Innocent Parsalaw

5K posts

Innocent Parsalaw banner
Innocent Parsalaw

Innocent Parsalaw

@IParasalaw

Co-Founder at Diplomacy for Youth Development Organization (DYDO)||Business Development Manager at Think Tank Investment Limited

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ocak 2017
72 Takip Edilen301 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Innocent Parsalaw
Innocent Parsalaw@IParasalaw·
Think Tank Investment Limited wamefanikiwa kuona fursa ndani ya changamoto za uandaaji wa maharagwe hadi kufika mezani. Wanakupikia maharagwe hivyo wewe huyachua na kuyaunga kwa dakika 5. #YapoMadukani. Hawa ni mfano. Kwanini vijana wengi hawana uwezo wa kuziona fursa.? #Funguka
Innocent Parsalaw tweet media
Indonesia
0
1
18
0
Innocent Parsalaw
Innocent Parsalaw@IParasalaw·
@John_Pambalu Jibuni hoja zake. Zama za kufanya siasa za kitoto za kukimbia political accountability zimepitwa na wakati. Mtajificha hata lini kwenye kichaka cha dhana ya kufikirika ya "anatumika"..? Dunia ya leo..? Kweli..? Hii ni dalili ya kuishiwa kisiasa.
Indonesia
0
0
2
47
John Pambalu
John Pambalu@John_Pambalu·
Wana njama za kuifuta CHADEMA. Said Issa anatumika tu kueleza njama iliyoko sirini. Mnajidanganya kwamba mtazimisha kelele za UMMA kwa kuifuta CHADEMA. Rudini mkasome historia za mageuzi kama kunyamazishwa kwa kuwafunga mdomo wanaoongea kuliwahi kuzuia mabadiliko.
Indonesia
20
97
741
19.1K
Innocent Parsalaw retweetledi
Kwame Kivaisi
Kwame Kivaisi@kwamekivaisi·
Tanzania has launched a major expansion of fuel infrastructure at the Port of Dar es Salaam, investing about $274 million to construct 15 new #oil reception and storage tanks aimed at easing congestion and strengthening the country’s energy supply system africa.businessinsider.com/local/markets/…
English
1
9
9
316
Innocent Parsalaw retweetledi
Chen Mingjian 陈明健
Chen Mingjian 陈明健@ChenMingjian_CN·
The opening meeting of the fourth session of the 14th Chinese People's Political Consultative Conference (#CPPCC) National Committee, China's top political advisory body, was held at the Great Hall of the People in Beijing on March 4,2026.
Chen Mingjian 陈明健 tweet mediaChen Mingjian 陈明健 tweet media
English
2
14
20
1.2K
Innocent Parsalaw retweetledi
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
SAMIA SULUHU HASSAN ARUSHA STADIUM 🏟 acha kazi ifanyike. Awamu tunaacha LEGACY itasimuliwa vizazi na vizazi. Kazi Na Utu Tunasonga Mbele.
Indonesia
1
24
20
468
Innocent Parsalaw retweetledi
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri, tarehe 5 Machi, 2026 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kazi Na Utu Tunasonga Mbele
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Indonesia
0
15
16
275
Innocent Parsalaw
Innocent Parsalaw@IParasalaw·
@UKinTanzania @zittokabwe @ESandersFCDO Tanzania is a sovereign state, and as a sovereign state, Tz doesn't receive orders from the UK. I think you should focus on your internal issues because you also have a lot to deal with, including the pressure of being a US Colony. Leave us alone.
English
0
0
0
28
UK in Tanzania
UK in Tanzania@UKinTanzania·
“There must be an independent, transparent and inclusive investigation of these events to ensure accountability and that the fundamental freedoms and constitutional rights of all Tanzanians are protected.” - UK's Human Rights Ambassador, @ESandersFCDO gov.uk/government/spe…
English
114
504
1.1K
110.7K
Innocent Parsalaw retweetledi
