shneida_infos
1.5K posts

shneida_infos
@Shneida_Infos
Broadcast Journalist | Producer @shneida_infos on Instagram.
Dar Es Salaam Katılım Temmuz 2019
143 Takip Edilen332 Takipçiler

@rollymsouth Kaka sio Bongo Dar es Salaam!
Songa aliimba Sauti ya Ghetto
Joh Makini aliimba Bongo Dar es Salaam
Halafu Nikki Mbishi aliperforme nae nyimbo zake zote zilizobakia
Filipino
shneida_infos retweetledi

🗣 Msanii Saida Karoli anasema @diamondplatnumz na @officialzuchu wanafaa kuirudia ngoma yake ya 'Mpenzi Nakupenda' aliyofanya na Ton Pow Banana Zorro.
Interview kamili ipo Youtube ya @earadiofm 🎤 @Shneida_Infos
#EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha #SaidaKaroli
Indonesia
shneida_infos retweetledi

🎤 @Shneida_Infos amezungumza na Mkongwe Saida Karoli kuhusu umaarufu wake kama ungempata sasahivi angefanya jambo gani na lipi ambalo asingeweza kulifanya.
Interview kamili ipo Youtube ya @earadiofm
#EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha #SaidaKaroli
Indonesia
shneida_infos retweetledi

Imepita miaka 7 kwa Saida Karoli kurudi tena kuzungumza nasi hapa #EastAfricaTV na @earadiofm
kwa sauti ya #TIDMusic anasema ndio anaingia sasaaaaa watoto wadogo.
Unampa marks ngapi kwa mtoko wake huu?
#EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha
Filipino
shneida_infos retweetledi

🗣 Mimi sio mtu wa kuwapa pesa wanawake! wanaume wamekula sana pesa zangu, mwanamke anayekula pesa ni mama yangu - @chino_kidd7
Interview nzima tayari ipo Youtube ya @earadiofm 🎤 @Shneida_Infos
#EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha #ChinoKidd
Indonesia
shneida_infos retweetledi

🎤 @Shneida_Infos amepiga story na Father @countrywizzy_tz juu ya matumizi ya pesa zake ambazo amewekeza kwenye viwanja 6 na mpango wa kujenga Masaki, Dar es Salaam.
Interview nzima ya @shneida_infos na Country Wizzy ipo Youtube ya #EastAfricaTV.
#EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha #CountryWizzy
Indonesia
shneida_infos retweetledi

Zamu ya @countrywizzy_tz kututajia First Eleven yake ya Rapa bora wa muda Tanzania ambao anawakubali!
1. @TheRealJongwe 2. @ProfessorJayTz 3. @jaymoefamous 4.Gangwe Mob 5. @FidQ 6. Ngwea 7. Wateule 8. @MwanaFA 9. @AyTanzania 10. TMK Wanaume Family 11. @solothang
SUB : @countrywizzy_tz @moni_centrozone @dizastavina @YoungLunya @mex_tz @Iamconboi @salminswaggz @rapcha_tz @manengo_tz
#EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha @Shneida_Infos
Indonesia

Sema Huwa Naikubali Sana Flow Ya Wakazi
Kama Umekulia Na Kusikiliza Ngoma Za 2Pac, Redman & Method Man, Lauryn Hill, Keith Murray, Wu-Tang Clan Au A Tribe Called Quest. Hawa Walikuwa Kwenye Golden Age Ya Rap,
Basi Lazima Utamwelewa @Wakazi Anavyo-Rap.
Respect 🙌🏾

Filipino

@saralexozil Hakuna tofauti kati ya Single Mother na wanawake walio zaidi ya miaka 26+,
wote wametumika sana tofauti ni kwamba mmoja ameamua kuzaa mwingine ameua vizazi
Indonesia

@Therealngassa Bei zake inategemea ni mabalo ya nini na hizo bidhaa zinatoka nchi gani mzee ? Kuna ya nguo, mitandio, viatu, kanzu, croptop, bodysuit mara nyingi ni kuanzia 350k mpaka 600k
Filipino

@RevocatusMagum1 Tuache siasa mpira uongee Simba tuna mambo mengi sana
Italiano

@IM_Almas1 @Therealngassa Hapo Vipi hapo Sawa remix umeisikia?
Filipino

@RevocatusMagum1 Unashangaa hii wakati Profile ya Damaro inasema amezaliwa 2000, lakini mwaka 2019 alikuwa bado anacheza mashindano ya under 17
Filipino











