Sabitlenmiş Tweet
ThreeTimes♟️
8.9K posts

ThreeTimes♟️
@JaimeQueezy
Did it once, did it twice, did it Threetimes.
Saint Petersburg, Russia Katılım Kasım 2022
576 Takip Edilen342 Takipçiler
ThreeTimes♟️ retweetledi
ThreeTimes♟️ retweetledi
ThreeTimes♟️ retweetledi
ThreeTimes♟️ retweetledi
ThreeTimes♟️ retweetledi
ThreeTimes♟️ retweetledi

385,000,000 Tsh 🔥
Five bedrooms | 2Living room | Dining | Kitchen | Store | Laundry | Gym | Office | Public toilet
@sedecbuilders
+255 747 608053
info@sedecbuilders.co.tz
📍 YWCA BUILDING posta mpya Dar es salaam.

Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 English
ThreeTimes♟️ retweetledi

UTABIRI WA KUTISHA ULIOFANYWA NA NOSTRADAMUS -BABA WA UTABIRI
UZI 🧵
Nostradamus ama BABA WA UTABIRI DUNIANI. Unamjua ni nani?
-Kama unadhani katuni za Simpsons zinatabiri basi humjui vizuri Nostradamus
Kuna bwana mmoja huko jijini Saint-Rémy aliyeitwa Michel de Nostredame, ambae pia hufahamika kama Nostradamus, bwana huyu alikuwa bonge la kichwa, alipata umaarufu kutokana na kuwa mtaalamu wa nyota, daktari na mwanafarsafa wa Ufaransa.
Michel de Nostredame aliandika kitabu kilichoitwa "Les Prophéties" (yani Unabi), kitabu hiki kilikuwa na mkusanyiko wa mashairi 942 ambazo zilidaiwa kutabiri matukio makubwa yajayo.
Nostradamus alizaliwa Desemba 1503 hadi 1566, alikuwa mfamasia na tabibu wa Ufaransa, pia mnajimu na mwaguzi au mtabiri wa mambo yajayo.
Utabiri wa Nostradamus: Maono ya Vita vya Kidunia vya 3 kati ya 2025-2027 na Jalada Ngumu la Great Quatrains
Kitabu hicho Nostredame alikichapishwa kwa mara ya kwanza mnamo mwaka 1555.
Shuka chini 👇🏽

ThreeTimes♟️ retweetledi
ThreeTimes♟️ retweetledi

@Caamil8 Ila Raisi ninakukubali kwenye mitupio, hautaki kueleweka kabisa sometimes una tupia kama Gen z, sometime kama akina mangungu
Indonesia

@millardayo Millard nasubiria na wewe uchukuwe form ya Arumeru
Indonesia

Mwandishi Mkongwe wa Habari Salim Kikeke amechukua Fomu ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Moshi Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Zoezi la uchukuaji fomu katika Ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) linaendelea Nchi nzima ambapo watia nia tofauti wameendelea kujitokeza kwa ajili ya kuchukua fomu za Ubunge na Udiwani.
#MillardAyoUPDATES

Indonesia

@Innocent691845 @444holywitch Tafuna Karoti mara 2 kwa siku kwa siku 7
Indonesia

@Celsius015 @444holywitch Vuta pumzi kwa nguvu ndani haaaaah na uiachie kwa nguvu uuuuuuuh, fanya x3

Jana gani tena watu wa MIKOANI akati mzigo umepigwa leo alfajiri 😂😂
The mandevu@ze_mandevu
Yaliyo jiri jana mbona hayaelezeki.😁
Filipino


























