Reuben Misalaba

83 posts

Reuben Misalaba banner
Reuben Misalaba

Reuben Misalaba

@reuben_misalaba

Kampala international university, Bachelor of medicine and surgery Simba nguvu moja, ubaya ubwela Mungu ni mwema,

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ekim 2022
120 Takip Edilen15 Takipçiler
Deltha Herman
Deltha Herman@DelthaH10942·
Ahsante sana prof. Janabi kwa uwakilishi mzuri wa Taifa letu
Deltha Herman tweet media
Filipino
1
0
3
23
Reuben Misalaba retweetledi
SAMIA APP
SAMIA APP@Samia_App·
MIZIGO ILIYOSAFIRISHWA KWA NJIA YA ANGA IMEONGEZEKA Mizigo iliyosafirishwa kwa kutumia usafiri wa anga imeongezeka ambapo katika kipindi cha Julai 2024 hadi Machi 2025, jumla ya tani 33,112.5 za mizigo zilisafirishwa ikilinganishwa na tani 27,532 za mizigo zilizosafirishwa katika kipindi kama hicho cha mwaka wa fedha 2023/24. Kati ya mizigo hiyo, tani 30,637.2 zilisafirishwa nje ya nchi na tani 2,475.3 zilisafirishwa ndani ya nchi. Ongezeko la mizigo inayosafirishwa linatokana na kuendelea kuimarika kwa usafiri wa anga pamoja na ununuzi wa ndege ya mizigo ya ATCL jambo ambalo limechangia kuongeza kwa usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya nchi. Hayo ni mafanikio ya utekelezaji wa bajeti ya serikali ya mwaka 2024/25 kwa Wizara ya Uchukuzi.
SAMIA APP tweet media
Indonesia
8
47
70
568
Reuben Misalaba retweetledi
Comrade Ntiboneka Kaseka
Comrade Ntiboneka Kaseka@KasekaNIddy·
Prof. Mohammed Janabi amechaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika. Ni baada ya uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika kufanyika huko Geneva Uswisi
Comrade Ntiboneka Kaseka tweet mediaComrade Ntiboneka Kaseka tweet mediaComrade Ntiboneka Kaseka tweet mediaComrade Ntiboneka Kaseka tweet media
Indonesia
1
1
2
25
Reuben Misalaba retweetledi
sabrinah mwalimu
sabrinah mwalimu@sabrinahmwalimu·
WAZALENDO TUJIANDIKISHE ILI TUPIGE KURA NI HAKI YAKO KAMA MTANZANIA HALALI ✅
sabrinah mwalimu tweet media
Indonesia
1
1
4
23
Reuben Misalaba
Reuben Misalaba@reuben_misalaba·
Wasomi tunapambania chama chetu, ahsante mheshimiwa, mjumbe wa seneti mkoa wa dar
Indonesia
0
0
0
2
Reuben Misalaba
Reuben Misalaba@reuben_misalaba·
@KasekaNIddy Ccm mbele kwa mbele, na wavimbe wapasuke, acha waispme namba 🙏🙏🔥🇹🇿👏
Filipino
0
0
0
7
Comrade Ntiboneka Kaseka
Comrade Ntiboneka Kaseka@KasekaNIddy·
Ambae hajui raha ya kuwa CCM ni hii siku, hiki Chama huwa kinajidhirisha utofauti wake na vyama vingine. Kwanza maandalizi ya mkutano, full house, lakini hata mikoani full screen katika ofisi za CCM za Mikoa Bara na Visiwani watu huangalia na kufuatilia Mkutano
Comrade Ntiboneka Kaseka tweet media
Indonesia
3
1
8
74
Josephath
Josephath@Msombejosephath·
Profesa Wa Diplomasia. Kiongozi Shujaa na Mchapakazi Hodari. Kazi Na Utu Tunasonga Mbele.
Josephath tweet media
Indonesia
1
0
3
24
Josephath
Josephath@Msombejosephath·
>. Mother of our Nation >. A Truly Great Leader >. A Genuine Champion of Development >. An Excellent Diplomat Number One Sports Enthusiast. 𝐊𝐀𝐙𝐈 𝐍𝐀 𝐔𝐓𝐔 𝐓𝐔𝐍𝐀𝐒𝐎𝐍𝐆𝐀 𝐌𝐁𝐄𝐋𝐄
Josephath tweet media
English
6
1
6
49
Pires Mbezi
Pires Mbezi@pires_mbezi·
Mambo matano muhimu kuyafahamu kuelekea mchezo wa leo wa fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane let's believe in this😎 let's take off the game KICK OFF 22:00PM
Pires Mbezi tweet media
Indonesia
10
0
11
61
sabrinah mwalimu
sabrinah mwalimu@sabrinahmwalimu·
HAKIKISHA UNAJIANDISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA 2025 ✅
sabrinah mwalimu tweet media
Indonesia
8
1
13
38
Michael Kasonkwa
Michael Kasonkwa@Kasonkwamichael·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisafiri kwa treni ya SGR kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma ambapo pamoja na majukumu mengine pia atashiriki zoezi la uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo tar 17 Mei, 2025
Michael Kasonkwa tweet mediaMichael Kasonkwa tweet mediaMichael Kasonkwa tweet mediaMichael Kasonkwa tweet media
Indonesia
7
1
13
55
Moreen Kibona
Moreen Kibona@nisajekibona·
Mapema leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesafiri kwa treni ya SGR toka Dar es Salaam kwenda Dodoma. Kupitia kurasa yake ya Mtandao wa Whatsap amefurahia huduma usafairi huo.
Moreen Kibona tweet media
Indonesia
5
0
8
61
Ngonge Jr
Ngonge Jr@JosephNgonge·
Is the best way of salvation.
Ngonge Jr tweet media
English
7
0
9
40
James Khanga
James Khanga@JamesKhanga·
KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE 🔰
James Khanga tweet media
Indonesia
10
1
11
56