Huruma Msuya

7K posts

Huruma Msuya

Huruma Msuya

@MsuyaHuruma

Katılım Ağustos 2022
61 Takip Edilen74 Takipçiler
Huruma Msuya
Huruma Msuya@MsuyaHuruma·
@Meshaccky @ommyfitness Naam usipowaambia ushauri utapata wapi??! Kibaya ni kusema na huna pa kuanzia, unasema na mtaji huna, ila kama unao shirikisha watu utapata kitu
Indonesia
0
0
0
10
Peace Man
Peace Man@meshackyunus·
@ommyfitness Sema mfalme umenena ila hyo namba moja sometimes ni ngum sana budaa maana unakaa na watu na mostly ni siblings so huezi chuna tu full time
Filipino
1
0
3
529
Herode the 3rd.
Herode the 3rd.@Heradkj·
Kwa hizi mvua znavyoendelea kuna hatari unaamka asubuh unakuta text " Boss mpunga Umesombwa na mafuriko".
Herode the 3rd. tweet mediaHerode the 3rd. tweet media
Indonesia
51
74
1.3K
75.2K
SIR JEFF⚡🇹🇿
SIR JEFF⚡🇹🇿@Sirjeff_D·
Ukimfatilia vizuri Uncle HK na hujawahi kabisa kufanya biashara, unaweza kudhani anaongea sense, logic na vitu vya maana sana Ila kwa mtu aliyepo kwenye biashara ni rahisi kugundua Uncle anachangamsha kijiwe tu kwa nadharia za kusisimua Once a politician always a politician.
Indonesia
37
41
789
37.6K
Mpwa_OG 🇩🇪
Mpwa_OG 🇩🇪@tommytraveler21·
@HKigwangalla Kujibana ni kujitesa, saving haihitajiki kuwa mateso, yaaan kisa unasave ushindwe saidia familia na kuvaa vizuri no. Save kiasi kinachobaki baada ya matumizi muhimu.
Indonesia
1
0
1
291
Dr. Hamisi Kigwangalla
Dr. Hamisi Kigwangalla@HKigwangalla·
Bro., njia mbili tu: 1. Kama unaingiza 5k, basi jibane matumizi yako yasizidi 2k! 2. Kama unaingiza 5k, matumizi yako lazima yafike 10k, ni lazima ukuze kipato chako kiwe zaidi 20k. Yote kwa yote, ili utoboe ni lazima u-save. Tunza hela yako leo, nayo itakutunza kesho!
Idris@IdrisSultan

Huwa tunasema hatuwezi kuweka akiba sababu hata tulichonacho hakitutoshi ila mnatusimanga. MaPro wa banking and finance tunaomba mtuelimishe hapa tunaweka akiba ipi kama matumizi ni 10k na mimi naingiza 5k ? Akibaje ?

