Wasia

3.2K posts

Wasia

Wasia

@JuniorWasia

#Pharmacist #MedicineRegulatoryExpert #EastAfrican #Arsenal fan

East Africa Katılım Nisan 2018
212 Takip Edilen316 Takipçiler
AshaDii
AshaDii@AD_Abinallah·
Yule dada hoja zake zimekinzana na zina walakini, ila ni mzurii. Hili suala la ku generalise siyo sahihi. Tuna warembo wengi wenye foreheads, siyo every foreheaded lady aingizwe kwenye Mkumbo na Matusi. Not right.
Filipino
29
4
131
18.6K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Rais wa Kenya, Dkt William Ruto kama Amiri Jeshi mkuu wa Nchi hiyo amekitaka Chama cha Azimio la Umoja kuacha mchezo na kusitisha maandamano waliyopanga kufanyika Jumanne ijayo yanayoongozwa na Raila Odinga na kubainisha kuwa wakilazimisha kuandamana watajua hawajui. “Nilimuita Odinga nikamuomba asitishe maandamano, wamekataa, Mimi niliwaambia ile wiki nyingine, nikaita yule Mzee wa kitendawili na nikamwambia wewe wacha hii maandamano tupeleke hii maneno yote unasema Bungeni, Wabunge waangalie kama kuna maneno ya ukweli" Rais Ruto ameyasema hayo leo akiwa eneo la Malava Kaunti ya Kakamega, "Sasa eti wamekataa hiyo ya kwenda kuongea kwa amani Bungeni, eti wanataka kurudia maandamano, eti waende wavunje mali na kuharibu biashara ya Wananchi, Mimi ndio commander-in-chief, nyinyi mtajua hamjui, waache hiyo mchezo" - ameongeza. "Mambo ya uchaguzi tulimaliza last year, ile kazi imebaki sasa ni ya Viongozi, kazi imebaki ni maendeleo ya Wananchi, hakuna mali au biashara ya Wananchi itaharibika tena, Serikali ya Kenya itasimama imara kuhakikisha ya kwamba inalinda maisha na mali na biashara ya kila Mwananchi" Dkt Ruto #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet media
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
66
46
1.6K
111.1K
Wasia
Wasia@JuniorWasia·
@siadevinci Huyu jama na idea zake...nina shaka nae kama sio shoga basi yuko na ajenda
0
0
0
43
Sia Da Vinci💎
Sia Da Vinci💎@siadevinci·
Haya ndyo madhara ya kupenda vya bure. Scholarships hizi ndizo zinazaa mashoga. Wakishaenda huko ndyo wanakuwa target no 1 ili wakirudi waje kuharibu tamaduni zetu.
Sia Da Vinci💎 tweet media
Indonesia
40
10
71
14.3K
Wasia
Wasia@JuniorWasia·
@ndadeba @millardayo Mungu kakupa uhai, wewe ukaona hapana siutaki ngoja nirudi kwake alaf akakupe pumziko la amani. Try being realistic.
Indonesia
1
0
1
9
Ndadeba David
Ndadeba David@ndadeba·
@millardayo Pumziko la milele umpe Ee Bwana na raha ya milele umwangazie roho yake Carlos Mwamilinga ipumzike kwa amani..amina Pole kwa familia..!
Filipino
1
0
8
524
millardayo
millardayo@millardayo·
Mkazi wa Iringa, Carlos Mwamilinga mwenye umri wa miaka 37 amekutwa amejinyonga kwa kamba katika chumba alichokuwa akiishi eneo la njia panda ya Mtwivila Mkoani Iringa kwa kile kinachohisiwa kuwa ni kutokana na kutingwa na mawazo kupita kiasi kutokana na kuachana na Mke wake mwezi mmoja uliopita na Mke kuhamia Jijini Dar es salaam.. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Filipino
183
47
1.5K
155.1K
Wasia
Wasia@JuniorWasia·
@EduTalkTz Mawazo ya kipuuzi. Uizi na ubakaji wote ni zao la jamii. Je na wao waachwe?
HT
0
0
0
73
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
LGBTQ Tanzania ni zao la jamii ya TZ. Kutotambuliwa kwao kisheria, hakuondoi uhalisia kwamba wapo. Ni watu na wana haki ya kuishi kama yeyote yule. Hasira zetu zijikite kwenye mifumo jamii inayowatengeneza; MAKOSA YA MFUMO ASIADHIBIWE NAYO MHANGA WA MFUMO twitter.com/kvLondoA/statu…
Indonesia
305
16
121
84.8K
Hormuz™️
Hormuz™️@bajabiri·
What is the role of Boko kwenye squad ?
English
31
4
114
8K
#GWIJI🔴
#GWIJI🔴@athanas_pius·
Nimeangalia hii Video nimeanza kulia ghafla
Eesti
207
110
1.1K
96.8K
Wasia
Wasia@JuniorWasia·
@salimosaid Asking for my fellow simba fan, where are you now, coz he expect to see u in the Morocco right now
English
0
0
0
79
Salim Masoud Said
Salim Masoud Said@salimosaid·
The only time Wydad have lost at home this season, v Chabbab Mohammedia in January, I was in attendance. Grounds for optimism for the elders of Msimbazi.
English
11
10
291
11.3K
Wasia
Wasia@JuniorWasia·
@swahilitimes Watu wanaleta boat mpya za mamilioni alaf nyie mnaleta hizi habar 😀😀😀 Mnataka mzee wa lambalamba awaloge
Indonesia
1
0
4
598
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Serikali imesema mazungumzo kuhusu ujenzi wa daraja litakalounganisha Tanzania bara na Zanzibar yamekwishaanza ambapo Machi 11, 2023 Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kwa upande wa Tanzania bara na Zanzibar zilikutana na wawekezaji wa kampuni ya China Overseas Engineering Group, walioonesha nia ya kujenga daraja hilo, na kwamba matokeo ya kikao hicho bado yanafanyiwa kazi.
Swahili Times tweet media
Indonesia
180
73
1.4K
155.7K
precious”11:11🌸
precious”11:11🌸@iamdoll__·
Late 90's na 2000's utawasikia Rappers wao wakali hawapo hapo ila ni wakina Lunya na Country Boy. Nitajie kichwa kipi hapo Pichani ulikuwa unakikubali zaidi?!!🙂🎙️ #MuzikiNiMaisha
precious”11:11🌸 tweet media
Filipino
39
11
146
8.2K
Wasia
Wasia@JuniorWasia·
@EduTalkTz Hapo mwenyew umeona umefikiriaaaaaaaa IDIOT.
HT
0
0
1
37
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
😂😂😂😂 maamuzi mengine bhana yanachekesha sana. Zanzibar yenye kesi za ulawiti kila kukicha inaacha kupambana na walawiti waliopo kwenye jamii yake inapiga marufuku matumizi ya rangi. Haya ni matokeo ya uvivu wa kufikiri.
Indonesia
39
3
42
8.1K
Wasia
Wasia@JuniorWasia·
@SalhaBintiAziz @husseinabui Dah...mwanamke anae ona sifa kubishana na watu hivi na ameolewa, kama mume wako anaona haya na amekuachia uendele na huu ubishani basi mumeo nae ajitathmini.
Indonesia
0
0
0
115
Salha Binti Aziz 🇹🇿
Salha Binti Aziz 🇹🇿@SalhaBintiAziz·
@husseinabui Hebu kwenda zako wewe! We Uislam toka uukubali mangapi umefata!? Nyie ndio mnajificha kwenye kichaka cha dini mnafanya maasi ajabu ya Rahman! Njia pekee ya kumlinda binti na uzinifu ni MALEZI BORA sawa na MAFUNDISHO YA ISLAM na sio kumuozesha akiwa na umri mdogo. PERIOD!
Indonesia
27
3
7
9K
mKigoma ⚓
mKigoma ⚓@husseinabui·
Unaukubali uislam unakataa muongozo wa mtume. Baadae unajitokeza eti unatetea wanawake wa kiislam.haya unayoyafanya ni kukhalifu yale aliyotufundisha mtume. uislam umekamilika na Allah anatujua zaidi hizi harakati zisikufanye ukamkufuru Allah. Ukhty mche Allah.
Salha Binti Aziz 🇹🇿@SalhaBintiAziz

