MAKELELETECH

2.4K posts

MAKELELETECH banner
MAKELELETECH

MAKELELETECH

@makeleletech

Web, automation & digital systems We Build & Secure Your Digital Presence 📩 Consultations & Projects

📍Tanzania Katılım Aralık 2022
102 Takip Edilen115 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
MAKELELETECH
MAKELELETECH@makeleletech·
Uchovu wa ahadi zisizotekelezwa? Sisi hatuuzi maneno. Tunatoa matokeo. Website. App. Digital assets. Zimejengwa kwa mkakati, si bahati. 📲 Book now +255 747 985 778 📧 info@makeleletech.com 🌐 makeleletech.com
MAKELELETECH tweet media
Indonesia
1
0
0
246
Akhun_graphix17
Akhun_graphix17@akhun_graphix17·
Wazee mnirecommend #mouse ambayo iko smooth hii naona mpaka kazi namaliza mkono utakuwa umeenda gym tayari !
Akhun_graphix17 tweet media
Filipino
2
0
1
367
MAKELELETECH
MAKELELETECH@makeleletech·
Nakumbuka class la mwaka wa pili I used to hate System Analysis and Design (SAD), pale UDOM. Leo here I am doing it with a smile hapa @makeleletech . Building, learning and giving value. Kwenye equation hakuna earning hapo.
English
0
0
0
33
Premy Punchu
Premy Punchu@premypunchu_·
ivi kwanini watu wengi walio soma Software engineer, May IT in General na field yeyotee inayo husina na software Developer. au cyber security ni wanapenda kuwa na company zao wenyew? @TOTTechs @HabariTech @akhun_graphix17
Premy Punchu tweet media
Filipino
4
0
3
46
Black Dady
Black Dady@BlacDaady·
Madogo wengi wa Gen Z hapa bongo wako very smart wengi naona wameanza ku-build content empires na personal brands wakiwa bado majanja tu. Wakati millennials enzi zetu tulikuwa busy kuangalia series na movies za DJ Mack.
Filipino
10
19
197
5.1K
MAKELELETECH
MAKELELETECH@makeleletech·
Japo Egonga hakuwa mkubwa duniani ila alikuwa mtu sana Ginue na profile yake kisiasa sio haba ni kama Mpina wa huko. Mm binafsi naona "political hit job" iliyopangwa. @madinidotcom @fbuyobe fanyeni utafiti wa kina hapa. @madinidotcom itapendeza mkija na Episode YouTube pale.
Filipino
0
0
0
82
MAKELELETECH
MAKELELETECH@makeleletech·
Kingine, video za Baltazar zimevuja baada ya Polisi kupekua ofisini/kwake. Kabla ya hapo hazikuwepo. Kwanini Polisi wavujishe? Hata za Epstein, mafaili yalivuja yakiwa mikononi mwa serikali. Na yeye ni kama ilikua makusudi hivi ...? Hadi hapa Kuna harufu ya intelligence...
MAKELELETECH tweet media
Indonesia
1
0
0
58
MAKELELETECH
MAKELELETECH@makeleletech·
Hivi na wewe unaona tofauti ya Epstein na Baltazar Engonga? 🧐 Epstein anaonekana mhalifu wa kimataifa mwenye "connections" nzito, lakini Baltazar pamoja na uzito wake kisiasa amechorwa kama mzinzi tu asiye na mipaka. Japo ukiangalia "patterns" zao, kuna kitu hakikosawa.
MAKELELETECH tweet mediaMAKELELETECH tweet media
Filipino
1
0
1
175
MAKELELETECH
MAKELELETECH@makeleletech·
@premypunchu_ Kuna lecture pale UDOM, Aliwahi kusema ajira sio kwa kila mtu, na wengi wenu humu sio kwaajili yenu. Hapo alimaliza kila kitu.
Filipino
0
0
1
8
MAKELELETECH
MAKELELETECH@makeleletech·
@makeleletch hatutengenezi "Websites," tunatengeneza "Digital Systems" zinazoingiza pesa. ➔ Kama mfumo haukuzidishii faida au kupunguza gharama, huo ni ubadhirifu. ➔ VALUE-DRIVEN ENGINEERING.
Suomi
1
1
2
34
MAKELELETECH
MAKELELETECH@makeleletech·
@Joesottes Ww unakitu, Kuna movie mtu akiwa amezitazama au ni favorite kwake kama hizi, lazima niongeze umakini na udadisi huwezi kuwa Sawa tenah kimitizamo .
Indonesia
0
0
0
19
SOTTES
SOTTES@Joesottes·
Kama wewe ni mpenzi wa movie za saikolojia ya binadamu kwa ujumla, movies za "SCORPION", "THE MENTALIST" na "LIE TO ME" zinakufaa. Nina uhakika wa asilimia zaidi ya 90% ukizitazama vizuri na kuelewa, hakuna mtu ataweza kukudanganya, kukuibia au kukumanipulate dunia hii.
