Hustler

10.9K posts

Hustler banner
Hustler

Hustler

@ihad2016

The world as a village

Africa Katılım Eylül 2016
7.3K Takip Edilen2.1K Takipçiler
CHAUMMA Tanzania
CHAUMMA Tanzania@ChaummaT·
KATIBU MKUU WA CHAUMMA SALUM MWALIM ASEMA TAIFA LINAHITAJI MAJAWABU SIO UFUNDI WA MANENO NA KUTONESHA VIDONDA
Indonesia
15
1
16
3.8K
Hustler
Hustler@ihad2016·
@YerickoNyerereT Utapeli mliokuwa mnaufanya na mwamba mnaona Kila mtu ni tapeli 🤣
Indonesia
0
0
0
20
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Kwani hizi kumbukumbu za kuzaliwa huwa mnazitumia kutengeneza pesa nini? 10/4/2026 mwamba alitwambia ana birthday tukampongeza, Leo 17/5/2026 anwsema tena ana birthady, Haya ni maajabu! Hiki chama kila mtu ni tapeli hata huyu rafiki yangu Yeroo Maasai Sosopi wameshamharibu😂😂
Yericko Nyerere tweet mediaYericko Nyerere tweet media
Indonesia
44
6
31
12.7K
Thadei Mhabuka
Thadei Mhabuka@mhabukat·
@fbuyobe Ila mishe mnazo fanya jamaa za kinyama sana kuuza roho za watu dahaa nashindwa kuamini kama mzee wa sogea telegram ndio steling
Indonesia
1
0
32
2.2K
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Mahakamani shaidi hudodoshwa ili kumcondradict na ushaidi wake na mwisho kumpotezea credibility. Story ya Hilda sitaki kuisema kuwa yote ni ya ukweli au yote ni uongo. Nitakuwa nagusa maeneo maalumu tu. 1. HILDA: Buyobe alimdanganya Mshabaha kwamba Msuya alikuwa Diwani wa Chadema wa Ubungo huku akijua fika kwamba Msuya hajawai kuwa Diwani. FACT: Si kweli nilidai Msuya alikuwa diwani Ubungo. Ili limepindishwa makusudi kimkakati. Nilimtambulisha Msuya kama aliyewahi kuwa mwenyekiti wa CHADEMA Ubungo Msewe. 2. HILDA: Mshabaha alimuliza ndani ya CHADEMA anamfahamu nani Buyobe akasema @ExMayorUbungo na Hilda Newton kama girlfriend wake japo kwasasa Msuya hana mahusiano mazuri na Bony. FACT: Sikuwahi kutaka kwa njia yoyote kumtumia Bonny kutia ushawishi ili Msuya aaminike. Sijisikii vizuri kumjadili hapa Bony kwani nitakuwa namuingiza kwenye issue isiyomuhusu. But ni kweli tukiwa kwenye maongezi ni Msuya mwenyewe alieleza juu ya ukaribu wake na Bony very casually. Pia ni kweli Msuya alitueleza mimi na Mshabaha kuwa Hilda alikuwa girlfriend wake. Hapa ukakasi ninaoupata, Hilda kwa nini anataka kujitenga na Msuya kwa kukana kutomjua. Lets say inawezekana hawakuwa na mahusiano, vipi ashindwe kumtambua Msuya kama mwenyekiti wa mtaaa maarufu kama Msewe, ambao wakati ule ulikuwa ni kama kambi ya wasomi wengi wa UDSM NB: Nitaomba nisaidiwe, Msuya alitueleza alikuwa mwenyekiti wa wenyeviti mkoa wa kichama Ubungo. Kama ni kweli, Hilda bado anashindwa kumtambua kiongozi wake huyu chamani? 