Emmanuel L. Mvula

1.5K posts

Emmanuel L. Mvula banner
Emmanuel L. Mvula

Emmanuel L. Mvula

@Immamvula

Advocate of High Court

Arusha, Tanzania Katılım Nisan 2014
406 Takip Edilen956 Takipçiler
Emmanuel L. Mvula
Emmanuel L. Mvula@Immamvula·
INEC walitakiwa watangaze mapema may be 2 or 3 years prior ili wananchi watoe maoni na kuanza mchakato wa wilayani. Vinginevyo hili ni zoezi la Watawala kugawana keki. Maana mgawanyo unafanyika kama kikao cha wachawi kugawana nyama
Emmanuel L. Mvula tweet media
Filipino
0
3
2
383
Emmanuel L. Mvula retweetledi
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe@zittokabwe·
UPDATE #FreeNondo Tumejulishwa kuwa Mwenyekiti wa Vijana Taifa @NgomeyaVijana ndg @abdulnondo2 amefichwa kituo cha polisi Gogoni, Kibamba Dar es Salaam. Tumefika Kituoni, ingawa @tanpol wamekataa, tumekuta Landcruiser iliyotumika kumteka Nondo ikiwa inabadilishwa number plates. (kutoka zile za IST zilizotangazwa na Msemaji wa polisi na kuwekwa zingine). Picha chini ndio gari iliyomteka Nondo ikiwa Kituo cha Polisi Gogoni, Kibamba. @tanpol ni dhahiri mpo na Nondo, tafadhali mwacheni huru akiwa mzima wa afya BILA HATA MCHUBUKO! Tafadhali Tafadhali Tafadhali!
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe tweet media
Filipino
131
198
776
110.9K
Emmanuel L. Mvula
Emmanuel L. Mvula@Immamvula·
Don't Trust the Government. Take care of Yourself
English
0
0
1
232
Emmanuel L. Mvula
Emmanuel L. Mvula@Immamvula·
I always tell the truth. Even when I lie
Emmanuel L. Mvula tweet media
English
0
0
4
88
Jamii Forums
Jamii Forums@JamiiForums·
SIASA: Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema Mwaka huu (2024) Serikali haitapeleka Huduma ya Dawa, Mbegu wala Wanunuzi kwenye Jimbo la Kisesa kwa kuwa Mbunge wao (Luhaga Mpina) amekuwa akisema Serikali inapeleka huduma feki Bashe ameongeza kwa kusema kuwa atakwenda Kisesa kuwauliza Wananchi ili kama hayo ni mawazo yao huduma hizo zitasitishwa ili Wananchi na Mpina wasimamie suala hilo Soma jamii.app/BasheKisesa #JFMatukio #Governance #JamiiForums
Indonesia
683
102
836
280.8K
Dr. Tulia Ackson
Dr. Tulia Ackson@TuliaAckson·
Nasikia class monitor kanitaja?
Dr. Tulia Ackson tweet media
Indonesia
886
127
4.3K
324.5K
Emmanuel L. Mvula
Emmanuel L. Mvula@Immamvula·
Imesukwa sukwa mnooo, completed…received…year between ukishaona hivyo ujue tabu ipo
Emmanuel L. Mvula tweet media
Filipino
1
1
2
132
Emmanuel L. Mvula
Emmanuel L. Mvula@Immamvula·
Kuzuia mikutano ya kisiasa Ngorongoro ni kutaka kutokuwa held accountable. Kuzuia mikutano ni mbinu ya kukataa kuwa monitored. Tunajua game plan. Kusiwe na taarifa zozote toka Ngorongoro.Tunajua serikali haina Nia ya kusitisha uhamishaji wa Jamii ya wamasai Ngorongoro
Emmanuel L. Mvula tweet media
Indonesia
1
7
7
322
Emmanuel L. Mvula
Emmanuel L. Mvula@Immamvula·
Wanataka kuweka precedent ili wengine wasiende. Kurudisha huduma kwa tamko ni kiini macho. Kurudisha huduma bila kufuta GN ni Kiini macho. Kurudisha huduma bila kukiri mlisitisha huduma ni kiini macho. Kurudisha huduma bila kuwajibika kwa kusitisha ni Kiini macho.
