Its_jacky

5.9K posts

Its_jacky banner
Its_jacky

Its_jacky

@Itsjacky12

favoured 🥰

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ağustos 2019
3.3K Takip Edilen12.2K Takipçiler
Sekenke One 🌻
Sekenke One 🌻@AlexSamoja·
Mtoto anarudi Likizo kutoka shule ya Ada 20m per year, kitu pekee mzazi anachojivunia ni mtoto kuongea Fluent English na kupata A nyingi, ila chuo tunakutana UDOM na UDSM, What is English Gaddemit, Mchina amejenga Barabara Africa zaidi ya kilometers 10,000 na miundombinu Kibao, Mchina hajui Kiingereza na kama anajua basi ni Broken English ila anafanya kila awezalo kuelewana na Local People, Afu we Bro unalipa 30m Private School kwa ajili ya English, Kiingereza chenyewe Harmoize alitumia miezi mitatu tu kukijua (From Morning to the Night ma bebi You Go Burst Ma Medulla) Kwenye kujibu hoja usiweke UFAULU na Fluent English nambie UJUZI na Technology gani wanapata watoto kule tofaut na Kayumba school 😄 🤣 😂
Indonesia
105
74
644
35.3K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Mwenyekiti wa chama cha Wamiliki wa Daladala mkoani Dar es Salaam anasema hizi ndo nauli walizopendekeza wao kutokana na kupanda mwa mafuta. Nauli ya 600 iwe 850 Nauli ya 700 iwe 1300 Nauli 800 iwe 1700 Nauli ya 900 iwe 2100 Nauli ya 1100 iwe 2500 Nauli ya 1300 iwe 3000 Lakin
Indonesia
139
73
876
69.2K
Kaponda Jr
Kaponda Jr@Kaponda_077·
Unaongea na mama ntilie kwa sauti ya chini na kwa unyenyekevu yeye anakujibu kwa sauti ya juu "Nimekwambia hakuna wali wa mia saba hapa" 😂😂😂
Indonesia
13
32
134
4.3K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Kuna mzee anasema apa Pombe na Wanawake vinamaliza sana pesa kwa vijana wa kiume kwa sasa. Anasema utakuta kuna kijana bado ajajipata vizuri ana Wanawake wanne, mlevi wa pombe. Mtu kama huyu ni ngumu kufanya maendeleo. Naomba kuwasilisha.
Filipino
16
45
395
12K
PàChâ#1738 💫
PàChâ#1738 💫@Tweener003·
Sema hii sio sawa maana kuna wazee wengine hata kwenye kile kikao hawakuwepo 💔💔
PàChâ#1738 💫 tweet media
Filipino
259
129
1.5K
182.3K
Iam Salum Ally
Iam Salum Ally@iamsalumally·
Watu Ambao Hawanywi POMBE wala ku SMOKE What do you use to Escape hizi stress za Maisha ?
English
177
57
914
86K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Huyu ndo ZCO Faustine Mafwele ambae amehusika kwenye tukio la kutekwa Balozi Polepole. Huyu ndo anajua wapi wamemficha Balozi Polepole Namba zake za hizi - 0755855743, 0787922913 Kila mmoja ampigie amwambie amwachie Balozi Polepole. #FreeBaloziPolepole
Hilda Newton tweet media
97
378
1.6K
131.4K
John Nguti Chadema
John Nguti Chadema@JohnNgutiCDM·
Kwahiyo Salim Kikeke anasema yeye ni MANGI kabisa na anataka Ubunge Moshi Vijijini... Mnajua hawa watu wanatuona kama Matako yao🤔
John Nguti Chadema tweet media
Filipino
99
98
1.1K
57.5K
Its_jacky
Its_jacky@Itsjacky12·
@MSAFWA_OG Kwanini mnahangaika kulea mke wa mtu? Acheni mume alee
Indonesia
0
0
0
85
Its_jacky
Its_jacky@Itsjacky12·
@WideEdson Mara nyingi watu wa hali ya chini ndo huwa na moyo wa huruma na kusaidia kuliko matajiri
Indonesia
0
0
1
23
MJUKUU (Fan)
MJUKUU (Fan)@WideEdson·
