
kha'lid bin waleed
2.3K posts

kha'lid bin waleed
@mackavala2
muslim... entrepreneur$|mwana CA(commerce and accountancy)... whatever evil we do we choose to do it....you and i will die one day



🚨 Mtume Muhammad ﷺ Anasema: "Oeani mabinti vigori [bikra] wana midomo mitamu mno, wana kizazi kingi na wanaridhika na vichache"



If this isn't idolatry, what on earth is it?












Wewe ulikutana na Waziri, alikwambia "Kuna mafuta ya kutosha" Kwanini mafuta yapande kwa 1000/= wakati bado tunatumia mafuta yaliyopo kwenye reserve ya hadi Julai? Naombeni mnipe shule hapa,haya mafuta tunayotumia yameingia kwa meli kipindi hiki cha VITA au yalikuwepo kabla?














#TajiriLaKihaya Donald Trump amesalimu amri kabisa mbele ya 🇮🇷 Iran 1 Machi: Trump 🇺🇸: “Tutafanya mabadiliko ya utawala (regime change) Iran kwa gharama yoyote” 😂 10 Machi: Trump 🇺🇸: “Tumemaliza kabisa uongozi wote wa Iran” 😂 15 Machi: Trump 🇺🇸: “Iran italazimika kufungua Strait of Hormuz ndani ya saa 48 zijazo” 😂 20 Machi: Trump 🇺🇸: “Nitadhibiti Strait of Hormuz pamoja na Ayatollah” 😂 25 Machi: Trump 🇺🇸: “Kama Iran haitafungua Strait of Hormuz, nitaharibu mitambo yao ya nishati” 😂 30 Machi: Trump 🇺🇸: “Naweza kufungua Strait of Hormuz ndani ya dakika 2 tu” 😂 LEO: Trump 🇺🇸: “Niko tayari kumaliza vita hata kama Strait of Hormuz haitafunguliwa” 😭 Ni kiongozi wa kiwango cha chini sana. Uongozi dhaifu na wa kusikitisha 🤢

🚨🇮🇱 BREAKING — IDF Attack Christian Worshippers at Ancient Church


