Mg side
3.4K posts


@Baradhuli2 Marekani sio wajinga kama unavofikilia,unadhani wamekurupuka kusema hivo? Wana maana Yao mkuu
Indonesia

@Iamrickie25 @AmRosalinee Mkuu nyamwige ipo upande Gani sengerema,mm nilikuwa sengerema mjini ila vijiji kibao navijua

@AmRosalinee Yaani 2021 unasema umemaliza Form Four 🤔🤔.. Kuanzia 2020 nyie ni wahitimu, waliomaliza kuna wakati hadi matokeo yalitoka marambili
Indonesia

@kasesco_tz Sasa we nawe huwa unapoteza jero lako kwenda kuangalia hii interclass?
Filipino

@killo_killo11 Mishangazi kumbe yenye manufaa kama hii ipo afu Vijana hamchangamki why
Indonesia
































