Kiluvya

1.3K posts

Kiluvya banner
Kiluvya

Kiluvya

@Kiluvya1

Katılım Mart 2018
354 Takip Edilen142 Takipçiler
Kiluvya
Kiluvya@Kiluvya1·
@CharlesChelsea_ haifungui mkuu...naomba uiweke link full ili tu-copy na kupesti
Indonesia
0
0
0
152
Charles Chelsea Jr
Charles Chelsea Jr@CharlesChelsea_·
BOOM🔥 Leo Nimejaribu kupunguza Kero za WAWEKEZAJI kukosa MTAJI nikaona Kugawa Mitaji wa watu wote Siwezi ndo nikaja na Wazo lakuwapa Roll-Over ya FIFA (FIFA ili tumalize changamoto leo leo na tumefanikiwa) 30k To 500k+✅🔥 LINK ya WHATSAPP CHANNEL naweka chini ya hii Tweet
Charles Chelsea Jr tweet mediaCharles Chelsea Jr tweet media
Indonesia
10
8
99
6.9K
Kiluvya retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Nyie ambao hamna bundle la kuandika ‘Free Ninja,’ we see you! Na haina shida. Lakini shida haina adabu!🙏🏽 Free Ninja Now!!
Indonesia
12
391
1.2K
15.1K
Kiluvya retweetledi
Anna Tibaijuka
Anna Tibaijuka@AnnaTibaijuka·
NAMSHUKURU BONGO ZOZO KWA MAONI NA USHAURI WAKE MZURI WA KIZALENDO NA UPENDO NA MAARIFA. TUNGEMSIKILIZA TUNGEPIGA HATUA KATIKA MENGI IKIWEMO KUMUACHIA TUNDU LISSU ILI KULILETA TAIFA PAMOJA. WE NEED TO MOVE ON.
Indonesia
113
591
2.2K
43.3K
Kiluvya retweetledi
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
NI KAZI YA NGUVU YA UMMA KUHAKIKISHA BANGO HILI LINASAMBAA #REPOST
Twaha Mwaipaya tweet media
Filipino
12
598
1.3K
13.2K
Kiluvya retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Kitendo cha Magereza na Mahakama kumpeleka Mwenyekiti wetu mahakamani bila taarifa ya mawakili wa chama na chama ni aibu na kutia mashaka sana . Tumezuiliwa kumuona kiongozi wetu kwa miezi Karibia sita kinyume cha sheria.. Sasa anapelekwa mahakamani kwa siri na kificho nia yenu ni ipi? Lissu ni kiongozi wa umma haiwezekani kumfanyia mambo ya ajabu kama haya.
Indonesia
115
645
2.7K
64.7K
Kiluvya retweetledi
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Yes kwa sababu mmezingua sana, yaani mmejivunjia hata heshima ndogo mliyokuwa mmebaki nayo kama WAZEE…Mmelisaliti Taifa na kuliongezea maumivu mioyoni kwa kutoa ripoti ya ovyo ya KUBUMBA!
