Just Talk Jr

13.2K posts

Just Talk Jr

Just Talk Jr

@JustTalkJr1

Katılım Eylül 2021
146 Takip Edilen278 Takipçiler
Just Talk Jr retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Siku ya pili oparesheni #freetundulissukatibampya tutafika kila kona ya Nchi.. Endelea kuchangia mabadiliko kupitia 0744446969 Chadema HQ Asante sana Geita.
John Heche tweet mediaJohn Heche tweet mediaJohn Heche tweet mediaJohn Heche tweet media
Indonesia
18
214
810
8.3K
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Asante sana wakili msomi Mwabukusi Hatukukosea kukupambania ili uwe Rais TLS - asanteni sana mawakili kwa kumpa kura @Mwabuk2Boniface Umenyooka na kueleweka! Kama wameumia wanywe sumu 😁 #FreeTunduLissu NOW 👊🏽🔥
Indonesia
31
367
1.4K
28.6K
Just Talk Jr retweetledi
Advocate ,,sailence Mwakasala
Advocate ,,sailence Mwakasala@AdvocateSailenc·
Wakati Makamu mwenyekiti John Heche akiwa Katoro Geita, huko Kyela nako kumewaka Moto.
Mwanza, Tanzania 🇹🇿 Filipino
6
106
571
13.7K
Just Talk Jr retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Mashuhuda wanasema RCO na RPC walimuwashia moto sana, badae wakamwambia awafuate ili akatoe maelezo ya ziada so wakaingia nae ndani ya kituo cha Polisi. Walipoingia ndani kuna baadhi ya Wanachama wa CHADEMA, walijiongeza wakawafuata wale Askari waliokuwa pale njee, wakawauliza kwani Buyobe ana issue gani kubwa mpaka kamuomba RCO asiiseme mbele yetu? Wale Askari wakawajibu kwamba walipoenda kumkamata Buyobe nyumbani kwake Kigamboni alijitambulisha kuwa yeye ni ofisa wa TISS, wakamchukua na kuondoka nae kulekea kituo cha Polisi Chang’ombe. Walipofika Polisi wakamuomba atoe password ya simu yake, akatoa wakaingia kwenye WhatsApp yake wakakuta anawasaliana na Mkuu wa Dawati la Siasa wa TISS, Thobias Mwesiga na alikuwa anampa info za watu mbalimbali,(Japo Mwesiga kwasasa kaondolewa kwenye hiyo nafasi) mtu mwingine ambae alikuwa akiwasiliana nae ni Abdul mtoto wa Idd Amin Mama. Lakin pia alikuwa anawasiliana na baadhi ya Viongozi wa Serikali wakiwemo Mawaziri na kote huko alikuwa anajitambulisha kama afisa wa TISS so Polisi baada ya kuona mawasiliano yake na hao watu, hata wao wenyewe waliogopa. So hao Wanachama wakajua issue ni nini so waliondoka zao ila walimwacha Buyobe pale kituoni na Wakili ambae alikuwa kamsindikiza. Mwisho kabisa hii sio vita ya maneno ni uhalisia wa mambo na kwa tulipofika sasa ili kulikomboa Taifa letu lazima kwanza tulindane kwa kuepushana na hatari zinazoepukika. Nawatakia siku njema.
Indonesia
106
236
1.3K
153.1K
Just Talk Jr retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
🔥🔥KATORO IMEITIKA NA HECHE YUPO👊🏽‼️ Katoro imefurika na ninamwona brother @HecheJohn Watanzania WAMECHOKA na wako tayari kwa mabadiliko! Hawaombi wanadai kwa vitendo #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet media
Filipino
35
236
959
11.1K
Just Talk Jr retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️🚨BREAKING NEWS‼️ DCI KINGAI AMEJIANDAA KUMKAMATA HECHE KWA UHAINI🙄 Uongozi haramu wa Samia Suluhu kupitia DCI imepangs kufungua kesi ya uhaini dhidi ya John Heche na wamepanga kumkamata kesho! Lengo ni kusambaratisha chama cha CHADEMA na wanataka akae ndani muda mrefu ili warudishe wasaliti ktk uongozi na/au wamdhuru Heche wakati wa ukamataji! Kaka @HecheJohn huu si muda wa kusema huna hatia so huogopi kukamatwa! We can’t afford ukamatwe! Wananchi wote tumlinde Heche kwa wivu mkubwa! Na tusipoamka watatumaiiza wote - we need to organize! #TutaelewanaTu #SamiaMustGo
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
53
314
1.3K
52.8K
Just Talk Jr retweetledi
Marcus
