Mmari Jr.

493 posts

Mmari Jr.

Mmari Jr.

@MmariJr1

football

Kilimanjaro, Tanzania Katılım Haziran 2020
1.2K Takip Edilen350 Takipçiler
Mmari Jr. retweetledi
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
NI KAZI YA NGUVU YA UMMA KUHAKIKISHA BANGO HILI LINASAMBAA #REPOST
Twaha Mwaipaya tweet media
Filipino
12
600
1.3K
12.7K
Boniface Mwabukusi
Boniface Mwabukusi@Mwabuk2Boniface·
NILIPATA NAFASI YA KUONANA NA KUZUNGUMZA NA Dr Lazarus McCarthy Chakwera . Nilipata nafasi ya Kuonana na Kuzungumza na Mheshimiwa Dr.Lazarus McCarthy Chakwera Muwakilishi wa Katibu Mkuu Commonwealth na kuzungumzia Kiini cha tukio baya kabisa la Mauwaji ya halaiki la Oktoba 29 /2025 na matukio mengine ambata ya kabla na baada ikowemo watu Kutekwa na kupotezwa. Hoja zetu zililenga namna bora ya kupata ufumbuzi kamili kwa msingi wa UKWELI(TRUTH), HAKI (JUSTICE) na Uwajibikaji (ACCOUNTABILITY). BAK MWABUKUSI.
Boniface Mwabukusi tweet media
Indonesia
60
272
1.2K
30.2K
Mmari Jr.
Mmari Jr.@MmariJr1·
@godbless_lema Mie nishaanza kuamini hili swala nilakutusahaulisha bei za mafuta,ugumu wa maisha na mambo zingine za msingi,hivi kuna mtu kadhibitishwa kwamba mzigo umeondoka kwa kuguswa bega kweli?
Filipino
2
0
6
1.7K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Kabisa, some one can agree with you, kwamba hata UBONGO unaweza kuwa hauna. Wakati mwingine mimi nakuelewa sana. Sema tu , wale wenzangu tu ndio wana shida na wewe sometimes, tena kama wale wakina Bon Yai na Sugu.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
17
53
682
43.2K
Mmari Jr.
Mmari Jr.@MmariJr1·
@godbless_lema Kuna watu wanadanganywagwa na waganga na wanaamini,Bwana Yesu tunusuru🙏
Filipino
0
0
0
142
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Wewe Chalii , acha maneno ya KIJINGA JINGA Mtandaoni. Nimekwambia TUBU.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
75
111
1.1K
59.4K
Mmari Jr.
Mmari Jr.@MmariJr1·
@BlacDaady Wanatueekea game night kali afu tufungwe,mtu unarudi home umebeba mawe barabara ina giza na bado mmepunwa,,oyah!!
Filipino
1
0
1
64
Black Dady
Black Dady@BlacDaady·
Licha ya team yetu kuwa na changamoto za hapa na pale but hili suala la mechi zetu kuwekwa Monday halijakaa sawa. Tunatamani kuliona chama letu kila baada ya masaa 72 likiwa uwanjani.
Indonesia
4
2
36
1.1K
Mmari Jr.
Mmari Jr.@MmariJr1·
@mpambazi Hilo ni shambulio la kiroho,aende kwa mchungaji amuombee,hiyo ni roho ya adui imetupwa kwa huyo mtoto,atapona kwa jina Kuu la Yesu🙏
Filipino
8
0
4
1.1K
Mmari Jr.
Mmari Jr.@MmariJr1·
@mpambazi Sema kama kaondoka kwa shinikizo lake mwenyewe kama kutukomoa,hatafanikiwa popote atakapoenda,hii naisave kabsa
Indonesia
0
0
3
88
Mmari Jr.
Mmari Jr.@MmariJr1·
@YerickoNyerereT Kwanz nan amekwambia shetani yupo mbinguni?afu dili na chauma yako mzee,hizo siasa nginjanginja ndo tunataka,kila siku unaandika makala za @ChademaTZ2 kwani za chauma huna?tuache na viongozi wetu na @godbless_lema wetu,sisi tunaelewana nao vizuri tu
Indonesia
0
0
0
125
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Tulipobadili mbinu ya mapambano ya kidemokrasia nchini kwasababu tulikuwa tumejiridhisha kwamba Watanzania hawajawa tayari kupigania haki zao, Huyu Lema na wenzake walianzisha uasi ndani ya Chama na kumchafua kiongozi wa upinzani kuwa amelambishwa asali ili abadili aina ya siasa. Wakaitangazia dunia kwamba Mbowe ni kikwazo cha kuitoa ccm madarakani, Wakamtukana matusi ya nguoni na kumdhalilisha kiasia hata shetani huko mbunguni akawa anawashangaa! Wakafanikiwa kwanjia hiyohiyo haramu wakisaidiwa na magenge ya wanaharakati uchwara, Wakatwaa chama kwauchaguzi huru wakiwaminisha wanachadema kwamba wanakirudisha chama kwenye siasa za nginjanginja wakayatukana maridhiano kwakuyaita mapendano ya kidalali, wakiamini siasa za nginjanginja hiyo ndio njia sahihi ya kuitoa ccm madarakani. Leo Lema yuleyule anawatukana Watanzania kwamba ni Wapumbavu wasiojua kupigania haki zao. Tuliwaambia muda ni mwalimu mzuri sana, uongo na ukweli utajitenga tu… Sisi tunawajua Watz ndiomaana tulibadili aina ya mapambano tukachagua njia ya maridhiano ya kisiasa huku tukiendelea kuwajengea ujasiri Watz hadi waamke…. Karibuni Chaumma chama kinachoamini katika siasa za mapambano ya hoja na sio harakati mfu!
Yericko Nyerere tweet media
Godbless E.J. Lema@godbless_lema

