AMANI YA NCHI
Wizara ya Mambo ya Nje inamuomba Papa aiombee nchi yetu iwe na Amani na Utulivu. Wizara ya Mambo ya Ndani inasema nchi iko salama imetulia. Hawawasiliani? Nani msemaji wa nchi?
4.MARIDHIANO
Wazee wa Chama wanataka Maridhiano. Bunge linasema nchi iko sawa. Tume iko kazini kuchunguza. Nani mkweli? Je kuna ukweli tusioujua hadi tuumulike kwa tochi ya Tume? Je tunataka maridhiano kabla ya ukweli?
5. CHADEMA na CCM
Wapo wanaosema Chadema Imekufa lakini wanaisema kila siku. Huyu ni marehemu mwenye nguvu. Makada wa CCM wanasema CCM tunatamba nayo. Ukiiangalia unaiona ni mfungwa asiye na pingu. Nani zaidi kati ya marehemu anayeishi na aliye hai lakini amekufa?
6. YALIYOTOKEA OKTOBA 29
Siku hii inatusumbua mpaka tunaenda Vatican. Bado kwenda Mecca. Kama waliokufa hawajulikani; waliowaua wanajijua. Dunia inajua makundi yote mawili. Hekima ya WAJALUO inasema, “kuchelewa kwenda kujisaidia, hakuzuii njaa kuuma”. Tukubali: Tuliua, Walikufa; tuombe radhi, tuwajibishane na kusonga mbele.
7. TUNDU LISU
Waliompiga risasi hawajapatikana lakini walioiba michango yake wamekamatwa. Yeye yuko rumande. Mahakama imeenda likizo na haki yake iko likizo. Fikiria daktari akienda kupumzika katikati ya operesheni mgonjwa?!
8. WIZARA YA MAMBO YA NJE
Hii Wizara inaonyesha tuko vitani. Kimsingi ina mawaziri 4: Kombo, Kabudi, Nyalandu na JK. Msiniulize JK ni nani maana mtamuona anatumwa katika masuala magumu nje. Waliobaki 3 na manaibu 2, wanaunda kikosi kazi cha mawaziri wa wizara. Msiniulize nani ni Boss maana Kabudi anaweza kujikuta ni Naibu Waziri. TUNAJIKANYAGA MNO.
9. Taifa likiwa katika mtifuano kama tulio nao, linakuwa kama mgonjwa. Hawezi kwenda kwa daktari akagoma kuvua nguo. Tuvue zote na madaktari watuingizie vidole kila mahali ili kubaini ugonjwa ulipo ndipo tutibiwe.
Wajaluo wakibanwa TEZI DUME husingizia wanaumwa kichwa.
Sasa Wajaluo wa TEZI JIKE hao usiseme!
Indonesia
Asaph Simeone 𓃵 retweetledi

















