Himself😎

85 posts

Himself😎 banner
Himself😎

Himself😎

@JrKiriba

Digital Creator @EastAfricaTV

Katılım Haziran 2021
50 Takip Edilen23 Takipçiler
Sean 🦩
Sean 🦩@iboysean·
Back to unemployed status, we move regardless
Sean 🦩 tweet media
English
10
14
154
5.6K
Sean 🦩
Sean 🦩@iboysean·
CCM ni unkwepekabo wazee mirija mingi ya chakula ipo kwao sasa wewe ukatae kazi ya GSM sijui msanii gani kisa alisapoti CCM shauri yako Binafsi mimi siwezi laumu mtu kwa hayo na anayelaumu na ukute ameajiriwa kampuni X ya mwanaCCM 😄 Muhimu kwenye ubaya tunyooshe kidole
mTusi original 👦@mTusiOriginal

Wale akina taivina na sativa waacheni wapige kazi kiufupi hata wakienda CCM Waende sisi hatutegemei mtu wala hatufati mtu tunafata itikafi au point anayo wasilisha mtu, Kuna mda unaweza ukahisia kama ni kosa kufanya kazi na watu wa CCM ila ukishajua hakuna atakae kus👇👇

Indonesia
27
11
84
22.1K
Ashington AFC
Ashington AFC@Ashington_FC·
FULL TIME A battling performance unfortunately leads to nothing. Heaton Stannington FC 1 Ashington AFC 0
Ashington AFC tweet media
English
2
1
6
2.7K
Sean 🦩
Sean 🦩@iboysean·
Pesa haina thamani kabisa siku hizi
Indonesia
1
1
8
978
Dennoh
Dennoh@CFC_dennoh·
Ashton Hall tried to race Speed 4 times and this is what happened 😂 Absolutely embarrassing 😂😂🧵
Dennoh tweet mediaDennoh tweet media
English
1.4K
5.9K
197.2K
35.9M
nsajigwa_senior
nsajigwa_senior@nsajigwa_senior·
𝐌𝐕𝐏 𝐌𝐓𝐀𝐑𝐀𝐉𝐈𝐖𝐀 𝐖𝐀 𝐍𝐁𝐂 𝐏𝐋 2024-2025 Binadamu msipomsifia Jean Charles Ahoua basi ata mawe yatamsifia MVP wa msimu uliopita wa ligi ya Ivory Coast na MVP mtarajiwa wa ligi kuu Tanzania Bara msimu huu Hatrick ya kwanza kwake yenye kila aina ya mabao, sasa
nsajigwa_senior tweet media
Indonesia
2
0
6
100
Dominicksalamba
Dominicksalamba@Dominicksalamb1·
Marcel Koller, kocha aliyemalizana na Al Ahly hivi karibuni, tayari ameanza kuhusishwa na kuja kuwatumikia wananchi 'Yanga SC' mara baada ya kuwepo kwa mawasiliano ya chini chini yanayoendelea kati ya Yanga SC na kambi ya mawakala wanaomsimamia kocha huyo.
Dominicksalamba tweet media
Filipino
198
62
1.8K
85.5K
Himself😎
Himself😎@JrKiriba·
Story kwa ufupi hivi ndiyo ilivyokua kati ya alikamwe na mkuu wa mkoa😂😂😂
Himself😎 tweet media
Filipino
0
0
0
60
Sean 🦩
Sean 🦩@iboysean·
Tulioanza na Bakwata na tunamaliza na Sunni roll call
Sean 🦩 tweet media
Filipino
37
22
459
22K
Himself😎 retweetledi
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
#UEFA Unaambiwa kitu pekee kitakachowaokoa na aibu Barcelona leo ni kutorudi uwanjani kipindi cha pili. HT : BENFICA 3-1 BARCELONA Pavlidis ⚽⚽⚽ Lewandowsk⚽ MECHI NYINGINE Atletico Madrid 0-1 Bayer Leverkusen Bologna 0-1 Dortmund Club Brugge 0-0 Juventus Crvena zvezda 0-3 PSV Liverpool 1-0 Lille SK Slovan Bratislava 0-2 Stuttgart #UEFA #EastAfricaTV
EastAfricaTV tweet media
Slovenščina
126
21
1K
75.2K
Himself😎 retweetledi
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
#UEFA Unaambiwa Pavlidis anawatesa sana Barcelona kwenye mechi ya leo, ambapo mpaka hivi sasa tayari katupia chuma TATU kambani, yaani HAT-TRICK 35' : BENFICA 3-1 BARCELONA Pavlidis ⚽⚽⚽ Lewandowsk⚽ #UEFA #EastAfricaTV
EastAfricaTV tweet media
Indonesia
3
6
190
9.5K
Turn TV Off
Turn TV Off@Mr_keissy·
WHATEVER WILL BE WILL BE 🔛🔝🛐
English
1
0
1
20
Khaled
Khaled@meetkhaled_·
@inframe_tz hii Scene nimeshangilia kama vile Chelsea kamfunga Manchester united Jackal ni Mtu Sana uyu 🔥🔥
Filipino
5
1
2
338
Himself😎 retweetledi
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
#AFCON2025 Unaambiwa kama vile ambavyo Lamine Yamal ni mchezaji mwenye umri mdogo zaidi katika kikosi cha Uhispania, basi ndiyo hivyo hivyo hata katika timu ya Taifa Stars, ambapo Kinda Abel Josia anaweka Rekodi ya kuwa mchezaji mdogo kuwahi kujumuishwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, ambapo ana Miaka 13 na amezaliwa mwaka 2010. Na hii leo amepangwa kwenye kikosi kinachocheza dhidi ya Ethiopia ambapo ameanzia benchi. Neno moja kwa Kinda huyu😃🤷? ✍ @JrKiriba #AFCON2025 #EastAfricaTV
EastAfricaTV tweet media
Indonesia
103
36
1.5K
96.5K
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
#MICHEZO Vijana wanakwambia Ex hanuniwi, hatimaye Jadon Sancho amerejea ndani ya Man United na hii ni mara baada ya kufanya mazungumzo ya uso kwa uso na kocha wa timu hiyo Erik ten Hag na kukubaliana kumaliza tofauti zao. Sancho alitolewa kwa mkopo kwenda klabu ya Dortmund kufuatia kuwepo kwa sintofahamu baina yake yeye na Kocha, hivyo hivi sasa mkopo huo umemalizika na amerejea kwenye kikosi hicho na hii leo ameonekana akifanya mazoezi na kikosi cha Man united. Unadhani Sancho amefanya uamuzi mzuri kurejea Man United au ang'ang'ana kubaki Dortmund? #JadonSancho #ManUnited #HainaKuchoka #EastAfricaTV
EastAfricaTV tweet media
Filipino
10
15
973
25.5K