Indonesia
54
20
283
34.3K
Huruma Msuya
Huruma Msuya@MsuyaHuruma·
@ElevenIsNumber @Comredrsm @HKigwangalla Hawa wanaokataa ni wale ambao wanakula Leo, ya kesho itajijua!!! Upate 500k Kwa mwezi ushindwe ku save kweli??! Kuna mmoja ati 900k per month na ameshindwa ku save anasingizia ndugu
Filipino
1
0
1
9
Eleven
Eleven@ElevenIsNumber·
@Comredrsm @HKigwangalla Watu wanang'ang'ania kuishi maisha yalio juu ya uwezo wao somo la saiving mtu anaingiza 500k anasema hawez save lakini kuna mtu analipwa 200k na anamaliza mwezi bila madeni Punguza standards weka malengo unacho save utakifanyia nn ili kukuza kipato📌
Indonesia
3
0
1
50
Huruma Msuya
Huruma Msuya@MsuyaHuruma·
@Comredrsm @HKigwangalla Na kibaya elimu wanapewa hapa hawataki kuamini!!! Na kingine vijana wenzetu wanchangia kuharibu maisha ya wenzao Kwa kuwaonesha kuwa vitu vya anasa ni basic need kumbe sio!!!
Indonesia
0
0
0
25
Huruma Msuya
Huruma Msuya@MsuyaHuruma·
@IdrisSultan @fumbokhanJr Huyo huyo madenge ndo anataka kudanganya vijana humu, wakati yeye zinaigia kwake na Kwa mke!!! Anataka vijana waamini pombe ni basic need
Filipino
1
0
1
84
Idris
Idris@IdrisSultan·
@fumbokhanJr Yani mtu apate hela kwa shida na bado asijipe karaha hata kadogo ? Labda tuseme asitumie pesa sehemu ambazo sio za msingi na anaweza kuziepuka au kupunguza. Ila huwezi muambia kitu Madenge kwenye bia wewe 🤣
Indonesia
4
0
39
4.4K
Idris
Idris@IdrisSultan·
Huwa tunasema hatuwezi kuweka akiba sababu hata tulichonacho hakitutoshi ila mnatusimanga. MaPro wa banking and finance tunaomba mtuelimishe hapa tunaweka akiba ipi kama matumizi ni 10k na mimi naingiza 5k ? Akibaje ?
Filipino
78
53
834
106.4K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
The Citizen walidhani Rais Samia atashinda kwenye box la X (twitter) hawakujua kwamba hapa uwezi chakachua kura. Baada ya kuona Rais Samia kaangukia pua sasa imebidi waombe msamaha.😂😂😂
Hilda Newton tweet mediaHilda Newton tweet mediaHilda Newton tweet media
Indonesia
86
80
709
83.4K
Empugie
Empugie@empugie·
Kula sukari nyingi sio sababu ya ugonjwa wa kisukari. Ugonjwa wa kisukari ni nini? Uzi 🧵
Empugie tweet media
Indonesia
33
245
1.5K
239.5K
Joshua
Joshua@josure22·
@MsuyaHuruma @Christophe50851 @empugie wengine wakina nani ? umeleta hoja ya vyuma imalize mwenyewe. Mm nimesoma NHH Norwegian School of Economics. Unadharau vyuo vya Morogoro usikute hata level ya sekondari hujamaliza.
Indonesia
1
0
1
15
Kuilikye Mwamtesha Mokongo
Kuilikye Mwamtesha Mokongo@ENGELBERTLYARU1·
@HildaNewton21 Kawaida ya binadamu! Hata JPM angekuwepo na watu wakaulizwa wachague kati ya JK na JPM wangechagua JK. Hiyo ni hulka tu. Tulimsema Nyerere akaja Mwinyi, tukamsema Mwinyi akaja Mkapa, tukamsema Mkapa akaja JK tukamsema sana, akaja JPM ndo usisema, leo Mama Samia anasemwa! Not new!
Indonesia
2
0
1
457
Pharaoh bgt
Pharaoh bgt@BgtPharaoh·
@dchikaka @dsm2029 @EduTalkTz Munajionaga mna akilii mbona yule raisi wa Haiti aliuliwa na awakufanya ivii muwe mnatuliza magufuli amumpati milele
Indonesia
1
0
1
43
Huruma Msuya retweetledi
Charles Mapuli
Charles Mapuli@charlesmapuli·
@Robertmagobe @MsuyaHuruma @HKigwangalla Success inabebwa na discipline and consistency. Tunajua vitu vingi, tunaweza vitu vingi lakini wengi tunakosa Discipline na Consistency. Ndio maana only 3% of people duniani are successful people 😄 (Financial Freedom)
English
0
1
1
40
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Naamini 50% ya watumiaji wa mitandao ya kijamii walikuwa hawajazaliwa au walikuwa watoto wakati Mkapa alikuwa rais - so hawawezi kujua mabadiliko makubwa ya kiuchumi aliyofanya! Wengine wote wamefuata blue print yake kiuchumi! Halinganishiki na hawa 3! Eniwei #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
174
70
585
79.6K
Huruma Msuya
Huruma Msuya@MsuyaHuruma·
@machifutz @Meddykivu1 @HKigwangalla Mrejesho wangu ni mkubwa Sana baba, amini nakwambia, nmefanikiwa ku save salary yangu kama ya mwalimu tuu wa secondary ila nnakaribia pesa ya pension ya huyo huyo mwalimu anayopewa Ile 33%
Filipino
0
0
1
12
Dr. Hamisi Kigwangalla
Dr. Hamisi Kigwangalla@HKigwangalla·
Kigamboni nilijenga kabla ya kuwa Mbunge. Viwanda nilijenga kabla ya kuwa Mbunge. Pigana vita zako vizuri Bro, inawezekana. Umaskini ni mbaya sana! Pigana. Haya ninayokuambia siyo story za kufikirika za motivational speakers, ni kutoka kwa fighter aliyepigana na akatoboa. Hunijui vizuri sana.
SANUKAnaCHAPO@chapo255

Ungekuwa sio Mbunge/Waziri hata ile ghorofa Kigamboni usingemiliki. Sisi sio wajinga bhana Bongo kama sio mwizi huwezi kuwa na akiba kupitia mshahara😂

Indonesia
112
24
443
96.5K
Kelezia Negele
Kelezia Negele@keleziakija·
@MsuyaHuruma @Petermsaki941 @HKigwangalla Sema mnasema tu mazee savings za mshahara zinachukua muda aise. Sio get-rich quick mzee. Sasa yeye aliget rich ndo wanachohoji vijana msiwaponde tu. Me mwenyewe nawaza huu wangu wa 200K nisevu ngapi wakuu😂
Indonesia
1
0
1
30