Bm__classic shoes👟
9.7K posts

Bm__classic shoes👟
@MmasiBruno
Nadili na mambo ya viatu vya kike na kiume 👉Mikoan nafanya Delivery 👉Phone number 0623721907 /0767352949
Dar es Salaam,kkoo 🇹🇿 Katılım Temmuz 2019
2.8K Takip Edilen1.4K Takipçiler

@RabiaDamari Na mtazoea kupishana na risasi maana mmeamua kusikiliza saut ya malaya mange
Filipino

@cyancute Milion 100+unafanya masihara kauza albam ngapi kapata 100 nyimbo zake zenyew hazipat hata show ya ndan
Indonesia

Juni 10, 2020, polisi wa Dubai kwa kushirikiana na FBI, walivamia chumba chake na kumtia nguvuni.
Walipata Dola milioni 41 taslimu, Magari 13 ya kifahari yenye thamani ya dola milioni 7, Simu 47, kompyuta 21, na data za wahasiriwa zaidi ya 100,000
Alipelekwa Marekani, akahukumiwa kifungo cha miaka 11 gerezani.
Sasa yuko FCI Fort Dix, New Jersey, akisubiri kuachiliwa Agosti 6, 2029.
Safari yake ya utajiri wa haraka ilimalizika kwenye kuta za gereza.

Indonesia

Ilikuwa ni usiku wa Juni 10, 2020, Dubai, wakati mji ulikuwa umetulia tuli.
Taa za majumba ya kifahari zikivuta kama nyota, magari ya bei ghali yakipita polepole kwenye barabara za Sheikh Zayed Road, na upepo wa joto ukipuliza kutoka jangwani.
Lakini katika chumba cha kifahari cha Palazzo Versace Hotel, kelele za milango kuvunjika zilisikika ghafla.
Polisi wa Dubai waliingia kwa kasi, kwenda kumkamata mwamba Ramon Olorunwa Abbas, maarufu kama Hushpuppi.
Kijana wa mtaa wa Oworonshoki huko Lagos, Nigeria, ambaye kila mtu alimuona ni “mfalme” wa Instagram, akiishi maisha ya kifahari na magari ya mamilioni, jezi za Gucci, na picha za ndege za binafsi.
Lakini siku hiyo, maisha yake ya dhahabu yaligeuka kuwa chuma cha gereza cha Marekani.
Thread 👇🏾

Indonesia

@Adventure_36 Alafu mkitoka veta sis wa mtaan tunawaelekeza kazi patam hapo😁😂😂😂😂
Filipino
