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Tuikumbushe Tume ya Uchuguzi wa Matukio ya Oktoba 29 isisahau kukihoji Chadema kupitia Makamu Mwenyekiti wake ndugu @HecheJohn wanazo taarifa sahihi za mipango yote namna walivyoratibu na kutekeleza yaliyotokea, hii ni kwamjibu matamko haya katika video hizi mbili. Tume ikija na ripoti ambayo haijazingatia msimamo na matendo ya chama hiki yaliyotangazwa hadharani namna hii hatutaielewa ripoti yao…. Ushahidi uko WAZI…..! Na Yericko Nyerere
Indonesia
130
24
48
11.7K
Innocent Parsalaw retweetledi
MK47TA
MK47TA@MK47TA·
Wanaharakati wameanza kukosa hoja. Hawajui mambo wanaropoka na kupotosha umma. Ukienda katika bandari nyingi duniani, utakuta meli nyingi zikipeperusha bendera za nchi tofauti tofauti (flag of convenience). Sababu yake ni moja kuu: kupunguza gharama za uendeshaji katika sekta ambayo ni ya mtaji mkubwa sana. Biashara ya meli inahitaji uwekezaji mkubwa katika: •Ununuzi wa meli •Teknolojia ya hali ya juu •Mafuta •Bima (insurance) •Watumishi wa kitaalamu •Uzingatiaji wa sheria kali za kimataifa na usimamizi wa viwango vya juu Kwa mfano, meli inaweza kuwa mali ya kampuni ya Ugiriki, ikaendeshwa na kampuni ya Japan, na ikasajiliwa Brazil. Hii si ajabu katika biashara ya kimataifa ya usafirishaji. Nchi zinazojulikana kwa gharama nafuu za usajili Duniani ni hizi Liberia, Malta, Cyprus na Panama. Hizi huvutia wamiliki wa meli kwa sababu ya: •Kodi ndogo •Mfumo wa tonnage tax •Usajili wa haraka •Kuruhusu umiliki wa kigeni kwa asilimia 100 •Ada za kila mwaka zilizo nafuu ukilinganisha na nchi zilizoendelea Gharama za ununuzi wa meli pia ni kubwa sana. Meli ya mizigo aina ya container ship inaweza kugharimu kati ya dola milioni 100 hadi 200, huku meli za mafuta zikikadiriwa kuwa kati ya dola milioni 200 hadi 300, kulingana na ukubwa na teknolojia yake. Watanzania wanapaswa kufahamu kuwa kuna zaidi ya meli 800 zinazofanya biashara ya kimataifa zikiwa na bendera ya Tanzania. Katika biashara yoyote ya kimataifa, huwezi kukosa wachache wasiokuwa waaminifu. Hata hivyo, ni muhimu kutambua kuwa mmiliki wa meli mara nyingi hahusiki moja kwa moja na mzigo; jukumu lake kuu huwa ni kuhakikisha meli inafanya kazi na inapokea malipo ya usafirishaji. Katika baadhi ya matukio, wahusika wa ndani ya meli hasa baadhi ya watumishi kwa tamaa au uzembe wanaweza kujikuta wakisababisha migogoro inayoweza kuwaingiza wamiliki kwenye matatizo ya kisheria bila wao kuhusika moja kwa moja. Wanaharakati wajifunze kwanza uelewa wa mifumo ya biashara ya kimataifa ya usafirishaji, kabla ya kuanza uzushi na kutumia hisia. Kikubwa serikali zote mbili ziwe macho ikiwezekana zibadili sheria na kuweka ufuatiliaji mkali sana katika meli zote zenye flag of convenience kutoka Tanzania kuepuka matatizo yanayoweza kujitokeza.
MK47TA tweet media
Indonesia
0
9
13
441
Innocent Parsalaw retweetledi
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Singapore nchini Tanzania Mheshimiwa Douglas Foo, tarehe 27 Februari, 2026 Ikulu, Jijini Dar es Salaam. Pamoja na mambo mengine mazungumzo hayo yalilenga kuimarisha Uhusiano baina nchi hizi mbili haswa katika masuala ya teknolojia,elimu, afya na miundombinu.
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Indonesia
2
26
27
844
Innocent Parsalaw retweetledi
The 6th Estate
The 6th Estate@Oraibtz·
Hivi Africa mna akili gani ? Walianza DRC enzi za Lumumba. Akauliwa. Mobutu akatoa kila kitu. Tseshekedi akamalizia . Sasa wasomali. Bora kufanywa kama Zimbabwe kuliko kuhanithiwa
The 6th Estate tweet media
Filipino
1
1
2
70
Innocent Parsalaw retweetledi
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