Marcus@InexorablesoG·
Hatutoki kwenye reli
HT
1
8
28
532
Just Talk Jr
Just Talk Jr@JustTalkJr1·
@UTDTrey We never had one so far, at least we have found the one who has restored us back to the grand football stage of UEFA. He has shown class, resilience, dependability, loyalty and stability. As for me, these elements are good enough to get us to the end of the tunnel.
English
0
0
0
5
(fan) Trey
(fan) Trey@UTDTrey·
I’m still very worried about Carrick’s appointment, I just want someone we can build with and win trophies. Tired of sacking managers. I’m not entirely sure but all we can do is back him. COME ON CARRICK❤️
(fan) Trey tweet media
English
815
1.4K
18.8K
229.2K
Just Talk Jr retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Kabudi alimdanganya Samia wakiweka 518 ni namba ndogo Huku ICC mtu amepelekwa kwa kuthibitika ameua watu 32 Kazi mnayo na hizi sarakasi zenu
Indonesia
3
92
308
10.2K
Joseph Oleshangay
Joseph Oleshangay@Oleshangay·
Haka kajamaa kanatakiwa kawe gerezani kwa matumizi mabaya ya ofisi za umma
Joseph Oleshangay tweet media
Indonesia
20
57
222
3.6K
Just Talk Jr retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️🚨REGISTRAR OF POLITICAL PARTIES THREATENS CHADEMA‼️ As expected, Samia Suluhu and her cabal are nerve wrecked by recent Chadema rallies and press conferences So now they cite some unconstitutiinal represive laws and threaten Chadema with deregisttation! Deputy Registrar Sisty Nyahoza signed the letter and he is just a faithful servant of the regime! #Tanzania is headed the wrong way! Sisty Nyahoza! Hivi huyu baba anawaza maisha baada ya utumishi huu? Hapa ni wazi mafedhulii wanawaza kufuta usajili wa Chadema hakuna kingine! Ila #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet media
English
29
161
410
16K
Just Talk Jr retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Msajili wa vyama, Sisty Nyahoza. Mpango wowote muovu mnaoletewa na jaribio la kutaka kuzia chadema kufanya kazi zake au kukifuta chama chetu utabackfire vibaya. Hatutakubali Chama chetu kiwe kibaraka wa ccm.. Tunajua Kesi ya Said Issa na vibaraka wengine ni ya kwako.. mahakama imetuondolea zuio umekuja tena. Kauli ya Mwenyekiti wa vijana ccm kupoteza watu, na kweli watu wanapotea Popole, Mdude na wengine wamepotezwa. Kauli za kina Makala za Mpox na Ebora.. kauli za mauaji na kuchinja watu za viongozi wa ccm .. Zipo nyingi Je umewahi kuwaandikia ccm barua kuhusu hayo? Acheni tushindane kwa hoja na ccm… Ndio maana miongoni mwa mabadiliko, ambayo lazima yafanyike ni kufuta hii ofisi ya msajili inayotumiwa na ccm kudidimiza demokrasia.
Indonesia
93
474
1.8K
45.4K
Just Talk Jr retweetledi
Felius Festo
Felius Festo@FeliusFesto·
Makamu Mwenyekiti wa @ChademaTZ2 Bara Mhe.@HecheJohn akiongea na wanafunzi wa vyuo vikuu na vyuo vya kati mkoa wa Mwanza katika kongamano lililoandaliwa na CHASO Mwanza.
Felius Festo tweet mediaFelius Festo tweet mediaFelius Festo tweet mediaFelius Festo tweet media
Filipino
1
52
176
2.2K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Kichwa cha James Temba kimepatikana Maeneo ya Kitunda Kibeberu Dar es salaam, James alitekwa kisha akakatwa kichwa na mwili wake ukatupwa mto Msimbazi Ikumbukwe mwili wa James ulishazikwa alhamis iliyopita leo kichwa kimepatikana-familia inaingia msiba mwingine wa kuzika KICHWA
SIR TIVA tweet media
Indonesia
13
67
517
12.8K
Just Talk Jr
Just Talk Jr@JustTalkJr1·
@Sativa255 The guy is simply the football itself!! No CR7 no football! By the way, I don't like but I Love what you do champ....keep moving man, we support you ile mbaya✌🏻✌🏻✌🏻✌🏻✌🏻✌🏻❤🔥
English
1
0
0
122