Joseph Mbilinyi tweet media
Indonesia
94
284
1.9K
28.4K
Jenny
Jenny@Jennnyyyyyy·
What is the weight of Lion? 🤔 Difficulty - Medium Pro 🤠
Jenny tweet media
English
71.4K
1.6K
33.7K
14.2M
Kiluvya retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Jana niliandika ujumbe nikikosoa kitendo cha Mzee MBOWE kumuombea msamaha SABAYA. Nimepata maoni mengi; wengine wakisema sikuwa sawa. Ipo hivi. Kuna mambo katika siasa hayawezi kufutwa na maneno laini na mepesi ya “msamaha,” hususani msamaha usiotoka kwa mtenda dhambi mwenyewe. Utawala wa SABAYA katika wilaya ya Hai haukuwa wa kisiasa tu; ulikuwa ni utawala wa chuma na ukatili uliopitiliza. Hata Mzee MBOWE anafahamu hilo. Makosa ya uhujumu uchumi na unyang’anyi wa kutumia silaha (armed robbery) yaliyomfunga gerezani wakati ule, ni tone dogo sana katika bahari ya unyama wake. Wapo watu walitekwa, kuteswa, na kuachwa na vilema vya kudumu. Kusema mtu huyu anastahili msamaha bila toba ya dhati kwa wahanga, si tu ni kosa, ni dhihaka. Miongoni mwa wahanga wa genge la SABAYA ni ndugu yetu Simon MNYAMPANDA, aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Hai. Ndugu yetu aliteswa. Simon Mnyampanda aliteswa kwa umeme. Ameeleza wazi kwamba, alihojiwa kuhusu mahusiano yake na Mzee MBOWE. Mwisho, alipigwa misumari ya miguu. Huyu ni mtu aliyepata mateso hayo akimlinda Mzee MBOWE na CHADEMA. Leo Mzee MBOWE anajigeuza kadinali na kumuombea msamaha mtesaji SABAYA? Genge hilo halikuishia hapo. Genge hilo lilikuwa kama MAHARAMIA. Walivamia nyumbani kwa mgombea udiwani wa kata ya Narumu katika jimbo la Hai. Baada ya kumkosa, walitoa adhabu ya kinyama kwa watu waliokuwepo nyumbami kwa kuwakata masikio na sehemu nyingine. Nyumba nzima ilitapakaa damu. Hawa ni binadamu, si takwimu za kisiasa. Hawa watu waliotendewa mambo hayo wapo. Baadhi ya ushahidi wa masuala hayo nimeambatanisha katika makala hii. Inasikitisha kuona Mzee Mbowe anatumia mateso ya wafuasi wake kama mtaji wa kisiasa (political capital). Binafsi nimejiuliza maswali mengi tangu hiyo jana. Je, wahanga wameombwa msamaha na kufidiwa? Je, mateso yao yamekuwa ngazi ya makubaliano ya kisiasa? Hii si dharau kwa wale walioteswa wakikupigania? Sabaya anapaswa kuomba msamaha kwa waathirika, si kuombewa. Vinginevyo, hii ni michezo ya kumtengenezea mazingira ya kupata uteuzi katika Serikali ya CCM. Watu wa Hai hawajasahau. Damu na machozi ya wahanga bado vinadai haki. Msamaha bila toba ni baraka kwa ukatili mwingine ujao. Haki kwanza, msamaha baadaye. Binafsi, nilimheshimu Mzee Mbowe kiasi cha kumpa mwanangu wa tatu jina la “Freeman”. Leo hii, nahisi usaliti mkubwa moyoni mwangu kwa mambo hayo. Kunyamaza mbele ya usaliti huu si busara, bali ni upumbavu ambao kesho utatunyong’onyesha. Nimeandika ili kulinda hadhi ya jina la mwanangu. Siku mtoto wangu akiniuliza, nitamjibu kwa utimamu kabisa. “Nilitetea maana halisi ya ‘Freeman’ wakati jina hilo lilipotaka kuchafuliwa na siasa za kimaslahi.”
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Indonesia
175
434
1.6K
70.4K
Kiluvya retweetledi
Beast
Beast@emabilly2001·
Ukiona hii we Acha kuuliza just chapa retweet huyu jamaa ana deserve nafasi kubwa kwenye hii nchi aseee.
Beast tweet media
Filipino
10
258
832
6K
Kiluvya retweetledi
CINEMAS ANALYTIC 🎬
CINEMAS ANALYTIC 🎬@CinemasAnalytic·
Mwenye ile clip anayosema yeye ni mtaalam wa uchumi naiomba, nina kazi nayo hapa Mtaalamu wetu mbobezi wa uchumi daktari asiyejua bei ya mafuta wala jinsi mafuta yanavyopimwa Repost 560
CINEMAS ANALYTIC 🎬 tweet media
Filipino
28
94
871
42.6K
BARADHULI
BARADHULI@Baradhuli2·
SATIVA: WATEKAJI HAWAKUTUMIA KINGA Nimepima magonjwa yote ya zinaa niko sawa kabisa.