Neno la msingi hapa ni hii aliloambiwa Max wa Jamii Forum.. “ Tunaweza kukupoteza watu watapiga kelele Mwezi mmoja , miwili , mitatu na watasahau “ Hii neno limesabishwa na tabia mbaya ya wananchi ktk kupuuza kuzingatia masuala ya haki. Tuna umma wa ajabu sana unaojua kualamu lakini haujui kuchukua hatua ktk mambo muhimu. Umma una shida kubwa kuliko watesaji na wauwaji. Nani ataweza kufanya mwenyewe pasipo ushirika mkuu ktk haki ? Pumbavu sana kizazi chetu.

Indonesia
81
9
29
13.6K
Lembrus Mchome
Lembrus Mchome@LembrusMchome·
Mwenyekiti wa @bavicha_taifa anachukuliwa hadhari na watu wasiojulikana mbele ya mjumbe wa kamati kuu @godbless_lema anabaki kuomba alafu anakaa pembeni dogo anapambana mwenyewe. Tukiwaambia @godbless_lema ni tapel na muoga hamuamini mnatutukana.
Indonesia
40
7
55
5.1K
Mmari Jr.
Mmari Jr.@MmariJr1·
@godbless_lema Moyo wangu umeuma sana,hii ni mbaya sana kwa kila mtanzania mwenye akili timamu
Indonesia
0
0
0
263
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Leo ilikuwa siku ngumu sana kwa wanachama wetu na viongozi wetu mahakamani. Watu wengi walipigwa na kuumizwa, akiwemo Mwenyekiti wetu wa vijana ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu na Wakili mshauri katika kesi inayomkabili Mhe. Lissu. Nilipofika mahakamani, nilijaribu kuingilia kati ili kutoa msaada, lakini juhudi zangu hazikuzaa matunda. Hali ilikua mbaya zaidi, ndipo mimi na NKMB tulipoamua kuingia ndani kumtafuta Msajili wa Mahakama, lakini jambo hili halikufanikiwa pia. Tulijaribu pia kumtafuta ZCO Mafwele ili kupata ufafanuzi kuhusu matukio haya, lakini pia hiyo haikusaidia. Zaidi ya hayo, Wakili wetu na Kiongozi wetu Mkti wa vijana alizuiwa kuingia mahakamani. Ingawa jitihada zetu za kutatua hali hii hazikuweza kuleta manufaa ya moja kwa moja, tunazidi kufanya kazi kwa bidii ili kuhakikisha haki inapatikana kwa wote waliokamatwa na kuumizwa. Chama kitatoa tamko rasmi kuhusu hali hii na hatua zitakazochukuliwa ili kulinda haki za wanachama wetu na heshima za viongozi wetu.
Indonesia
108
233
1K
32.2K
Mmari Jr.
Mmari Jr.@MmariJr1·
@_zack255 Lisha wengine matango pori yako ila sisi wala hatubabaishwi tushaijua njia😄
Filipino
0
0
0
475
Micky Jnr
Micky Jnr@MickyJnr__·
Mnaonaje toleo la Kiswahili la leo? Mnataka liwe linawekwa mara kwa mara? Nijulishe.
Indonesia
172
59
1.1K
32.8K
Micky Jnr
Micky Jnr@MickyJnr__·
🚨 CAF imetangaza kanuni kuu kabla ya mashindano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho msimu wa 2025/26: 📌 Julai 31: Tarehe ya mwisho kwa mashirikisho ya wanachama kuwasilisha vilabu vitakavyoshiriki 📋 Vilabu vinaweza kusajili wachezaji hadi 40 🔁 Substitution 5 kwa kila mechi | Wachezaji 9 benchi 🕒 Wachezaji wapya waliopatikana kwenye dirisha la usajili la Januari lazima wasajiliwe saa 72 kabla ya mechi ili waweze kucheza 🇩🇿🇦🇴🇨🇮🇪🇬🇱🇾🇲🇦🇳🇬🇨🇩🇿🇦🇸🇩🇹🇳🇹🇿 Nchi 12 zenye nafasi ya kuingiza vilabu viwili kwa kila mashindano: Aljeria, Angola, Côte d’Ivoire, Misri, Libya, Morocco, Nigeria, DR Congo, Afrika Kusini, Sudan, Tunisia, na Tanzania. #CAFCLwithMicky | #CAFCCwithMicky #SokaLaAfrika
Micky Jnr tweet media
