Ndonde

3K posts

Ndonde

Ndonde

@Moondetz

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Şubat 2022
133 Takip Edilen38 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Ndonde
Ndonde@Moondetz·
@BabaMwita It only takes one incident and one speech for a cogent president to show chagrin; condemn and chastise rather than condone these capricious acts of law enforcement agencies for them to be more circumspect. She is now complacent and doesn't care about the colossal forces policeTz
English
0
1
3
0
Ndonde
Ndonde@Moondetz·
@Mwabuk2Boniface Seriously Sijui anachojivunia. If you were swor in to protect the country and yet can't protect your countrymen, then you have nothing to be proud of. Au hajui kuwa kulinda nchi ni kulinda wananchi? Rais Hufanyi kazi yako halafu bado upo ofisin kweliiii? Wazee wako wapi?
English
0
0
0
2
Ndonde
Ndonde@Moondetz·
@Mwabuk2Boniface Mi hata sijui huyo anayejiita Rais wa Tz anajivunia kuwa muuaji wa waTanganyika. Rais ni custodian wetu Huwez ukawa Rais tunakulipa kwa kodi zetu halafu umekaa tu ofisini unafurahia wananchi kuuawa na kupotezwa. This is big NO You do not deserve to sit on that chair. Ondoka.
Indonesia
0
0
4
146
Boniface Mwabukusi
Boniface Mwabukusi@Mwabuk2Boniface·
DAMURU apatikane. Suala la utekaji na upotezaji wa watu limekuwa doa zito katika jamii, likiacha hofu, majonzi na maswali yasiyo na majibu. Watu wanaotekwa au kupotea mara nyingi ni wale wasio na hatia, huku familia zao zikibaki katika hali ya sintofahamu na maumivu yasiyopimika. Kinachoongeza uzito wa tatizo hili ni pale ambapo wale waliokabidhiwa jukumu la kulinda raia wanashindwa kutimiza wajibu wao ipasavyo na wakihojiwa hutoa maelezo yenye dhihaka. Inapotokea kwamba vyombo vinavyopaswa kuhakikisha usalama vinageuka kuwa dhaifu, au vinahusishwa moja kwa moja au kwa uzembe na vitendo hivyo, basi hali inakuwa hatari zaidi. Kukosekana kwa uwajibikaji kunafungua mlango wa mazoea mabaya, ambapo utekaji na mauaji vinaweza kuonekana kama jambo la kawaida lisilo na madhara makubwa kwa wahusika. Hapo ndipo imani ya wananchi kwa mifumo ya ulinzi na sheria huanza kuyeyuka. Ukiona kwamba anayepaswa kumaliza tatizo anashindwa kulimaliza, basi kuna dalili kuwa chanzo cha tatizo si kile kinachoonekana juu juu. Inaashiria uwepo wa mizizi iliyojificha iwe ni uzembe, maslahi binafsi, au mfumo uliooza. Katika hali kama hii, suluhisho halipo tu katika kushughulikia matukio ya utekaji, bali katika kubadili au kuondoa kabisa mfumo unaoruhusu vitendo hivyo kuendelea. Hivyo, wito ni wa wazi na wenye uzito: haki lazima itendeke bila upendeleo. Ikiwa kuna mtu anayehusishwa na vitendo hivi, kama DAMARU, basi arejeshwe mbele ya jamii na Familia yake. Bila hatua thabiti na za dhati, kivuli cha utekaji na upotezaji wa watu kitaendelea kuitanda jamii kwa muda mrefu zaidi. HAKI ,UKWELI NA UWAJIBIKAJI Vitaliponya Taifa. BAK MWABUKUSI.
