DANIEL MAZIMO 🔰🔰🇹🇿🇹🇿

71 posts

DANIEL MAZIMO 🔰🔰🇹🇿🇹🇿 banner
DANIEL MAZIMO 🔰🔰🇹🇿🇹🇿

DANIEL MAZIMO 🔰🔰🇹🇿🇹🇿

@daniel_mazimo

lie's cannot live 😫

Tanzania Katılım Aralık 2022
83 Takip Edilen46 Takipçiler
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
ikulu_Tanzania tweet media
हिन्दी
405
112
410
60.7K
DANIEL MAZIMO 🔰🔰🇹🇿🇹🇿 retweetledi
SAMIA APP
SAMIA APP@Samia_App·
MAUZO YA BIDHAA ZA TANZANIA KWA NCHI ZA AFRIKA YAMEONGEZEKA Mwenendo wa mauzo ya nje ya Tanzania katika nchi za Bara la Afrika (AfCFTA) kwa mwaka 2024 yaliongezeka kufikia dola za Marekani milioni 3,946.76 ikilinganishwa na dola za Marekani milioni 2,341.37 kwa mwaka 2023 ambayo ni sawa na ongezeko la asilimia 40. Ongezeko hilo, lilitokana na kuongezeka kwa masoko mapya chini ya AfCFTA yanayojumuisha nchi za Morocco, Nigeria, Senegal, Ghana, Misri, Ethiopia, Algeria, Djibuti, Somalia na Guinea. Bidhaa zilizochangia mauzo hayo ni pamoja na kahawa, tumbaku, vioo, nafaka (mchele na mahindi), viungo na nyuzi za mkonge. Hayo ni Mafanikio ya utekelezaji wa bajeti ya Mwaka 2024/2025 kwa Wizara ya Viwanda na Biashara.
SAMIA APP tweet media
Indonesia
9
49
68
662
Nicephorus Kahwili
Nicephorus Kahwili@NKahwili35377·
>. Mother of our Nation >. A Truly Great Leader >. A Genuine Champion of Development >. An Excellent Diplomat Number One Sports Enthusiast. 𝐊𝐀𝐙𝐈 𝐍𝐀 𝐔𝐓𝐔 𝐓𝐔𝐍𝐀𝐒𝐎𝐍𝐆𝐀 𝐌𝐁𝐄𝐋𝐄
Nicephorus Kahwili tweet media
English
2
1
3
53
Josephath
Josephath@Msombejosephath·
>. Mother of our Nation >. A Truly Great Leader >. A Genuine Champion of Development >. An Excellent Diplomat Number One Sports Enthusiast. 𝐊𝐀𝐙𝐈 𝐍𝐀 𝐔𝐓𝐔 𝐓𝐔𝐍𝐀𝐒𝐎𝐍𝐆𝐀 𝐌𝐁𝐄𝐋𝐄
Josephath tweet media
English
6
1
6
49
Ngonge Jr
Ngonge Jr@JosephNgonge·
Is the best way of salvation.
Ngonge Jr tweet media
English
7
0
9
40
James Khanga
James Khanga@JamesKhanga·
KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE 🔰
James Khanga tweet media
Indonesia
10
1
11
56
Reuben Misalaba
Reuben Misalaba@reuben_misalaba·
Simba nguvu moja, kila rakheli timu yangu,mwakilishi pekee wa Tanzania na Africa mashariki🇹🇿🇹🇿🔥
Indonesia
6
0
7
35
Moreen Kibona
Moreen Kibona@nisajekibona·
Mapema leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesafiri kwa treni ya SGR toka Dar es Salaam kwenda Dodoma. Kupitia kurasa yake ya Mtandao wa Whatsap amefurahia huduma usafairi huo.
Moreen Kibona tweet media
Indonesia
5
0
8
61
Michael Kasonkwa
Michael Kasonkwa@Kasonkwamichael·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisafiri kwa treni ya SGR kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma ambapo pamoja na majukumu mengine pia atashiriki zoezi la uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo tar 17 Mei, 2025
Michael Kasonkwa tweet mediaMichael Kasonkwa tweet mediaMichael Kasonkwa tweet mediaMichael Kasonkwa tweet media
Indonesia
7
1
13
55
sabrinah mwalimu
sabrinah mwalimu@sabrinahmwalimu·
HAKIKISHA UNAJIANDISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA 2025 ✅
sabrinah mwalimu tweet media
Indonesia
8
1
13
38
Pires Mbezi
Pires Mbezi@pires_mbezi·
Mambo matano muhimu kuyafahamu kuelekea mchezo wa leo wa fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane let's believe in this😎 let's take off the game KICK OFF 22:00PM
Pires Mbezi tweet media
Indonesia
10
0
11
61
Josephath
Josephath@Msombejosephath·
Takwimu zinaonesha kuwa laini za simu zilizosajiliwa nchini zimeongezeka kwa asilimia 22.9. ✅Aprili, 2024- laini milioni 73.5 ✅Aprili, 2025- laini milioni 90.4 #MamaAnafanikisha #KaziNaUtuTunasongaMbele
Josephath tweet media
Indonesia
4
0
8
31
DANIEL MAZIMO 🔰🔰🇹🇿🇹🇿
𝗪𝗔𝗦𝗧𝗔𝗔𝗙𝗨 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗣𝗘𝗪𝗔 𝗛𝗘𝗦𝗛𝗜𝗠𝗔 𝗜𝗡𝗔𝗬𝗢𝗦𝗧𝗔𝗛𝗜𝗞𝗜 𝗞𝗨𝗧𝗢𝗞𝗔𝗡𝗔 𝗡𝗔 𝗠𝗖𝗛𝗔𝗡𝗚𝗢 𝗪𝗔𝗢 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗨𝗝𝗘𝗡𝗭𝗜 𝗪𝗔 𝗧𝗔𝗜𝗙𝗔. #TanzaniaYaSamia #KaziNaUtuTunasongambele
DANIEL MAZIMO 🔰🔰🇹🇿🇹🇿 tweet media
Indonesia
0
0
1
39