Mdahalo wa Kitaifa wa Mabadiliko ya Sheria ya ndoa Wabunge: 18 Viongozi wa Kimila: 18 Wadau wa NGOs: 18 Maaskofu: 18 Masheikh: Balehe! 🙂 Kweli tunashindwa kujitoa kulinda na kuwalea watoto kwenye maadili!? Tunashikilia ndoa za utotoni za kuendelea kuwatesa watoto hadi lini?!

Indonesia
24
11
82
8.4K
Sia Da Vinci💎
Sia Da Vinci💎@siadevinci·
Mataifa 19 yametuma maombi ya kujiunga na umoja wa BRICS kabla ya kongamano linalotegemea kufanyika mwezi wa 8 huko SA..
Sia Da Vinci💎 tweet media
Indonesia
48
34
778
71.2K
Wasia
Wasia@JuniorWasia·
@SwahiliBible Mnapendaga kukosoa mapungufu yetu kwa kufananisha na ulaya...hukumbuki hivi karibun nchi za ulaya e.g. German and spain walikua na shida ya maji adi raia wamezuiwa kuosha magari
Indonesia
0
0
0
60
Mwemezi Rwiza, PhD
Mwemezi Rwiza, PhD@SwahiliBible·
Maji hayoo yanenda baharini yote. Six months tutakuwa tunalia kuhusu ukame na laana. Kwamba mvua imepotea kwa sababu madhambi yamezidi. Ulaya kuna dhambi nyingi lakini huwa hawana upungufu wa maji wala umeme. Consider.
Filipino
25
43
282
20.7K
Wasia
Wasia@JuniorWasia·
@amina_hafidh Hahaha bonge bhana, hapo hujaolewa bado.
Filipino
0
0
3
240
mimilicious🌹🍒
mimilicious🌹🍒@amina_hafidh·
Njia yangu kuu kwenye uzazi wa mpango kwasasa ni kijiti(kipandikizi) Ni njia salama kwangu na ni njia yangu ya uzazi wa mpango wa muda wa mrefu nilioichagua baada ya kuelekezwa na mtoa huduma za afya
mimilicious🌹🍒 tweet mediamimilicious🌹🍒 tweet mediamimilicious🌹🍒 tweet media
Indonesia
22
11
91
11.2K