Othorong'ong'o
7.3K posts


#BREAKING: U.S. SENATE BILL THREATENS TANZANIA WITH SANCTIONS OVER RIGHTS ABUSES
The United States Senate has introduced a bipartisan bill that could redefine relations with Tanzania, following allegations of political repression and violent crackdowns during the country’s October 2025 elections.
The legislation, co‑sponsored by Senator Jeanne Shaheen (D‑NH) and Senator Ted Cruz (R‑TX), calls for a sweeping reassessment of America’s diplomatic, security, and economic ties with Tanzania. It comes after reports of protestors being brutally suppressed, hospitals raided, and internet services shut down during the polls.
Shaheen said the measure underscores Washington’s obligation to defend democratic principles and human rights, while also countering China’s growing influence in East Africa. Cruz accused Tanzanian authorities of orchestrating religious persecution and manipulating ballots, warning that the U.S. cannot overlook such abuses.
If enacted, the bill would suspend aid and trade support until reforms are certified, impose sanctions on officials linked to violations, and block Tanzania’s access to Millennium Challenge Corporation funding.
Read More: mwanzotv.com/u-s-senators-d…

English

@zittokabwe @jumuiya Kenya humu anajichomeka tu.
Hii game ni ya Tanzania, Uganda, S. Sudan na DRC.
"History: investing the most significant assets of the community in Kenya is extremely dangerous."
@KipepeComrade
nytimes.com/1977/02/09/arc…
Indonesia

Kama Tanga Refinery itamilikiwa na Mzee Dangote kwa 50%, Serikali za Afrika Mashariki kwa 25% na Wananchi wa nchi za @jumuiya kwa 25% maana yake ni kwamba kila mwananchi awe na haki ya hisa 1 sawa na usd 12.5 ( shs 30,000). Inaweza kuwekwa sokoni EAC kote a Tanga Refinery Bond!
Filipino

@LarryMadowo @apochieng Luo is not his first language Nini....nathagoraa na ok nathagara...how luo in Tz na Kenya n Tofauti?
Filipino

@UmeingiaTarime @MwananchiNews Wenje na odero ni Luo by assimilation, Hao ni Wasuba
Filipino

@MwananchiNews Wajaluo akina Marando waliishia wapi? Nadhani ccm wampiga stroke. Hawa Odero na wenje ni wajaluo wajinga kuwahi kutokea nchi hi, hawa warudishwe Uganda . Nanai anawapa mic 🎤?
Indonesia

Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Victoria, ambaye sasa ni kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ezekiah Wenje, amesema mazungumzo ndiyo njia itakayoliwezesha Taifa kutoka kwenye mikwamo ya kisiasa iliyopo.
Amesema kiongozi yeyote wa kisiasa anayekataa maridhiano hana mapenzi na Taifa.
Wenje amesema hayo leo, Mei 16, 2026, alipozungumza katika moja ya majopo wakati wa Kongamano la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu lililokuwa na kaulimbiu ya “Never Again”.
Indonesia

@HabiibYahyaa Simuamin sana ila Muda utaongea , Japo Tanga ndio panafaa zaid .
Indonesia

Rais wa Kenya, William Ruto amesema Bandari ya Tanga bado inaonekana kuwa eneo sahihi kwa mradi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Afrika Mashariki kutokana na ukaribu wake na mradi wa bomba la mafuta wa EACOP.
Akizungumza katika mkutano wa Africa Forward Summit jijini Nairobi, Ruto amesema uamuzi wa mwisho kuhusu eneo la mradi huo utabaki kwa wawekezaji wakiongozwa na bilionea wa Nigeria, Aliko Dangote.
Ruto alisema mradi huo wenye thamani ya kati ya dola bilioni 16 hadi 20 unalenga kuimarisha usalama wa nishati kwa Tanzania, Uganda na Kenya na kupunguza utegemezi wa mafuta kutoka nje.
Aidha alisema serikali za Afrika Mashariki zinapanga kuwekeza moja kwa moja katika mradi huo pamoja na sekta binafsi ili kuhakikisha manufaa ya kiuchumi yanabaki ndani ya ukanda huo.
Filipino

