max

5.6K posts

max

max

@Max991719

Katılım Kasım 2023
263 Takip Edilen138 Takipçiler
max
max@Max991719·
@killo_killo11 Risasi ya kawaida haina kichwa kikubwa hivi,ni zile risasi kibwa na isingesimamishwa hata na ukuta wa zege.
Indonesia
0
0
0
151
killo_Killotz
killo_Killotz@killo_killo11·
Nauchukia sana Mwaka jana.😭
killo_Killotz tweet media
Filipino
46
48
486
34.2K
NGASSA+255
NGASSA+255@Therealngassa·
Mapoti wanapitia wakati mgumu sana baada ya kustaafu
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
23
19
252
14.9K
Tariq
Tariq@Tariq9116404·
BETTING ni ngumu vijana tufanyeni kazi za MIKONO
54
17
261
9.9K
max
max@Max991719·
@mananajr_ Group langu watu ukifa mhusika ni 14mln😁😁,nahakikisha tu wife halijui kabisa
Indonesia
1
0
0
112
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽@mananajr_·
Hivi vikundi vilivyoanzishwa vinaitwa vya kufa na kuzikana viangaliwe sana Kikundi kina watu 300, ukifiwa mtu wako wa karibu unachangiwa karibu 8M Hapa tutazika wengi sana💔
Indonesia
22
45
493
21.6K
Maliq
Maliq@MasterMaliq·
Stop forcing Jesus as my Saviour on me. I already accepted him as a Prophet. My Saviour is God alone. Period.
English
187
5
31
4.4K
max
max@Max991719·
@nassor_01 Ukitaka andiko la kila unachofanga utaulizwa andiko la kuezeka kanisa umelitoa wapi??
Filipino
1
0
1
390
CHOLLO
CHOLLO@nassor_01·
Hakuna sura wala aya kwenye qur-an inayoelekeza kutumia tasbih,na hakuna andiko lolote kwenye bible(old&new testament) linalofundisha kutumia rozali,huu ushetani mmeutoa wapi watu wa dini?,acheni huo upotoshaji maramoja
Indonesia
18
19
74
5.9K
max
max@Max991719·
@democracy_watu @leodigardcyrilo @EsirEid Unawezakuwa na elimu kubwa labda kama wewe na usijue ni kwanini jamaa kaandika hivyo,sababu ni kwamba elimu kubwa haimaanishi umesoma au unajua kila kitu. Polisi yeyote ni rahisi sana kumjua afisa usalama kuliko afisa usalama mwenzie,sababu ni nini,kukamatwa akiwa kazini.
Indonesia
0
0
1
13
Democracy
Democracy@democracy_watu·
@leodigardcyrilo @EsirEid Sema hii Dunia ina watu wasenge na makuma sana. Ndo maana tunahitaji sana elimu. Kwahiyo unafikiri RCM ni boss wa TISS? Unadhani regional crime officer ni kitengo kimoja na TISS? Hao ni watu wawili tofauti ila katika operations zao hasa kama hizi za utekaji wanaweza kutana.
Indonesia
2
0
1
189
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya “Walipoingia ndani kuna baadhi ya Wanachama wa CHADEMA, walijiongeza wakawafuata wale Askari waliokuwa pale njee, wakawauliza kwani Buyobe ana issue gani kubwa mpaka kamuomba RCO asiiseme mbele yetu? Wale Askari wakawajibu kwamba walipoenda kumkamata Buyobe nyumbani kwake Kigamboni alijitambulisha kuwa yeye ni ofisa wa TISS, wakamchukua na kuondoka nae kulekea kituo cha Polisi Chang’ombe. Walipofika Polisi wakamuomba atoe password ya simu yake, akatoa wakaingia kwenye WhatsApp yake wakakuta anawasaliana na Mkuu wa Dawati la Siasa wa TISS, Thobias Mwesiga na alikuwa anampa info za watu mbalimbali,(Japo Mwesiga kwasasa kaondolewa kwenye hiyo nafasi) mtu mwingine ambae alikuwa akiwasiliana nae ni Abdul mtoto wa Idd Amin Mama. Lakin pia alikuwa anawasiliana na baadhi ya Viongozi wa Serikali wakiwemo Mawaziri na kote huko alikuwa anajitambulisha kama afisa wa TISS so Polisi baada ya kuona mawasiliano yake na hao watu, hata wao wenyewe waliogopa. So hao Wanachama wakajua issue ni nini so waliondoka zao ila walimwacha Buyobe pale kituoni na Wakili ambae alikuwa kamsindikiza.”
Hilda Newton@HildaNewton21

