Mh: Magembe Ebeneza.

26 posts

Mh: Magembe  Ebeneza.

Mh: Magembe Ebeneza.

@MhMagembe

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Aralık 2018
253 Takip Edilen6 Takipçiler
Dr John Magufuli
Dr John Magufuli@MagufuliJP·
Following the judgement by the High Constitutional Court. I congratulate HE. Felix Tshisekedi on his election as President of the DRC. While congratulating all the Congolese, I beseech you to maintain peace and affirm my commitment to furthering our historic and brotherly ties.
English
625
941
5.8K
0
Mh: Magembe Ebeneza. retweetledi
Dr John Magufuli
Dr John Magufuli@MagufuliJP·
Punde nimezungumza na Mhe. Kenyatta kuhusu shambulizi la Jijini Nairobi,zaidi ya watu 14 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa.Pole sana Mhe. Rais na pole sana wananchi wa Kenya.Tupo nanyi katika kipindi hiki cha majonzi. Nawaombea Marehemu wote walale mahali pema peponi, Amina.
Indonesia
927
865
6.4K
0
Mh: Magembe Ebeneza. retweetledi
Dr. Hamisi Kigwangalla
Dr. Hamisi Kigwangalla@HKigwangalla·
Relax, rest up and enjoy. The great Serengeti is the best place for rejuvenation! #TanzaniaUnforgettable 💪🏾
Mwanza, Tanzania 🇹🇿 English
8
21
285
0
Mh: Magembe Ebeneza. retweetledi
Mohammed Dewji MO
Mohammed Dewji MO@moodewji·
Huu ni ushindi wetu sote! Nawapongeza na kuwashukuru wachezaji, benchi la ufundi, viongozi, wanachama, mashabiki, na wapenzi wote wa SIMBA! 🙏🏽 Safari ndio kwanza inaanza. Tuendeleze mshikamano wetu ili tufikie lengo letu la kuwa mabingwa wa Afrika, Insha’Allah #NguvuMoja
Mohammed Dewji MO tweet media
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
297
238
3.1K
0
Mh: Magembe  Ebeneza.
Mh: Magembe Ebeneza.@MhMagembe·
Hongera sana Kaka kwa kufunga goal dakika ya 74 dhidi ya fortuna.big up sana jembe la tz
Indonesia
0
0
0
0
Mh: Magembe Ebeneza. retweetledi
Jokate Mwegelo
Jokate Mwegelo@jokateM·
@tifah_dior Washapelekewa. That’s the essence of going physically. You interact, discuss the challenges and intervene when needed. But most importantly we are proud shule iliyokuwa ya makuti now inajengwa madarasa mapya na ofisi za walimu na kusimamiwa na kamati za shule wana-jamii wenyewe!
Pwani, Tanzania 🇹🇿 Filipino
22
20
243
0
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. @HKigwangalla ameagiza kusimamishwa kazi Mkuu wa Kikosi Dhidi ya Ujangili (KDU), Kanda ya Arusha, Said Mnkeni, kutokana na kushindwa kutekeleza majukumu yake, na kuingilia na kuvuruga uchunguzi wa mauaji ya Twiga eneo la Longido mkoani Arusha.
Swahili Times tweet media
Indonesia
6
9
111
0
Dr. Hamisi Kigwangalla
Dr. Hamisi Kigwangalla@HKigwangalla·
Huku twitani sijazowea pongezi! Matusi ndiyo halali yangu! Watu wakiishakula bata zao wanakimbilia twita kuja kuilaumu na kuiponda serikali! Mimi nimeapa kuitetea serikali ya JPM siyo kwa sababu tu kanipa uwaziri lakini kwa sababu ninaamini inafanya kazi nzuri!
Hancy Machemba@hancymachemba

@HKigwangalla Asante sana mheshimu. Nashukuru Mungu upo humu napata nafasi ya kukueleza changamoto tunazokutananazo ili kuboresha utalii wetu. Ila kiukweli huduma nyingine zipo safi na nafuu sana mtu yoyote anaweza kumudu. Kuna mabadiliko nimeyaona na wazi napenda kupongeza wizara yako pia

Zanzibar West, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
68
9
110
0
Gerson Msigwa
Gerson Msigwa@MsigwaGerson·
Mhe. Rais Magufuli kukutana na viongozi wa Shirikisho la Wafanyakazi (TUCTA), vyama shiriki, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (PSSSF & NSSF) na SSRA asubuhi hii, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Ni kuhusu Mafao ya wafanyakazi hususani KIKOKOTOO. Fuatilia Redio, Televisheni na mitandao.
Gerson Msigwa tweet media
Indonesia
51
55
351
0
Mh: Magembe Ebeneza. retweetledi
Halima James Mdee
Halima James Mdee@halimamdee·
Hii NCHI ina MAIGIZO sana.
Română
93
39
807
0