Indonesia
79
118
1.2K
58K
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️PIGA KURA‼️ Ukiambiwa leo uchaguzi ni wa haki na huru upige kura A = Samia Suluhu B = Tundu Lissu C = Dorothy Semu Jibu na herufi au jina na piga kura ktk poll 👇🏾 hapo next tweet
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
941
211
1.4K
86K
Komu Printing
Komu Printing@Elparton112·
@swahilitimes Picha Mbao A4 10,000 A3 18,000 A2 50,000 A1 85,000 ☎️ 0769063447 Sinza Kumekucha 📍
Komu Printing tweet mediaKomu Printing tweet mediaKomu Printing tweet mediaKomu Printing tweet media
Polski
1
0
2
847
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
"Sisi jukumu letu ni kuona kwamba tunaitekeleza ile sheria na kusimamia kuona kwamba kilichoelekezwa [na Ofisi ya Msajili] basi kinatekelezeka na kutekelezwa kwake ni kutoendelea kufanya zile shughuli zilizokuwa zikifanyika [kanisa la Askofu Gwajima]. Kama akitaka ziendelee kufanyika basi afuate utaratibu wa kisheria ikiwa ni pamoja na kukata rufaa kwenye mamlaka za kisheria zilizowekwa. Lakini kwa sasa tunatekeleza kile ambacho ni cha kisheria cha mamlaka iliyowasajili ambayo tayari imesitisha shughuli zao." - Jumanne Muliro, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam
Swahili Times tweet media
Indonesia
176
63
1.1K
109.1K
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Hapo vipi? #NoReformsNoElection ndio habari ya wananchi… Watanzania hawataki wizi wa kura, Watanzania hawataki chaguzi za mauaji.
John Heche tweet mediaJohn Heche tweet mediaJohn Heche tweet mediaJohn Heche tweet media
Indonesia
68
276
1.4K
29K
GreaterThinker💎
GreaterThinker💎@HopeQuotes__·
@DrCyrilo Majamaa Wanawaza Ruzuku tu, wala hawajali Maisha ya Watu Kipindi cha UCHAFUZI
GreaterThinker💎 tweet media
Indonesia
11
6
91
7.8K
Dr. Chris Cyrilo
Dr. Chris Cyrilo@DrCyrilo·
Nilikuwa napuuza taarifa za hawa jamaa kuvujisha taarifa za faragha za chama kwa CCM, na hata kula dili na watekaji kwa kuuza ramani za viongozi na wanachama waliokuwa wakitekwa na kupotezwa, akiwemo Mzee Kibao. Ila sasa sipuuzi tena hizi taarifa. Hawa jamaa sio watu wema.
Dr. Chris Cyrilo tweet media
Suomi
210
215
1.8K
139.7K
Mmari Jr.
Mmari Jr.@MmariJr1·
@MwanzoTvPlus @ChademaTz Huyu alikuja chadema akiwa na kete mfukoni sasa kashindwa kuicheza,oya sa hivi tumeamka tunajua nyeusi na nyeupe,we imba hapo ukimaliza kachunge ng'ombe hukoooo🥂
Indonesia
0
0
0
5
MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus@MwanzoTvPlus·
#TANZANIA: KUNA MTU ANAITWA MARIA SARUNGI, WHO IS SHE CHADEMA? - MWITA Kuna mtu anaitwa Maria Sarungi, kikao kimeitishwa na Katibu Mkuu, mimi sijui hata kama Maria ni mwanachama wa @ChademaTz, mimi ni mwanachama na kadi yangu ni platnums, yeye aje atuambie kadi yake ni namba ngapi. @MariaSTsehai anapost Twitter anahoji kikao cha watia nia kimeitishwa na nani kwasababu viongozi wote wakuu wapo field, serious? Who is she?mtu anaishi Nairobi, anaogopa hata kuja kumzika baba yake leo anahoji mambo ya chama?" - Julius Mwita, Aliyekuwa Katibu wa Sekretarieti ya Chama cha @ChademaTz
MwanzoTvPlus tweet media
Indonesia
50
13
68
68.5K