‼️UKWELI KUHUSU BUYOBE, KWENYE SAKATA LA KUTEKWA MSHABAHA.‼️ Shuka na Thread hadi mwisho👇 Nakumbuka January 15, 2026 Buyobe alinitumia namba yake DM akasema nimchek WhatsApp kuna issue tuongee, nilimchek tukaongea. Alinielezea jinsi alivotekwa na kikosi cha Mafwele, walimvotesa n.k pia alishukuru kwa jinsi tulivompazia sauti. Katika maongezi hayo aliniambia kwamba pamoja na kwamba ameachiwa kwa dhamana bado watekaji wa Mafwele wanaendelea kumfuatilia hivyo maisha yake yapo hatarini , nilimwambia achukue tahadhari maana hao watu hawana masihara, akasema anafikiria kuondoka nchini, nikamwambia ni wazo zuri, akaniambia kama kuna Taasisi yoyote ambayo naijua inasaidia watu ambao wanachangamoto kama yake nimuunganishe nayo, nikamwambia hakuna Taasisi yoyote ambayo naijua so tukaishia hapo. Baada ya siku kadhaa alinipigia simu akaniambia, kwamba yupo mahali nilipo anaomba tuonane, tusalmiane na kufahamiana maana hatujawai kuonana zaidi ya humu mitandaoni, nikamwambia kwasasa siwezi kuonana nae kwasababu za kiusalama, nikamwambia kukiwa shwari nitamtafuta mimi mwenyewe, tukaishia hapo. Baada ya hapo alimpigia simu @Twaha_Mwaipaya akamuomba waonane, Twaha alinipigia simu kuniuliza kama namfahamu, nilimjibu Mwaipaya kwamba simfahamu zaidi ya kumuona online hivyo Mwaipaya na yeye akamkwepa badae akampigia simu @Sativa255 kumuomba waonane. Baada ya issue ya Mshabaha kutekwa ndo nikajua kwamba kumbe wakati anawasiliana na mimi kuniambia habari za yeye kuondoka nchini kuna mtu mwingine ambae alimshirikisha huyo mtu ndo alimuunganisha na @lifeofmshaba ili amsaidie kutoka nchini kwasababu alisema vijana wa Mafwele walikuwa bado wanamuwinda. Alifika Nairobi akapokelewa na @lifeofmshaba na kupelekwa mahali pa kuishi, muda wote alikuwa akidai kwamba anaumwa shingo, kichwa na miguu lakini pia alimwambia Mshabaha vitisho vya Mafwele kusema kwamba atamfira + kuonana na watekaji live ni vitu vilimuumiza sana kisaikolojia hivyo alitafutiwa Mwanasaikolojia lakin alipoambiwa aende Hospital kufanya checkup ili wajue Polisi wamemuumiza kwa kiwango gani ili apatiwe matibabu alikataa. Muda wote wakati Buyobe yupo Nairobi. Mshabaha alikuwa anakwenda kwake kumjulia hali kutokana na madai ya changamoto yake ya afya alokuwa nayo. Siku ya tatu, Buyobe alimpigia simu Mshabaha akamjulisha kwamba, nyumban kwake kuna mgeni ambae na yeye kalazimika kukimbia Tanzania kwasababu Mafwele anataka kumuua akaenda mbali zaidi akamdanganya kuwa mgeni huyo ni Mwanachama wa CHADEMA wakati si Mwanachama wa Chadema. Mshabaha alifika mahali alipokuwa anaishi Buyobe akamkutana huyo mgeni ambae Buyobe alimtambulisha kuwa anaitwa Aidan Msuya ni rafiki ake wa miaka mingi. Buyobe alimdanganya Mshabaha kwamba Msuya alikuwa Diwani wa Chadema wa Ubungo huku akijua fika kwamba Msuya hajawai kuwa Diwani. Mshabaha alimuliza ndani ya CHADEMA anamfahamu nani Buyobe akasema @ExMayorUbungo na Hilda Newton japo kwasasa Msuya hana mahusiano mazuri na Bony. Ili Mshabaha amuamini zaidi Msuya, Buyobe akamdanganya Mshabaha kwamba Msuya ni boyfriend wa Hilda Newton wakati huo anajua fika kwamba mimi na Msuya hatufahamiani kabisa. Mshabaha alimwambia kama anamahusiano na Hilda mpigie simu, Msuya akasema hapana itamletea shida, maana amekuja hajajipanga Mafwele amefunga account zake zote za Bank na kama girlfriend wake, akijua yupo Nairobi na akashindwa kumuhudumia itakuwa aibu sana kwake, haya ni maswali walikuwa wanajibu Buyobe na Msuya kwa pamoja na kwasababu walijua wanasema uwongo, wakamuomba Mshabaha asiniambie chochote so Mshabaha akakausha. Huo ndo ukawa mwanzo wa Mshabaha kumfahamu Msuya ikawa kila akienda kumuona Buyobe anamkuta Msuya kuna wakati walikuwa wanaenda kula pamoja, Mshabaha hakuwa na wasiwasi na Msuya kwasababu ya Utambulisho ambao alipewa na Buyobe, aliamini ni mtu Genuine. Buyobe akatoa wazo wapate gari maana na hali yake ya kiafya na usalama ni muhimu wakawa na gari, mara wazo likawa linafanyiwa kazi na Msuya. Part 2 inaendelea hapa 👇