Indonesia
8
20
104
4.6K
Patrick Paul
Patrick Paul@patrick_forreal·
Microsoft operates like a monopoly that can do whatever it wants - because, functionally, it is. They couldn't care less about the average Windows user because consumer Windows licenses generate relatively little revenue for them nowadays. The vast majority of Microsoft's profits come from enterprise cloud services like Azure and the subscription models they increasingly push us toward. ​We literally just saw Linux desktop market share cross the 4% mark globally for the first time in early 2024, which represents a massive 31% year-over-year increase. Do you know how frustrated an average user has to be to finally snap and say, "Nah, I'm switching to Linux"??? ​If you're waiting for Microsoft to listen and change course, don't hold your breath. They hold all the PC manufacturers on a tight leash - to the point where they are literally requiring them to include a dedicated "Copilot" AI key on new keyboards. Unless another simple, intuitive, and easy-to-use operating system comes along that can seamlessly run Windows apps... yeah, we aren't going anywhere.
Patrick Paul tweet media
English
4
1
5
216
MWANAHISABATI
MWANAHISABATI@ArthurGeil·
Ni ujuzi gani mmoja unaoamini kila mtu anapaswa kujifunza ili kuboresha maisha yake ya kila siku, bila kujali taaluma yake?
Indonesia
19
10
92
4.7K
MAKELELETECH
MAKELELETECH@makeleletech·
@sajo_mwaihabi Tayari yameshaanza kuwa na madhara jana, Nilikua namwelekeza mtu kitu, akasema ngoja aulize GPT, nikawa nimepishana mtazamo na AI akaniita Muongo.
Filipino
0
0
0
3
LUSAJO
LUSAJO@sajo_mwaihabi·
Matumizi ya AI yanaenda kuwa na madhara makubwa sana katika akili za binadamu kuliko Bangi na Cocaines katika siku za usoni. Nenda nayo Kwa akili sana!!
Filipino
18
14
124
5.2K
Akhun_graphix17
Akhun_graphix17@akhun_graphix17·
Kama hauna hela usingizi sio haki yako!
Akhun_graphix17 tweet media
Euskara
2
0
3
40
MAKELELETECH
MAKELELETECH@makeleletech·
Video ya dakika saba imenichukua masaa 4 kuedit na kutoa kitu chenye thamani ya kutosha, Utaipata full pale @makeleletech0?si=sgqTzbG7-ZWsHIF1" target="_blank" rel="nofollow noopener">youtube.com/@makeleletech0
MAKELELETECH tweet media
Indonesia
0
0
1
19
MAKELELETECH
MAKELELETECH@makeleletech·
@francismtey @UrBoyMox Japo mm nina mtazamo tofauti, kifo ni kamaa tishio sababu ushahidi wa kifo upo kwenye mwili wa mareheru ila uwepo wa marehemu ndio swali la msingi kama kifo kinahusisha mwili kuliko mwenye mwili.
Indonesia
0
0
0
12
I AM
I AM@francismtey·
Mtu yeyote anayekwambia Kuwa Anaelewa ama Kujua Kwamba tukifa Tunaenda wapi ni Mjinga.... Kwanini? Sasa Ngoja Nithibishe Ujinga wangu 😄 Kutokana na Visa Mbali mbali Vilivyorekodiwa Vya watu walipo hai... Inasemekana kuwa Binadamu akifa anakuwa Recycled Duniani. Kitaalam wanaita "Reincarnation" Ukienda TikTok, na Mitandao mingine Utaona Story Nyingi za Watoto wakikumbuka Maisha yao ya Zamani... wanasema "Waliwahi kuishi Hapa" Ukiachana na Hilo... Kuna wakati Hata wewe Unapata "DejaVu" Mimi napenda kuuita "Glitch in the Matrix" Ni kama Glitch inatokea unaona kuwa Hili tukio Nilishawahi kulifanya Then sekunde Chache Hiyo Hali inapotea. Either Way: Nenda Fanya Due Deligence Kuhusu "Reincarnation" Ni topic Yenye Ushahidi wa Kutosha. Anyway: Huu ni Ujinga tu, Nipuuzwe. ... FRANCIS | ABRACADABRA
Indonesia
8
0
12
583
M O X
M O X@UrBoyMox·
Hivi tukifa tunaenda wapi?
Indonesia
66
42
137
10.4K