BARADHULI tweet media
Indonesia
38
22
104
30.4K
Kiluvya
Kiluvya@Kiluvya1·
@Mwenyekit_i Mfafanuzi kasema alimaaniaha Tani ?..je mafuta yanapimwa kwa tani au lita?
Indonesia
1
0
2
668
TRUST ME BRO
TRUST ME BRO@Mwenyekit_i·
Trust me bro kama nchi tuliyakanyaga.
Filipino
56
130
906
19.4K
Kiluvya
Kiluvya@Kiluvya1·
@Sativa255 Hivi vimimika vinapimwa kwa Tani?..mwahiyo msemaji naye ameshindwa kugoogle....Petroli huuzwa na kupimwa kimataifa kwa pipa (barrel), hasa wakati wa biashara ya jumla na uzalishaji.  Wikipedia Hapa kuna ufafanuzi zaidi: Pipa (Barrel): Hiki ndicho kipimo kikuu cha kimataifa
Indonesia
1
1
2
612
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Maelezo mengiiii unamaliza Miti tuu girishoni. Wewe kila kitu kwako unafafanua, kwanini haya maelezo hakutoa dikteta JIKE kwa mdomo wake? Mnajua hana uwezo wa kuelewa haya -tukisema tunaongozwa na KYANDE mnatuteka.🚮
SIR TIVA tweet media
Indonesia
26
64
374
19.1K
Kiluvya retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Dunia ya sasa watu wana taarifa mkononi… Mazungumzo yoyote unayofanya na Watanzania ujue sio wajinga, watafuatilia na wataringanisha taarifa hizo. Watanzania wa sasa sio wa mwaka 47. Nasema kwa uhakika hakuna mahali popote duniani mafuta yamefika 8,000 usd wala 6,000 Euro kwa lita. Hakuna popote mafuta yanauzwa 400usd wala 600 Euro duniani. USD 100 ni sawa na 260,000 Kwahiyo usd 400 ni sawa na 1,040,000. Euro 600 ni sawa na 1,820,000 Kama ni 6,000 ni sawa na sh 18,200,000= Kama ni usd 8,000 ni sawa na milioni 20.8 . Lita moja ya mafuta Marekani inategemeana na state na state. Kwa mfano Washington DC area kwa gallon 1 ambayo ina lita 3.8 ni usd 3.80 ambayo kwa pesa za Kitanzania ni 9,600, ukigawa kwa lita 3.8 ni sawa 2,526 kwa lita, ambayo hapa sisi kwa Tarime 4,020, kwa hapa Dar ni 3820. Na kwa Marekani nzima wastani wa gallon moja ni usd 4.10. Kwahiyo kwa wastani sana ni sh 2,600 za Kitanzania kwa lita. Marekani ndio wako vitani na wao ndio wana uchumi mkubwa, lakini mafuta Marekani ni rahisi kwa zaidi kwa sh 1500 kwa kila lita tunayonunua huku.. Ukiwa na 10,000 ya Tanzania Marekani utanunua lita 4, na ukiwa ma hiyo hiyo hela hapa Tanzania utanunua lita 2 na point kidogo.
Indonesia
109
450
1.9K
52.3K
Kiluvya retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Vita sasa ni akili, teknolojia na pesa. Vita si tena kubeba mizigo mizito mgongoni na visu vikubwa kiunoni kisha kuingia msituni kupambana na adui. Ni vita inayotumia teknolojia za kisasa na uchumi mkubwa. Wanasayansi wamegeuza maabara kuwa viwanda vya kutengeneza silaha za kisasa. Hii ndiyo maana halisi ya Teknolojia na uchumi. MaCCM wao hawataki mambo ya teknolojia. Wanarudi nyuma wakati Dunia inasonga mbele. MaCCM wao wamewekeza nguvu kupambana kuwazuia wanawake wa CHADEMA wasikutane kuadhimisha siku ya wanawake Duniani, siku ambayo wanaitumia kujadili mambo yao ya wanawake na kushangilia jinsia yao. MaCCM wanaona huo ni uhaini. MaCCM bado wapo katika hatua za UNYANI.
