Lushona M

5.5K posts

Lushona M banner
Lushona M

Lushona M

@Lushona2

@ACT WAZALENDO//Deputy shadow minister of infrastructure//MedicalLaboratoryScientist:

Tanzania Katılım Kasım 2019
280 Takip Edilen237 Takipçiler
Mwananchi Newspapers
Mwananchi Newspapers@MwananchiNews·
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema Serikali imejipanga kuwaleta warembo kutoka mataifa mbalimbali duniani kuja Tanzania mwaka 2027, ambapo Tanzania itakua mwenyeji wa mashindano ya 74 ya Miss World ambayo zaidi ya nchi 130 zitashiriki. Makonda amesema hayo leo Mei 23, 2026 wakati akizungumza baada ya kushiriki mbio maalumu za Kilomita 5 na 10 zilizofanyika katika maadhimisho ya miaka 63 ya Siku ya Afrika, ambapo alikuwa mgeni rasmi. Akizungumza kwa utani mbele ya washiriki wa mbio hizo, Makonda alisema Wizara yake ina “habari njema” kwa wanaume ambao bado hawajaoa, lakini “habari mbaya” kwa wanawake ambao hawajaolewa. “Mwaka 2027 tunawaleta warembo wote duniani kuja Tanzania. Hizo ni habari njema kwa wale ambao hawajaoa, lakini ni habari mbaya kwa wale ambao hawajaolewa kwa sababu tunaenda kuleta ushindani wa kimataifa,” alisema Makonda.
Indonesia
23
3
76
11.8K
Lushona M retweetledi
Janeth Joel Rithe
Janeth Joel Rithe@JaneRithe·
Mie hata sijiulizi hapa Jibu @mwigulunchemba1 ndio muhusika wa mpangaji wa kila njama mbaya wakati @TunduALissu anapigwa risasi nani alikuwa waziri wa mambo ya ndani?wakati Benni saanane anatekwa na kupotezwa nani alikuwa waziri wa mambo ya ndani @SuluhuSamia amka
Isihaka Mchinjita@MchinjitaIR

Mh @mwigulunchemba1 waziri mkuu mimi nami najiuliza Maswali yafuatayo 1. Ikiwa waziri mkuu hana majibu ya nani aliyetaka kupiga mabomu na kupiga risasi ni Raia gani akijiuliza atapata majibu? 2.Ni nani walioenda kutoa CCTV kamera majengo ya serikali Dodoma mara baada ya tukio la kupigwa risasi Lisu wewe ukiwa wazir wa mambo ya ndani? 3. Ni kweli kuwa majeshi yetu yamedhoofika kwa kiwango cha kuwa sasa utekaji unaanza na mtu wa 1 mpk wa 700 na hayawezi jua mtekaji ? 4. Ni lini serikali itaacha kuwa mlalamikaji kuhusu utekwaji na kuwa mtafuta suluhisho?. 5.Hapa nchini ni nani mwingine anayemiliki pingu wanazofungwa waliotekwa ukiondoa majeshi yetu? 6.Serikali ambayo Raia wake wanatekwa na waziri mkuu wake anawataka Raia wajiulize maswali badala ya kukabiliana na watekaji ni serikali ya namna gani?

Indonesia
1
5
14
369
Kagimbo Lutahya
Kagimbo Lutahya@KagsLutty·
Wanasiasa wa kuaminika ni Tundu A. Lissu na John W. Heche pekee!
Indonesia
1
3
17
1.1K
Dr. Thadeus Mihayo
Dr. Thadeus Mihayo@Dr_Thadeus_19·
Huyu Mwamba anarudi tena Tanzania kweli?
Dr. Thadeus Mihayo tweet media
Indonesia
8
1
19
1.6K
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Mtu kama Yeriko Nyerere hata akija anatembea kwa magoti na analia na kusaga meno sio mtu wa kumpokea.
Indonesia
27
27
356
11.8K
Lushona M
Lushona M@Lushona2·
@TweveDevota Maana baada ya wewe kuwa mwisho pale songwe ukawa mtu wa kuponda chama lako
Filipino
1
0
0
16
DevotaTweve
DevotaTweve@TweveDevota·
Ndolezi mambo yake yakiwa mazuri chamani kwao utaona anavyomposti Zito 😅
Filipino
5
0
10
645
SHAKA ZULU.
SHAKA ZULU.@s_sophagi·
Chama Cha chadema hakitambuliki kwa kile kinachosimamia ila kwa kile kinachopinga . Hakina sera zaidi ya ukosoaji ,nilikuwa mjinga sana kuwa ndani ya chadema ..... By Mchungaji Peter msingwa
Indonesia
3
6
11
776
Lushona M
Lushona M@Lushona2·
Sema kwenye haya ma vyama kuna ungese mwingi sana
Indonesia
0
0
0
1
Julius Joseph Massabo.
Julius Joseph Massabo.@juliusmassabo·
Kwahio Mchungaji @MsigwaPeter atakua Mkunja ngumi au watamtafutia ka cheo flani ivi kama nabii Lema? Ila Siasa😂😂
Indonesia
4
2
17
1.6K
sultan
sultan@chapanombombwi·
Je, mtazamo wako ni upi kuhusu kurejea kwa huyu jamaa chamani?
sultan tweet media
Filipino
87
14
80
4.3K
Julius Joseph Massabo.
Julius Joseph Massabo.@juliusmassabo·
Mchungaji msigwa na @godbless_lema wote walikua wanachama wa TLP kabla hawajahamia CHADEMA, Naamini Nabii Lema atakua na machache ya kusema kama anavyofanya kwa wengine wengi. Je mchungaji msigwa anawabusu shavuni kama Yuda au tukaushe tu mwanaharamu apite aende zake😂😂
Indonesia
10
5
36
2.6K
Peter Msigwa
Peter Msigwa@MsigwaPeter·
Asante viongozi wa tawi langu kwa kunikubalia kuwa mwanchama tena. Heshima kwenu!
Peter Msigwa tweet media
Indonesia
374
308
2.5K
92.2K
Peter Msigwa
Peter Msigwa@MsigwaPeter·
“Ukigundua umepanda treni isiyokupeleka unakotaka kwenda, shuka kituo kinachofuata. Kadri unavyoendelea nayo, ndivyo gharama ya kurudi inavyokuwa kubwa zaidi.” Japanese proverb
Filipino
217
252
2K
43.4K
Lushona M retweetledi
Janeth Joel Rithe
Janeth Joel Rithe@JaneRithe·
Kesho Mei 16, 2026 Chama cha @ACTwazalendo kitakuwa na mjadala wa kitaifa juu ya mwelekeo na khatma ya nchi yetu katika hoteli ya Serena, Jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Taifa, Ndugu @othmasoud atatoa wasilisho. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Janeth Joel Rithe tweet media
Indonesia
0
7
7
505
NOED.
NOED.@Noedson_tz·
Mr NICE alifanikiwa kushawishi millennial kwamba anajua muziki na ana kipaji. 😅😅
Polski
45
52
351
10.2K
Lushona M
Lushona M@Lushona2·
Ukipata bahati / nafasi ya kuwa karibu na boss usiwaharibie wenzako kazi #lushona
Filipino
0
0
1
10