Mamaa Manka

34 posts

Mamaa Manka banner
Mamaa Manka

Mamaa Manka

@MamaaManka

Keep it simple

Katılım Kasım 2019
10 Takip Edilen1 Takipçiler
Mamaa Manka
Mamaa Manka@MamaaManka·
WANAWAKE, NA MAENDELEO, ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️, jamani ninajuvunia mimi kuwa mwanamke, ninamshukuru MWENYEZI MUNGU, wanawake wenzangu yapo magumu mengi tunayoyapitia kila mmoja ana lake, lakini tusisahau kuzitarajia baraka zake MWENYEZI MUNGU, hata kama magumu yametusonga, TUPENDANE
Mamaa Manka tweet media
Indonesia
0
0
0
17
Mamaa Manka
Mamaa Manka@MamaaManka·
HATA, UFANYE NINI HUWEZI KUMFURAHISHA KILA MTU, HASWAA, HUYU BINAADAM WE FANYA TUU KILE UNACHOWEZA.
Mamaa Manka tweet media
Indonesia
0
0
0
23
Mamaa Manka
Mamaa Manka@MamaaManka·
ukishamaliza kunisema kwa mabaya, usisahau kuniombea niwe mwema kama wewe.
Mamaa Manka tweet media
Indonesia
0
0
0
25
Mamaa Manka
Mamaa Manka@MamaaManka·
HAPPY, BIRTHDAY TO ME. ninakila sababu yakukushukuru wewe MWENYEZI MUNGU, kwakuendelea kunijaalia mimi afya njema, na kuniongezea mwaka mengine, ALHAMNDULILAAH, RABILAALAMIN.
Mamaa Manka tweet media
Indonesia
0
0
0
0
Mamaa Manka retweetledi
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Nawatakia kheri ya Eid Al Adha. Tusheherekee kwa amani na upendo, tuwakumbuke wote wasiojiweza tufurahi pamoja. Tunamuomba Allah azipokee ibada za Mahujaji wetu na zetu, atusamehe makosa yetu, atuongoze katika mema, atuunganishe na atuepushe na kila litakalo tugawa Eid Mubarak
Indonesia
502
361
2.9K
0
Mohammed Dewji MO
Mohammed Dewji MO@moodewji·
I bear witness that there is no god except Allah, alhamdulillah!
English
21
36
321
0
Mohammed Dewji MO
Mohammed Dewji MO@moodewji·
Leo ninakumbuka sana nyumbani kwetu Singida na ndugu zangu. Popote pale maisha yanapokupeleka, kamwe usisahau ulipotoka. #tbt
Mohammed Dewji MO tweet mediaMohammed Dewji MO tweet media
126
63
1.8K
0
Mamaa Manka
Mamaa Manka@MamaaManka·
SIKU YA WANAWAKE DUNIANI. wanawake wenzangu tusimame kwa umoja wetu tuunge mkono harakati zetu ili tuweze kufikia ndoto zetu, kwa pamoja wanawake wenzangu tunyanyuwe mikono yetu juuu tukatae mfumo dume, tukosowe.
Mamaa Manka tweet media
Indonesia
0
0
0
0
Mamaa Manka
Mamaa Manka@MamaaManka·
@SuluhuSamia aamin, aamin, yarabilaalamin inshaallah, MWENYEZI MUNGU, AZIDI KUKUPA AFYA NJEMA, NA MAISHA MAREFU YAILLAH, NA INSHAALLAH, MWENYEZI MUNGU, AKUZIDISHIE BUSARA NA HEKMA KATIKA UTENDAJI WA KAZI ZAKO.
Indonesia
0
0
0
0
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Nawashukuru nyote kwa salamu za kheri katika siku yangu ya kuzaliwa. Nimeuona upendo wenu, na ahsanteni kwa Dua zenu. Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia afya njema na umri. Ninawaahidi kuendelea kufanya kazi kwa juhudi na maarifa katika kuitumikia nchi yetu. Kazi Iendelee.
Indonesia
1K
520
4.3K
0
Mohammed Dewji MO
Mohammed Dewji MO@moodewji·
"Tumaini lenu liwaweke daima wenye furaha; muwe na saburi katika shida, na kusali daima." – [Waroma 12:12]
Indonesia
90
116
1.8K
0
Mamaa Manka
Mamaa Manka@MamaaManka·
@SuluhuSamia 🙏,,, piga kazi mama, tanzania yetu izidi kusonga mbele.
Indonesia
0
0
0
0
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Nimerejea nchini kutoka Lilongwe, Malawi ambako nimeshiriki Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC. Katika mkutano huo tumejadili masuala mbalimbali ya kuimarisha utengemano wa SADC ili kuongeza fursa za kukua kwa uchumi, kuimarisha usalama na ustawi wa wananchi
Samia Suluhu tweet media
Filipino
1.7K
451
5.8K
0
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Nawapongeza timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 23 kwa kutwaa ubingwa wa Mashindano ya Afrika Mashariki na Kati (CECAFA-2021). Ushindi huu ni heshima kwa nchi yetu na ni chachu ya kukuza michezo. Natoa wito kwa wadau wa michezo kuendeleza jitihada za kukuza michezo yetu.
Samia Suluhu tweet media
Indonesia
1.1K
427
5.7K
0
Dr. Abdullah Hasnuu Makame
Dr. Abdullah Hasnuu Makame@dr_makame·
Nawakumbusha walimwengu kwamba SAMIA SULUHU HASSAN ndiye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; Mkuu wa Nchi, Dola na Serikali; Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama vya Taifa; Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri na Mwenyekiti wa Chama Tawala - Chama Cha Mapinduzi #CCM
Dr. Abdullah Hasnuu Makame tweet media
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
287
85
815
0