Ngonge Jr
28 posts


Takwimu zinaonesha kuwa laini za simu zilizosajiliwa nchini zimeongezeka kwa asilimia 22.9.
✅Aprili, 2024- laini milioni 73.5
✅Aprili, 2025- laini milioni 90.4
#MamaAnafanikisha
#KaziNaUtuTunasongaMbele

Indonesia

VIJANA MAHIRI KATIKA UJENZI WA TAIFA TUKIWA NA KAKA YETU KATIBU WA SENETI MKOA WA DAR-ES-SALAAM ILIKUWA SIKU NJEMA SANA YA UJENZI WA MAHUSIANO YA TAWI LA KIUT .
#KaziNaUtuTunasongaMbele

Indonesia

@eastafricatv Kwanza kama mpila wetu ndio kabisaa zinaharibu Radha ya mpila bwana.
Indonesia

@Sativa255 Watajazana tuu, even though we are not powerful enough.
English

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa wakuu wa wilaya ambapo Mhe. Dkt. Vicent Naano Anney amehamishwa kutoka Wilaya ya Bunda kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Maswa huku Mhe. Aswege Enock Kaminyoge akihamishwa kutoka Wilaya ya Maswa kwenda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bunda.
Aidha taarifa ya leo Februari 21 iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka imeeleza kuwa Rais Samia amemteua CPA Juma Ajuang Kimori kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO). CPA Kimori anachukua nafasi ya Bw. Yona Killagane ambaye amemaliza muda wake.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo Rais Samia amemteua Prof. Edward Gamaya Hoseah kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Benjamin Mkapa. Prof. Hoseah anachukua nafasi ya Dkt. Deo Mtasiwa ambaye amemaliza muda wake.
Katika hatua nyingine, Rais Dkt. Samia amemteua Bi Renatha Mtunda Rugarabamu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF). Bi Rugarabamu anachukua nafasi ya Bw. Emmanuel Humba ambaye amemaliza muda wake;
Aidha, Rais Samia amemteua Jaji Mstaafu Awadh Mohammed Bawazir ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA). Jaji Mstaafu Bawazir anachukua nafasi ya Jaji Mstaafu Sauda Mjasiri ambaye amemaliza muda wake.
#KitengeUpdates

Indonesia






