Emmanuel L. Mvula tweet media
Indonesia
1
8
11
505
Boniface Jacob
Boniface Jacob@ExMayorUbungo·
GERALD IBRAHIM SHUJAA ALIYETEKWA NA KUPOTEZWA KWA KOSA KULISAIDIA JESHI LA POLISI. Gerald Ibrahim maarufu kama SERIKALI ni mkulima na mfanyabiashara pia ni mkazi wa Kijiji cha Mpeta, Wilaya ya Uvinza, Mkoani Kigoma. Mwaka 2018 yalitokea mapigano baina ya wananchi na Jeshi la polisi wakati kuwaondoa wananchi katika ardhi ya Kijiji cha Mwanduhubandu, Mpeta Magharibi kiasi cha Kutokea mauji na raia na polisi wawili. Bunduki mbili aina ya SMG na bastola moja zilizokuwa zinatumiwa na Polisi katika Operesheni hiyo zikapotea katika vurugu hizo. Hayati Magufuli aliagiza serikali ikae na wananchi wa Mpeta kwa karibu kumaliza mgogoro kwa amani bila kumwaga damu. Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma wakati huo alikuwa Samson Nyaikanga. Ndiye alimtafuta GERALD IBRAHIM kupitia katibu tarafa Bwana Thomasi Sangai wakati huo, Thomasi Sangai kwa sasa yupo ofisi ya Mkuu wa Mkoa KIGOMA, ambaye ndiyo mwenye namba za simu 0767 985122. Gerald Ibrahim aliitwa na kupewa maelekezo na watu wa usalama wa Taifa kazi ya kuwatuliza wenzie kwa amani bila vurugu wakati huo kutafuta bunduki mahala zilipo. Makubaliano yalimtaka atumie gharama zake na kwamba baada ya kufanikisha atarudishiwa gharama zake na kupewa zawadi ya donge nono la kiasi cha shillingi millioni 15. Gerald Ibrahim alianza kuifanya kazi huku akihofia changamoto za kutaka kuuwawa pale wananchi watakapogundua kama anashirikiana na serikali maana kwa wakati ule walikuwa na hasira nyingi, Gerald alianza kufanya kazi hiyo 18/11/2018 na kazi yote alikamilisha na kutoa taarifa kwa Mkuu wa Mkoa Kigoma na vyombo vya linzi na Usalama kuwa kazi ameikamilisha kwa asilimia 100% kufikia April 2019. Ambapo mgogoro wa Wananchi uliisha na bunduki mbili pamoja na bastola vilipatikana. Baada ya kukamilisha alimuandikia Mkuu wa wilaya ya Uvinza Mheshimiwa Mwanamvua H.Mrindoko barua ili alipwe gharama zake na zawadi ambayo walimuahidi lakini hakupatiwa chochote. Gerlad alimuandikia barua Mkuu wa Mkoa KIGOMA kukumbushia ahadi yao, hakufanikiwa, akamua kumuandikia barua IGP, pia hakufanikiwa. Alimuandikia barua Waziri wa Mambo ya ndani, Wizara ya mambo ya ndani walimuita Gerald na kumuelekeza aende kwa RAS Kigoma wamlipe madai yake. Gerlad aliporudi mkoani Kigoma hakulipwa chochote na RAS, ndipo akaamua kumwandikia barua Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa bahati mbaya hakujibiwa lolote. Bahati nzuri Gerald alipata taarifa Hayati Magufuli atakuwa eneo la Laela, Sumbawanga Mkoani Rukwa Alitoka Kigoma kwenda Rukwa kuona kutafuta msaada, kwa bahati nzuri alifanikiwa kukutana na wasaidizi wa Rais Magufuli. Gerlad alipokuwa anatoa malalamiko yake, wasaidizi wa Magufuli walisema Rais Magufuli analikumbuka na kulijua suala lake, wakasema Mh. Rais ameshalipa madai haya unayodai kwa kazi nzuri aliyoifanya. Wasaidizi wa Rais waliwasiliana na Mkuu wa mkoa Kigoma na Gerlad akaamuliwa arudi nyumbani Kigoma na jambo hilo tayari kwa Mkuu wa Mkoa amelishughulikia tayari. Gerald alipigiwa simu akiwa Kigoma,akaelekezwa afike ofisi ya Mkuu wa Mkoa, alipofika alikuta kamati ya ulinzi na Usalama yote ikiwa imeketi. Kitu cha ajabu alipofika alikaguliwa kama ana vinasa sauti na simu yake ya mkononi wakamnyang’anya. Viongozi wa Kamati ya Ulinzi na Usalama walimueleza wampe shillingi milioni mbili, ila pia siyo kwa kusaini mahala popote bali akachukue fedha hizo sheli (petrol station) kwa Bella, Gerlad alizikataa fedha hizo na kikao kiliisha bila muafaka wowote, mara ya pili akaitwa tena kwenye kikao cha Ulinzi na Usalama Mkoani, ikaonekana wameamua wamlipe milioni sita, pia