Boniface Mwabukusi tweet media
Indonesia
12
271
653
13.5K
Ndonde
Ndonde@Moondetz·
@MariaSTsehai This is baaad Tanzania tunaongozwa na wauaji. This isn't fun Woote tuungane kukataaa huu uongozi. Hatujachelewa bado. Nchi inatakiwa isimame sasa Kila kitu kisimame. Tafadhali sikieni kilio cha damu hizi jamani. Tunachinjwa kama kuku? Bora hata kuku anachinjwa na kuliwa
Indonesia
0
0
9
1.4K
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Nimechoka na kuona ukatili kila siku! Hivi ina maana WOOOOOOTE mliopo kwenye mfumo mnaona hii ni sawa? Mtu anatekwa alafu mwili wake unakutwa hivi? Kweki? Huku polisi wakiendelea kuteka! Tumetoka kuona MAELFU wa ndugu zetu wameuwawa kikatili na miili yao kuachwa barabarani na baadaye kusombwa na kutupwa kama takataka! Nyie kimyaaa Nyie ni binadamu? Hamjisikii hata kidogo vibaya? Nyie ni mashetani WOTE! 🚮mi hata huyo @nchimbie wengine mnamfagilia nasema ni walewale! Kwani sisi wengine tulishindwa nini kukaa kimya ili maisha yetu yaende? Tulishindwa kukaa kimya kwa sababu ya UTU! Sasa mi nawaona ninyi wote mlioufyata wasaliti! Mmekaa kimya ili uovu utawale - basi ninyi ni sehemu ya uovu! #ChangeTanzania
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
55
189
654
46.5K
Ndonde
Ndonde@Moondetz·
@Royal_Tv_Tz Unajifanya Please do not pretend Tafadhali sana usikebehi watanganyika. Hizi damu very soon mtazilipa. Mungu alishasikia kilio chetu. Revenge is coming soon
Indonesia
0
0
0
14
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
Ziara ya Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba mkoani Iringa imeibua matumaini mapya kwa wananchi waliokuwa wamekata tamaa ya kudai haki zao, baada ya kiongozi huyo kuonesha wazi kuchukizwa na kile alichokiita unyang’anyi wa haki za wanyonge. Akizungumza Mei 2, 2026 katika mkutano wa hadhara uliofanyika Igowole wilayani Mufindi, Dk Mwigulu amesema kama msimamizi mkuu wa shughuli za Serikali hataruhusu tabia ya kuchelewesha au kukwepa kulipa madai halali ya wafanyakazi na watoa huduma iendelee kushamiri. Amesema taarifa alizonazo zinaonesha kuwa vijana wengi wanaofanya kazi katika viwanda na makampuni mbalimbali wananyimwa stahiki zao kwa kucheleweshwa malipo au kutolipwa kabisa, hali inayowakatisha tamaa na kuathiri maisha yao. “Hii tabia ya kuzoea shida za watu na kuchezea jasho lao haikubaliki. Haki za wanyonge si za kufanyiwa mzaha,” amesema Dk Mwigulu. Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ametoa onyo kwa watendaji wa sekta ya ardhi nchini, akiwataka kuacha tabia ya kuchochea na kusababisha migogoro ya ardhi inayojirudia mara kwa mara, akisema Serikali imechoshwa na malalamiko yasiyoisha kutoka kwa wananchi. Katika kusisitiza uzito wa tatizo hilo, Waziri Mkuu ameitaja kampuni moja binafsi (jina linahifadhiwa) ya kuwa miongoni mwa zinazolalamikiwa kwa kudaiwa kuwadhulumu wananchi, akisema kampuni hiyo inadaiwa na mwananchi mmoja Sh28 milioni tangu mwaka 2021, pamoja na Sh9 milioni za wafanyakazi tangu Aprili 2024. “Huyu anadai Sh28 milioni tangu 2021, lakini ukiwaona wanaendelea na maisha ya anasa, wanabadilisha magari na mavazi kila siku, wakati wanaodai wanateseka,” amesema. Kutokana na hali hiyo, amemwagiza Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Heri James pamoja na Kamanda wa Polisi wa Mkoa kuwasaka wamiliki wa kampuni hiyo ili wajisalimishe na kulipa madeni hayo mara moja kabla hajamaliza ziara yake. “Nimesema watafuteni walipe madeni yote wanayodaiwa sasa nirudi hapa nikute hawajalipa halafu tupimane ubavu, haya ni mambo ya kupuuza haki za watu na yanafanyika