Indonesia
30
183
1.2K
42.6K
Kiluvya retweetledi
Jamii Forums
Jamii Forums@JamiiForums·
DAR: Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa taarifa kuwa Kikundi Kazi cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kuhusu Uhifadhi Holela (#UNWGAD) kupitia Kitengo Kazi, imezitaka mamlaka za Tanzania kumuachia huru Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, pamoja na kumlipa fidia ikidai kuna ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu kwa mujibu wa Sheria za Kimataifa tangu kukamatwa kwake Aprili 9, 2025. Taarifa ya CHADEMA iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi, Brenda Rupia imeeleza taarifa hiyo yenye kurasa 13, UN imesema kitendo cha Mawakili wa Lissu, viongozi, Wanachama na Wananchi kuzuiwa kumuona Mwenyekiti gerezani ni uvunjifu wa Haki za Binadamu. Pia, CHADEMA imesema UN imezitaka mamlaka za Tanzania kuchukua hatua za kurekebisha mifumo ya Kisheria inayoruhusu kukiukwa kwa haki za msingi. Zaidi jamii.app/ChademaUn #JamiiForums #HumanRights #Diplomacy #Governance
Jamii Forums tweet media
Indonesia
6
113
660
12.7K
Kiluvya retweetledi
Tundu Antiphas Lissu
Tundu Antiphas Lissu@TunduALissu·
“The UN Working Group on Arbitrary Detention has ruled that my detention is arbitrary, citing serious violations of fundamental rights. Following an application by @amsterdamllp, the UN body has called on Tanzania to release me immediately, provide compensation, and investigate those responsible. Justice must prevail.” —Admin
English
22
320
1.3K
32.9K
Kiluvya retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 187 Mhe. Lissu anaendelea kumfanyia cross examination Shahidi ASP Geofrey Lutufye. Mhe. Lissu: Mnajifanya mapolisi mnawasingizia watu vitu vya bure haya itakushangaza hao mliowakamata baada ya kesi yao kuisha ni mashahidi wa kesi hii? ASP Geofrey Lutufye : Hainishangazi. Mhe. Lissu: haikushangazi kwasababu huo ndio utaratibu wenu mapolisi wa Tanzania. Mhe. Lissu: Au unabisha nikufungulie ripoti ya Jaji Mkuu Othman Chande amesema mnawafungulia watu makosa ya uongo. Sasa nikuulize swali lingine, umewahi kuona video mimi nikiwa nazungumza habari za huo uchaguzi mkuu? ASP Geofrey Lutufye : amekaa kimya Mhe. Lissu: Unajua kwanini nimeshitakiwa kwa Uhaini ASP geofrey lutufye? Unajua sababu. ASP Geofrey Lutufye : Sababu ya ile kauli uliyotoa. Mhe. Lissu: Ipi hiyo? ASP Geofrey Lutufye : Ulisema utazuia uchaguzi wa mwaka 2025. Mhe. Lissu: Ndio nakuuliza uliiona hiyo video? ASP Geofrey Lutufye : Sikumbuki. Mhe. Lissu: Hawa ndio kesho watakuwa ma RPC siku inayofuata utashangaa anakuwa IGP, Sina maswali mengine Waheshimiwa majaji. Watu wanasonya tu hapa. Anasimama Wakili wa Serikali Renatus Mkude kwa ajili ya Re-examination Maelezo yako uliandika kama nani? ASP Geofrey Lutufye : Kama shahidi. Wakili: Unalizungumziaje kuhusu kujiandika mwenyewe? ASP Geofrey Lutufye : naweza kujiandika mwenyewe au kuandikwa. Renatus Mkude: Sina swali lingine. Re Examination imeishia hapo. Jaji anamruhusu Shahidi. Shahidi anatoka akiwa ameshika kipaza sauti. Jaji Ndunguru: Unasahau maji yako hapo. Shahidi: Hapana siyataki tena. Jaji: Basi turudishie hiyo MIC tafadhali. Anairudisha na kutoka nje akiwa anatikisa kichwa. Watu wanacheka.😂😂😂 Kesi inaahirishwa watu wakale. Tutaendelea baada ya lisaa limoja. Naomba repost yako.
Indonesia
82
489
1.3K
50.6K