3. HILDA: Nilimpigia simu Buyobe, nikamuuliza kwanin alimdanganya Mshabaha kwamba mimi ni Girlfriend wa Msuya wakati anajua mimi na Msuya hata hatufahamiani, alijiumauma sana mwisho akajitetea kwamba Msuya alimdanganya. FACT: Sijawahi kuulizwa na HILDA juu ya taarifa za Msuya kudai wana mahusiano. Nazidi kutia mashaka kwa nini hapa kwenye Mahusiano anaparejea hadi kutoa ushuuda wa uongo. The fact ni kwamba Hilda anamjua Msuya inawezekana sio kama mpenzi wake. Kumkana kutomjua Msuya hadi kutotambua nafasi yake ya uongozi chamani inaweza kutoa strong suspicion ya inawezekana wanajuana zaidi tujuavyo. Ni issues ndogo but yenye trustworthy issues. HILDA: Msuya baada ya kupiga tukio jioni ya siku hiyo hiyo, alionekana maeneo ya Namanga akivuka kuelekea Dar wakati huo Buyobe yeye alikimbilia maeneo ya Busia (Hii ni kwa mujibu wa maelezo yake mwenyewe) na hapo alifanya bila kuwasiliana na mtu yeyote hata wale waliompokea hakuwajulisha, licha ya kwamba awali wakati anafika alisema haijui kabisa Kenya ni mara yake ya kwanza kufika Kenya. FACT: Sikujiondokia bila taarifa. Mtu nisiyetaka kumuingiza kwenye mjadala kwa kuwa hausiki, tuliwasiliana naye. Nilipigiwa simu ya Mshabaha, huyu mtu mwingine wakiwa na nia ya kutaka kunibrief kilichotokea. Nilikuwa nimelala hotelini sikusikia simu zao. Majira ya kwenda saa 11 nikampata Mshabaha na akanijuza kilichotokea na yupo hospital. Mshabaha pamoja na madhira yaliyompata, hakusahau his duty of care kwangu. Ni yeye akashauri niondoke haraka pale hotelini hadi itakapothibitika kuna usalama. HILDA: Azizi na Msuya walikuwa wakiishi na mimi FACT: Huu ni uongo! Msuya alikuwa anakaa Himalaya Heights, mimi nilikuwa ninakaa Myra residence HILDA: Msuya alipoona Mshabaha amekataa mambo yatraining akamuomba amkutanishe na Hilda, Maria, Sativa, na Mwaipaya. Mshabaha alikataa mind you huyu mtu ambae anamuomba Mshabaha amkutanishe na mimi, kwenye utambulisho wake alisema kwamba mimi ni girlfriend wake. FACT: Hapa Hilda anajichanganya kwenye Dodoso la Pili (2. HILDA) Anasema kuwa mimi nilimtambulisha Msuya kuwa wanahusiano naye wa kimapenzi. Lakini Msuya akamkataza Mshabaha asimpigie Hilda kwa kuwa Msuya anajua uongo wake utajulikana. Hapa anarudi kujicontradict kuwa Msuya baada ya kuwa desperate kwa kukataliwa kutoa training kwa wanaharakati akaomba akutanishwe na kina Hilda na wenzake. Yani Hilda aliyemkwepa asitafutwe kwa kuwa uongo wake utajulikana, sasa anamtafuta bila kuhofia uongo wake. Hilda na Msuya Kunani?
Fortunatus Buyobe tweet mediaFortunatus Buyobe tweet mediaFortunatus Buyobe tweet mediaFortunatus Buyobe tweet media
Filipino
172
40
253
68.4K
Zoom Afrika
Zoom Afrika@zoomafrika1·
Uganda minister of sports. 😂😂
English
1.6K
4.6K
21.1K
1.9M
Hustler
Hustler@ihad2016·
@massanzajr Akiguswa shoga enu Utopolo mnateseka sana
Indonesia
2
0
0
24
Hussein Massanza
Hussein Massanza@massanzajr·
Nchi nyingi duniani wachambuzi wa football ni wachezaji wastaafu, makocha wastaafu, wakufunzi na viongozi wastaafu wa mashirikisho ya mpira wa miguu. Tanzania wachambuzi wengi ni mashabiki wa Simba na Yanga!
Indonesia
25
12
253
22.7K
Hustler
Hustler@ihad2016·
@YerickoNyerereT Nenda Israel wameandaa sherehe yenu mwezi wa 6 😀 unateseka mno.