kwa makusudi kabisa,”amesema. Akisisitiza dhamira ya Serikali, Waziri Mkuu amesema uzoefu unaonesha kuwa ucheleweshaji wa malipo mara nyingi si kwa kukosa fedha bali ni uzembe na kupuuza haki za watu. Ametolea mfano tukio la mkoani Kilimanjaro ambapo wakulima wa kahawa walikuwa wakidai Sh400 milioni kwa zaidi ya miaka saba. Amesema aliagiza walipwe ndani ya mwezi mmoja, lakini walitekeleza ndani ya wiki moja tu, jambo alilosema linaonesha wazi kuwa baadhi ya wadaiwa huchelewesha kwa makusudi. “Hii inaonesha si kwamba hawana uwezo, bali ni kukosa uwajibikaji,” amesema. Akiwa kwenye mkutano wa hadhara Igowole Waziri Mkuu ameubana uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi kufuatia malalamiko ya kikundi cha Ibantu Group kinachodai malipo ya muda mrefu baada ya kutekeleza kazi ya ufyatuaji tofali. Mmoja wa wanakikundi hicho amesema walifyatua tofali 16,600 kwa makubaliano ya kulipwa Sh250 kwa kila tofali, sawa na zaidi ya Sh39 milioni, lakini hawajalipwa tangu mwaka 2022. “Mheshimiwa Waziri Mkuu, tumeteseka sana. Hatuna pa kukimbilia, tunaomba msaada wako,” amesema mwanakikundi huyo. Malalamiko mengine yametolewa na fundi Christopher Mwangoka, anayedai Sh1.5 milioni kwa kazi ya ujenzi wa vyoo katika Shule ya Sekondari Kibengu, ambapo sehemu ya malipo ilishafanyika, lakini kiasi kilichobaki hakijalipwa kutokana na mvutano wa utekelezaji wa mkataba. Akijibu hoja hizo, Waziri Mkuu amesema haiingii akilini kwa taasisi ya Serikali kupokea kazi na kushindwa kulipa walioitekeleza. “Sasa kwa nini hamjawalipa? Kama mlipokea tofali, kwa nini haki yao haijatendeka?” amehoji kwa ukali. Amesema Serikali haiwezi kujificha nyuma ya makosa ya wachache na kuwanyima haki wananchi waliotekeleza majukumu yao kwa uaminifu. “Serikali haiwezi kujificha nyuma ya makosa ya watu wachache na kuwanyima haki wale waliotekeleza wajibu wao,” amesema. Kutokana na hali hiyo, ameagiza uongozi wa halmashauri kuhakikisha fedha hizo zinalipwa mara moja kabla hajaondoka eneo hilo.
ROYAL TELEVISION tweet media
Indonesia
5
1
19
2.8K
Ndonde
Ndonde@Moondetz·
@K255Leo @lifeofmshaba @Jambotv_ Ebu waulizeni Nyerere ambaye wanamuita baba wa taifa alikuwa nani? Alifanya harakati kudai uhuru au alifanya kitu gani. Waandishi kama hao ni mbumbu hawaelewi chochote. Wako radhi kuuliza chochote hata kinachowafunua ubongo wao ilimradi tu wamepewa mkate. Definition hawajui
Indonesia
0
0
0
3
Duda
Duda@K255Leo·
@lifeofmshaba @Jambotv_ Je uanaharakati ni kosa kisheria? If yes, then the question is relevant. Otherwise, which is a fact, swali halipaswi kujibiwa! Ni kupoteza muda! Ajenda inasukumwa sababu, kutokuwa mwanaharakati ni kuwa some push-over! Easy to manipulate! Now wamekwaa kisiki. Shenzi sana!
Filipino
1
2
7
1.2K
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
John Marwa wa @Jambotv_ leo alibeba hoja ya Yeriko na kwenda nayo kwa Mnyika kama swali. Moja ya hoja za Yeriko na CHAUMMA kwa ujumla ni kwamba CHADEMA inaendeshwa na wanaharakati. Kwenye maswali na majibu, John akamuuliza KATIBA MKUU WA CHADEMA kwamba mtaani kwa wananchi wanalalamika kwamba CHADEMA inaendeshwa na wanaharakati. Mnyika katika kumjibu alimwambia, CHADEMA ni chama cha umma, kinasikiliza hoja za wananchi na kutafsiri na kuzifanyia kazi. Iwe ni hoja ya mwanaharakati, wananchi, au mtu yeyote yule, CHADEMA inasikiliza na ndio maana ina nguvu sana. CCM imefikia hatua ya kuzuia na kufunga CHAMA na kumfunga Mwenyekiti wa CHAMA; hii ni kutokana na kufanyia kazi PEOPLE POWER, hiyo ndiyo hasili ya CHADEMA. Kwa hivyo, mtu atakayeita