#TaifaKwanza #KataaVurugu Ukuaji wa uchumi wa Taifa lolote lile Duniani hutegemea uwepo wa nishati toshelevu kwa matumizi ya viwanda, migodi, biashara na matumizi ya watu kwenye makazi yao. Kukamilika kwa mradi wa Bwawa la Nyerere pamoja na kuanza kwa kasi ya matumizi ya nishati jadidifu nchini ni hatua kubwa na ya kupongezwa chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan. Wanaharakati Uchwara wanaoishi nje ya nchi hawawezi kuliona hilo kwa kuwa lengo lao ni kuharibu amani na utulivu nchini. #HakiNaWajibu
Indonesia
1
9
11
289
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Ofisi ya msajili inatumika kuua demokrasia ya vyama vingi nchini. Walitumia Mzee Lipumba dhidi ya Maalim, leo wamewatumia wengi dhidi ya Lipumba.. Viongozi kadhaa wa CUF ya Lipumba wameniambia, kosa la Lipumba ni kulaani mauaji ya tarehe 29 na kusema ukweli kuhusu uchafuzi huo. Msajili anataka vyama vibaraka wa ccm sio vyama imara vinavyoshindana na ccm kwa haki na usawa… Lazima huu uhuni ukome.
Indonesia
53
267
1.3K
44.5K
Innocent Parsalaw
Innocent Parsalaw@IParasalaw·
@HecheJohn For your information sir, mahakamani hakuna bingwa wa sheria zaidi ya majaji na mahakimu. Hiki ulichoandika hapa kuhusu kauli ya TL hakifanani na nafasi yako. Unazidi kutoa confirmation juu ya yale ayasemayo Joseph Yona wa Kibaha kila mara juu ya utashi na uwezo wako wa kiuongozi
Indonesia
2
0
1
511
John Heche
John Heche@HecheJohn·
“Yaani wewe wa kunifundisha mimi sheria”? TL Hawa jamaa ndio maana kesi zinafunguliwa dhidi ya serikali kimataifa wanapigwa sana. Ukipeleka janjajanja unafikiri kule kuna maelekezo kutoka juu….utapigwa ushangae
Indonesia
18
198
1.4K
31.3K
Innocent Parsalaw retweetledi
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
SERIKALI IMETENGA BILLIONI 5 YA MATIBABU BURE KWA WASIO NA UWEZO Serikali imetenga shilingi bilioni 5 katika awamu ya kwanza ya mpango wa kutoa matibabu bure kwa wananchi wasio na uwezo, hatua inayolenga kuhakikisha huduma za afya zinawafikia wote bila ubaguzi wa kipato. Kupitia mpango huu, tayari wagonjwa milioni 1.5 wamenufaika kwa kupata huduma za uchunguzi, dawa na matibabu katika vituo mbalimbali vya afya nchini, jambo linalopunguza mzigo wa gharama kwa familia zenye kipato cha chini na kuimarisha ustawi wa jamii kwa ujumla. #MguukwaMguu
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Indonesia
0
16
21
272
Innocent Parsalaw
Innocent Parsalaw@IParasalaw·
@godbless_lema Shida yenu ni hii; Mnajitanajinasibu kuwa wana demokrasia, but your behaviour confirms otherwise. Yani mtu kuwa na mtizamo tofauti na wewe, tayari unamfanyia condemnation. Principle mojawapo ya demokrasia ni uhuru wa maoni. Sio lazima Rev. @MsigwaPeter awe na maoni sawa na yako.
Indonesia
0
0
1
70
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Mungu aliwasamehe makahaba, lakini ulipofika wakati wa kumchagulia Mwanawe mama, alimchagua bikira. Jifunze kutoka kwa Mungu. Bado unasubiri kuwa DC ? Sababu ya kurudi ni mauaji 29/10/2025 kwani ina nguvu na heshima zaidi ya ile sababu iliyokuondoa kwenye wajibu mwema.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
69
185
1.6K
158K
Innocent Parsalaw retweetledi
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
Singida na Mbeya kuunganishwa kwa barabara ya lami Kilomita 510 Wakala wa barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Singida unaendelea na utekelezaji wa mradi wa Ujenzi wa barabara ya Mbeya Makongolosi hadi Manyoni (Mkiwa) yenye urefu wa kilomita 510. Kukamilika kwa ujenzi wa barabara hii kutarahisisha na kuimarisha usafirishaji kati ya mikoa ya kati na nyanda za Juu kusini na kurahisisha biashara na nchi jirani za Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo, Zambia na Malawi
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Indonesia
3
22
28
551