Austin🇮🇹
15.8K posts


Bado watawala hawajui vijana wanataka nini?....bado watawala wanaamini kwamba Maandamano ya Oktoba yalitokana na vijana kufuata mkumbo?....Bado watawala hawajui ni haki gani vijana wanadai?...Endeleeni kukaza mafuvu.




Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, na Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndg. Gerson Msigwa akizungumza na waandishi wa habari leo Novemba 23, 2025, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.



Read this for geolocated videos, audio forensic analysis of shots fired & first-hand accounts of Tanzania's unrest. President Samia Hassan claims to have won with 98% of the vote. Reported with @FlorenceDAttlee @GianlucaMezzo + help from @BenDoBrown edition.cnn.com/2025/11/21/afr…





Kwahiyo hii SIO tume ya kuchunguza mauji, ukatili na ukiukwaji mkubwa wa haki? Hizi hadidu za rejea wanazopewa sijazielewa.