wananchi hao kuwa ni wanaharakati au CHOCHOTE kile, Haitobadilisha msimamo na msingi wa CHADEMA kufanyia kazi hoja za wananchi. Mnyika alifafanua zaidi kwa kusema, kama ingekuwa ni hoja za wananchi wachache tu ndiyo CHADEMA inafanyia kazi, CCM ingeogopa namna hii CHADEMA, na CHADEMA ingekuwa na ushawishi mkubwa hivi kwa UMMA. Hivyo, hiyo hoja aliyoleta John au swali aliolielekeza haina ushahidi, isipokuwa hao wanaitwa majina, ndio wananchi wenyewe wanaotakiwa kusikilizwa na CHAMA. Hii ndiyo msingi wa CHADEMA na nguvu ya CHAMA kusikiliza wananchi. MY TAKE Kumekuwa na juhudi kubwa sana za CCM na Mfumo kuitenganisha CHADEMA na wananchi, kwa kujaribu kuonyesha kama vile kuwa karibu na wananchi ni udhaifu, kwamba wanapelekeshwa na kuongozwa na watu wasio na vyeo ndani ya CHAMA. Kwanza, hoja hii ni dhaifu na ndiyo imepelekea wanasiasa wengi nchini kuonekana MACHAWA, kwa sababu wameshindwa kuelewa kabisa kwamba kazi ya SIASA au VYAMA ni kusimama na wananchi. Hata kama wewe binafsi una msimamo binafsi au maoni yako binafsi, unachotakiwa kufanya kwenye maoni ya wananchi kama mwanasiasa bora au chama bora ni kuboresha kile wanachokitaka. Vyama vya SIASA vinakazi ya kuchakata maoni na malengo ya wananchi. Kuna upotoshaji kwamba Vyama vinapaswa kusimamia maoni ya viongozi wake tu bila maoni ya wananchi, yasiyo na mwelekeo wa wananchi au yasiyokubalika na wananchi, haya ni makosa kisiasa. Matokeo yake tumekuwa na vyama ambavyo vinatafuta kila aina ya visingizio kufanya kazi za watawala na kukwepa wajibu wa kusimama na UMMA, kisha kugeuzwa dekio la Watawala hii imeshindikana kwa CHADEMA. Kwa sababu CHADEMA, kisimama na wananchi hivyo mawakala wa mafumo na taasisi zake umeshindwa kukimaliza hiki chama, wanancho fanya sasa ni kutumia vibaka wao kuchochea utengano kati ya CHADEMA na Wananchi kwa kuwapatika majina kwamba ni wanaharakati, Kutunga hoja kwamba Wananchi hawapendi CHADEMA kuwa karibu na wanaharakati. sasa wanajaribu kuwachezea akili viongozi wa CHADEMA hili kuleta utengano na UMMA. Bahati nzuri, CHADEMA ina watu wanaojitambua na wanaelewa maslahi ya Taifa yakoje. Wakati John anauliza haya maswali alijitambulisha Kamba ametoka Royal Television @Royal_Tv_Tz (Hii ni account ya CHADEMA, ambao John ameuziwa na walioamia CHAUMMA chini ya John Mrema) , Kwa maana hiyo hii John ameichukua kutoka CHADEMA kupitia wahuni waliokuwa CHADEMA na dhamana ya kuendesha media za CHADEMA Ndio maana nasema John alipeleka Hoja za Yeriko, alitumwa maana hawa ni watu wanamuuzia mpaka vitu walivyoiba CHADEMA , sasa ameanza kumpa maswali yao ambayo wanapigania sana hapa online OGOPA SANA KUNDI LA WAJINGA, WANA UJASIRI WA AJABU Unaiba ukurasa wa CHAMA kisha unakwenda waelekeza namna ya kuongoza CHAMA? kama vile una mapenzi na CHAMA HUSIKA wakati unapambana sana kukibomoa chini kwa chini Maswali ya John yako kwenye hii link youtube.com/live/88GFHR_ot… Kama hauna muda unaweza sikiliza dakika 5 za mwisho, Japo Hotuba hii ya Mnyika ina taarifa nyingi muhimu kuhusu mwelekeo wa Tanzania hapo baadaye
YouTube video
YouTube
Think Different tweet mediaThink Different tweet media
Indonesia
17
81
444
48.8K
Ndonde
Ndonde@Moondetz·
@rose_mayemba Hawez kupata funzo lolote. Hawa watu wanajifanyaga viziwi kisa asali. Wanajifunza siku wakikaribia kukata roho
Indonesia
0
0
0
61
Rose Mayemba
Rose Mayemba@rose_mayemba·
Kama taarifa hii ni ya kweli, basi Kingai atakuwa amepata funzo kubwa sana. Gen Z kuna namna wamevurugwa wakisikia misiba kutoka kwenye familia za namna hii huwa wanakumbuka October 29. Mungu atusaidie sana.