Bado Tanzania tunayo nafasi ya kushinda hii vita maana tuna mahusiano mazuri na Aliko Dangote . (2) Mwekezaji hawezi kukubali kiwanda kijengwe Mombasa alafu aingie gharama za kusafirisha. TISS pambaneni na hili hadi kiwanda kijengwe, hilo litakuwa moja ya urathi wa SSH
CEO East Africa Magazine@CEOEastAfrica
Dangote to Construct $17B Oil Refinery in Kenya, Drops Tanzania Plans Nigerian billionaire Aliko Dangote is shifting plans for a mega East African oil refinery to Kenya’s port city of Mombasa, abandoning earlier discussions centred on Tanzania’s Tanga port. Read the full story: ceo.co.ug/dangote-to-con…
Indonesia

@ensungwe_ @ReutersAfrica Kenya Kuna mafuta kule Turkana,Kenya Kuna Bomba linalopeleka mafuta Uganda kutoka Mombasa
Filipino

@ReutersAfrica Bado Tanzania tunayo nafasi ya kushinda hii vita maana tuna mahusiano mazuri na Aliko Dangote . (2) Mwekezaji hawezi kukubali kiwanda kijengwe Mombasa alafu aingie gharama za kusafirisha.
Indonesia

Nigerian billionaire Aliko Dangote is looking at Kenya as the site of a 650,000-barrel-a-day oil refinery that he intends to build in East Africa, the Financial Times reported on Sunday, citing an interview with him. reuters.com/world/africa/a…
English

@VungaEl74 Dangote anaijua Tanzania aliwekeza kiwanda cha saruji , changamoto alizokutana nazo anazijua mwenyewe
Indonesia

Hili dili la DANGOTE hatupaswi kulikosa kwa namna yoyote maana tutapata experience ya uzalishaji wa mafuta serikali hapa ipiganie hili dili kwa namna yoyote Ile hata Rais ruto atafutwe na tufanye nae mazungumzo pamoja na DANGOTE.
DANGOTE nazani kunawasi wasi amaupata kwetu siku Ile ya ziara ya ruto, Ruto hapa lazima kichwa kimuume kabisa maana akisema akubali Ije bongo wakenya wata mulaumu ila Tanzania bado tuna nafasi kwa hili
Hili dili ni kwaa jili ya Tanzania tulipiganie

Filipino

@KingosoC @ayubu_madenge Mfaransa ndo anayeamua ndo mwenye Bomba
HT

Issue yoyote ya kuiweka Tanzania 🇹🇿 nje ya makubaliano itakula kwao.
Maana ili Refinery iwe Mombasa lazima kua tena na bomba la mafuta ghafi kutoka Tanga kwenda Mombasa ili kulisha hiyo refinery.
Lakini pia Refinery ikiwa Tanga, lazima kuwe na bomba ya mafuta yaliyosafishwa toka Tanga kwenda Mombasa.
Yeyote anayeiweka Tanzania mbali na majadiliano hajui anachofanya.
Indonesia

@14Menengai @Jasiri_D30 Bro when you Kenyans were complaining about Gen Zs being abducted in Subaru vehicles, did that mean those young people were being abducted by Kenyans or by the Government of Kenya?
English

@MichaelObunde @Jasiri_D30 Kenyans who have traveled to both Uganda and Tanzania complain how they are treated in Bongo. No complains from visitors to Uganda
English

@14Menengai @Jasiri_D30 If that is the case, are those things being done by Tanzanians or by the Government of Tanzania?
English

@14Menengai @Jasiri_D30 Broo Why should we hate Kenyans, while some of us, like me, even have blood relatives who are Kenyans
English

@Jasiri_D30 Kenyans are too nice on Tanzanians and the way they hate Kenyans.
English

@KimaniN75295726 @atienomyname @HecheJohn Sasa wewe unauelewa gani zaidi ya udwazi wako;endela na u kichwa panzi kama cha Gachagua
Indonesia

Wakenya wanajua rais ni mtumishi wa umma sio Mfalme wala Mtume..
Wakenya wana katiba na sheria bora na wanaziheshimu, wanajua kukosoa serikali au kumkosoa rais sio kosa na sio kosa la kufanya utekwe , kuuwawa au kupotezwa.
Kama kiongozi anasema wazi kwamba kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake!!! Vipi mama kijijini ambae yeye hana kamba wala urefu wa kula?
Watanzania tusikubali.
Indonesia

@atienomyname @HecheJohn Naona husomi vitu vya maana, UNASOMA DIMBA TU! Soma Afrobarometer Reports zinazofadhiliwa na hata EU , World Bank etc uone Tanzania INAONGOZA KWA GOOD GOVERNANCE IN EASTERN AFRICA REGION FOR 6 YEARS MFULULIZO!
Filipino