Indonesia
0
0
0
16
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Ni kesho hiyo, kwangu kesho itakuwa mapumziko ya siku…. Andaeni mioyo yenu enyi wahalifu mliopanga mapinduzi na akili zitarudi kwenye factory settings tu, Makundi ya Kisiasa, Kidini na Kiharakati yote yaliyochochea mapinduzi, yaliyoratibu mapinduzi, yalifyoanya mapinduzi, yaliyoua WANANCHI, yaliyoua POLISI, yaliyoharibu mali za watu na mali za umma, yote lazima yawajibike! Baada ya ripoti hii kusomwa na kuwajua wahalifu wetu, Kuna njia mbili tu ziko mbele yenu; 1: Unganeni nasi kuliponya taifa kwa maridhiano na tusameheane kwa yote yaliyopita, 2: Mkono wa sheria utawale na yeyote aliyehusika kwa namna yoyote ile awajibike ikiwemo waliokimbia kwenda kujificha Nairobi warejeshwe waje wawajibike! Taifa litapona, tunaisubiri kwa hamu kubwa ripoti hii kesho! Na Yericko Nyerere
Yericko Nyerere tweet media
Indonesia
104
14
48
13.7K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Wenye akili timamu wote wanaendelea kujiondoa chadema baada ya chama hicho kutwaliwa na wapuuzi waliobadili malengo ya chama na kuwa genge la wanaharakati uchwara…. Kama bado uko Chadema wewe ni mpuuzi, hivyo jitafakari, chukua hatua kuondoa upuuzi ulioziba ufahamu wako kichwani. Wenye akili timamu wote tuko Chaumma tunafanya siasa zilizobalehe, Siasa za Samawati….. Na Yericko Nyerere
Yericko Nyerere tweet media
Indonesia
119
12
31
8.6K
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
Wakati mjadala wa uwepo wa maridhiano ukishika kasi nchini, Mchambuzi wa masuala ya siasa Ally Makame ametoa wito kwa jamii kuacha kile alichokiita kuwa ni dhana potofu ya kwamba maridhiano hayo hayawezi kufanyika na kufikia muafaka sahihi bila uwepo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Akizungumza na Royal TV leo, Ijumaa Aprili 17.2026, Makame amesema maridhiano ni suala mtambuka linalohusisha makundi mbalimbali ya kijamii ikiwemo wadau wa vyama vya siasa, na kwamba katika makundi hayo hakuna mtu au kundi fulani ambalo ni muhimu zaidi kuliko lingine, Katika hatua nyingine, Makame ameonesha kukerwa na baadhi ya kauli zinazodaiwa kutolewa na viongozi wa CHADEMA za kuviita vyama vingine vya siasa kuwa ni 'Vyama vya Mfukoni' badala yake ametaka viongozi wa chama hicho kuheshimu na kutambua kuwa vyama vyote viko sawa ndio maana vimepewa usajili rasmi baada ya kukidhi matakwa ya kisheria, Aidha, amegusia suala la kuheshimu kwa utawala wa sheria akitolea mfano, wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu anayeendelea kusota gerezani kutokana na kwamba kesi hiyo (uhaini) haina dhamana, Makame ameshauri viongozi na wanachama wa chama hicho kuacha kushinikiza kuachiliwa kwa Lissu badala yake wasubiri Mahakama ambacho ni chombo huru kifanye kazi zake, na mwisho haki itatendeka
Indonesia
71
2
41
12K
Hustler
Hustler@ihad2016·
@YerickoNyerereT Umaanza kujilambalamba kwa Lissu 🤣🤣tulia huko Chaumma Dalali
Indonesia
0
0
0
10
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Hatimaye wanachadema wanaanza kufunguka akili zao, Sasa Hawa ndio hawataki Lissu atoke jela, Wananufaika kwa kupata mamilioni Lissu akiwa jela. Taarifa ya Kisabo ndio ilitumika na Chadema kuandika Taarifa Rasmi ya Chama ikikopi na kupesti neno kwa neno. Sasa iweje leo Mjumbe wa Kamati Kuu anaipinga Taarifa ya Chama? Hivi hawa wanaharakati uchwara wanaomlaumu Wakili @advocate_kisabo Walitamani Ujumbe wa Tundu Lissu alete nani toka jela ikiwa wao wamekili mbele yake na mbele za camera kuwa wanazuiwa kuingia gerezani Ukonga kumuona yeye hata