Indonesia
82
26
180
35.6K
Naruto
Naruto@Naruto42425530·
@Max991719 @GodLogic_GL @MMetaphysician Shut the fuck up, Jew worshiper. Your 30-year-old incel god was the bastard of a Roman soldier and a Jewish whore, who started the conspiracy that God impregnated her.😂😂😂😂😂
English
3
0
1
142
Naruto
Naruto@Naruto42425530·
@GodLogic_GL @MMetaphysician Dog logic really reminds me of certain people who use God as their own personal tool to benefit themselves.
Naruto tweet media
English
6
0
8
1.3K
max
max@Max991719·
@VungaEl74 Hatuwezi wabeza maana wamejaribu. Moja ya mauwezo ya ajabu ya hii ndege,ni kubena mizigo mizito,kutua na kupaa maeneo korofi yenye kifusi au vumbi,kurudi reverse likiwa chini,kupaa ktk umbali mvupi kabisa tofauti na ndege za kawaida mpaka iwe eneo refu.
Indonesia
1
0
4
551
Vunga
Vunga@VungaEl74·
C -17 Airforce wachina walikuwa wakiishangaaa ukubwa wake na uwezo wake wa kubebe mizingo mizoto wao walijaribu kutengeneza ila haikufanya kazi kwa ufanisi
Vunga tweet media
Indonesia
20
20
261
15.2K
max
max@Max991719·
@IAmHaule Ukiskia mgeni hataki soda anataka 600 yake ndio hii.
Indonesia
0
0
0
23
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
Umeenda hospital Unaumwa , katika kukufanyiwa vipimo ukagundulika una–Mimba . Lakini haukuenda pale Kama mjamzito ulienda Kama mgonjwa wa kawaida . Umepewa gharama za vipimo ulivyopima ni 17K , unasema Mimi nimjamzito Inatakiwa iwe bure . Sio Poa .
IAmHaule tweet media
Indonesia
31
15
125
21.7K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Ukiachana na mazoezi na kupunguza mwili ni njia gani nyingine mtu anaweza kuitumia kupunguza mwili au kitambi..?
Indonesia
59
40
287
14.2K
max
max@Max991719·
@kasesco_tz Hapo mchoro ulikamilika ukiwa na hesabu ya 20k kila siku,field sasa😁😁😁
Filipino
0
0
2
712
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Changamoto ya biashara ya kuonyesha mpira banda umiza ni ipi..?
kasesco☆ tweet media
Indonesia
41
49
417
20.4K
max
max@Max991719·
@killo_killo11 Michezo hii wanachezewa wajinga,agawe mali zote awape masikini.
Indonesia
0
0
0
10
killo_Killotz
killo_Killotz@killo_killo11·
Imagine mtu anaacha pesa,magari & majumba ya kifahari kwa sababu ya dini mashaallah❤️🤲🏾
killo_Killotz tweet media
Indonesia
15
16
142
3.6K