Rose Mayemba tweet media
Filipino
19
35
285
10.7K
Ndonde
Ndonde@Moondetz·
@SimbaSCTanzania Tafadhali sana simba na yanga, simamiaheni shughuli zote tukomeshe haya mauaji. Nyie mkisimamisha kila kitu nchi itasimama pia na kilio chetu kitasikika na nchi itakuwa salama. Gomeeni michezo yote tafadhali
Indonesia
0
0
0
10
Ndonde
Ndonde@Moondetz·
@SimbaSCTanzania Ivi kweli hizi timu za simba na yanga wachezaji wake hawana ndugu walio tekwa, kupotezwa au kuuawa? Ok basi tuseme wachezaji wote ni wageni. Je uongozi na bodi za wadhamini nao ni wageni? Nyie mnaona watanganyika kuuawa na kupotezwa ni sawa? Simamishen kila kitu tukomeshe mauaj
Indonesia
0
0
0
11
Ndonde retweetledi
Ndonde
Ndonde@Moondetz·
@BabaMwita It only takes one incident and one speech for a cogent president to show chagrin; condemn and chastise rather than condone these capricious acts of law enforcement agencies for them to be more circumspect. She is now complacent and doesn't care about the colossal forces policeTz
English
0
1
3
0
Ndonde
Ndonde@Moondetz·
@MariaSTsehai Till when will this be enough Till when will these killings trigger UN to act Till when will Tz killings suffice samia to resign and go back to Zenj Till when will fhese killings prompt IGP to get fired Till when will these satanic acts trigger the parliament to act. TPDF je?
English
2
9
26
2.3K
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
Nchi hii imekuwa uwanja wa mauaji huyu anaitwa James Temba alitekwa jijini Dar mwili wake umeonekana Tabata kwenye mtalo wa maji ukiwa hauna kichwa.
Twaha Mwaipaya tweet mediaTwaha Mwaipaya tweet media
Indonesia
48
137
479
23.9K
Ndonde
Ndonde@Moondetz·
@Oktoba29 Hakuna kitu kinanikasirishaga kama mtu mwenye ndugu aliyeuawa akiomba samia amsaidie. Ivi hata akili ndogo tu hatuna jamani? Ni sawa na fisi ameua kondoo zizini mwako halafu unaanza kuita "fisi tusaidie tupate kondoo wetu" Huo wendawazimu Samia is a commander in slaughter.
Indonesia
0
0
0
19
Hasta La Victoria Siempre
Hasta La Victoria Siempre@Oktoba29·
Samia hawezi kusaidia, mana first suspect ni Paulo na Dully. Inaumiza lakini ndio hali halisi. RIP Banjoo
Hasta La Victoria Siempre tweet media
Filipino
18
26
259
20.6K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Kwamba Tanzania nzima hatuna WASOMI mpaka tunaenda kuchukua hawa VILAZA na kuwapa WIZARA waongoze wasomi? Hivi huyu kweli anastahili Uwaziri achilia mbali hata Udiwani? Waziri gani ambaye ni Form Four Failure? Waziri gani ana certificate 3 na zote ni za online? Waziri mwenye certificate ndio ataongoza wizara ya ajira? Atamsaidiaje kijana mwenye degree ambaye yuko mtaani hana ajira? Waziri gani ana udaktari wa mchongo wa kupewa? Samuya kaamua kutafuta Form Failure wenzake awajaze ndani ya serikali haramu maana hapendi wenye akili KUBWA anajua watamchallenge. Anapenda vilaza wenye elimu mbalimbali kama yeye ili awaburuze. Ni kama tupo zama za MAWE.
SIR TIVA tweet media
Indonesia
72
98
549
45.1K
Ndonde
Ndonde@Moondetz·
@IkindaKani11826 Ona hii ng'ombe Et nayo inajiita daktari. Loo! Ama kweli Tz tumepatwa na kupatikana
Filipino
0
0
1
23
CINEMAS ANALYTIC 🎬
CINEMAS ANALYTIC 🎬@CinemasAnalytic·
When my girlfriend become my Gynecologist Available on netflix or movie Box
CINEMAS ANALYTIC 🎬 tweet media
English
1
0
0
336
Ndonde
Ndonde@Moondetz·
@AdamKinzinger By young you mean teenager? Or what is your definition?
English
0
0
0
10