pale alipowaita waende kumuona? Wakili alifayenikiwa kuonana na mteja wake kuna ubaya gani kutoka na ujumbe wa mteja wake na kuutangaza hadharani? Kwani Kisabo hajui madhara ya kusingizia jambo kubwa kama hilo kwa mtu mwenye profile ya Tundu Lissu? Ninachokiamini Kisabo ametoa taarifa ya Mteja wake bila kujali ana nafasi gani nyingine, Taarifa za kisheria, kimahakama nk zinatolewa na wakili, na kimsingi wakili hana kizuizi cha kutoa taarifa anazopewa na mteja wake. Huyu God Lema yeye alinyang’anywa paspoti na kuzuiwa kusafiri nje ya nchi sawa na viongozi wote wa Chadema, Lakini Ghafla ni yeye Lema tu ndie amerudishiwa Paspoti anasafiri kokote duniani na hivi sasa yuko Canada kwa mkewe…. Yaani Lema kaingia maridhiano binafsi na Serikali yuko huru anakula bata, lakini hataki wenzake waingie maridhiano warudishiwe paspoti zao wafanye siasa za kistaarabu. Wanachadema stukeni mnapigwa na God…. Maria Sarungi, Mange Kimambi na wanaharakati Wengine hawa wananufaika kwa Lissu kuendelea kusota ndani wakiitumia kesi hii kupokea mabilioni kutoka kwa Wazungu, Hivyo Lissu akitoka na nchi ikiwa tulivu maana yake mirija ya ulaji inakuwa imekatika. Wanachadema stukeni mnapigwa. Uhuru wa Lissu ni muhimu sana kwa sasa kuliko maslahi ya wahuni wachache, Wanachadema msipumbabwe na hawa waliowapotosha kwa mwaka mzima bila majibu. Muungeni mkono Lissu katika agenda yake ya maridhiano atoke Jela…. Na Yericko Nyerere
Yericko Nyerere tweet mediaYericko Nyerere tweet mediaYericko Nyerere tweet mediaYericko Nyerere tweet media
Indonesia
99
26
41
12.7K
Hustler
Hustler@ihad2016·
@YerickoNyerereT Kama Lissu kaweka haya masharti kama yakifuatwa Serikali ndo imekata Pumzi Hivi Yericko Ulishawahi kujiangalia huo mdomo wako na hayo meno yako 🤣🤣
Hustler tweet media
Indonesia
0
0
1
22
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Jela sio sehemu salama, hakuna aliyekaa jela akabaki na msimamo wake uleule, Nampongeza Lissu kwakubadili msimamo wake na kuomba sasa maridhiano ya mezani, Ukikomaa utafia jela ndugu….. Waulize wapinzani wengine Afrika kilichowakuta. Yuko mtu kwasababu ya uelewa mdogo anaamini kuwa Marekani na Ulaya watakuja kumtoa Lissu pale Ukonga au watakuja kuitoa CCM madarakani na Lissu awe Rais. Hizo ni ndoto za chizi na kuota ndoto kwa kiumbe cha Mwenyezi Mungu sio dhambi…. Ulaya na Marekani wanaangalia maslahi yao, Vyovyote ccm na samia watakachowafanyia watz ilimradi maslahi ya Ulaya na Marekani hayaguswi basi sahauni ndoto zenu, mtaishia kupokea barua za matamko ya kulaani na kusisitiza amani na demokrasia tu. Nakujueni mnavichwa vigumu mtakomaza mafuvu yenu kubisha… Tulishauri tangu mwanzo kwamba tufanye siasa za maridhiano, tukawaambia kuwa hii ni kesi ya kisiasa, Siasa ndio imemweka jela Lissu, na Siasa ndio itamtoa jela Lissu, kwa lugha rahisi ni kwamba Lissu lindie kafanya Lissu aende jela, na Lissu ndie atafanya Lissu atoke jela. Kwakibri na jeuri ya umamuma wetu mlitutusi mkatuita wasaliti. Bahati nzuri Lissu akili imemjia kalitambua hili japo kwakuchelewa sana, Tumpongeze na tumtie moyo… karibuni kwenye siasa za kistaarabu za maridhiano kwa maslahi ya Tanzania yetu. Ushauri wangu kwa Serikali ni kwamba Mahakama iachwe ifanye kazi yake na haki ipatikane, Lissu atatukuta mbele tukiendelea na vikao vya maridhiano au atakuta nchi ilisharidhiana inaendelea vizuri na atafaidi matunda ya maridhiano. Na Yericko Nyerere
Yericko Nyerere tweet media
Indonesia
153
20
52
21.8K
Hustler
Hustler@ihad2016·
@barakawamb Sasa kama kaweka marti na mtayafata nani alika pumzi?