Gerald hakukubali na kikao kilimalizika bila muafaka, Mara ya tatu walipo muita tena kwenye kikao cha kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoani Siku hiyo Kamati ilihitimisha kwa kusema pesa zilitoka na wameshamlipa Gerald, pia taasisi zingine zilimpa zawadi baada ya kazi hiyo kama vile ofisi ya Mkuu wa mkoa, Wizara ya Ardhi pamoja na TFS Wakamalizia kwa kusema Kwamba wanayo taarifa kuwa baada ya kupewa pesa hizo ailienda kufanya starehe Dar es Salaam ikiwemo na kununua gari, Kwa hiyo amerudi tena kudai madai yasiyokuwa ya halali wakati madai yake yote yameshalipwa. Gerald aliamua kumuandikia barua Mh.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mara ya Pili Baada ya muda mfupi ofisi ya Waziri Mkuu walimtafuta Mkuu wa Mkoa wa wakati huo Tobiasi Andengenye ambaye alikiri kumtambua na akaomba yeye na Gerald, waonane Kigoma alipwe madai yake. Gerald alipofika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Mkuu wa Mkoa akamuambia ni kweli nina maelekezo yako kutoka kwa waziri Mkuu Kweli ulifanya kazi nzuri hatukatai ila Waziri Mkuu hajaelekeza ni mfuko gani ukupe hizo fedha hapa mkoani. Wakamuuliza kama aliakuwa na namba ya Waziri Mkuu wachukue mawasiliano yake ili wapige wapate maelekezo. Gerlad aligundua maneno yale ni mtego wa wao kutaka Kujua kama alikuwa anafanya mawasiliano na Waziri Mkuu 1. Alipokwenda Waziri Mkuu Kigoma kwa ziara ya chama alipouliza mwananchi mwenye kero, Gerlad alipoinua mkono ulishushushwa chini akaambiwa atulie atalipwa na vitisho Juu kama angekaidi kuendelea kunyoosha mkono Juu. 2. Waziri Mkuu alipokuwa na kikao cha NSSF, Gerlad aliifika alizuiliwa kuingia na kumuweka kwenye gari aina ya Landcruiser kisha wakafunga milango huku gari ikiwa ‘silencer’ na AC imewashwa. Gari alilofungiwa Gerlad lilitangulia uwanja wa ndege Kigoma na Gerald akiwemo ndani ya gari hilo kafungwa kwa nyuma. Waziri Mkuu alipofika uwanja wa Ndege, walimtoa Gerald wakamficha kwenye chumba mojawapo pale airport na kuwekewa bastola kichwani kuwa akipiga kelele anauwawa. Baada ya Waziri Mkuu kuondoka walimtelekeza pale pale uwanjani mpaka alipoamua kutoka kwa miguu uwanja wa ndege. 3. Siku moja Hayati Magufuli alifika Mpeta alisimama na kusalimia. GERALD alipofika kwenye mkutano alichukuliwa na askari polisi wawili ambao walisema wamepata taarifa kuwa ameunda kikosi cha kutaka kumuuwa Rais. Gerlad ailivutwa pembeni akapigwa sana kabla kuja kusaidiwa na bodigadi wa Raisi ambaye alikuja kuzuia wasiendelee kumpiga Gerald akiwa mwezi mzima amelala nyumbani kwake akifanyiwa matibabu, alipopata nafuu aliamua kuanza upya kwenda kwa Waziri wa mambo ya ndani ambapo Waziri wa Mambo ya ndani aliunda tume kupitia ofisi ya IGP. Tume aliyounda ikafika Kigoma na kufuatilia matukio ya Gerald yote, mwisho wakamuelekeza RCO ampe majibu ya malalamiko yake na ayachukulie hatua haraka sana RCO na yeye alikuwa hampi majibu ya kutosheleza badala yake alikuwa anamtengenezea kesi, haya yote yanatokana na madai na maelekezo waliyokuwa wanampatia Tume mbalimbali za Rais Magufuli zilifika kumuhoji ili aseme uongo kwa kuwasingizia wananchi kuwa mapigano yale walileta wanajeshi wa nje ya nchi. Gerlad hakusema uongo, hakupenda kusema uongo maana alijua anaweza kuliangusha Taifa lake na taarifa zote walizokuwa wanapata huko lkulu kuhusu mgogoro wa Mpeta,Wanduhubandu zilikuwa zinapitia kwake au kutoka kwake. Kwa malalamiko haya ni dhahiri pesa ilitoka lakini Gerlad kama mlengwa wa pesa hizo hakupata hivyo kwa busara zake aliomba msaada kwa kila kiongozi mwenye dhamana ili aweze kupata haki yake. (1) Barua kwenda ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Uvinza ya tarehe (2) Barua kwenda kwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma ya tarehe 12 October 2019 (3) Barua kwenda kwa Mkuu wa jeshi la Polisi Tz (4) barua kwenda kwa ispekta generali wa polisi ya tarehe 26 September 2019 (5) barua kwenda Waziri wa Mambo ya ndani ya tarehe 10 November 2024 (6) barua kwenda Waziri Mkuu ya tarehe 22 March 2024. Tarehe 8 July 2024 Gerald alifika ofisi ya IGP Dar es salaam na kuelezwa kuwa anatakiwa afike ofisi ya IGP alikua huko ofisi ya Dodoma, Makao Makuu ya Jeshi la Polisi. Tarehe 9 July 2024 Gerald alipofika Dodoma na alikukutana na danadana za nenda rudi nyingi na mwisho hakuonana na IGP. Gerald aliamua kutafuta mawakili ili kufungua jalada la madai ya stahiki zake na hatua za awali zimekwisha kuanza kufanyika chini ya mawakili, Gerlad Ibrahim aliamua kurudi Kigoma ili kujipanga vizuri kwa ajili ya kesi aliyoanza kuiandaa, lakini cha kusikitisha tarehe 4 August 2024 siku ya Jumapili saa tano asubuhi Alivamiwa na watu wakiwa na gari aina ya Landcluiser na kumteka huku wakimtelekeza mtoto wa umri wa miaka 5 aliyekuwa amebewa na Baba yake, jina la mtoto ni John Gerald Ibrahim OCD wa wilaya ya Uvinza aligoma kutoa RB tangu tarehe 04 August 2024 kwa ndugu wa Gerald Ibrahim kuhusu kutekwa na kupotea kwa Gerald Ibrahim Mpaka ndugu walipoomba msaada polisi makao makuu ndiyo OCD Uvinza ndiyo akaridhia kutoa RB siku ya tarehe 07 August 2024 RB yenye namba UVZ.CID.PE.12.2024 Leo ni siku 20 sasa zimepita tangu Gerald Ibrahim a.k.a Serikali atekwe na Kupotea juu ya uso wa Dunia. Bwana Gerald Ibrahim namba zake za simu zilikuwa ni 0762524459 au 0623515065 au 0687117991. Mpaka sasa vituo vyote vya polisi havina taarifa ya ndugu Gerlad Ibrahim wala vyumba vya kuhifadhia maiti hakuna Jina la Gerald Ibrahim. Namba za mke wa Gerald Ibrahim ni 0695152220. Nawaza kama siyo Gerald Ibrahim kusukumwa na mapenzi yake kwa nchi yake Na kuamua kupambana kutafuta silaha zile huenda muda huu zingekuwa mtaani mikononi mwa watu wabaya zinatumika kuondoa uhai wa ndugu zetu au rafiki zetu. Kama Gerald Ibrahim a.k.a Serikali asingefanya wema kwa Jeshi la polisi na kuingia katika mgogoro wa kudai ahadi ya lile donge nono huenda angekuwa uraiani kama sisi leo hii. Boniface Jacob Ex-Mayor The voice of the silenced Majority. 0712 239595.
Boniface Jacob tweet mediaBoniface Jacob tweet mediaBoniface Jacob tweet media
Indonesia
387
593
2.5K
203.6K
Emmanuel L. Mvula retweetledi
Charles Onyango-Obbo
Charles Onyango-Obbo@cobbo3·
During the TICAD meeting today 23 August, in Tokyo, Japan, a Moroccan diplomat from the Embassy of Morocco in Addis Ababa attempted to forcibly remove the nameplate of the Sahrawi Republic. In the video the Ambassador of Morocco to the AU, Mr. Alarrouchi, rushed to support his colleague, whose actions were the least diplomatic, to put it mildly. Not Africa’s finest hour. Wonder what the Japanese thought of “these natives”
English
148
460
713
225.4K
Emmanuel L. Mvula
Emmanuel L. Mvula@Immamvula·
Hii ni Weekend niliyotumia kusikiliza muziki. Napenda Country songs old and morden. Kati ya nyimbo zaidi ya 70 nilizosingiliza, kipande hiki cha Chancetherapper cha wimbo wa Nelly Hot in here kimebaki kichwani. @zittokabwe @PaulSIFA @fulgencem
Indonesia
2
1
2
93
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Bibi Harusi, wa Mwamba aliyegoma kwenda kwenye HARUSI JANA ka-mind! Kasema mwamba ana tabia Mbaya 🤣🤣🤣 Video kwa Comments👇🏾
Latto 𝕏 tweet media
Filipino
153
71
2.1K
363.8K
Emmanuel L. Mvula
Emmanuel L. Mvula@Immamvula·
Yaani leo, mtaani kila.mtu anatamba ana wakili wake, wakiulizana Matoke unasikia "ngoja nimpigie wakili wangu" Kumbe tuna wateja wengi hivi
Emmanuel L. Mvula tweet media
Indonesia
0
0
1
46