Huruma aliyoiyoneshahuyu dogo muuza mayai imegusa mioyo ya watu wengi sana aiseeh. 😕
MJUKUU (Fan) tweet media
Indonesia
55
181
2.8K
205.8K
Its_jacky
Its_jacky@Itsjacky12·
@0101DUBU Mwanaume mzima unajisifia ujinga na unacheka ovyo kama ngiri una akili kweli wewe?
Indonesia
3
0
4
926
Movie Plug 📺
Movie Plug 📺@MoviePlugHQ·
Yaani🤔 -Umeachana na mwanamke wako ila Bado mnawasliana. It's okay unawatoto - Jamaa amempenda mke wako (SINGLE MOTHER) - Jamaa analipia ada watoto wa mwanaume mwenzake. Makosa mnayoyafanya kwenye mahusiano kwasababu ya NY3GE💔💔🚮 Soma hii confession..Weka hoja Yako👇🏽 1/4🧵
Movie Plug 📺 tweet media
Filipino
42
10
161
25.9K
Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊@McinikaWaLamar·
Hivi hapa Dar kuna sehemu maisha ni nafuu sana kuliko Mbagala na Chanika?
Indonesia
87
32
745
90.5K
@Dickson08👑
@Dickson08👑@Rallydick0076·
@0101DUBU Nimeelewa kwanini mademu wanamtaka sana mwamba, hajui game ya wanawake ndio maana wanamkubali sana jamaa mnyenyekevu sana japo anawakataa lakini, ni moja ya washikaji ambao wataimba kiyunani kwenye ndoa amini nawaambia
Indonesia
11
0
69
4.6K
Movie Plug 📺
Movie Plug 📺@MoviePlugHQ·
Kumbe inawezekana mwanaume kukaa Hadi miaka 30+ bila kula DEM😌😌 Jamaa Hajawahi kabisa kujaribu.. Hadi anagombaniwa😄😄💔 Anyways" Attract, don't chase." Respect bro Soma huu mkasa.. Weka hoja Yako 1/7.🧵
Movie Plug 📺 tweet media
Indonesia
105
16
412
114.9K
Its_jacky
Its_jacky@Itsjacky12·
@0101DUBU Asa natumika more than 5yrs unafanikiwa kuiba viela vya kodi na tv mara sabufa whatever unaona umemkomoa??? Watu mnaibiwa nyota wanafanikiwa kimaisha wewe unabaki na vitu vya ndani ndo unasema umemkomoa???
Indonesia
1
1
14
3.5K
Movie Plug 📺
Movie Plug 📺@MoviePlugHQ·
Wanawake Wana akili sana, usimuamini mwanamke anayejifanya haelewi kitu, pengine Yuko anapangilia majeshi yake. Ishi kwa akili na Ke💔💔 Huyu amefanikiwa kujiepusha na maradhi at the same time ametengeneza mtaji😅😅 Soma huu mkasa🧵 Weka hoja Yako 👇🏿 1/6
Movie Plug 📺 tweet media
Indonesia
53
27
515
154.1K
Its_jacky
Its_jacky@Itsjacky12·
@GTream91012 @0101DUBU Watu tuko menopause saiz yatanikutaje??😂 apambane na hali yake bana! Kama unamuonea huruma sana mtafute umsaidie
हिन्दी
1
0
0
13
GAZA Tream
GAZA Tream@GTream91012·
@Itsjacky12 @0101DUBU hujui kusoma au??? si kasema baba mtoto wake alimuambia abebe atalea.. cheka sana ila omba yasikukute
Indonesia
1
0
0
9
Movie Plug 📺
Movie Plug 📺@MoviePlugHQ·
Mnasema mtalea mtoto pamoja baada ya kumzawadia mimba mnakimbia. Hell 💔💔😌
Movie Plug 📺 tweet media
Indonesia
49
15
172
15.2K
Movie Plug 📺
Movie Plug 📺@MoviePlugHQ·
-MAHUSIANO YA CHUONI ni UTAPELI💔 - LONG DISTANCE RELATIONSHIP ❌🚮 Mahusiano yanajengwa na uaminifu, nje na hapo mnakula muda.🙌😌 Soma🧵Mpe ushauri 1/5
Movie Plug 📺 tweet media
21
9
77
6.3K
Movie Plug 📺
Movie Plug 📺@MoviePlugHQ·
Dah, hii imeniuma sana, nimeona sio mbaya niwasogezee. Kukaa Na MWANAMKE ambaye hujamzalisha wewe ni aina nyingine ya kujitoa muhanga. 😌💔 Baada ya Mwanamke kusaidiwa malipo akaona amchawie msela. 🚮 Soma🧵 Mpe wazo👇🏿 1/3
Movie Plug 📺 tweet media
Indonesia
46
15
182
20.3K