Filipino
0
0
0
8
BarakaWambura
BarakaWambura@barakawamb·
Tayari pumzi imekata ile elimu ya kisheria imefail na ndio kwanza mwaka mmoja tu mandela wa mchongo anaomba maridhiano😁 kesi ikiendelea mwezi mmoja ujao lazima atachutama na kuomba radhi umma kwa kusababisha vifo vya vijana aliowalaghai kufanya vurugu okt 29
BarakaWambura tweet media
Indonesia
19
12
15
1.6K
Kwame Kivaisi
Kwame Kivaisi@kwamekivaisi·
Sheria ni sheria. Julius Malema miaka mitano jela kwa kumiliki silaha bila kibali na kufyatua risasi hadharani. Kuna vilaza Tanzania ingetokea hii wangesema ni kesi ya kisiasa. Wanadhani nchi zinaendeshwa kama shamba la ngedere. Mtaendelea kujifunza kwa kiboko maana ya nchi.
Kwame Kivaisi tweet media
Indonesia
21
18
25
3.1K
Johari Mshana
Johari Mshana@joharimshana·
DADA YENU NAONA KAWEKA KIJITI CHA UZAZI WA MPANGO! Yaan huyu Larry anaonekana kabisa Gender hii, haya naona kijiti kimeshuka kwasababu ya kukonda, hataki watoto na mababa tena? Ila hii Afya inaulakini, oneni mikono mmh, alafu nimemsikia anasema hajawahi kuchochea vijana wachome mmh so amewakana vijana maskini!!
Johari Mshana tweet media
Indonesia
22
13
20
11.1K
Hustler
Hustler@ihad2016·
@Baradhuli2 @jkbtetes107 @1ngadu1 Muwege na akili hata kdg basi kila kitu nyie kusifia tu huyu mnaemsifia leo akiondoka mtamponda na kumsifia atakaekuwepo kipindi hicho
Indonesia
0
0
1
9
BARADHULI
BARADHULI@Baradhuli2·
Baada ya serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kurejesha shughuli za kisiasa za CHADOMO. sasa CHADOMO mkazingatie yafuatayo:- 1. Fanyeni shughuli zenu kwa kuzingatia sheria za nchi maana ninyi hampo juu ya sheria. 2. Jengeni chama chenu na muondoe mipasuko iliyopo. 3. Isaidieni serikali katika ujenzi wa Taifa maana tunajenga nchi moja. 4. Wekezeni sana katika siasa safi na acheni majungu. Mwisho: Acheni kupiga kelele kuhusu Katiba mpya maana suala hilo ni Ajenda ya Dkt Samia amedhamiria kuipa nchi katiba mpya kabla kajamaliza muda wake.
BARADHULI tweet media
Indonesia
74
33
75
8.1K
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Baadae utasikia “Watanzania naombeni msaada wenu. Nina kansa ya mkundu”.
Fortunatus Buyobe tweet media
Indonesia
289
137
1.4K
80.6K
Hustler
Hustler@ihad2016·
@BlackSingapore2 Iran inapiga nchi za Mashoga, Sasahivi Mashoga wote Dunia wanalia 😀😀😀
Indonesia
3
0
0
61
Black Singapore 🤴🏿🐲
Black Singapore 🤴🏿🐲@BlackSingapore2·
huu ndio uhuni aliofanyiwa Iran, Trump jitu lenye akil nyingi sana, hawa wairan wa buza njoo mtukane 😂
Black Singapore 🤴🏿🐲 tweet media
Indonesia
62
23
424
49.1K
Hustler
Hustler@ihad2016·
@YerickoNyerereT Huko ulipo sasahivi udalali sio dili sasa unapambana sana kutumia jina la Chadema 😀😀😀
Filipino
0
0
0
12
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Ujumbe maalumu kwa Wanachadema wanaoendelea kung’nga’nia ndani ya Chama kilichopoteza dira/kilichokufa wakijidanganya na kujilisha upepo eti chama kiko mioyoni mwao….! Hotuba hii inaishi miaka 13 sasa tangu atoe hotuba hii 2 Septemba 2012 Mh Freeman Aikaeli Mbowe Nakusisitiza ondoka kwenye chama hicho njoo @ChaummaT ufanye siasa zilizopevuka, Wanaharakati uchwara wazikuzubaishe ukapoteza ndoto zako kisiasa. Ndoto na matumaini ya Watanzania yako CHAUMMA chama bora kuliko vyote nchini kwa sasa!
Indonesia
70
5
21
9.8K
Dr Calipso
Dr Calipso@nulphin·
Kuna namna aisee yaan umeme wa Elfu 10 units 28 siku tatu zimeisha duh apo nakuja tu usiku asubuhi nakua job. Apa tunapigwa sana siku izi na hii serikali
Indonesia
39
53
286
24.5K